Ni kwa kutoa kauli kuwa Rais Kikwete ni dhaifu!
Amekataa kufuta kauli yake na ametolewa nje ya Ukumbi.
Ni kwa kutoa kauli kuwa Rais Kikwete ni dhaifu!
Amekataa kufuta kauli yake na ametolewa nje ya Ukumbi.
kunahitajika semina,warsha,elimu ya chuo kikuu kujua kama kikwete ni dhaifu???
Na hilo haswa ndio tatizo lako na lenu wana magamba.....kudhani kwamba nyinyi ndio peke yenu wenye hati miliki ya kufikiri na kujenga mustakabali wa nchi hii....hayo ni mawazo mgando kwa sababu kila raia wa nchi hii ana haki na wajibu sawa wa kuchangia katika kuleta mstakabali mwema kwa nchi hii....na hilo linaanza kwa kuwa wakweli na wawazi....na wote tunajua udhaifu wa Rais wetu na serikali anayoiongoza.....sasa kama hapakuwa na wa kusema hadharani kijana amewasaidia ili muache kusema upenuni na kwenye shuka zenu.
Huyu dogo bana sijui nini! Barabara ya kutokea Kimara mwisho kuelekea Bonyokwa imejaa mashimo hadi sasa daldala haziendi,wapiga kura tunateseka yeye anatafuta umaarufu kunuka.Enzi za Keenje kila baada ya miezi mitatu walikuwa wakipitisha greda.Sasa tokea mwaka huu uanze hakuna cha greda wala nini.Sasa tuseme huu ni udhaifu au nini?
Udhaifu ni neno zuri tena la kawaida lakini ni tusi kwa mtu anayeujua, na huku akiuficha kwa maslahi binafsi. Lakini kwa watu wenye hekima, ukiambiwa una udhaifu katika maeneo 1,2,3 basi unachukua muda wa kujitafakari na kupanga kujirekebisha, baada ya kumshukuru aliyekuambia. CCM wamekaa kulinda maslahi binafsi ndiyo maana wakiona unaelekea kwenye chungu wanalipuka.
CETICT
System At Work
"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe
mnyika pamoja sana.wapasukie hao.ubungo yote 2po pamoja nawe.na ww ndugaye umekurupuka na maamuzi,kuwa udhaifu ni tusi jana wabunge wa ccm wamelopoka sana ulijua hautakuwepo ili umkatishe mnyika asiongee kwa taarifa yako tunafahamu kuwa RAIS NA NDUGAYE NI DHAIFU.endelea kutoa quotations za spika wa ukweli SITA.
JK ni dhaifu na pia ni a threat to the national security. "Something" should be done.
Rais hajui why we are poor? Dhaifu na mpuuzi. Aliomba huo urais wa nini? Hafai hata kidogo.
Rais anasema wezi warudishe billions wasamehewe? Huu udhaifu unahoji labda na yeye kahusika na huu wizi. Si bure.
Rais anawasifu na kuwabariki mafisadi wanaoshtakiwa na serikali anayosimamia. Huu si udhaifu tu na upuuzi juu yake.
Rais anayeogopa presidential debate? Anaonyesha hana debating skills and nothing to show nor say. Dhaifu.
Rais anayesema angepewa $1bn angeifanya Tanzania heaven ni a joke. Si dhaifu tu, huyu mtu ni empty kichwani. You are the darn president, stop making wishes.
Rais anayegeuza taasisi ya Urais kuwa ya PR. Miaka saba sasa, maneno tu. Maisha hovyo.
Rais anayeacha makampuni ya gesi na mafuta kufanya kazi wakati hakuna sheria za kusimamia gesi. Huyu hajaongwa kweli. Huu udhaifu unaibua maswali.
Tusikatae ukweli. Rais ni dhaifu na zaidi ya hapo. History will be the judge. Bravo Mnyika. Nyoka anapaswa apigwe kichwa.
System At Work
"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe
Kumfukuza nje kunasaidia nini tena? Mi nimesahau
We are all inventors, each sailing out on a voyage of discovery, guided each by a private chart, of which there is no duplicate. The world is all gates, all opportunities.
Ralph Waldo Emerson
Kikwete is a weak president ever! Anafaa kuwaongoza watu wa Pwani na Mirembe.
Tulikuwa na Kamanda Lema alithubutu kumkemea waziri mkuu kuudanganya uma wa watanzani.
Tunahitaji wapiganaji wengi wa aina ya Mnyika na Lema kukemea mazezeta wanaodhani inchi hii ni yao na wanaoweza kuamua na kufanya chochote wapendacho hatakama ni cha kijinga. Rais ni Dhaifu haihitaji PhD hata asiye na elimu yoyote anatambua hivyo.
Kikosi kazi kinajengeka na muda si mrefu matunda yataonekana ni kwa njia ya kokosoana na kuambiana ukweli ndio pekee italiokoa taifa na maafa ya kuficha-ficha matatizo.
1. Mikataba inasainiwa kwa siri (siri kwa nini na ni kwa manufaa yetu watanzania tunaficha nini kama sio udhaifu na wizi)
2. makosa yakitokea bungeni (ccm wanaitana kuwekana sawa huu ndo udhaifu na sasa ndugai karuka na mnyika vipi asiruke na lusinde?) wanaingia chemba kufumbana midomo huku wakifahamu wanaicha njia iwapasayo kupita (ukumbi wa bunge) kuwaokoa watanzania.
Double standard bungeni ni udhaifu mwingine???
Mbunge wa Jimbo la Ubungo, John Mnyika.
Mbunge wa Jimbo la Ubungo, John Mnyika.Nitatoa tamko la kina baadae kuhusu kilichotokea lakini kwa ufupi ubovu wa bajeti hii ni matokeo ya udhaifu wa Rais Kikwete, yeye ndiye aliyesaini Mpango wa Taifa wa miaka mitano kama Kiongozi Mkuu wa Nchi tena kwa wino mwekundu kama Amiri Jeshi Mkuu. Na yeye ndiye Mwenyekiti wa baraza la mawaziri, bajeti hii iliyoacha kuzingatia mpango wa Taifa imepita kwenye baraza alilloliongoza, pia kushindwa kutekelezwa kwa bajeti iliyopita ni matokeo pia ya udhaifu wa taasisi ya Urais.
Pia kwa mujibu wa Katiba Rais ndiye ambaye anapeleka bajeti bungeni, Waziri mwenye dhamana anapeleka tu kwa niaba. Rais amepewa mamlaka makubwa juu ya bajeti ibara ya 99 imeweka mipaka kuhusu mambo ambayo bunge lina mamlaka nayo huku ibara ya 90 inasema bunge likikataa bajeti rais ana mamlaka ya kuvunja bunge. Hivyo Rais Kikwete anapaswa kuagiza Waziri wa Fedha bajeti iondolewe irudi kwenye baraza la mawaziri ikafanyiwe marekebisho!
SIYO WOTE WANAOTANGATANGA WAMEPOTEA
Follow Us Here