Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: John Mnyika atolewa nje ya Ukumbi wa Bunge!

    Report Post
    Page 28 of 36 FirstFirst ... 182627282930 ... LastLast
    Results 541 to 560 of 712
    1. #1
      frank m's Avatar
      Member Array
      Join Date : 8th February 2012
      Posts : 54
      Rep Power : 382
      Likes Received
      49
      Likes Given
      11

      Default John Mnyika atolewa nje ya Ukumbi wa Bunge!

      Ni kwa kutoa kauli kuwa Rais Kikwete ni dhaifu!

      Amekataa kufuta kauli yake na ametolewa nje ya Ukumbi.
      Asprin, Elli, Bebrn and 11 others like this.


    2. #541
      Matola's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th October 2010
      Posts : 12,859
      Rep Power : 19823
      Likes Received
      5657
      Likes Given
      3878

      Default Re: John Mnyika atolewa nje ya Ukumbi wa Bunge!

      Mkitaka kujuwa hii nchi ilipofikia ni mahala pabaya, hapa Riziwani Kikwete kwenye Facebook eti anawaambia watu atajibu hoja zao kwa niaba ya Serikali, jamani msisubiri mpaka tuingizwe vidole vya haja kubwa ndio mjuwe tunatukanwa na kudhalilishwa, mwenye masikio na asikie na mwenye macho na aone, huu ni sehemu ya Udhaifu wa JK, ingalikuwa enzi za Mwalimu hawa kina Makongoro wasingethubutu kufanya upumbavu huu.

      Ridhiwani Kikwete


      MAJIBU YA MASWALI YANGU KWA NIABA YA MH.WAZIRI WA FEDHA

      Mh.Spika, jana niliuliza swali na leo narejea hapa barazani kueleza kuwa sikupata majibu toka kwa mheshimiwa waziri lakini baadhi ya wajumbe walijibu haya na hii sehemu ya majibu yao.

      A. Maana ya bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha ni, maelezo na mipango ya kimatumizi ya serikali katika ule mwaka wa fedha uliotajwa. kwa mfano, bajeti aliyoisoma juzi bwana Mgimwa (mb) ni mpango wa matumizi ya serikali ya jamhuri ya muungano kwa mwaka huu wa fedha. hivyo basi ni mataraji kwamba wabunge wangeelewa haya pasi kulalamika.

      BE. si kweli kwamba serikali haina mipango ya utekelezaji wa bajeti yake. ikumbukwe juzi siku ya kwanza kabla bajeti haijasomwa , mheshiwa Steven Masatu Wasira (mb) alisimama mbele ya bunge tukufu na kutoa mpango wa kazi na jinsi serikali ilivyojipanga. hii ilimaanisha kwamba hali ya kiuchumi,changamoto na maeneo ambayo serikali itayaangalia ikiwa ni katika kutimiza utekelezaji wa ilani ambayo tuliinadi kwa wananchi mwaka 2010 ambayo tutakuja pimwa mwaka 2015.

      CHE. Kuhusu wabunge kuwa hawajui mipango ya serikali yao, s la kweli. tatizo linalojitokeza ni uelewa juu ya nini majukumu ya wabunge inapokuja wenye kujadili bajeti. hili nalifananaisha na mtu ambaye anataka panga matumizi ya mfuko wa mtu wakati alimwambia kuwa nakupa siku kumi uwe umeshanilipa kiasi ninachokudai. serikali ya CCM ipo katika kutimiza madeni waliyowaambia wananchi kuwa wangewalipa ifikapo mwaka 2015. kwa lugha nyengine hata kama serikali ingesema kuwa bajeti ya mwaka huu wa fedha itajikita katika masuala mawili tu ya barabara na maji, wajibu wa wabunge ni kusema kuhoji kwa nini vtu vyengine havijawekwa. majibu yatakayolewa ndiyo majibu kwa maana ya kwamba serikali imepanga kutekeleza hayo. suala la kwamba sintopitisha bajeti kwa sababu vipa umbele vyangu havijawekwa hilo sasa ni tatizo la mmoja mmoja ambalo haliwezi wekwa ndani ya bajeti.

      kubwa zaidi wasijisahau wabunge wakafikiri wanaweza semea matatizo yote ya nchi ndani ya bajeti ya mwaka mmoja tu wa fedha. kwa upande mwengin ni changamoto kwa serikali kuwaelelewesha wabunge juu ya utaratibu huu.

      ushauri

      wajikite kuangalia kama mpangilio na mgawanyiko wa fedha unaweza kusaidia kunyanyua au kuleta tija za kimaendeleo katika maeneo yaliyotajwa. maeneo mengine bajeti zitakaz fuata.

      nawasilisha tujadili majibu ya hawa wananchi wazalendo , kama walivyojiita.


      Division four point 29 = Masters Mzumbe University. Nape Nnauye is my role model.

    3. #542
      Mta pter's Avatar
      Member Array
      Join Date : 11th June 2012
      Posts : 25
      Rep Power : 359
      Likes Received
      3
      Likes Given
      0

      Default Re: John Mnyika atolewa nje ya Ukumbi wa Bunge!

      Goes on bro! This country mics pp like u! Mnafiki tu uyo spika,kwan hajui kwamba mkubwa ni dhaifu?

    4. #543
      MAKAWANI's Avatar
      Member Array
      Join Date : 3rd May 2012
      Posts : 95
      Rep Power : 378
      Likes Received
      27
      Likes Given
      21

      Default Re: Swala la mnyika kwanini naibu spika kaepuka kanuni

      We hijawahi kuona refa anatoa kadi nyekundu kwa mchezaji wa timu mojawapo uwanjani then akijishtukia aliboronga anasawazisha kwa kutoa penati kwa timu pinzani? Kwa kifupi hakuwa fair kwa kuwaacha Lusinde na Nchemba waliotukana jana na leo bila ya kuwaadhibu; Hii siyo mara ya kwanza Spika kulalamikiwa kwa kupendelea wabunge wa ccm hata kwa mambo ya kipuuzi. Taasisi ya Uraisi ndo kitu gani mbele ya maslahi ya walioiweka madarakani????
      Kikarara78 likes this.

    5. #544
      Mta pter's Avatar
      Member Array
      Join Date : 11th June 2012
      Posts : 25
      Rep Power : 359
      Likes Received
      3
      Likes Given
      0

      Default Re: John Mnyika atolewa nje ya Ukumbi wa Bunge!

      Goes on bro! This country mics pp like u! Mnafiki tu uyo spika,kwan hajui kwamba mkubwa ni dhaifu? U -ccm ndo unamsumbua!

    6. #545
      Chakaza's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th March 2007
      Location : everywhere
      Posts : 3,723
      Rep Power : 1514
      Likes Received
      973
      Likes Given
      564

      Default Re: NAPIGA PICHA Mh. KIkwete ATATAFAKARI, ATATULIA, ATALIA KUITWA DHAIFU?

      Kama Rais mpaka apewe kibali na CC ya chama chake ndio awaondoe mawaziri wabovu huyo ni dhaifu period. Katika hili hakuna sababu za kumnyooshea kidole Mnyika kuwa kapotoka, maana aliposema afafanue kwa nini kasema Rais ni dhaifu Ndugai kwa sababu anaelewa kuwa kauli hiyo ya Mnyika ni kweli kakataa ili asimuumbue mwenyekiti wa chama chake.
      Hatutajua chochote iwapo hatutahoji na kudadisi


    7. #546
      JamboJema's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 14th June 2011
      Location : Mwanza
      Posts : 784
      Rep Power : 562
      Likes Received
      86
      Likes Given
      217

      Default Re: John Mnyika atolewa nje ya Ukumbi wa Bunge!

      Hivi hili neno alilolisema Mnyika humu JF sio tusi? Mbona sijaona haka kaneno 'BANNED' kwa wanaorudia hili hili la Mnyika humu JF? Hili ni tusi 'jengo la posho' tu?
      Uchakavu wa Mahakama si nafuu ya hukumu!

    8. #547
      UTAJUA's Avatar
      Member Array
      Join Date : 4th April 2012
      Posts : 66
      Rep Power : 377
      Likes Received
      17
      Likes Given
      82

      Default Re: NAPIGA PICHA Mh. KIkwete ATATAFAKARI, ATATULIA, ATALIA KUITWA DHAIFU?

      Quote By Njowepo View Post
      Kama uu dhaifu kujijua kuwa wewe ni dhaifu ni kazi!
      Unless uko na honest friends wakuambie ila kama uko na kundi la wanafiki watakuwa wakikusifu tuu bila kukuambia weakness zako!
      Itawezekana hiyo?

    9. #548
      kanta's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th January 2011
      Posts : 280
      Rep Power : 482
      Likes Received
      42
      Likes Given
      20

      Default Re: John Mnyika atolewa nje ya Ukumbi wa Bunge!

      Ahahahaha, Magamba yalikuwa yanarusha mawe wakati yanaishi kwenye nyumba za vioo,tatizo lao wanatukana sana tena matusi ya nguoni na hawafanywi kitu, mtu akisema ukweli wanatumia wingi wao na madaraka ya spika kuwatoa nje,mi nadhani tuvumilie tu, bado kidogo sana tutafika cause 2015 sio mbali,tutafika tu, kwa mwendo wa farsi ama kinyonga.

    10. #549
      UTAJUA's Avatar
      Member Array
      Join Date : 4th April 2012
      Posts : 66
      Rep Power : 377
      Likes Received
      17
      Likes Given
      82

      Default Re: NAPIGA PICHA Mh. KIkwete ATATAFAKARI, ATATULIA, ATALIA KUITWA DHAIFU?

      Quote By paty View Post
      hana habarii, wamesema ye dhaifu kesho ataenda ng'ambo kupumzika upepo upite
      Hahahahahahaha..... Ataenda Nchi ipi?, kwani zote keshatembea

    11. #550
      adolay's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th December 2011
      Posts : 1,794
      Rep Power : 806
      Likes Received
      540
      Likes Given
      531

      Default Re: John Mnyika atolewa nje ya Ukumbi wa Bunge!

      Moto unaoteketeza misitu minene na mbuga za wanyama huaza kama spark. Pia jipu huanza kama kipele kidogo vile.

      Mataizo yameanza kitambo kidogo, Awamu ya pili, tatu, na nne ni balaa.

      Mzee ruksa alitoa ruhusa kila mtu kuchuma atakavyo watu wakachuma mpaka Lolyondo na Katabaro sasa havipo tena, mrema akajifanya kukamata biashara ya bi mkubwa pale airport sikaenada na maji nk nk.........watu wenye uwezo wakaneemeka.


      Mkapa kaja na ufisadi ukijificha kwenye kivuli cha ubinafsishaji na ubia, mpuuzi kauza viwanda, madini, ardhi, mashirika ya uma nk. kashfa nzitonzito zikaanza kujitokeza (EPA, DEEP GREEN, Kagoda nk........) CCM wakiiba fedha nyingi kuhonga wapiga kura kupitia kashfa hizi. Lakini alidhibiti mfumko wa bei, alikusanya kodi na serikali ilikuwa na fedha. Alikuwa na jeuri ya kusema sitaki hiki nataka kifanyike kile, walau balaza lake la mawaziri lilikuwa stable ukilinganisha na awamu ya nne. Alikuwa mchafu aliejificha na uchafu wake mwingi umegundulika wamu ya nne.

      Kikwete kaja na sifa nyingi, mzee wa ahadi nyingi zisizotekelezeka, maishabora kwa kila mtanzania maneno matupu, Nguvu zaid, ari zaidi na kasi zaidi imekuwa polepole zaidi ya konokono, Hana maamuzi , hukaa kimya akivizia upepo kupowa na kuchukuwa opotunity ya kuzuga watu, kiongozi ambaye serikali yake ameivunja takribani mara mbili-recod, shilingi imeyumba, maisha yamekuwa magumu kupita kiasai, mfumko wa bei usio na kiwango, polojo nyingi katika maandishi yasioendana na uhaliasia, anamapato zaidi ya wote wliomtangulia lakini anamatumizi ya ovyo kuliko wote waliomtangulia na serikali haina fedha- anavuna dhahabu kwa wingi, misitu kwa wingi, anauza ardhi kwa wingi, ameshindwa kuilinda shilingi, elimu imeshuka ubora kupita kiasi, afya imepoteza muelekeo.......(Anaomba sana nje)

      Kizazi cha sasa ni tofauti na cha nyerere na mwinyi, sasahivi tumeelevuka, tunahitaji kujuwa mali zetu za asili na kodi zetu anakula nan na nani na kwa manufaa gani.

      Kwa ufupi hatudanganyiki tunahitaji ukweli hapa ndipo penye matatizo, CCM na kikwete wanataka kuishi kwa mazoea kitu ambacho kwa jamii ya sasa hakiwezekani na hapa ndipo Kikwete anapopata challenge lazima ashambuliwe maana JIPU HUPASULIWA LIKISHAIVA SASA JAMII IMEIVA INAFAHAMU HAKI ZAKE ZA MSINGI.

      Hashambuliwi kikwete kwa sababu ya dini yake la ila kwa matendo yake ya kutochukua hatua mara moja inapotakiwa kufanya hivyo, kucheka na kula na mafisadi mbaya zaidi kuwapigia kampeni majukwaani, ahadi za uongo pasi na kusoma alama za nyakati.

    12. #551
      Kyaiyembe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st December 2011
      Location : Kisukuru
      Posts : 1,161
      Rep Power : 613
      Likes Received
      350
      Likes Given
      307

      Default Re: John Mnyika atolewa nje ya Ukumbi wa Bunge!

      Quote By Chenge View Post
      Huyu hapa akitolewa nje ya viwanja vya bunge

      Katika historia hata wajukuu watajifunza kuwa Mashujaa kama Mbunge shujaa (J. Mnyika) ambaye hakukubali Bajeti ovyo akaipinga hadi akatolewa bungeni.
      Hongera Mh. Mnyika kwa kuandika Historia.
      "Ikulu ni mahala PATAKATIFU,
      mimi sikuchaguliwa kuja kupageuza kuwa pango la wala RUSHWA."
      By J.K. NYERERE.

    13. #552
      afaika's Avatar
      Member Array
      Join Date : 28th October 2011
      Posts : 14
      Rep Power : 388
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default hellow.nimekuja ndani ya faili la kuondoa machafu nchini

      rais wetu ni hola kama anavoonekana

    14. #553
      Remote's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th May 2011
      Posts : 4,415
      Rep Power : 1394
      Likes Received
      977
      Likes Given
      182

      Default Re: NAPIGA PICHA Mh. KIkwete ATATAFAKARI, ATATULIA, ATALIA KUITWA DHAIFU?

      rais asiyejua kwa nini nchi yake ni
      maskini wakat ina raslimaki kibao
      huo sio udhaifu??4leni za magari
      jijin dsm rais anasema eti hayo ni
      maisha bora! Huo sio udhaifu??
      Kumteua mgonjwa mahututi kuwa
      wa wazir asiyekuwa na wizara
      maalumu isiyo na ofc! Huo sio
      udhaifu?? Brother mnyika we si wa
      kwanza kusema kikwete ni
      dhaifu.hata nyerere alishawah
      kusema 95 kwamba 'hatumchagui
      m2 awe rais kwa sura yake.kwa
      sababu haendi kuwa rais wa mamiss
      2nataka rais mchapa kazi na
      muadilifu'
      dfreym likes this.

    15. #554
      afaika's Avatar
      Member Array
      Join Date : 28th October 2011
      Posts : 14
      Rep Power : 388
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: NAPIGA PICHA Mh. KIkwete ATATAFAKARI, ATATULIA, ATALIA KUITWA DHAIFU?

      anatia huruma

    16. #555
      Matola's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th October 2010
      Posts : 12,859
      Rep Power : 19823
      Likes Received
      5657
      Likes Given
      3878

      Default Re: John Mnyika atolewa nje ya Ukumbi wa Bunge!

      Taarifa: ile Propaganda mashine ya CCM Dr Benson Bana yupo studio za Clouds kwenye kipindi cha Jahazi, hapa huitajiki kuwa na Degree kujuwa yupo hapo studio kwa kazi gani na malipo yanatoka wapi.
      Mimi binafsi nina aleji na hiyo redio wenye access tune Clouds mtatujurisha. najuwa hapo Dr Bana povu litamtoka haswa ili malipo yawe mazuri.
      Division four point 29 = Masters Mzumbe University. Nape Nnauye is my role model.

    17. #556
      Manyanza's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th November 2010
      Location : Look Behind You......
      Posts : 4,424
      Rep Power : 25474
      Likes Received
      1146
      Likes Given
      913

      Default Re: NAPIGA PICHA Mh. KIkwete ATATAFAKARI, ATATULIA, ATALIA KUITWA DHAIFU?

      hivi huyu Kikwete yupo hapa nchini?
      Ninachohisi ni kua leo wakati bunge linaendelea Naibu Spika alidhani anaendesha kikao cha chaama ndio maana akajikuta anafanya kiroja cha kumtoa nje Kamanda Mnyika JJ

    18. #557
      Msambaa mkweli's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 31st December 2011
      Posts : 152
      Rep Power : 407
      Likes Received
      26
      Likes Given
      1

      Default Re: John Mnyika atolewa nje ya Ukumbi wa Bunge!

      Kweli ni dhaifu. Wapi pesa za rada?, issue ya Jairo? EPA?, issue ya Yona na Mgonja? etc dhaifu*15tirioni za bajeti yake.

    19. #558
      commissioner's Avatar
      Member Array
      Join Date : 15th April 2008
      Posts : 28
      Rep Power : 576
      Likes Received
      2
      Likes Given
      0

      Default Re: NAPIGA PICHA Mh. KIkwete ATATAFAKARI, ATATULIA, ATALIA KUITWA DHAIFU?

      Laiti kama ungejua kuwa ule ni ustahimilivu, basi ndiyo ungekiri uwezo wa JK kama kiongozi. Watu wa aina ile unawategemea, LAKINI SIYO BUNGENI. tatizo hapa ni kwamba HANSARD za BUNGE haziwezi kuweka hayo katika kumbu kumbu, tena out of context. Mjadala unaoendelea ni Bajeti, siyo uwezo wa Rais. Hilo likijadiliwa Bungeni, basi uje mambo ni mazito sana. So JK atamwachia Speaker na Uongozi wa Bunge kumshughulikia Mbunge mtovu wa nidhamu, aliyeishiwa hoja.
      Lakini nakwambia, ukitaka kujua nini kinamuudhi, mwambieni huyo Mh. Mnyika afanye tendo la kihaini, au hata aashirie tu ndiyo mtamtambua. Alishawaonya, "This smile may be quite deceiving".

    20. #559
      POMPO's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 12th March 2011
      Posts : 3,055
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1129
      Likes Given
      652

      Default Re: NAPIGA PICHA Mh. KIkwete ATATAFAKARI, ATATULIA, ATALIA KUITWA DHAIFU?

      Quote By Barnabas Shadrack View Post
      Kati ya mbunge na Rais, yupi dhaifu? Nadhani mbunge ndiye dhaifu maana anawakilisha watu wa jimbo tu, wakati Rais ni kiongozi anayeongoza taifa zima.
      The unseen is illustrated by the seen.
      tena huyo aliekutuma ndio dhaifu zaidi na hoja yako imezidi kuonyesha udhaifu wenu, Taifa VS Jimbo, which is which??

    21. #560
      Mzalendo JR's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th June 2012
      Posts : 911
      Rep Power : 537
      Likes Received
      277
      Likes Given
      213

      Default Re: NAPIGA PICHA Mh. KIkwete ATATAFAKARI, ATATULIA, ATALIA KUITWA DHAIFU?

      Raisi hajulikani yu wapi wakati wowote anavuta mwewe anaenda kuangalia DEAD SEA kuhakikisha kweli kama hakuna kiumbe anaishi humo.....


      Duh! Full practical hataki kusimuliwa.

    Page 28 of 36 FirstFirst ... 182627282930 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...