Ni kwa kutoa kauli kuwa Rais Kikwete ni dhaifu!
Amekataa kufuta kauli yake na ametolewa nje ya Ukumbi.
Ni kwa kutoa kauli kuwa Rais Kikwete ni dhaifu!
Amekataa kufuta kauli yake na ametolewa nje ya Ukumbi.
mnyisanzu haujui ukisemacho.kaa kimya wanajf waongee
Silly season/muda wakujadili mambo ya kipuuzi,godbless you john john mnyika ukweli siku hizi umegeuka kuwa matusi............
Tuko pamoja, tumekuelewa John! Ndugai na Mama Spika watatupeleka vibaya. Yule Mwenyekiti wa kikao cha jana cha bunge alikuwa mvumilivu na mstaarabu sana, akikemea lakini akiwaweka wapashanaji bado katika mazungumzo! Ndugui hapana, ana jazba, na jazba ni hasara. Ingekuwa yeye jana, sijui angewafanya nini kina Mchemba ambaye aligomea amri nyingi za Mwenyekiti na kuonyesha dharau ya ajabu, au John Komba ambaye alitunushia misuli wengine na kejeli,matusi nk.
Naililia Tanzania!
System At Work.....wewe mtanganyika au mzanzibar au ni kiungo wacheza kote kote....hata hivyo nimependa unavyojiita...system at work. Definition ya system kama nilivyosoma mimi ni "a way of working, organizing,or doing something which follows a fixed plan or set of rules. You can use system to refer to an organization or institution that is organized in this way"....am wondering which system is at work for you!!!
"Carpe Diem...Seize the Day"
Mimi nawashsngaa sana CCM mkiwa mitaani Ohoooo.........., Kikwete kawa Dhaifu, Mpole, Hana maamuzi nk.
Lakini mnakuwa waoga kumwambia live. Sasa Shujaa katoka CDM kampasulia bila kificho mnaona wivu.
Yafaa mmshukuru Mh. J. Mnyika kuwafikishia ujumbe!. Maana nyie ni waoga na wanfiki. Ndiyo maana amewaita Wapuuuzi.
Mh. Mnyika
CCM
"Ikulu ni mahala PATAKATIFU,
mimi sikuchaguliwa kuja kupageuza kuwa pango la wala RUSHWA."
By J.K. NYERERE.
RAIS ni dhaifu tena sana , asante sana mnyika kwa kusema kweli achana na hao wapuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuzi wa chukua chako mapema ,kwa ni kusema mtu ni dhaifu ni dhambi? hata vitabu vya mungu vinasema tu usimwite mtu mpumbavu ila dhaifu mbona tena katumia tafsida nzuri kila mtu ana udhaifu wake na wangemuache Mnyika aeleze huo udhaifu wa raisi nu upi .hata watoto wanaonyonya wanajua raisi ni dhaifu tena wakucheka cheka ovyoo
"Mfalme yuko uchi," kauli hii alithubtu kuisema mtoto mmoja mdogo akieleza ukweli wa kile alichokiona, wakati wote waliokuwa wamemzunguka mfalme, ingawa waliona kuwa hakuvaa joho la ajabu, bado walisifia koti hilo ili kumridhisha mfalme; lakini baada ya hapo wote wakapaza sauti, Mfalme yuko uchi! Tafauti na katika kisa kile, hapa bado wabunge wetu wa CCM wanataka tulisifie joho la mfalme wetu.
Yule mtoto kama angesema "Mfalme hakuvaa joho," wengi wangepuuza maneno yake. Vivyo hivyo kama Manyika angesema "Raisi si mtekelezaji", wala pasingekuwa na mjadala hapa.
Manyika, mtoto mdogo amethubutu kusema "Rais wetu ni dhaifu," wanaotaka kuendelea kumsifia Raisi waendelee kufanya hivyo, lakini hlo halitamfanya awe asivyo.
"JF - SAUTI YA WASIO NA SAUTI ............ na wapayukaji"
Safi sana Mnyika, Na usifute hiyo kauli, ukweli unauma!!. Ungeongeza na kwamba jamaa ni kama pambo tu.
Vua GAMBA Vaa GWANDA
Mbowe amtaka kijana wa kijiweni Mnyika aombe msamaha kwa serikali
Uhuru wa kweli wa Taifa utaletwa na Mapinduzi ya kweli ya Fikra ndani ya Wanachama na wapenzi wa CCM!@
http://tunein.com/tuner/?StationId=158711&
gonga hiyo link usikilize bunge, na usikie jambo lililotokea.
Ccm na job ndugai wao wanachokifanya hata hawakijui nani hajui kikwete kuwa ni dhaifu wa kupindukia badala ya kushukuru katokea mtu kasema ukweli mnamfukuza ndani ya ukumbi wa bunge,atarudi baadae kile kichwa sio mchezo kinajua kinajua kinajua kile hala john john mnyika.'here we go'
Wakati wa Nyerere tulikuwa maskini wa mwisho duniani. Kila kitu ilifikia tunaletewa msaada, mpaka tukaletewa unga wa njano wa kula farasi. Tulikuwa hatuna hata kanda mbili za kuvaa, ashaakum si matusi wanawake walikuwa hawana hata "pedi".
Wakati wa Nyerere, Mwinyi na Mkapa zaidi ya 60% ya bajeti yetu ilitegemea kuomba omba, leo wakati wa Kikwete kashusha hilo mpaka kufikia 30% na mwaka huu imekuwa chini ya 30%, nani alifanya hilo kabla yake?
Ulikuwepo wakati wa Nyerere? au unadanganywa tu na wewe unakubali?
System At Work
"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe
Follow Us Here