Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Tundu Lissu: 'Bunge la Bajeti' is another silly season!

    Report Post
    Page 25 of 25 FirstFirst ... 15232425
    Results 481 to 485 of 485
    1. #1
      Tumaini Makene's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th January 2012
      Posts : 1,056
      Rep Power : 8906
      Likes Received
      2228
      Likes Given
      768

      Default Tundu Lissu: 'Bunge la Bajeti' is another silly season!

      Lissu: This is another silly season!

      Nitajaribu kuandika kadri ya alivyosema. Nitamnukuu kadri ya alivyosema, lakini ni wazi sitaweza kuaandika yote (ya muhimu) aliyoyasema na kwa namna ile ile aliyoisema, maana nilikuwa nikitype kwa wakati ule ule aliokuwa akizungumza. Ni moja ya hansard nzuri kuifutilia, kuipata na kuisoma.

      Of-course baada ya mchango wake bungeni pametifuka kweli kweli. Alifuata Mwigulu Nchemba, looh! Badala ya kuzungumzia bajeti in details akaanza kumsakama Lissu, wapinzani na bajeti yao. Akatupa hata kitabu cha bajeti mbadala ya Kambi ya Upinzani Bungeni ilyosomwa leo na Ndugu Kabwe Zitto Zuberi.

      Jamaa kama alivyokurupuka kujibu tamko la Zitto juu ya kufilisika hazina kama ambavyo taarifa za Benki Kuu (BoT) kwenye mtandao zilikuwa zinaonekana kuonesha, ndivyo ilivyokuwa leo. Anatanguliza mbele sana kujisema juu ya uchumi grade gani vile...na kuwa aliwahi kufanya kazi BoT. Tumsaidie. Sifa za uwezo wa mtu, kitaaluma, huwa hazisemwi mdomoni. Zinapaswa kuonekana. People have to feel it, have to ssen it...it has to be felt, heard not to be said with merely words.

      Mmoja wa wafanyakazi wenzangu hapa, dereva, ananiambia hapa kuwa jamaa pressure ilikuwa juu kutokana na mchango wa Lissu na Bajeti Mbadala ya Kambi ya Upinzani ilivyoichana chane ile ya serikali. He is another completely affected with CHADEMAphobia (or CHADEMAhegemony) akimfuatia kwa ukaribu sana Stephen Masatu Wassira.

      Baada ya hapo pia alifuatia John Komba, oohpps. I have nothing to quote from him. Angalizo kwao; wasipokuwa makini watajikuta katika hali iliyowasibu mwaka jana wakati wa mjadala wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba Mpya, ambapo baada ya KUTIFULIWA kwa hoja kabambe, wakaacha kujadili hoja mbele yao, wakaanza kumjadili mtu (Lissu), watu (CHADEMA). Complete out of point, out of touch. Wakaliwa kwenye mahakama kubwa ya watu, nje ya bunge.

      Anyway turudi kwenye 'headline'. Ndugu Tundu Lissu alikuwa mmoja wa wachangiaji wa mjadala wa bajeti leo bungeni. Session ya jioni hii. Katifua. Amesema wazi wazi kuwa wakati wa bunge la bajeti ni majira mengine kwa ajili ya masuala ya kipuuzi. Ameita it is silly season. Na hivyo Mkutano huu wa bajeti it is another silly season kwa sababu ni wakati wa kujadili mambo ambayo hayatekelezeki.


      Wabunge wengi (ofcoz mnawajua) wanasimama wanasema wanaunga mkono bajeti mia kwa mia kisha wakianza kuchangia wanapinga kila kitu walichosema awali wanaunga mkono. It is another silly season.

      It is another silly season kwa sababu serikali inaleta vitu bungeni na wabunge wanajadili na wengine wanaunga mkono wakati inajulikana wazi kuwa vitu hivyo havitekelezwi.

      Amesema kujadili vitu ambavyo havitekelezwi ni kujidanganya wenyewe, kudanganya watoto wetu na kuidanganya nchi hii. Ni aibu kwa kwetu kwa wabunge wote (bunge zima).

      Ametolea mfano wa namna serikali ilivyoahidi katika mkutano wa bunge la bajeti uliopita kuwa wataweka trilioni 8.6 kila mwaka kwa ajili ya bajeti ya Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano.

      Anasema kwa sababu ya kuwa ni silly season, wabunge waliitwa Saint Gasper na Rais, wakalishwa, wakanyweshwa juu ya Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano. Lakini katika bajeti ya mwaka jana mpango huo ukatengewa trilioni 4. (something), walipohoji wakajibiwa kuwa ni mwaka wa mpito lakini itaanza rasmi mwaka huu.

      Lakini mwaka huu tena mpango huo umetengewa trilioni 4.5 badala ya trilioni 8.6 kama ilivyoahidiwa. “They knew they were lying, we knew they were lying, we should be ashamed to this government, ashamed to this budget…ashamed to these Members of Parliament kwa sababu ndiyo wanaopitisha bajeti hii…(hapa Lukuvi akaingilia juu ya matumizi ya lugha za kuudhi kwa kutumia kanuni ya 64 kuwa inakataza matumizi ya lugha za matumizi na Mwenyekiti Mabumba akasisitiza).

      “Mara kadhaa wamekuja hapa na kuahidi kuwa wataziba mianya ya ukwepaji kodi, watapunguza misamaha ya kodi. Lugha hizi zimekuwa za siku nyingi sana. Viongozi wa dini wamefanya utafiti na kuja na ripoti waliyoiita The 1 billlion Dollar Question…hii ni disaster ya CCM and nobody else. Mwaka 1998 Kigoda waziri wa madini, sheria ya madini ya mwaka 1998.


      “Mwaka 1998 katika bunge hili wakati huo Waziri wa Nishati na Madini alikuwa Kigoda, alisema kuwa sekta ya madini itakuwa ikichangia asilimia 52 ya revenue yote inayotokana na madini. Lakini mpaka sasa tunapata on average dola milioni 100 tena katika utafiti huu wa viongozi wa dini wanasema asilimia 65 zinatokana na kodi za wafanyakazi.

      “Na sasa tumepata miungu wapya wanaitwa wawekezaji…our new gods, the untouchable, kila ukigusa aah wawekezaji, ukigusa aah wawekezaji…what have they done for us? Tunaambiwa kuwa eskta ya madini ndiyo inayotoa more foreign exchange than any other…hizo fedha hizo ziko wapi…


    2. Miaka 50

    3. #481
      CHUAKACHARA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd June 2011
      Posts : 3,018
      Rep Power : 7641
      Likes Received
      987
      Likes Given
      752

      Default Re: Bunge kichefuchefu.......

      Quote By MAMMAMIA
      CHUAKACHARA Mkuu, hapa umezidi kidogo. Naomba uwaheshimu kama wanawake kwa ujumla wao, kwani ikiwa kuna mmoja tu ambaye hakufika hapo kwa kufuli utakuwa umemtusi na hukumtendea haki.
      Basi nawatoa wale ambao hawakuingia kwa kufuli! Lakini wewe angalia, viti maalum wote ni wazuri! Is this a coincidence, never at all, ni chakula cha wakubwa, believe it or not. Naomba samahani kwa wale ambao hawakuingia kwa njia hizo. Na sikumaanisha kuwa wote ni hao hao!

    4. #482
      CHUAKACHARA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd June 2011
      Posts : 3,018
      Rep Power : 7641
      Likes Received
      987
      Likes Given
      752

      Default Re: Bunge kichefuchefu.......

      Quote By MAMMAMIA
      CHUAKACHARA Mkuu, hapa umezidi kidogo. Naomba uwaheshimu kama wanawake kwa ujumla wao, kwani ikiwa kuna mmoja tu ambaye hakufika hapo kwa kufuli utakuwa umemtusi na hukumtendea haki.
      Samahani mammamia, Sio wote, lakini wewe ngalia, viti maalum wote ni wazuri(beautiful ladies) Is this a coincidence, not at all, ni deliberate move, and the next question one can pose is: How did deliberate move come about? Mammamia we ni mwanamke, Pole basi, sio wote some are there by merit- they truly deserve being there

    5. #483
      Rabin's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 21st March 2009
      Posts : 115
      Rep Power : 541
      Likes Received
      11
      Likes Given
      0

      Default Re: Tundu Lissu: 'Bunge la Bajeti' is another silly season!

      Naumia kichwa sana kwa nini haya magamba ni magumu kuelewa
      mapungo likes this.

    6. #484
      MAMMAMIA's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 25th February 2008
      Location : Near You
      Posts : 3,794
      Rep Power : 3256
      Likes Received
      1496
      Likes Given
      1206

      Default Re: Bunge kichefuchefu.......

      Quote By CHUAKACHARA
      Samahani mammamia, Sio wote, lakini wewe ngalia, viti maalum wote ni wazuri(beautiful ladies) Is this a coincidence, not at all, ni deliberate move, and the next question one can pose is: How did deliberate move come about? Mammamia we ni mwanamke, Pole basi, sio wote some are there by merit- they truly deserve being there
      Mimi ni mwanamme, lakini ni wa mtetezi wa wanawake [na watoto]; na msimamo wangu ni kuwa wanastahiki kuheshimiwa kama wanawake, kama binadamu. Hata kama 99% ni kama ulivyowaelezea, basi hiyo 1% iliyobakia haipaswi kuingizwa kwenye kapu.
      "JF - SAUTI YA WASIO NA SAUTI ............ na wapayukaji"

    7. #485
      piper's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th January 2012
      Posts : 1,587
      Rep Power : 763
      Likes Received
      241
      Likes Given
      39

      Default Re: Tundu Lissu: 'Bunge la Bajeti' is another silly season!

      Yap ni silly season inaotufanya tuonekane silly n' sleepy



    8. Study Abroad

      FemaTV & Radio
    Page 25 of 25 FirstFirst ... 15232425

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...