JOHN MNYIKA: Msimamo wangu wa sasa juu ya Kauli yangu bungeni!
Nitatoa tamko la kina baadae kuhusu kilichotokea lakini kwa ufupi ubovu wa bajeti hii ni matokeo ya udhaifu wa Rais Kikwete, yeye ndiye aliyesaini Mpango wa Taifa wa miaka mitano kama Kiongozi Mkuu wa Nchi tena kwa wino mwekundu kama Amiri Jeshi Mkuu.
Na yeye ndiye Mwenyekiti wa baraza la mawaziri, bajeti hii iliyoacha kuzingatia mpango wa Taifa imepita kwenye baraza alilloliongoza, pia kushindwa kutekelezwa kwa bajeti iliyopita ni matokeo pia ya udhaifu wa taasisi ya Urais.
Pia kwa mujibu wa Katiba Rais ndiye ambaye anapeleka bajeti bungeni, Waziri mwenye dhamana anapeleka tu kwa niaba.
Rais amepewa mamlaka makubwa juu ya bajeti ibara ya 99 imeweka mipaka kuhusu mambo ambayo bunge lina mamlaka nayo huku ibara ya 90 inasema bunge likikataa bajeti rais ana mamlaka ya kuvunja bunge.
Hivyo Rais Kikwete anapaswa kuagiza Waziri wa Fedha bajeti iondolewe irudi kwenye baraza la mawaziri ikafanyiwe marekebisho!
Mnasema mdhaifu kwa sababu ametoa uhuru wa kujieleza,
wakati wa awamu zilizopita kabla yake yote haya yalikuwa yanatokea nani alikuwa anaweza kuthubutu kunyanyua mdomo wake kuyaongea? Waliojitoa mhanga kuongea tulikuwa tukishuhudia kashkash walizozipata na wengine kupotelea kusikojulikana, naona ndio shukrani mnayo mpatia kwa kutoa uhuru mkubwa sana, sasa hivi kila mtu ni msemaji mkuu,hayakuwepo yote hayo huko nyuma otherwise jf ingekuwa imeshafungiwa zamani sana, pia magazeti tulikuwa tukiona yanafungiwa baada ya either kuandika vibaya kuhusu serikali au la, waswahili husema shukrani ya punda ni .........
Uhuru wa maoni ni haki ya kikatiba, jei kei hana la kujisifu hapo. Ila pia,suala la watu kue-xercise huo uhuru lazima lipatikane kwa njia moja ama nyingine,leo ama kesho..watu hawawezi kuvumilia shida milele. Ngoma ikilia sana hupasuka mjomba,umesahau???
Hata Hosni Mubarak alilazimika kuhakikisha uhuru wa maoni kwa wamisri mwaka jana...ukombozi ni suala la muda muafaka tu..muda wetu ni sasa.
Kumbe hata hiyo avantar yako inadhihirisha kuwa una rotten mind. Huoni aibu peke yako kujikomba kwa mtu kama JK ambaye ni janga la taifa? Unahitaji akili gani kuliona hilo? nakushauri uende mirembe mwenyewe ukapate afaya ya ubongo wako.
Chadema-Kata bana kwa hiyo wewe kujikomba kwa Mbowe ni sawa?
"Kuna kontena la futi 40 lilobeba karatasi za kupigia kura limekamatwa Tunduma" Dk W. Slaa
Kama Mnyika sio dhaifu waletee maji wakazi wa ubungo, Kimara Bonyokwa, Kimara Suka, Kimara Temboni, pamoja na barabara.
acha utoto , tayari wewe mtu mzima sasa,hujitambui , mnyika kafuatilia sana dawasa na dawasco na ndo kaibua mradi mkubwa wa maji ambao tayari pesa zake ziko tayari mradi utaanza kutekelezwa septmber mwaka huu utaanza kutekelezwa huo ndo utakuwa ufumbuzi
alete maji kwani yeye ni Mungu..? kama presida ni DHAIFU barabara zitatoka wapi..?? maendeleo kutokana na kodi zetu 0%? unadhani barabara inajengwa kwa kinyesi..??
Wewe hunajua kama Mnyika kapewa millioni 15 za mfuko jimbo kutoka bunge kamuulize kazifanyia nini hizo pesa.
"Kuna kontena la futi 40 lilobeba karatasi za kupigia kura limekamatwa Tunduma" Dk W. Slaa
acha utoto , tayari wewe mtu mzima sasa,hujitambui , mnyika kafuatilia sana dawasa na dawasco na ndo kaibua mradi mkubwa wa maji ambao tayari pesa zake ziko tayari mradi utaanza kutekelezwa septmber mwaka huu utaanza kutekelezwa huo ndo utakuwa ufumbuzi
Sasa sijui mie na wewe nani mtoto
"Kuna kontena la futi 40 lilobeba karatasi za kupigia kura limekamatwa Tunduma" Dk W. Slaa
Inaonekana WanaJF kadhaa wanawapa wabunge majukumu wasiostahili.
Jukumu la Mbunge, hata kama ni wa Upinzani kama Mhe. John Mnyika, ni kuhakikisha Serikali inatoa huduma na kuleta maendeleo katika jimbo lake kwa kutumia fedha wananchi na wapiga kura wanazolipa kama kodi. Pia anahakikisha kwamba miradi ya maendeleo inaletwa ktk jimbo lake na inatekelezwa, na hapa fedha za mikopo toka ng-ambo mara nyingi hutumika.
Wakati mwingine Mbunge anaweza kuwa na wahisani wake binafsi watakao lipia miradi kama kuchimba kisima cha maji au kutengeneza Shule ya Msingi, kujenga upya au kukarabati zahanati n.k. Yeye mwenyewe pia anaweza kujitolea au kufanya harambee ili jamii ichangie, miradi hiyo.
Wakati wa kuandaa bajeti ya mwaka Mbunge ana-lobby katika Wizara akizungumza na Maafisa Maendeleo ili miradi inayowekwa kwenye Mpango wa Maendeleo itekelezwe, hususan ktk jimbo lake.
Naamini Mbunge shupavu kama John Mnyika anaweza. Hata alipokuwa bado kuchaguliwa alikuwa ana-initiate miradi huko Ubungo. Hongera Mheshimiwa!!!!!!!
Mbali ya Mnyika watanzania wengi wana jua kuwa Jk ni kiongozi Dhaifu zaidi kupata kutokea may be Duniani, muulize yeyote mwenyeakili timamu atakuambia JK ni Dhaifu, labda Ritz pekee, kwahiyo kama nikujimaliza kisiasa basi watanzania ndo wanajimaliza
By Ritz
Mnyika yeye aendelee kusisitiza lakini ajue anazidi kujipoteza kwenye siasa.

Mkuu umepata wapi mamlaka ya kuwa msemaji wa Watanzania?
Hata mie naona Mbowe ni kiongozi dhaifu sana na siyo mkweli kawadanganya Watanzania kuwa karudisha gari la Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni kumbe bado analo...
Tundu Lissu ni zaidi ya dhaifu yeye anasema hataki kuchukuwa posho lakini anashangaa wanamuwekea kwenye account yake na anazitumia kama kawaida.
Mtu ambaye sio dhaifu ndani ya Chadema ni Zitto Kabwe, anachosema ndicho anachokisimamia kasema hataki posho na kweli hataki kweli achukui.
Kama Mnyika sio dhaifu waletee maji wakazi wa ubungo, Kimara Bonyokwa, Kimara Suka, Kimara Temboni, pamoja na barabara.
mkuu mwambie mchumi wenu numberi one asiyejua athari za mapato na matumizi ndani ya serikali pamoja na degree zake za madesa, nina uhakika mapepo yakitoka kichwani kwake basi anaweza kabisa kuleta maji katika jiji na dar es salaam pamoja na nyumbani kwako.
mnyika hajawahi kuchukua hata senti tano ya kodi ya mlala hoi, ni wewe, lusinde, komba na kaka yako mchumi mzee wa kuiba wake za watu......tena kwa kutumia heka za kampeni.............
Re: JOHN MNYIKA: Msimamo wangu wa sasa juu ya Kauli yangu bungeni!
mnyika alikua sahihi kwani alisema haya wakati raisi yumo ndani ya bunge,kwa mtizamo wangu udhaifu wa raisi kwa kutembeza bakuli kwa wale anaowaita wahisani hajiamini hata kidogo na ndiye anayetuongezea deni la taifa kwa kukopakopa bila sababu ya msingi kwani sisi tunamtuma huko anakozunguka
Re: JOHN MNYIKA: Msimamo wangu wa sasa juu ya Kauli yangu bungeni!
Hivi kuna woga katika mazungumzo ya Mnyika hapo juu?
Kufafanua hoja si kujitetea.
Kama aliropoka ni vipi alipo banwa na kuambiwa atoe hoja yake kwa Jakaya Mrisho Kikwete ni DHAIFU alitamka wazi wazi kwa hanampango wowote wa kuiondoa hoja hiyo?
Kufafanua jambo si woga wala dalili ya woga.
Hali ya hewa imechafuka kweli, kisa mkuu kamegewa vipande vyake na wapambe wanahaha kumsetiri, lakini sioni woga wala ulegevu katika msimamo wa Mnyika.
Nionacho kuna watu hapa jamvini kwa desturi ya utii bila maswali,wanajifunika viganja nyusoni kwa woga wa kujikomba hawaamini hata kidogo kwmba dogo kampa ukweli mkuu mchana kweupe.
Watanzania walio wengi wanajua kwamba Rais wao ni Dhaifu na wamekuwa wakiuongeleaa udhaifu wake kila kona ya nchi. Kimsingi wanashukuru kweli dogo kulisema hili hadharani. KWa wale wenye itikadi ya Mwenzetu hoja ya kumwita Kikwete ni dhaifu ni jiwe zito la kuwavunja nguvu mabegani na akili mwao.
By majebere
Ameshaanza kujitetea, hii ndio faida ya kuropoka. Sasa woga wa nini wakati umesha chafua hali ya hewa?
Re: JOHN MNYIKA: Msimamo wangu wa sasa juu ya Kauli yangu bungeni!
By Kiganyi
Nitatoa tamko la kina baadae kuhusu kilichotokea lakini kwa ufupi ubovu wa bajeti hii ni matokeo ya udhaifu wa Rais Kikwete, yeye ndiye aliyesaini Mpango wa Taifa wa miaka mitano kama Kiongozi Mkuu wa Nchi tena kwa wino mwekundu kama Amiri Jeshi Mkuu.
Na yeye ndiye Mwenyekiti wa baraza la mawaziri, bajeti hii iliyoacha kuzingatia mpango wa Taifa imepita kwenye baraza alilloliongoza, pia kushindwa kutekelezwa kwa bajeti iliyopita ni matokeo pia ya udhaifu wa taasisi ya Urais.
Pia kwa mujibu wa Katiba Rais ndiye ambaye anapeleka bajeti bungeni, Waziri mwenye dhamana anapeleka tu kwa niaba.
Rais amepewa mamlaka makubwa juu ya bajeti ibara ya 99 imeweka mipaka kuhusu mambo ambayo bunge lina mamlaka nayo huku ibara ya 90 inasema bunge likikataa bajeti rais ana mamlaka ya kuvunja bunge.
Hivyo Rais Kikwete anapaswa kuagiza Waziri wa Fedha bajeti iondolewe irudi kwenye baraza la mawaziri ikafanyiwe marekebisho!
John Mnyika
19 Juni 2012
Tatizo la kuwa na wabunge ambao hawajasoma na wala hawaelimika kwasababu wanapita njia za uongo uongo matokeo yake ndiyo haya.......!
Inahitajika political maturity ukiwa Bungeni vinginevyo 'Shape up or ship out' Siasa siyo Matusi:-)
"In time of war, when truth is so precious, it must be protected by a bodyguard of lies." Winston Churchill
Follow Us Here