Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: JOHN MNYIKA: Msimamo wangu wa sasa juu ya Kauli yangu bungeni!

    Report Post
    Page 4 of 29 FirstFirst ... 2345614 ... LastLast
    Results 61 to 80 of 561
    1. #1
      Kiganyi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th April 2012
      Posts : 1,162
      Rep Power : 983
      Likes Received
      708
      Likes Given
      400

      Default JOHN MNYIKA: Msimamo wangu wa sasa juu ya Kauli yangu bungeni!

      Nitatoa tamko la kina baadae kuhusu kilichotokea lakini kwa ufupi ubovu wa bajeti hii ni matokeo ya udhaifu wa Rais Kikwete, yeye ndiye aliyesaini Mpango wa Taifa wa miaka mitano kama Kiongozi Mkuu wa Nchi tena kwa wino mwekundu kama Amiri Jeshi Mkuu.

      Na yeye ndiye Mwenyekiti wa baraza la mawaziri, bajeti hii iliyoacha kuzingatia mpango wa Taifa imepita kwenye baraza alilloliongoza, pia kushindwa kutekelezwa kwa bajeti iliyopita ni matokeo pia ya udhaifu wa taasisi ya Urais.

      Pia kwa mujibu wa Katiba Rais ndiye ambaye anapeleka bajeti bungeni, Waziri mwenye dhamana anapeleka tu kwa niaba.

      Rais amepewa mamlaka makubwa juu ya bajeti ibara ya 99 imeweka mipaka kuhusu mambo ambayo bunge lina mamlaka nayo huku ibara ya 90 inasema bunge likikataa bajeti rais ana mamlaka ya kuvunja bunge.

      Hivyo Rais Kikwete anapaswa kuagiza Waziri wa Fedha bajeti iondolewe irudi kwenye baraza la mawaziri ikafanyiwe marekebisho!

      John Mnyika
      19 Juni 2012
      Kichuguu, BAK, Hofstede and 42 others like this.

    2. Miaka 50

    3. #61
      Las Mas Bobos's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th June 2012
      Posts : 907
      Rep Power : 530
      Likes Received
      295
      Likes Given
      84

      Default Re: JOHN MNYIKA: Msimamo wangu wa sasa juu ya Kauli yangu bungeni!

      Quote By Hofstede
      Sidhani kama mtu anayeropoka hurudia mara mbili kwa msisitizo. Mnyika alikuwa anajua anachokifanya na Lukuvi na Ndugai wanalijua hilo na ndiyo maana wakaamua kumkatiza asiendelee kuwamwagia sumu. Kama Ndugai hakumpa nafasi ya kutoa maana ya kumwita Rais dhaifu ulitaka atolee wapi? ni dhairi atafanya hivyo nje ya bunge.

      Nafikiri Ndugai ndiyo alikurupuka na sasa ataonekana yeye ndio dhaifu kuliko hata huyo rais anayemtetea. Tukianza kuwekeana mipaka ya nini kiongelewe tutakuwa na wabunge mazuzu wengi zaidi ya wale wa CCM ambao tayari ni loss kwa taifa.
      Pamoja sana mkuu. Kama kuna mtu anadhani haya maneno huwa yanaropokwa, naomba akamkumbushe Spika kuhusu ule ushahidi wa Godbless Lema kuhusu kauli yake kuwa PM ni MUONGO. Mbona hawataki kuusikia mpk leo?

      Kama Mnyika anao ushahidi kuwa Rais ni legelege na alitakiwa apewe nafasi ya kuelezea na sio kumwambia afute kauli, utafuta vipi UKWELI!
      By the time a man comes to realize that his father was right, he usually has a son who think he is wrong.

    4. #62
      Najijua's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th November 2010
      Location : Morogoro - Tanzania
      Posts : 895
      Rep Power : 589
      Likes Received
      124
      Likes Given
      39

      Default Re: JOHN MNYIKA: Msimamo wangu wa sasa juu ya Kauli yangu bungeni!

      Watu makini hutaka muda wa kutafakarim kabla ya kutoa matamko, good move Mnyika
      Ruhazwe JR likes this.
      "Be the Window through which many young will see their future"

    5. #63
      jogi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th September 2010
      Posts : 3,983
      Rep Power : 1212
      Likes Received
      969
      Likes Given
      247

      Default

      Quote By MAMA POROJO
      Kuja kutoa ufafanuzi nje ya mbunge haisaidii Mnyika angekiokoa chama chake kwa kutoa maneno ambayo yamepelekea adhabu
      jiandaeni kugawa sanda, wananchi tumemuelewa jm, tunamuunga mkono na ni kweli jk ni dhifu kiafya mpaka kiakili. Ushahidi upo wazi.
      Ruhazwe JR likes this.

    6. #64
      MAMA POROJO's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd November 2007
      Posts : 4,858
      Rep Power : 1843
      Likes Received
      590
      Likes Given
      413

      Default Re: JOHN MNYIKA: Msimamo wangu wa sasa juu ya Kauli yangu bungeni!

      Quote By Kiganyi
      Wewe PIMBI unafahamu namna ya kukopi tweet za watu au mnakopi tweet za ma coward wa magamba wanaolalamika kwa zito na kudha ni za zitto hebu cheki hii....

      Zitto Zuberi Kabwe ‏@zittokabwe
      Wanaomlaumu Mnyika hawakupata fursa kusikiliza alikuwa anasema nini? Rais anaruhusu vipi mpango wa maendeleo aliousaini ukiukwe?
      Tatizo sio kukiukwa kwa mpango wa maendeleo ni neno Rais dhaifu yalimtoa nje na maneno mawili au moja nimesahau

    7. #65
      Cable's Avatar
      Member Array
      Join Date : 20th April 2012
      Posts : 25
      Rep Power : 362
      Likes Received
      4
      Likes Given
      1

      Default Re: JOHN MNYIKA: Msimamo wangu wa sasa juu ya Kauli yangu bungeni!

      twanga hii Link
      http://tunein.com/tuner/?StationId=158711&

      Arusha Mambo wanarudia bunge utasikia mambo ya Kamanda wetu Mnyika Alivyowapelekesha.
      Ruhazwe JR likes this.

    8. FemaTV & Radio

    9. #66
      Safari_ni_Safari's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th October 2007
      Location : Kibaruani
      Posts : 11,914
      Rep Power : 24137
      Likes Received
      4640
      Likes Given
      2628

      Default Re: JOHN MNYIKA: Msimamo wangu wa sasa juu ya Kauli yangu bungeni!

      Quote By MAMA POROJO
      kuna wananchi ambao anawawakilisha au anawasemea au ambao alitaka wamsikie
      Amabao hawajui na hawana taarifa na udhaifu wa Rais Kikwete?
      kakini likes this.

      Soki Ozali Mwasi Yaka, Soki Ozali Mobali Koya Te


    10. #67
      georgeallen's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd June 2011
      Location : Seattle, WA, USA
      Posts : 2,051
      Rep Power : 0
      Likes Received
      516
      Likes Given
      259

      Default Re: JOHN MNYIKA: Msimamo wangu wa sasa juu ya Kauli yangu bungeni!

      Silly season in action?

    11. #68
      Ndallo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st October 2010
      Location : LaRusa
      Posts : 4,103
      Rep Power : 6358
      Likes Received
      1454
      Likes Given
      407

      Default Re: JOHN MNYIKA: Msimamo wangu wa sasa juu ya Kauli yangu bungeni!

      Hivi ni lini CCM na wafuasi wake watakuja kukubali kauli na michango ya wapinzani?
      Ruhazwe JR likes this.
      '' Mtu ni Utu sio Kitu''

    12. #69
      Gwalihenzi's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 21st October 2011
      Posts : 2,379
      Rep Power : 0
      Likes Received
      615
      Likes Given
      377

      Default Re: JOHN MNYIKA: Msimamo wangu wa sasa juu ya Kauli yangu bungeni!

      Quote By MAMA POROJO
      Kuja kutoa ufafanuzi nje ya mbunge haisaidii Mnyika angekiokoa chama chake kwa kutoa maneno ambayo yamepelekea adhabu
      Hakuwa na sababu yoyote ya kufuta kauri yake ambayo ndio ukweli halisi. Nampongeza sana Mnyika, kwani ameisimamia kauri anayoiamini. Bravo kamanda.
      Ruhazwe JR likes this.

    13. #70
      kakini's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 31st March 2011
      Posts : 198
      Rep Power : 451
      Likes Received
      32
      Likes Given
      59

      Default Re: JOHN MNYIKA: Msimamo wangu wa sasa juu ya Kauli yangu bungeni!

      Quote By majebere
      Ameshaanza kujitetea, hii ndio faida ya kuropoka. Sasa woga wa nini wakati umesha chafua hali ya hewa?
      kuogopa nini????


      yani aogope upuuzi wa CCM????? Chama cha mazuzu??? chenye mtaji wa watu wasiojielewa????
      Ruhazwe JR likes this.

    14. #71
      Azipa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th March 2012
      Posts : 933
      Rep Power : 548
      Likes Received
      226
      Likes Given
      1

      Default

      Quote By majebere
      Ameshaanza kujitetea, hii ndio faida ya kuropoka. Sasa woga wa nini wakati umesha chafua hali ya hewa?
      Ametoa ufafanuzi wa kauli yake

    15. #72
      Mtumishi Wetu's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 12th October 2010
      Location : Arusha
      Posts : 2,839
      Rep Power : 3543
      Likes Received
      536
      Likes Given
      5146

      Default Re: JOHN MNYIKA: Msimamo wangu wa sasa juu ya Kauli yangu bungeni!

      Quote By Sangarara
      Lakini Mnyika si mnajua namna nyie CHADEMA mnavyochangia kwenye udhaifu wa Rais wetu? au mnajitoa akili, nyie ndio chanzo cha matatizo yote haya.
      Kwani Mkuu CHADEMA wamekwapua fedha za EPA, wamekula rushwa ya radar, wameuza migodi ya dhahabu, wamaedidimiza uchumi wa nchi yetu kifisadi au kivipi??????

      Ruhazwe JR likes this.

    16. #73
      hetu's Avatar
      Member Array
      Join Date : 21st June 2010
      Posts : 70
      Rep Power : 402
      Likes Received
      11
      Likes Given
      14

      Default Re: JOHN MNYIKA: Msimamo wangu wa sasa juu ya Kauli yangu bungeni!

      Quote By MAMA POROJO
      Kanuni za bunge ziko wazi kama wabunge wanataka mabadiliko ni bora wakaanza na kanuni badala ya kumlaumu spika ambaye amesoma kifungu cha adhabu ambacho kiko wazi.

      Inawezekana itikadi za CCM na chadema zikatupeleka kwenye malumbano lakini ukweli uko wazi Mnyika alikuwa na nafasi moja tu ya haraka ya kuondoa maneno yake ili kifungu cha 64 (b) cha kanuni za bunge kisimwangukie.

      utarekebishaje hizo kanuni na idadi ile ya magamba isiyoelewa nini maana ya utaifa imejaza nafasi bungeni. Hoja ya marekebisho ya kanuni itapitia wapi bila kupingwa kwa ushabiki wa magamba?

    17. #74
      Kigogo's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 14th December 2007
      Location : Calabash
      Posts : 8,194
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1232
      Likes Given
      313

      Default Re: JOHN MNYIKA: Msimamo wangu wa sasa juu ya Kauli yangu bungeni!

      Quote By MAFILILI
      kama jadi yako ni matusi, hautaacha kutumia akili yako vibaya
      MAFILIFILI nakuheshimu nitaka radhi....ngoja niombe muongozo kwa MODs

    18. #75
      Jason bourne's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd July 2011
      Posts : 1,385
      Rep Power : 1387
      Likes Received
      610
      Likes Given
      19

      Default JOHN MNYIKA: Msimamo wangu wa sasa juu ya Kauli yangu bungeni!

      Nitatoa tamko la kina baadae kuhusu kilichotokea lakini kwa ufupi ubovu wa bajeti hii ni matokeo ya udhaifu wa Rais Kikwete, yeye ndiye aliyesaini Mpango wa Taifa wa miaka mitano kama Kiongozi Mkuu wa Nchi tena kwa wino mwekundu kama Amiri Jeshi Mkuu. Na yeye ndiye Mwenyekiti wa baraza la mawaziri, bajeti hii iliyoacha kuzingatia mpango wa Taifa imepita kwenye baraza alilloliongoza, pia kushindwa kutekelezwa kwa bajeti iliyopita ni matokeo pia ya udhaifu wa taasisi ya Urais.

      *

      Pia kwa mujibu wa Katiba Rais ndiye ambaye anapeleka bajeti bungeni, Waziri mwenye dhamana anapeleka tu kwa niaba. Rais amepewa mamlaka makubwa juu ya bajeti ibara ya 99 imeweka mipaka kuhusu mambo ambayo bunge lina mamlaka nayo huku ibara ya 90 inasema bunge likikataa bajeti rais ana mamlaka ya kuvunja bunge. Hivyo Rais Kikwete anapaswa kuagiza Waziri wa Fedha bajeti iondolewe irudi kwenye baraza la mawaziri ikafanyiwe marekebisho!



      John Mnyika
      19 Juni 2012

    19. #76
      brazilian's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th February 2012
      Posts : 609
      Rep Power : 1358
      Likes Received
      101
      Likes Given
      5

      Default Re: JOHN MNYIKA: Msimamo wangu wa sasa juu ya Kauli yangu bungeni!

      Quote By majebere
      Ameshaanza kujitetea, hii ndio faida ya kuropoka. Sasa woga wa nini wakati umesha chafua hali ya hewa?

      Wewe ndio mropokaji
      Ruhazwe JR likes this.

    20. #77
      hodogo's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 11th March 2012
      Posts : 235
      Rep Power : 410
      Likes Received
      90
      Likes Given
      59

      Default Re: JOHN MNYIKA: Msimamo wangu wa sasa juu ya Kauli yangu bungeni!

      Quote By majebere
      Ameshaanza kujitetea, hii ndio faida ya kuropoka. Sasa woga wa nini wakati umesha chafua hali ya hewa?
      Usiwe kama vuvuzela unaimba kwa nguvu za anayekupuliza! Information is power! Wengi hatukujua kilijiri nini pale, kwa hiyo ufafanuzi ulihitajika! Nakupongeza mheshimiwa kwa kutoa ufafanuzi wa hoja yako. Mnyika ni Mpambanaji, na sijawahi kusikia Bondia mpambanaji akiogopa ngumi!
      Mtumishi Wetu and Ruhazwe JR like this.

    21. #78
      Remmy's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th June 2009
      Location : home
      Posts : 4,342
      Rep Power : 7767
      Likes Received
      1545
      Likes Given
      1793

      Default Re: JOHN MNYIKA: Msimamo wangu wa sasa juu ya Kauli yangu bungeni!

      Go go go Mnyika!
      Ruhazwe JR likes this.

    22. FJM
      #79
      FJM's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 7,168
      Rep Power : 2567
      Likes Received
      5318
      Likes Given
      4585

      Default Re: JOHN MNYIKA: Msimamo wangu wa sasa juu ya Kauli yangu bungeni!

      Kilichotokea leo bungeni kimefunua udhaifu mkubwa kwenye governance system ya Tanzania. Tuna mfumo wa kifalme ambao umetupa wanasiasa wanaodeka-deka kama watoto wa wadogo. Wabunge wako 'too sensitive' kwa mambo ambayo ni wazi tena mambo madogo kabisa. Na cha kushangaza kuna kanuni za kulea huu mfumo wa kudeka-deka!

      Naibu Spika kasoma/Lukuvi wamesoma vifungu vinavyomfunga Mnyika kumuita rais kuwa ni dhaifu. Lakini bila hata ya kuacha amalizie kueleza alimaanisha nini hasa tayari hukumu imetolewa. Hivi mtu akisema wewe ni dhaifu hilo ni tusi? Kwa nini wasitoe hoja inayoonesha kuwa rais ni mtu makini?

      Lakini kama ni kanuni ningetaka kujua Lukuvi na Naibu Spika walikuwa wapi siku ile Lowassa aliposema bungeni kuwa serikali imeshindwa kufanya maamuzi magumu? Nini maana ya hayo madai na yana tofauti gani na kauli ya Mnyika?

      Mwisho, wabunge wa CHADEMA wamewazunguka wenzao wa CCM. Mara ya bajeti kusomwa tulisikia baadhi ya wabunge wakiipinga vibaya sana na kusema wako tayari kwa lolote! Leo hii wametikiswa na CHADEMA na haraka haraka wameonesha their true colours kwa kuiunga mkono bajeti! Huu ndio unafiki na Mnyika yuko sahihi kusema bunge la kipuuzi.

    23. #80
      Seaman's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 19th January 2012
      Posts : 136
      Rep Power : 397
      Likes Received
      19
      Likes Given
      1

      Default Re: JOHN MNYIKA: Msimamo wangu wa sasa juu ya Kauli yangu bungeni!

      Hongera mnyika kwa kutetea wanyonge.....
      Mtumishi Wetu and Ruhazwe JR like this.

    Page 4 of 29 FirstFirst ... 2345614 ... LastLast

    User Tag List

    Tags for this Topic

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...