Huyu dada ameichambua bajeti kisayansi na kisomi, kapitia vipengele na kuainisha mapungufu, kaangalia utekelezaji wa bajeti iliyopita kalinganusha na iliyoombwa!! Huyu dada ni jembe, sijui nani alimuingiza mkenge kuleta vurugu pale Igunga, atakusaidia sana Mh Mbowe katika utekelezaji wa M4C hebu angalia uwezekano wa kumvalisha Gwanda. Kasi yake haiendani na serikali goigoi ya CCM.

Reply With Quote

Follow Us Here