Ni kwa kutoa kauli kuwa Rais Kikwete ni dhaifu!
Amekataa kufuta kauli yake na ametolewa nje ya Ukumbi.
Ni kwa kutoa kauli kuwa Rais Kikwete ni dhaifu!
Amekataa kufuta kauli yake na ametolewa nje ya Ukumbi.
Katika bunge la leo .. Mheshimiwa john mnyika amesema kuwa rais jakaya mrisho kikwete kuwa ni dhaifu.. Na ccm na wabunge wake ni wazembe..kwa utendaji kazi wao.. Mi binafsi namuunga mkono asilimia mia na hamsini... Nin mtazamo wako..? Na tathmin yako? Bunge lenu kwa kuwa ni FAKE.. LIMEAMUA KUMTOA NJE MHESHIMIWA MNYIKA KWEL N HAKI?
yap rais dhaifu sana! Tena sana! Big up sana tena sana Ubungo tupo nawe! Magamba kwisha!
Mh. Mnyika OUT of By Order of Naibu Spika! NOW!!!
RAIS DHAIFU DHAIFU DHAIFU............Bravo Mnyika
BE RESPECTED............DEMAND RESPECT
Safi sana, badala ya kuleta hoja analeta viroja.
System At Work
"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe
kumuita mtu dhaifu na ukawa na sababu za kumuita huyo mtu dhaifu.inawezekana ukambiwa unamtukana hata kabla haujaeleza udhaifu wake? udhaifu ni tusi?
Kasimamia ukweli rais ni zaifu!
Message sent Rais JK ni DHAIFU Sana! CCM ni %$#$%$^&^^&
MHE Mnyika amekataa kufuta maneno yake kwamba tumefika hapa kutokana na uzaifu wa rais kikwete.
na ametolewa nje na naibu spika.
Eti Ndugai atoke nje ya geti kabisa............Mnyika katoka kishujaa, watu tumelipukaje? Peeeeeeeeoples................ ...........
BE RESPECTED............DEMAND RESPECT
Ndugai jamani mbona huyu Nyangwine ameanza na kutukana!! Wabunge wameacha hoja na kulifanya bunge jukwaa la siasa- inasikitisha
nakupa tano mbunge wangu....wembe ni ule ule
sasa tatizo liko wapi wakati anasema ukweli!!!!!!!!! pa1 sana
Ahahahaha. Hawataki Kuguswa hao
WANAOONGEA PUMBA WANAACHWA BUNGENI
WANAMCHEKA BALAA NYANGWINE
Last edited by RGforever; 19th June 2012 at 12:20.
siasaaaaaaaaaaaa!!
"Look Deep into Nature and then you will Understand Everything Better" - ALBERT Einstein
Nawasilisha
big up mnyika kwa kusimamia kauli yako.
System At Work
"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe
kumbe ukweli unauma sana!congrats mnyika for being brave enough to tell them the truth they always avoid hearing.
Follow Us Here