Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Awamu ya tatu ya mgomo wa madaktari 23 June, 2012

    Report Post
    Page 5 of 9 FirstFirst ... 34567 ... LastLast
    Results 81 to 100 of 171
    1. #1
      Jackbauer's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th October 2010
      Location : CTU
      Posts : 4,873
      Rep Power : 1691
      Likes Received
      1348
      Likes Given
      277

      Default Awamu ya tatu ya mgomo wa madaktari 23 June, 2012

      baada ya kushuhudia migomo ya madaktari kwa awamu mbili na baadaye kufuatiwa na majadiliano yalioyoisha hivi karibuni sasa kuna kila dalili ya kutokea kwa mgomo mwingine mara itakapofika tarehe 23 juni 2012.
      migomo miwili ya kwanza ilipuuzwa hivihivi lakini mwishowe tuliona viongozi wakuu wa nchi wakirudi nyuma na kuomba huruma ya mazungumnzo.
      je iwapo mgomo wa tarehe tajwa utatokea ni nani alaumiwe kwa kushindwa kutatua mgogoro huu uliodumu kwa kipindi cha nusu mwaka sasa??


      haya ni ya morogoro

      TAARIFA KWA UMMA
      Katika kikao cha madaktari na wahudumu wa afya Ifakara kilichofanyika tarehe 16.June 2012, Kwa pamoja kilikataa taarifa iliyotolewa na serikali kuhusu madai ya Madaktari na Wahudumu wa Afya. Kikao kilitoa maazimio yafuatayo
      1. Tunasikitishwa na msimamo wa serikali kutokuonyesha lengo la kutatua madai ya madaktari na wahudumu wa afya.
      2. Tunatangaza mgogoro rasmi dhidi ya serikali kuhusiana na madai yetu kudharauliwa na kutofanyiwa kazi.
      3. Tutaungana na madaktari na wahudumu wengine wa afya Tanzania katika mgomo utakaoanza tarehe 23 Juni 2012. Kama Serikali haitafanyia kazi madai yetu
      4. Tunaukumbusha umma kuwa serikali ilikuwa na muda wa kutosha kufanyia kazi na kutatua madai ya madaktari na wahudumu wa afya

      haya ni ya BUGANDO


      TAMKO:
      Kutokana na kikao cha tarehe 15/06/2012 hapa Bugando na kanda ya Ziwa kwa ujumla tunatamka kwamba:-
      1. Hatukubaliani na namna serikali ilivyo- na inavyoshughulikia suala la madaktari na wahudumu wengine wa afya hapa nchini.

      2. Ni vema serikali itoe tamko lenye tija juu ya mgogoro unaondelea kati yake na wafanyakazi wa sekta ya afya nchini

      3. Tutaungana na madakrai wote pamoja na wahudumu wengine wa afya katika mgomo utakaonza tarehe 23/06/2012 ikiwa hatua madhubuti na zenye tija hazitachukuliwa

      Mungu Ibariki Tanzania Mungu Ibariki Afrika


      na haya ni ya Dodoma karibu kabisa na mjengoni
      TAMKO LA MADAKTARI NA WAHUDUMU WA AFYA DODOMA
      Baada ya kupata muda wa kupitia na kuchambua kwa kina ufafanuzi wa serikali kuhusu madai ya madaktari. Madaktari na wahudumu wa afya Dodoma tunapenda kutoa tamko kama ifuatavyo

      1. Tunaunga mkono maamuzi ya kikao cha madaktari na wahudumu wa afya cha tarehe 9/06/2012 kwa kuukataa ufafanuzi wa madai ya msingi kwani hauna nia ya dhati wa kuleta suluhisho la kudumu katika sekta ya afya. Hivyo tupo katika mgogoro na serikali na tutaungana na wenzetu katika mgomo utakaoanza tarehe 23/06/2012.

      2. Tunaitaka serikali iache mara moja jitahada zake za kutugawa wahudumu wa sekta ya afya kwani kwa kufanya hivyo kutadhorotesha ufanisi wa utoaji wa huduma za afya katika hospitali mbalimbali nchini. Hivyo tunaitaka serikali ianze mara moja kuwalipa wahudumu wote wa afya posho mpya za kuitwa kazini.

      3. Tunawaomba wahudumu wa afya wote na popote walipo kuendelea kuwa pamoja katika kutetea huduma bora na maslahi mazuri katika sekta ya afya.

      MUNGU IBARIKI TANZANIA.

      updates;mahakama kuu divisheni ya kazi imetoa zuio la mgomo huu.
      madaktari washikilia msimamo wao na baadhi yao kusema
      "BASI NASISI HIYO TAARIFA YA SERIKALI TUNAICHAMBUA KWA KINA ,TUNAIFANYIA MPANGO MKAKAKATI KABAMBE,TUNAISHUGHURIKIA,TUTAI FANYIA UPEMBUZI YAKINIFU MBALI NA HAYA MGOMO UKO PALEPALE''

      SIKU YA KWANZA
      hospitali kadhaa zimeingia kwenye mgomo ikiwa ni pamoja na Bugando,Muhimbili,Mbeya na Amana.
      bado ni vigumu ku-assess makali ya mgomo hasa ukizingatia leo haikuwa 'siku ya kazi' tusubiri siku ya jumatatu ambayo ni siku inayohudhuriwa na wagonjwa wengi.

      SIKU YA TATU

      Mbeya,Bugando,Muhimbili,Dodoma ,amana,KCMC,mwananyamala,TMK,i fakara, wako kwenye mgomo.
      kuna tetesi kuwa Ocean road wako mbioni kujiunga.
      Vyombo vya habari mbalimbali vyaanza kuripoti madhara ya mgomo huu.baadhi ya waandishi wakataliwa kuingia hospitali ili kuhabarisha wananchi juu ya mgomo.
      Channel ten yafanya mjadala na madaktari.madaktari wajieleza vizuri kwa nini wamefikia hatua hii.kesho tutegemee mgomo kuwa mkali zaidi.

      SIKU YA NNE
      Mgomo bado unaendelea katika sehemu tajwa hapo juu.pia kuna taarifa kuwa hospitali ya hydom imeingia rasmi kwenye mgomo.
      waziri wa afya amekwepa kufanya mahojiano ya 'live kupitia star TV' ili kujibu madai ya madaktari.katika kipindi hicho kulikuwepo wawakilishi wa madaktari na wajumbe wa kamati ya bunge huduma za jamii.Mwinyi aliomba udhuru kwa kusema kuna mambo muhimu uanayashughulikia.
      huko bugando mkurugenzi wa hospitali anaelekea kurudia kosa lililofanywa na mkurugenzi mwenzake wa Muhimbili kwa kutishia kuwarudisha intern doctors wizarani.tukumbuke kosa hili ni moja ya chanzo cha mgomo huu unaoendelea mpaka leo.

      SIKU YA TANO
      Kiongozi wa jumuiya ya madaktari Dr Ulimboka steven atekwa na kupigwa hadi kupoteza fahamu.
      Madaktari waapa kuongeza mgomo.
      Mh pinda kutoa tamko la serikali kesho.

      SIKU YA SITA

      Afya ya dr ulimboka yaanza kuimarika,asema bado maumivu ni makali!
      Pinda akataa kutoa tamko.
      mgomo unaendelea huku kukiwa na ripoti ya madaktari bingwa wa MNH wamejiunga katika mgomo

      SIKU YA SABA
      Hali ya ulimboka si nzuri sana
      madaktari bingwa wa MNH,MOI,MUHAS,ORCI, Wametoa tamko rasmi la kujiunga kwenye mgomo.
      nawasilisha...
      Last edited by Jackbauer; 29th June 2012 at 20:18.

    2. Miaka 50

    3. #81
      jamiif's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th April 2012
      Posts : 956
      Rep Power : 547
      Likes Received
      242
      Likes Given
      511

      Default Re: Awamu ya tatu ya mgomo wa madaktari 23 June, 2012

      inasikitisha sana..mi nasikitika misiba itakavyofululiza huku kwa sisi wananchi, ila kiukweli naunga mkono msimamo wa madaktari, Mungu awafanyie wepesi mpite salama katika hili bila madhara.

    4. #82
      mashikolomageni's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th January 2010
      Location : Dar es Salaam, Tanzania
      Posts : 1,445
      Rep Power : 766
      Likes Received
      144
      Likes Given
      130

      Default Re: Awamu ya tatu ya mgomo wa madaktari 23 June, 2012

      Serikali dhaifu, Rais dhaifu na chama dhaifu ............ Hayo ndio matokeo yake wa Tz wataumia sababu ya udhaifu

    5. #83
      King of Kings's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th March 2010
      Location : KWA MBAYUWAYU
      Posts : 3,765
      Rep Power : 1221
      Likes Received
      430
      Likes Given
      818

      Default


  • #84
    Bukijo's Avatar
    Senior Member Array
    Join Date : 28th July 2010
    Posts : 115
    Rep Power : 471
    Likes Received
    11
    Likes Given
    29

    Default Re: Awamu ya tatu ya mgomo wa madaktari 23 June, 2012

    Njia ya mwongo ni fupi na ukweli utabakia kua ukweli siku zote. Mr.DHAIFU na USANII wake sasa utakifika kikomo hv karibuni.Kikwete ni DHAIFU AKILI NA MWILI PIA!!!! huo ndo ukweli japo MADHAIFU wenzake hawataki tu kuukubali japo ukweli wanaujua!

  • #85
    NIMO's Avatar
    Member Array
    Join Date : 12th January 2011
    Posts : 35
    Rep Power : 431
    Likes Received
    3
    Likes Given
    33

    Default Re: Awamu ya tatu ya mgomo wa madaktari 23 June, 2012

    Naunga mkono hoja ya mgomo wa madakatari maana serikali hii dhaifu inayataka yote haya, haiwezi kutenda mpaka watu walazimishe na hili watasema madaktari ni CDM.

  • RukaaJuu Final

  • Uda
    #86
    Uda's Avatar
    JF Senior Expert Member Array
    Join Date : 27th November 2010
    Posts : 435
    Rep Power : 1818
    Likes Received
    215
    Likes Given
    14

    Default

    Quote By Negotiator
    Mzee mwanakijiji hapo naona kuna technical success or failure ya timing ya mgomo wa madaktari. serikali yaweza kujitetea kua madai yao yatazingatiwa katika bajeti itakayosomwa hivi karibuni. Ikumbukwe kua mama Sitta alishaikataa bajeti ya waziri wa afya hivyo kumlazimu waziri kwenda kuifanyia marekebisho ili kukidhi hoja za madai ya madaktari. Hii itasababisha mgomo ukose nguvu katika hatua za awali. Kwa upande mwingine inaweza kua ni technical approach ya kuilazimisha serikali kuzingatia madai yao kwenye bajeti tunayoisubiria. Time will tell!
    mbona kamati ya mama sitta imeshapitisha hiyo bajeti,ccm wasanii sana.

  • #87
    Nyakageni's Avatar
    JF Senior Expert Member Array
    Join Date : 1st February 2011
    Posts : 5,250
    Rep Power : 1542
    Likes Received
    769
    Likes Given
    52

    Default Re: Awamu ya tatu ya mgomo wa madaktari 23 June, 2012

    update please Jackbauer!

  • #88
    Cool Gentleman's Avatar
    JF Senior Expert Member Array
    Join Date : 10th June 2012
    Posts : 278
    Rep Power : 405
    Likes Received
    113
    Likes Given
    208

    Default Re: Awamu ya tatu ya mgomo wa madaktari 23 June, 2012

    Mmmh . . . Aiseee!!

  • #89
    Dawa ya Mjinga's Avatar
    Senior Member Array
    Join Date : 12th June 2009
    Location : Magubike
    Posts : 160
    Rep Power : 538
    Likes Received
    34
    Likes Given
    76

    Default Re: Awamu ya tatu ya mgomo wa madaktari 23 June, 2012

    [QUOTE=Jackbauer;4084362]
    je iwapo mgomo wa tarehe tajwa utatokea ni nani alaumiwe kwa kushindwa kutatua mgogoro huu uliodumu kwa kipindi cha nusu mwaka sasa??



    "DHAIFU" ndiye alaumiwe!

  • #90
    Jackbauer's Avatar
    JF Senior Expert Member Array
    Join Date : 28th October 2010
    Location : CTU
    Posts : 4,873
    Rep Power : 1691
    Likes Received
    1348
    Likes Given
    277

    Default Re: Awamu ya tatu ya mgomo wa madaktari 23 June, 2012

    Quote By Nyakageni
    update please Jackbauer!
    endelea kufuatilia mkuu!!
    You may succeed in silencing me but that silence comes at a price-Alex litvinenko

  • #91
    Nyakageni's Avatar
    JF Senior Expert Member Array
    Join Date : 1st February 2011
    Posts : 5,250
    Rep Power : 1542
    Likes Received
    769
    Likes Given
    52

    Default

    Quote By Jackbauer
    endelea kufuatilia mkuu!!
    ok mkuu! My mind is all here.

  • #92
    IronBroom's Avatar
    JF Senior Expert Member Array
    Join Date : 12th June 2008
    Location : Huku
    Posts : 513
    Rep Power : 661
    Likes Received
    22
    Likes Given
    20

    Default Re: Awamu ya tatu ya mgomo wa madaktari 23 June, 2012

    Quote By Evarm
    Ngoja na walimu pia tuanze kugoma!
    Mgome mara ngapi?Matokeo ya mgomo wenu wa kimyakimya yameshaanza kuonekana....da-da-da-damn him dhaifu!

  • #93
    dosama's Avatar
    JF Senior Expert Member Array
    Join Date : 25th December 2010
    Posts : 736
    Rep Power : 573
    Likes Received
    296
    Likes Given
    1

    Default Madaktari waamua kuanza kugoma baada ya siku mbili serikali kwenda Mahakamani kupata suluhu

    Ni taarifa toka kwa Waziri wa Afya Hussein Mwinyi:

    Mambo watakayo watekelezea ni

    Kadi ya Green Card

    Posho toka 10,000- 15,000

    Uchunguzi wa maiti toka 50,000 - 100,000

    Ila habari za mshahara serikali imekiri kushindwa haiwezi kuwalipa 3,500,000
    Last edited by dosama; 21st June 2012 at 10:36.

  • #94
    Ndekirhepva's Avatar
    JF Senior Expert Member Array
    Join Date : 18th May 2012
    Location : Lubumbash
    Posts : 304
    Rep Power : 413
    Likes Received
    27
    Likes Given
    77

    Default Re: Awamu ya tatu ya mgomo wa madaktari 23 June, 2012

    ila hawa jamaa mi naona wajifunze tu manake kipindi kile waligoma wakaambiwa waungane na kuihusiha chadema kudai haki, waka anza kuuma vidole, sasa yamewakuta, sijui watawarudia?????????

  • #95
    Return Of Undertaker's Avatar
    JF Senior Expert Member Array
    Join Date : 12th June 2012
    Posts : 662
    Rep Power : 542
    Likes Received
    463
    Likes Given
    0

    Default Re: Madaktari waamua kuanza kugoma baada ya siku mbili serikali kwenda Mahakamani

    Na wagome tu wabunge na mawaziri wao wanajiona ndo wanastahiri kulipwa vizuri kuliko wengine

  • Uda
    #96
    Uda's Avatar
    JF Senior Expert Member Array
    Join Date : 27th November 2010
    Posts : 435
    Rep Power : 1818
    Likes Received
    215
    Likes Given
    14

    Default Re: Awamu ya tatu ya mgomo wa madaktari 23 June, 2012

    abuja declaration kuhusu bajeti za serikali ikitaka kufikia 2015 bajeti ya serikali 15% iende kwenye uboreshai wa huduma za afya.sasa kama watanzania tujiulize je lengo hili litafikiwa lini?
    Ukiangalia mpango wa maendeleo wa miaka mitano afya haijawekwa kwenye kipao mbele hivyo ni wazi serikali imepuuzia azimio la abuja,hili liko wazi kabisa katika bajeti ya mwaka huu.
    Kwa hiyo ni haki kabisa kwa madaktari kugoma ili kushinikiza azimio la abuja.
    Isitoshe serikali iliahidi kutatua swala la mgomo wa madaktari sasa iweje leo hii tuendelee kuwa na mgomo?
    Naungana na mnyika kuwa 'udhaifu' wa jk ni chanzo cha matatizo nchini.

  • Uda
    #97
    Uda's Avatar
    JF Senior Expert Member Array
    Join Date : 27th November 2010
    Posts : 435
    Rep Power : 1818
    Likes Received
    215
    Likes Given
    14

    Default

    Quote By Ndekirhepva
    ila hawa jamaa mi naona wajifunze tu manake kipindi kile waligoma wakaambiwa waungane na kuihusiha chadema kudai haki, waka anza kuuma vidole, sasa yamewakuta, sijui watawarudia?????????
    no politics!

  • #98
    Andy1's Avatar
    Member Array
    Join Date : 6th June 2011
    Posts : 65
    Rep Power : 416
    Likes Received
    7
    Likes Given
    1

    Default

    Mwinyi kabariki mgomo wa madr, kupeleka swala tume ya usuluhishi ili hatua za sheria zifuatwe ikiwamo mahakama ya kazi

  • #99
    Ta Kamugisha's Avatar
    JF Senior Expert Member Array
    Join Date : 17th May 2011
    Posts : 1,043
    Rep Power : 3608
    Likes Received
    268
    Likes Given
    23

    Default Re: Madaktari waamua kuanza kugoma baada ya siku mbili serikali kwenda Mahakamani

    nimesiki kuanzia july mshahara wa mbunge utakuwa 10 mil per month, hapo imekaaje?

  • #100
    dosama's Avatar
    JF Senior Expert Member Array
    Join Date : 25th December 2010
    Posts : 736
    Rep Power : 573
    Likes Received
    296
    Likes Given
    1

    Default

    Quote By Ta Kamugisha
    nimesiki kuanzia july mshahara wa mbunge utakuwa 10 mil per month, hapo imekaaje?
    Ndo lengo lao eti ufanane na wajumuiya ya Afrika Mashariki

  • Page 5 of 9 FirstFirst ... 34567 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...