Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: JOHN MNYIKA: Msimamo wangu wa sasa juu ya Kauli yangu bungeni!

    Report Post
    Page 19 of 29 FirstFirst ... 91718192021 ... LastLast
    Results 361 to 380 of 561
    1. #1
      Kiganyi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th April 2012
      Posts : 1,162
      Rep Power : 982
      Likes Received
      708
      Likes Given
      400

      Default JOHN MNYIKA: Msimamo wangu wa sasa juu ya Kauli yangu bungeni!

      Nitatoa tamko la kina baadae kuhusu kilichotokea lakini kwa ufupi ubovu wa bajeti hii ni matokeo ya udhaifu wa Rais Kikwete, yeye ndiye aliyesaini Mpango wa Taifa wa miaka mitano kama Kiongozi Mkuu wa Nchi tena kwa wino mwekundu kama Amiri Jeshi Mkuu.

      Na yeye ndiye Mwenyekiti wa baraza la mawaziri, bajeti hii iliyoacha kuzingatia mpango wa Taifa imepita kwenye baraza alilloliongoza, pia kushindwa kutekelezwa kwa bajeti iliyopita ni matokeo pia ya udhaifu wa taasisi ya Urais.

      Pia kwa mujibu wa Katiba Rais ndiye ambaye anapeleka bajeti bungeni, Waziri mwenye dhamana anapeleka tu kwa niaba.

      Rais amepewa mamlaka makubwa juu ya bajeti ibara ya 99 imeweka mipaka kuhusu mambo ambayo bunge lina mamlaka nayo huku ibara ya 90 inasema bunge likikataa bajeti rais ana mamlaka ya kuvunja bunge.

      Hivyo Rais Kikwete anapaswa kuagiza Waziri wa Fedha bajeti iondolewe irudi kwenye baraza la mawaziri ikafanyiwe marekebisho!

      John Mnyika
      19 Juni 2012
      Kichuguu, BAK, Hofstede and 42 others like this.

    2. Study Abroad

    3. #361
      nyanzalapy's Avatar
      Member Array
      Join Date : 4th April 2012
      Posts : 35
      Rep Power : 366
      Likes Received
      11
      Likes Given
      18

      Default Re: Mnyika live channel ten

      Quote By Ambitious
      Ha..ha..ha..ha wewe acha kuleta zilipendwa hapa hayo mabadiliko yametokana na mashinikizo ya mashirika ya kimataifa na nchi tajiri kama masharti ya kupewa misaada.Inaitwa ''freedom of press to enhance transparency and accountability within the government'' hebu kakae ukapitie makabrasha yako halafu uje na hoja za msingi.
      Tunataka sustainable development ya hili taifa ni sio hadithi ya kwamba hapo kale kulikuwa hivi na sasa kuko hivi kutokana na juhudi za raisi aliyeitwa 'dhaifu'.Fikiri mkuu.
      Unajua ni lini hayo masharti yametolewa?
      unajua kwa nini hayakuwa implemented?
      Alikuwa na uwezo wa kukubali masharti na kuyatekeleza ndivyosivyo,mbona tunaona kuna nchi ambazo walipewa masharti hayo pia lakini bado hawapo huru kihivyo,

      Ustaarabu ni kitu cha bure, hauuzwi, na huwa tunasema mheshimu kila mtu upate kuheshimiwa pia, tukiendelea na staili hii ndio maana sasa unaweza ukakutana na mtoto anafanya ndivyosivyo huwezi kumkataza eti mkubwa mwenzio, tunalipeleka wapi Taifa, Sisi ni wastaarabu.

      Hata kama mzazi wako ni Mdhaifu huwezi kumwambia kwa staili hii, hatukulelewa ktk maisha hayo, Nchi nyingine wanafanya coz wamekuwa ktk staili hiyo.
      "Never Make Someone your priority ,While they make you just an option"

    4. #362
      Safari_ni_Safari's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th October 2007
      Location : Kibaruani
      Posts : 11,883
      Rep Power : 24131
      Likes Received
      4612
      Likes Given
      2624

      Default Re: Mnyika live channel ten

      Quote By ritz
      kama mnyika sio dhaifu waletee maji wakazi wa ubungo, kimara bonyokwa, kimara suka, kimara temboni, pamoja na barabara.
      Mtengeeni bajeti muone au ulitaka atoe mfukoni mwake? Yale maji ya chalinze toka wami kikwete alitoa hela mfukoni mwake?

      Soki Ozali Mwasi Yaka, Soki Ozali Mobali Koya Te


    5. #363
      Communist's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st June 2012
      Location : Ubungo
      Posts : 2,713
      Rep Power : 2263
      Likes Received
      599
      Likes Given
      783

      Default Re: JOHN MNYIKA: Msimamo wangu wa sasa juu ya Kauli yangu bungeni!

      Ndungai is too shallow for tha post. Zungu is much better.

    6. #364
      MLETAHOJA's Avatar
      Member Array
      Join Date : 5th April 2012
      Posts : 73
      Rep Power : 445
      Likes Received
      27
      Likes Given
      72

      Default Re: JOHN MNYIKA: Msimamo wangu wa sasa juu ya Kauli yangu bungeni!

      Quote By Prisoner 46664
      QUOTE=MAMA POROJO;4081105]Inawezekana Rais ni dhaifu lakini spika anasema hiyo siyo lugha ya kibunge labda kama atakwenda kusemea mtaani ( nje ya mbunge) kwani bungeni anabanwa na kanuni
      Kuna mtu ameuliza hapo juu,rais kikwete ni malaika???na je,ni lugha ipi bora zaidi ya DHAIFU inayoweza kutumika kumzungumzia mtu ambaye ameshindwa kutekeleza majukumu yake ipaswavyo??[/QUOTE]

      Hakuna lugha bora kuliko hiyo. Kumuita goigoi hiyo ingekuwa mbaya zaidi. Kumuita raisi aliyeshindwa kutekeleza majukumu yake ipaswavyo ni Dhaifu ni lugha ya kiungwana na kistaarabu hasa kama unakuwa tayari kufafanua kauli yako.

    7. #365
      Ambitious's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th December 2011
      Posts : 1,802
      Rep Power : 733
      Likes Received
      559
      Likes Given
      243

      Default

      Quote By nyanzalapy
      Unajua ni lini hayo masharti yametolewa?
      unajua kwa nini hayakuwa implemented?
      Alikuwa na uwezo wa kukubali masharti na kuyatekeleza ndivyosivyo,mbona tunaona kuna nchi ambazo walipewa masharti hayo pia lakini bado hawapo huru kihivyo,

      Ustaarabu ni kitu cha bure, hauuzwi, na huwa tunasema mheshimu kila mtu upate kuheshimiwa pia, tukiendelea na staili hii ndio maana sasa unaweza ukakutana na mtoto anafanya ndivyosivyo huwezi kumkataza eti mkubwa mwenzio, tunalipeleka wapi Taifa, Sisi ni wastaarabu.

      Hata kama mzazi wako ni Mdhaifu huwezi kumwambia kwa staili hii, hatukulelewa ktk maisha hayo, Nchi nyingine wanafanya coz wamekuwa ktk staili hiyo.
      Dhama za kuoneana aibu zimekwisha na ndizo zilizotufikisha hapa watu wanafiki na wanaendekeza kujuana sana ndio maana uzembe umeshindwa kuondoka nchini.
      Kikwete hakuwa na option zaidi ya kuyakubali hayo masharti kwa sababu hana 'strategic alternatives' zozote za kuboresha uchumi ili kufidia pengo ambalo linaongezeka la kutegemea misaada kwa hiyo usitake kutuaminisha kwamba ameachia milango kwa kuwa yeye ni mwema saaaaana.
      Maji yalifika shingoni ndio maana hana la kufanya zaidi ya kuruhusu uhuru wa kujieleza.Wale viongozi waliopita hawakuwa 'dhaifu' kama yeye(hasa Mkapa na Nyerere) ndio maana walijitahidi angalau kupanga mambo ili wasije kuadhirika.
      I call a square a square and a circle a circle.And please dont ask me the 'whens' and 'whys' of these matters b'se you are unintentionally insulting my intelligence.

    8. Miaka 50

    9. #366
      majebere's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 2,193
      Rep Power : 0
      Likes Received
      322
      Likes Given
      111

      Default Re: Mnyika live channel ten

      Ubungo amechemsha, sasa anatafuta umaarufu kupitia kwa mkuu. Hivi Ameona kidole alicho pewa lema huyu? Ni bora aende Ikulu kumpigia magoti JK na kumuomba msamaha

    10. #367
      Mkwai's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 29th February 2012
      Posts : 107
      Rep Power : 385
      Likes Received
      32
      Likes Given
      10

      Default Re: Mnyika live channel ten

      Quote By kookolikoo
      asisitiza yuko sahihi. kikwete ni dhaifu. asema ukweli ni ukweli tu ukisemewa nje au ndani ya bunge.
      Nakubaliana nae. Na nadhani wengine wajifunze katika hili, tufikie mahali tusimame katika hoja ambazo tunaamini ni za kweli na haki, hata kama zitakuwa haziwafurahishi baadhi ya watu.

      Nimeona mara kadhaa mtu anaambiwa futa kauli, anakubali then anasema meseji sent... kwa sababu ya kuogopa au kushindwa kusimamia/kutetea hoja. Tunahitaji watu kama hawa.

      Zito pia aliwahi kupewa ban bungeni kwa kusimamia anachokiamini.

    11. #368
      MLETAHOJA's Avatar
      Member Array
      Join Date : 5th April 2012
      Posts : 73
      Rep Power : 445
      Likes Received
      27
      Likes Given
      72

      Default Re: Mnyika live channel ten

      Quote By Ritz
      Mnyika yeye aendelee kusisitiza lakini ajue anazidi kujipoteza kwenye siasa.
      Kusema ukweli kunampotezaje mtu kwenye sias? Huu ni utahira mwingine?

    12. #369
      Ambitious's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th December 2011
      Posts : 1,802
      Rep Power : 733
      Likes Received
      559
      Likes Given
      243

      Default

      Quote By majebere
      Ubungo amechemsha, sasa anatafuta umaarufu kupitia kwa mkuu. Hivi Ameona kidole alicho pewa lema huyu? Ni bora aende Ikulu kumpigia magoti JK na kumuomba msamaha
      Hana nidhamu ya uoga kama iliyopandikizwa kichwani mwako.

    13. #370
      TaiJike's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th December 2011
      Posts : 1,156
      Rep Power : 606
      Likes Received
      387
      Likes Given
      347

      Default Re: Mnyika live channel ten

      Quote By Ritz
      Kama Mnyika sio dhaifu waletee maji wakazi wa ubungo, Kimara Bonyokwa, Kimara Suka, Kimara Temboni, pamoja na barabara.
      Huo ni wajibu wa serikali kwa wananchi wake.
      * Nitashangaa kama hawa Watanzania watakataa kuasi. Kwanini wasiasi? * - Julius Kambarage Nyerere


    14. #371
      MLETAHOJA's Avatar
      Member Array
      Join Date : 5th April 2012
      Posts : 73
      Rep Power : 445
      Likes Received
      27
      Likes Given
      72

      Default Re: Mnyika live channel ten

      Quote By Ritz
      Kama Mnyika sio dhaifu waletee maji wakazi wa ubungo, Kimara Bonyokwa, Kimara Suka, Kimara Temboni, pamoja na barabara.
      Hata kama ikidhihirika Mnyika ni dhaifu udhaifu wake unawaathiri watu wa eneo dogo kuliko wale wanaoathirika na udhaifu wa huyo unayejaribu kumtetea

    15. #372
      Zemu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th June 2008
      Posts : 422
      Rep Power : 643
      Likes Received
      45
      Likes Given
      18

      Default Re: Mnyika live channel ten

      JK dhaifu jamani hata mtoto mdogo anajua, anayebisha upeo wake wa kufikiri na kupembua mambo ni mdogo.

    16. #373
      ZionTZ's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th October 2009
      Posts : 897
      Rep Power : 668
      Likes Received
      128
      Likes Given
      131

      Default Re: Mnyika live channel ten

      Quote By Ritz
      Kauzu zaidi ya dagaa! Yaani wewe ulivyokuwa mtumwa wa fikra unataka wote tuwe Chadema? Ukiwasifia Chadema ndio uendekezi njaa Pro-Chadema JF badilikeni jengeni hoja, mitume wa mungu wenyewe walikuwa wanapingwa sembuse Chadema.
      sura kavu ka ya wasira...em tuondokee hapa....

    17. #374
      BornTown's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th May 2008
      Location : ???
      Posts : 1,482
      Rep Power : 863
      Likes Received
      283
      Likes Given
      104

      Default Re: Mnyika live channel ten

      Quote By Ritz
      Kama Mnyika sio dhaifu waletee maji wakazi wa ubungo, Kimara Bonyokwa, Kimara Suka, Kimara Temboni, pamoja na barabara.

      Mnyika ndio anatoa maji tangu lini??? serikali yako DHAIFU ndio yenye jukumu la kuwapatia maji WANANCHI wake!!!
      "DONT BE A WOMAN THAT NEEDS A MAN BE A WOMAN A MAN NEEDS!!!!"

    18. #375
      nyanzalapy's Avatar
      Member Array
      Join Date : 4th April 2012
      Posts : 35
      Rep Power : 366
      Likes Received
      11
      Likes Given
      18

      Default Re: Mnyika live channel ten

      Quote By Ambitious
      Dhama za kuoneana aibu zimekwisha na ndizo zilizotufikisha hapa watu wanafiki na wanaendekeza kujuana sana ndio maana uzembe umeshindwa kuondoka nchini.
      Kikwete hakuwa na option zaidi ya kuyakubali hayo masharti kwa sababu hana 'strategic alternatives' zozote za kuboresha uchumi ili kufidia pengo ambalo linaongezeka la kutegemea misaada kwa hiyo usitake kutuaminisha kwamba ameachia milango kwa kuwa yeye ni mwema saaaaana.
      Maji yalifika shingoni ndio maana hana la kufanya zaidi ya kuruhusu uhuru wa kujieleza.Wale viongozi waliopita hawakuwa 'dhaifu' kama yeye(hasa Mkapa na Nyerere) ndio maana walijitahidi angalau kupanga mambo ili wasije kuadhirika.
      I call a square a square and a circle a circle.And please dont ask me the 'whens' and 'whys' of these matters b'se you are unintentionally insulting my intelligence.

      Kuna kitu ambacho sikubaliani nawe kuchanganya kuoneana aibu,uoga na heshima,
      hivi ni vitu ni tofauti tena sana, heshima ni heshima na wala sio aibu au uoga hata siku moja.
      Nifahamuvyo ni wafuasi wa vyama vya siasa wanawaheshimu viongozi wao na si kuwaogopa au kuwaonea aibu, Vivo hivyo Kikwete kama Raisi anatakiwa aheshimiwe na sio aogopwe au aonewe aibu.

      Hao waliopita wote Bajeti yao ilikuwa ni ya Vinywaji na Sigara hakuna aliyekuwa na bajeti iliyotoka nje ya hapo,
      Pia nafahamu kuwa kila binadamu ni dhaifu hata hao uliowataja hapo otherwise Tanzania isingekuwa hivi ilivyo sasa ukilinganisha ni umri wake tangu ipate uhuru.
      "Never Make Someone your priority ,While they make you just an option"

    19. FJM
      #376
      FJM's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 7,167
      Rep Power : 2566
      Likes Received
      5317
      Likes Given
      4585

      Default Re: Mnyika live channel ten

      Quote By Ritz
      Kama Mnyika sio dhaifu waletee maji wakazi wa ubungo, Kimara Bonyokwa, Kimara Suka, Kimara Temboni, pamoja na barabara.

      Ritz, kauli sahihi ni: kama serikali ya ccm si dhaifu watekeleze ahadi zao ikiwemo kuleta maji Ubungo na maeneo mengine nchini. Kama serikali ya ccm siyo dhaifu na tena kama haikuwekwa mifukoni kwa nini isamehe kodi huku ikujuwa wananchi hawana maji? Ni mzazi gani ataacha hela zinapotea wakati nyumbani kwake hata maji hakuna? Ni mzazi gani ataacha hela zinapotea/kusamehe mapato ya kodi huku wananchi wake wanalala kwenye nyumba za tembo? Hii zaidi ya udhaifu.

    20. #377
      Nzenzu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th August 2011
      Posts : 826
      Rep Power : 558
      Likes Received
      155
      Likes Given
      38

      Default

      Quote By Ritz
      Mnyika yeye aendelee kusisitiza lakini ajue anazidi kujipoteza kwenye siasa.
      Let the truth be told. Your right mnyika!

    21. #378
      msnajo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th January 2011
      Posts : 665
      Rep Power : 555
      Likes Received
      75
      Likes Given
      92

      Default

      Quote By ritz
      mnyika yeye aendelee kusisitiza lakini ajue anazidi kujipoteza kwenye siasa.
      huu nao ni udhaifu.

    22. #379
      Remote's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th May 2011
      Posts : 4,246
      Rep Power : 1356
      Likes Received
      941
      Likes Given
      182

      Default Re: Mnyika live channel ten

      Rais asiyejua kwa nini nchi yake ni maskini wakat ina raslimaki kibao
      huo sio udhaifu??foleni za magari jijin dsm rais anasema eti hayo ni maisha bora! Huo sio udhaifu??

      Kumteua mgonjwa mahututi kuwa wa wazir asiyekuwa na wizara maalumu isiyo na ofisi! Huo sio udhaifu?? Brother mnyika we si wa
      kwanza kusema kikwete ni dhaifu.hata nyerere alishawah kusema 95 kwamba 'hatumchagui mtu awe rais kwa sura yake.kwa sababu haendi kuwa rais wa mamiss tunataka rais mchapa kazi na muadilifu'

    23. #380
      hans79's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th May 2011
      Posts : 1,443
      Rep Power : 755
      Likes Received
      140
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Ritz
      Kama Mnyika sio dhaifu waletee maji wakazi wa ubungo, Kimara Bonyokwa, Kimara Suka, Kimara Temboni, pamoja na barabara.
      Kwa kiwango cha uelewa wako unashindwa kuelewa nini majukumu ya mbunge? Pia nani mwenye jukumu la kuleta maji kwa raia,funguka toka ulipokwama usiwe kama steven amabye hapendi chama chenu kisema.

    24. FemaTV & Radio
    Page 19 of 29 FirstFirst ... 91718192021 ... LastLast

    User Tag List

    Tags for this Topic

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...