Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Kuna haja ya kuvifuta vyote viwili, CHADEMA na CCM

    Report Post
    Page 2 of 2 FirstFirst 12
    Results 21 to 33 of 33
    1. #1
      Sangarara's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th September 2011
      Posts : 3,306
      Rep Power : 1198
      Likes Received
      1182
      Likes Given
      1557

      Default Kuna haja ya kuvifuta vyote viwili, CHADEMA na CCM

      Upepo wa Kisiasa unaashiria kwamba huko tunakokwenda hali inaweza ikawa tete kiasi cha kukosekana mtu wala taasisi yoyote ya kuirudisha kwenye hali ya kawaida.

      Ushindani wa vyama hivi viwili naona kama umeingia kwenye stage ingine kabisa, kiasi kwamba hata wakati wa kujadili mambo ya msingi kabisa ya Kitaifa mambo yanabadirika na kuegemea kwenye hoja za kisiasa zaidi zenye nia ya ama kubomoa chama kingine au kujijenga.

      Mfano ni mchakato wa Katiba ambao kuanzia Bungeni, ghafla ulichukua taswira ya ushindani wa kisiasa, na sasa wakati watanzania tunategemea wabunge wetu wajadiliane na hatimaye mwisho wa siku wakubaliane kwenye mambo ambayo yana maslahi kwa watanzania, ghafla pia mjadala umeamia kwenye ushindani wa hoja za kisiasa ambazo hivi sasa matusi na moja ya kiungo chake muhimu sana.

      Nikikumbuka mauhaji yaliyojitokeza kwenye uchaguzi mdogo wa ulambo na arumeru mashariki, na namna Rais Kikwete a.k.a Mdhaifu anavyoendelea kushindwa kukabiliana na chagamoto za Muungano kutokea kisiwani Unguja akibuy time kwa sababu za kisiasa, naishiwa kabisa uwezo wa kuona uendelevu wa amani na utulivu katika taifa letu ndani ya kipindi kifupi kijacho.

      Mimi kwa nia njema kabisa, naonelea kwamba, ili tuweze kuwa na Bunge lenye kusimamia Maslahi ya Watanzania na kuwarudisha watanzania katika hali ya kuendesha siasa za kuvumiliana kuna haja ya hivi vyama viwili vifutwe sababu naamini kwamba nguvu ya mabadiriko yanayohitajika iko mioyoni mwa watanzania ama sivyo muda si mrefu tutajikuta tunachepuka kutoka kwenye hoja ya kupigania ustawi wa jamii yetu na kuanza kupigania vyama.
      MAMA POROJO and solokondo like this.

    2. Miaka 50

    3. #21
      Sangarara's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th September 2011
      Posts : 3,306
      Rep Power : 1198
      Likes Received
      1182
      Likes Given
      1557

      Default Re: Kuna haja ya kuvifuta vyote viwili, CHADEMA na CCM

      Quote By sawabho
      Kwa kuwa Baba na Mama ndio wenye familia hiyo, ni ruksa agenda zao za siri kuendesha familia yao, lakini haziwezi kutumika kuendesha familia nyingine kama vile ambavyo agenda za CHADEMA haziwezi kuendesha CCM na kinyume chake. Aidha, kama unaelewa ni kwa makusudi gani vyama vya upinzani vilianzishwa, huwezi kupendekeza kuwa vifutwe. Kumbuka vyama hivi vilianzishwa ili kukikosoa chama tawala chochote kiwacho na kutoa changamoto ili kiweze kuongoza vizuri kwa sababu kitakuwa na hofu kuwa kama kikifanya vibaya kitanyang'anywa madaraka. Kwa hiyo waliasisi mfumo wa vyama vingi walifahamu kuwa kutakuwepo na mitafaruku katika mfumo huu, na hiyo mitafaruku ndiyo chachu ya kujirekebisha na kuleta maendeleo. ZINGATIA WAJIBU WA VYAMA VYA UPINZANI.
      Out of point.

    4. #22
      Kichuguu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th October 2006
      Location : Popote Porini
      Posts : 6,836
      Rep Power : 3271
      Likes Received
      1314
      Likes Given
      916

      Default Re: Kuna haja ya kuvifuta vyote viwili, CHADEMA na CCM

      Yale ya Zimbabwe; CCM ikielemewa mnasema ama tushirikiane (ili sote tuwe madarakani) au tufute vyama vyote (ili sote tukose madaraka) kuliko nikose mimi ati wewe ushike madaraka
      Kichuguuu: Nyumba inayohifadhi mchwa na nguchiro kwa pamoja bila mkwaruzo

    5. #23
      SAGANKA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th June 2012
      Posts : 272
      Rep Power : 241
      Likes Received
      187
      Likes Given
      32

      Default Re: Kuna haja ya kuvifuta vyote viwili, CHADEMA na CCM

      Quote By Sangarara
      Unakumbuka lakini kwamba, mfumo wa kuendesha nchi kwa miongozo ya vyama vya siasa ni mfumo mgeni sana hapa kwetu, of course ulianza baada ya kupata uhuru. unataka kusema kwamba jamii zote zilizokuwapo huko nyuma zilijiendesha vipi? akili zako zimefikia mwisho wa kufikiria kwa ufahamu kwamba mfumo wa vyama vingi unaleta changamoto kwa chama tawala sio? unajua kwamba record nzuri ya uongozi wa taifa hili tunayompa baba wa Taifa inatokana na kuongoza Taifa hili chini ya mfumo wa Chama Kimoja? think out of the box.
      Nimeshindwa kukuelewa,tatizo lako ni ccm na cdm au tatizo ni vyama vingi.Maana ukitamka vyama vingi kwetu hapa haimaanishi ccm na cdm,na kama ni kufuta ccm na cdm unashauri wabakize vyama gani. Na kama unataka serikali ya chama kimoja,ni kipi ulichochagua.Na pengine twende na mifano,na nchi gani ulishawahi kuona chama tawala kimefutwa au unataka tujadili ***** hapa.

    6. #24
      Midavudavu's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 23rd January 2012
      Posts : 199
      Rep Power : 409
      Likes Received
      38
      Likes Given
      0

      Default Re: Kuna haja ya kuvifuta vyote viwili, CHADEMA na CCM

      Vyama vinaletwa na wenye nchi. Ukitaka kuvifuta kwanza anza kufuta wenye nchi, upo hapo? maoni yako haya ni dhaifu sana na ni ya kubomoa wala si kujenga.

    7. #25
      Communist's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st June 2012
      Location : Ubungo
      Posts : 2,726
      Rep Power : 2266
      Likes Received
      601
      Likes Given
      783

      Default Re: Kuna haja ya kuvifuta vyote viwili, CHADEMA na CCM

      Futa hicho cha kwako CCM kwanza, halafu tutakaa kama people power kukupa jibu.
      Simple life is healthier than egoism.

    8. FemaTV & Radio

    9. #26
      Sangarara's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th September 2011
      Posts : 3,306
      Rep Power : 1198
      Likes Received
      1182
      Likes Given
      1557

      Default Re: Kuna haja ya kuvifuta vyote viwili, CHADEMA na CCM

      Quote By SAGANKA
      Nimeshindwa kukuelewa,tatizo lako ni ccm na cdm au tatizo ni vyama vingi.Maana ukitamka vyama vingi kwetu hapa haimaanishi ccm na cdm,na kama ni kufuta ccm na cdm unashauri wabakize vyama gani. Na kama unataka serikali ya chama kimoja,ni kipi ulichochagua.Na pengine twende na mifano,na nchi gani ulishawahi kuona chama tawala kimefutwa au unataka tujadili ***** hapa.
      Hakuna kitu kinachoshindikana
      Mimi naona upinzani wa CHADEMA na CCM unakoelekea si pa kutusaidia watanzania, vimekuwa overly competetive kiasi kwamba vinatoka kabisa nje ya msingi wa uwapo wao (ustawi wa Jamii), ukiangalia namna vilivyokuwa na wanachama wengi na namna wananchi ambao hapo nyuma hawakuwahi kuwa na interest za ushiriki wa siasa wanavyohamasika kushiriki siasa hizi unakuja kukuta kwamba nchi nzima inasimama. Kama sasa, nchi nzima imesimama inasubiri uchaguzi wa mwaka 2015. Who knows, 2015 inaweza kufika na tukaendelea kusimama tukisubiri 2020, why.

      Namna wananchi wanavyoshiriki kwenye siasa sasa ni ngumu kutofautisha na ushabiki wa mpira kinzani kati ya simba na yanga ambao wamefikia hatua ya kujiita watani wa jadi huku wakisababisha sekta nzima ya mpira wa miguu nchini kudumaa, CCM na CHADEMA nao recently nimeanza kuwasikia wanajiita watani wa jadi!! unaona tatizo hilo.

      Ikiwezekana, Jeshi liingilie kati.

    10. #27
      sawabho's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th February 2011
      Location : Miyakojima
      Posts : 1,792
      Rep Power : 775
      Likes Received
      416
      Likes Given
      121

      Default Re: Kuna haja ya kuvifuta vyote viwili, CHADEMA na CCM

      Quote By Sangarara
      Out of point.
      Your thinking, analysis and reasoning capacity has been disrupted by your stand point. Get it recharged !!!
      INAWEZEKANA, TIMIZA WAJIBU WAKO

    11. #28
      Ronal Reagan's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th November 2010
      Posts : 2,627
      Rep Power : 958
      Likes Received
      615
      Likes Given
      256

      Default Re: Kuna haja ya kuvifuta vyote viwili, CHADEMA na CCM

      Umeamua kuwa mjinga makusudi kwa kutoonesha tofauti kati ya giza na nuru. Can you ever dare to equate CCM (giza) and CHADEMA (nuru)?

      If anything bw. Sangara, you better withdraw this 3d

    12. RMA
      #29
      RMA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th October 2010
      Posts : 410
      Rep Power : 519
      Likes Received
      87
      Likes Given
      0

      Default Re: Kuna haja ya kuvifuta vyote viwili, CHADEMA na CCM

      Tupo hapa tulipo kwa sababu ya UDHAIFU wa Rais Kikwete, Bunge legelege na upuuzi wa CCM- J J Mnyika - Mbunge - Ubungo

    13. #30
      JingalaFalsafa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th April 2012
      Location : Africa.
      Posts : 336
      Rep Power : 425
      Likes Received
      211
      Likes Given
      80

      Default

      Quote By RMA
      Tupo hapa tulipo kwa sababu ya UDHAIFU wa Rais Kikwete, Bunge legelege na upuuzi wa CCM- J J Mnyika - Mbunge - Ubungo
      Mawazo finyu kutoka kichwa dhaifu katika kufikiri, aidha kwa ujinga wake mwenyewe ama kutengenezwa kuwa mjinga! Mfumo mbovu ndio uliomsimika Kikwete dhaifu madarakani, lakini naye mwenyewe ni mbovu kwani yumo ndani ya mfumo huo mbovu! Hivi kwanini tusijiulize, miaka zaidi ya 50 nchi zetu Afrika ziko huru, ni nchi gani imepata maendele chini ya demokrasia? Hakuna hata moja, sasa kwanini tusitangaze kushindwa kwa mfumo huu na kubuni mwingine? Cuf, ccm, chadema, nccr, tlp, udp,nk. vyote ni zao la mfumo mbovu, nan ni wabovu, HAWATUFAI!
      Kwanin tunafikiri kuwa demokrasia ni kupiga kura tu? Demokrasia ni pamoja na unequal exchange, exploitative foreign investiment, privatization, na uovu mwingine kama huo! Chama gani Tanzania chenye kuweza kukusanya mtaji na teknolojia ya kukwepa hayo yote! PUMBAVU! Kwanini tuendelee kujidanganya! Adui yetu sio ccm na chadema tu, ni demokrasia. "MFUMO MBOVU WA SIASA, NI ZAO LA UOZO WOTE KATIKA TAIFA LOLOTE"
      UBUNIFU HAUJAWAI KUFIKA MWISHO, TUNAYO NAFASI.
      Mungu wetu anaita!

    14. #31
      Jumakidogo's Avatar
      R I P Array
      Join Date : 16th July 2009
      Location : DOM & DAR
      Posts : 1,868
      Rep Power : 1176
      Likes Received
      390
      Likes Given
      42

      Default

      Quote By JingalaFalsafa
      Mawazo finyu kutoka kichwa dhaifu katika kufikiri, aidha kwa ujinga wake mwenyewe ama kutengenezwa kuwa mjinga! Mfumo mbovu ndio uliomsimika Kikwete dhaifu madarakani, lakini naye mwenyewe ni mbovu kwani yumo ndani ya mfumo huo mbovu! Hivi kwanini tusijiulize, miaka zaidi ya 50 nchi zetu Afrika ziko huru, ni nchi gani imepata maendele chini ya demokrasia? Hakuna hata moja, sasa kwanini tusitangaze kushindwa kwa mfumo huu na kubuni mwingine? Cuf, ccm, chadema, nccr, tlp, udp,nk. vyote ni zao la mfumo mbovu, nan ni wabovu, HAWATUFAI!
      Kwanin tunafikiri kuwa demokrasia ni kupiga kura tu? Demokrasia ni pamoja na unequal exchange, exploitative foreign investiment, privatization, na uovu mwingine kama huo! Chama gani Tanzania chenye kuweza kukusanya mtaji na teknolojia ya kukwepa hayo yote! PUMBAVU! Kwanini tuendelee kujidanganya! Adui yetu sio ccm na chadema tu, ni demokrasia. "MFUMO MBOVU WA SIASA, NI ZAO LA UOZO WOTE KATIKA TAIFA LOLOTE"
      UBUNIFU HAUJAWAI KUFIKA MWISHO, TUNAYO NAFASI.
      Mungu wetu anaita!
      Safii! Nakusapoti kwa mikono na mimguu. Ulichosema ndicho kilichopo. Ila saidie ndugu, kipande hicho cha sentesi hapo mwisho kinachosema 'Mungu wetu anaita maana yake nini?

    15. #32
      JingalaFalsafa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th April 2012
      Location : Africa.
      Posts : 336
      Rep Power : 425
      Likes Received
      211
      Likes Given
      80

      Default

      Quote By Jumakidogo
      Safii! Nakusapoti kwa mikono na mimguu. Ulichosema ndicho kilichopo. Ila saidie ndugu, kipande hicho cha sentesi hapo mwisho kinachosema 'Mungu wetu anaita maana yake nini?
      Tupa kule hisia zako, imani zako, mazoea yako, uzoefu wako, hulka zako, falsafa zako na itikadi zako....simika misingi mipya au pima ile uliyoitupa katika mzani wa MANTIKI YA UTU! Utakuwa umeisikia SAUTI YA MUNGU ALIYE HAI...ikikuita kuipigania mantiki hiyo. MANTIKI ya UTU i nafsini mwa kila mtu, kutoiishi ni sawa na kujisaliti na kujinafiki mwenyewe, umejikataa tayari kabla hujakataliwa. Mantiki hii haimo katika chochote tukionacho duniani leo, si siasa, si dini, si uchumi, si tamaduni, lakini inapaswa kuwemo humo, itakaposimikwa humo tutasema "MAISHA NI FURAHA, lakini kwa sasa haipo, basi MAISHA NI UPUUZI NA KILA KITU CHAKE" Mimi na wewe, tukiamua tunaweza, nguvu yetu ni UMOJA na KUTHUBUTU.
      Mungu wetu anaita sasa!

    16. #33
      Ukwaju's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 19th October 2010
      Location : Dodoma
      Posts : 3,429
      Rep Power : 1121
      Likes Received
      634
      Likes Given
      825

      Default Re: Kuna haja ya kuvifuta vyote viwili, CHADEMA na CCM

      Hawa watu bora wachapane mangumi humo Ukumbini watashikana adabu maana wanataka kuikataa Bajeti na madhara yake hawaijui kuwa ni kulivunja Bunge na kurudia Uchaguzi au mpaka Urais hapo nuu JK kuongezewa muda au Geshi la Urinzi

    Page 2 of 2 FirstFirst 12

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...