Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Mwigulu Nchemba: Mbowe anamlipia mtoto wake chekechea tu dola 15.000 kwa mwaka

    Report Post
    Page 3 of 17 FirstFirst 1234513 ... LastLast
    Results 41 to 60 of 340
    1. #1
      Ritz's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 1st January 2011
      Location : Republic of Nauru
      Posts : 19,209
      Rep Power : 12770
      Likes Received
      6438
      Likes Given
      998

      Default Mwigulu Nchemba: Mbowe anamlipia mtoto wake chekechea tu dola 15.000 kwa mwaka

      Wanabodi.

      Mbunge wa Iramba na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Mwigulu Nchemba, leo kwenye Mkutano wa CCM Morogoro, akihutubia Wananchi kasema Mbowe anasema anataka kuwakomboa masikini na kulalamika viongozi wa CCM wanasomesha watoto wao nje ya nchi kwa pesa nyingi wakati yeye Mbowe, anamlipia chekechea tu mtoto wake dola 15,000 kwa mwaka zaidi ya milioni 20.

      SOURCE: HABARI STAR TV

    2. #41
      Ritz's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 1st January 2011
      Location : Republic of Nauru
      Posts : 19,209
      Rep Power : 12770
      Likes Received
      6438
      Likes Given
      998

      Default

      Sio kila kitu cha Mbowe lazima ukijue vitu vingine ni vyake binafsi...wewe unawajua watoto wote wa Mbowe?

    3. #42
      TUMBIRI's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th May 2011
      Posts : 1,876
      Rep Power : 3641
      Likes Received
      1151
      Likes Given
      288

      Default re: Mwigulu Nchemba: Mbowe anamlipia mtoto wake chekechea tu dola 15.000 kwa mwaka

      Quote By Tume ya katiba View Post
      PHD yako haijakusaidia, kwa nchi masikini kama TZ, na kwa mtu kama mbowe anayejidai kutetea umasikini wa watanzania, kama kweli 20M kwa mwaka just kwa chekechea si pesa ndogo. kwa hiyo hoja ya sh ngapi inamata sana.
      Mkuu kwa hiyo wewe Diploma yako ya CBE ndiyo inakusaidia kujua kwamba Mbowe ni Mwizi kama JK, EL, RA, AC, nk!

      TUMBIRI (PhD, University of Hull - UK),

      [email protected]
      Hadha Min Fadhil Rhabi - Hizi ni Rehema za Mwenyezi Mungu

    4. #43
      Shardcole's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th January 2012
      Posts : 4,821
      Rep Power : 1374
      Likes Received
      1095
      Likes Given
      4

      Default

      Quote By Ritz View Post
      Wanabodi.

      Mbunge wa Iramba na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Mwigulu Nchemba, leo kwenye Mkutano wa CCM Morogoro, akihutubia Wananchi kasema Mbowe anasema anataka kuwakomboa masikini na kulalamika viongozi wa CCM wanasomesha watoto wao nje ya nchi kwa pesa nyingi wakati yeye Mbowe, anamlipia chekechea tu mtoto wake dola 15,000 kwa mwaka zaidi ya milioni 20.

      SOURCE: HABARI STAR TV
      mkuu kutoa mapovu sio mtaji bali na ww tafuta pesa za kihalali then usomeshe wako kuliko kupinga majungu na kila siku huwa mnaambiwa elimu duniana yenyewe ina umuhimu wake ila bado mnaweka shingo ngumu.
      Ni hayo tu na ninakutakia ususiaji mwema wa sensa.
      tweve likes this.

    5. #44
      King Kong III's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th October 2010
      Location : Enaboishu-Umenyeni
      Posts : 12,391
      Rep Power : 5160
      Likes Received
      3344
      Likes Given
      2738

      Default re: Mwigulu Nchemba: Mbowe anamlipia mtoto wake chekechea tu dola 15.000 kwa mwaka

      Hakuna kitu kama hicho,mwigulu ebu tutajie jina la mtoto wa mbowe na shule anayosoma!!

    6. #45
      nngu007's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 2nd August 2010
      Posts : 11,695
      Rep Power : 3658
      Likes Received
      3220
      Likes Given
      473

      Default re: Mwigulu Nchemba: Mbowe anamlipia mtoto wake chekechea tu dola 15.000 kwa mwaka

      Quote By Ritz View Post
      Mkuu Mbowe anamiliki gazeti gani?
      Tanzania Daima linamilikiwa na kampuni yake

    7. #46
      TUMBIRI's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th May 2011
      Posts : 1,876
      Rep Power : 3641
      Likes Received
      1151
      Likes Given
      288

      Default re: Mwigulu Nchemba: Mbowe anamlipia mtoto wake chekechea tu dola 15.000 kwa mwaka

      Quote By Ritz View Post
      Sio kila kitu cha Mbowe lazima ukijue vitu vingine ni vyake binafsi. Wewe unawajua watoto wote wa Mbowe?
      Mkuu Ritz,
      Mbowe ni rafiki yangu toka nikiwa Undergraduate pale Mlimani. Familia yake na yangu zinajuana vizuri. Nakuhakikishia kabisa! Mbowe hana Mtoto anaesomesha Chekechea sasa hivi. Na ukumbuke kwamba si kila mtoto mwenye Surname ya Mbowe ni Mtoto wa Freeman Aikael Mbowe.

      TUMBIRI (PhD, University of Hull - UK),

      [email protected]
      Mwita Maranya and palalisote like this.
      Hadha Min Fadhil Rhabi - Hizi ni Rehema za Mwenyezi Mungu

    8. #47
      Khakha's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th July 2009
      Posts : 990
      Rep Power : 704
      Likes Received
      213
      Likes Given
      82

      Default

      Quote By Tume ya katiba View Post
      Katika uzi kama huu ndio utakapowajua CDM, yaani kama wana akili za kushikiwa, wanatetea kila jambo!

      Hivi kwa akili zenu, ada kwa mwaka chekechea karibu milioni 20 useme haina shida?
      mwanauamsho tume ya katiba. hiyo ada anayomlipia mbowe mwanae je iko kwenye bill ya cdm au ni biashara ya familia yake ambayo karithi toka kwa marhum baba yake ambaye wasira muasisi alisema kuwa walipigania uhuru na nyerere miaka ile?

    9. #48
      Tume ya Katiba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th April 2012
      Location : Chumbuni-Zanzibar
      Posts : 2,838
      Rep Power : 0
      Likes Received
      565
      Likes Given
      295

      Default re: Mwigulu Nchemba: Mbowe anamlipia mtoto wake chekechea tu dola 15.000 kwa mwaka

      Nsisitiza PHD yako ni empty box, wapi katika post yangu au ya mwanzilishi wa uzi imemtaja mbowe mwizi? umeona una phd lakini unatoka nje ya mada!!?

    10. #49
      Pendael laizer's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th January 2012
      Posts : 945
      Rep Power : 564
      Likes Received
      90
      Likes Given
      5

      Default

      Quote By Tume ya katiba View Post
      Katika uzi kama huu ndio utakapowajua CDM, yaani kama wana akili za kushikiwa, wanatetea kila jambo!

      Hivi kwa akili zenu, ada kwa mwaka chekechea karibu milioni 20 useme haina shida?
      Sasa inashida gani? kwani hizo ni kodi za wananchi zimetumika vibaya? Acha umagamba wako

    11. #50
      Mungi's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 23rd September 2010
      Location : Hapa!!!
      Posts : 10,531
      Rep Power : 37790
      Likes Received
      4979
      Likes Given
      2347

      Default re: Mwigulu Nchemba: Mbowe anamlipia mtoto wake chekechea tu dola 15.000 kwa mwaka

      Ni vizuri akataja huyo mtoto anasoma shule gani, na mtoto wa chekechea analipiwa ada kiasi gani. Vinginevyo yote ni mboyoyo! Mtu yeyote anaweza kuwaaminisha watu upumbavu wake, mfano anaweza kusema Mwanaasha analipiwa ada dola laki 5 hapa hapa bongo bila facts.

    12. #51
      MchunguZI's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th June 2008
      Posts : 1,322
      Rep Power : 826
      Likes Received
      224
      Likes Given
      77

      Default re: Mwigulu Nchemba: Mbowe anamlipia mtoto wake chekechea tu dola 15.000 kwa mwaka

      Quote By Tume ya katiba View Post
      Katika uzi kama huu ndio utakapowajua CDM, yaani kama wana akili za kushikiwa, wanatetea kila jambo!

      Hivi kwa akili zenu, ada kwa mwaka chekechea karibu milioni 20 useme haina shida?
      Nchi gani hapa Duniani ina chekechea ya mamilioni hayo. Ni hadithi kwa wenye akili ndogo.
      Hebu google uone watoto wa kifalme hapo UK walisoma shule gani halafu angalia kama kuna ada kama hizo.

      Nchi iliyoendelea haiwezi kuwa na ujinga wa kuweka ada kama hizo. wanajua maana ya Huduma za jamii. Elimu ni Huduma kwa jamii.

      Mwigulu ana akili timamu? CCM lazima wajaribu kukumbuka kwamba TZ sasa ina fomu 4, 6 na digrii nyingi mtaani tukichambua maneno yao. Hii siyo fikra za m/kiti tena!
      The educated differ from the uneducated as much as the living from the dead --Aristotle

    13. #52
      Shine's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th February 2011
      Posts : 9,473
      Rep Power : 2490
      Likes Received
      974
      Likes Given
      385

      Default

      Quote By FJM View Post
      Mwigulu na first class degree yake bado haelewi nini watu wanaongea! The issue is not about how much you have but rather how you got the money? Ni kwa mtindo wa vijicent, EPA, Deep Green? au kuwa kupitia magezeti, a night club!

      Lakini kinachonichekesha ni contradiction ya CCM, wanalalamikia hela za Mbowe, lakini hapo hapo wanaponda aina ya biashara anazofanya!!! Si hawa hawa CCM wamekuwa wanaongelea biashara ya ukumbi wa disco kama biashara uchwara? Mwenzao hachagui kazi na hela kapata, tofauti na wao wanavamia bank kuu na kuiba hela!
      mkuu ulichosema ni kweli kabisa maana japo wanadharau biashara zakd ndizo hizo hizo zinazowalipa mishahara kupitia kodi anazolipa!
      FJM likes this.

    14. #53
      Ritz's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 1st January 2011
      Location : Republic of Nauru
      Posts : 19,209
      Rep Power : 12770
      Likes Received
      6438
      Likes Given
      998

      Default

      Quote By Mkira View Post
      ukiangalia elimu imeharibiwa na ccm ili mtoto wako asome vizuri inabidi ulipe hela ndefu na imefanywa hivyo makusudi ili wenye hela wasomweshe watiti wao ili wawaririthishe utawala hapo baadaye! ndio maana kuna WENGI MASAPOTA WA CCM humu wanasema PAYE SAWA HAKUNA ANAEKATAA hebu juilsime mie ninalipa 850000 kwa mwezi na ni uhakika! lakini mtoto wangu hawezi pata elimu bora inanibidi tena nilipe mioni moja katika hizo shule zinazomilikiwa na hao hao wa ccm! ili mtoto apte elimu japo bora! imagine mdogo wangu au ndugu yangu kijijini akiugua na kupelekwa hosptali ya serkali hamna dawa inanibidi niingie tena mfuko! na hapa bado ninalipa tena 70000 katika bima ya afya!! cha ajabu mmesikia NHIF wao ni kutengeza faida tu hela hizo serikali ingeziweka katika dawa ktk hosptal; zake si tungewa tumechangia kutoka mishahara yetu kuwatibia watazania wengi badala ya NHIF kuwalipa wahindi na nk!!!

      Kwakweli mtu duni atanedelea kuumia tu chini ya utawala wa ccm, ninashangaa kuona watu wanahogwa 5000 wanajazana jangwani! WAKATI MWNGINE NINWAZA SI AFADHALI CHADEMA IAYAACHE HAYA MAJINGA YAENNDELEE KUUMIA TU HASA IGNORANT WA DAR NA UDINI WAO! NA AKINA MAMA! SHIDA TU LAKINI ETI NAO HAELEWI SOMO!
      Wewe kiboko mkuu unamlipia mtoto wako 850000 kwa mwezi, kwa mwaka unalipa 1020000 shule gani mkuu wangu?

    15. #54
      Tume ya Katiba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th April 2012
      Location : Chumbuni-Zanzibar
      Posts : 2,838
      Rep Power : 0
      Likes Received
      565
      Likes Given
      295

      Default re: Mwigulu Nchemba: Mbowe anamlipia mtoto wake chekechea tu dola 15.000 kwa mwaka

      Quote By Pendael laizer View Post
      Sasa inashida gani? kwani hizo ni kodi za wananchi zimetumika vibaya? Acha umagamba wako
      Kwa ukereketwa wa hali hii, tanzania itakuwa masikini milele

    16. #55
      Pendael laizer's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th January 2012
      Posts : 945
      Rep Power : 564
      Likes Received
      90
      Likes Given
      5

      Default

      Quote By Shardcole View Post
      Mbona povu jingi na unakakamaza misuli ya shingo mpaka macho yamekuwa mekundu!? Sasa we ulitaka akamsomeshe mtoto wake madrasa?
      Tatzo lenu wazenj hamnazo kabsa kwan kwenye kusomesha mnaogopa gharama alafu kwenye mitihan mnataka baraza liiwafahurishe na pia kwenye nafasi za job mnataka usawa na wakati nyie mlikimbia elimu dunia na mkaikombatia elimu ahera sasa si muende mkaajiliwe huko ahera kuliko kutoa povu jingi duniani. Eboooo....!
      Aisee kula LIKE yangu. Waache waendelee na madrasa yao na gap linazidi kuwepo na akili zao zitaendelea kuwa finyu.

    17. #56
      Ritz's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 1st January 2011
      Location : Republic of Nauru
      Posts : 19,209
      Rep Power : 12770
      Likes Received
      6438
      Likes Given
      998

      Default

      Quote By MchunguZI View Post
      Nchi gani hapa Duniani ina chekechea ya mamilioni hayo. Ni hadithi kwa wenye akili ndogo.
      Hebu google uone watoto wa kifalme hapo UK walisoma shule gani halafu angalia kama kuna ada kama hizo.

      Nchi iliyoendelea haiwezi kuwa na ujinga wa kuweka ada kama hizo. wanajua maana ya Huduma za jamii. Elimu ni Huduma kwa jamii.

      Mwigulu ana akili timamu? CCM lazima wajaribu kukumbuka kwamba TZ sasa ina fomu 4, 6 na digrii nyingi mtaani tukichambua maneno yao. Hii siyo fikra za m/kiti tena!
      Mkuu hakuna haja ya ku-google kuna member mwenzetu humu JF Mkira anamsomesha mtoto wake kwa mwezi analipa 850000 kwa mwaka analipa 10200000.

    18. #57
      Jasusi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th May 2006
      Posts : 10,699
      Rep Power : 2911
      Likes Received
      3892
      Likes Given
      12472

      Default re: Mwigulu Nchemba: Mbowe anamlipia mtoto wake chekechea tu dola 15.000 kwa mwaka

      Quote By Tume ya katiba View Post
      PHD yako haijakusaidia, kwa nchi masikini kama TZ, na kwa mtu kama mbowe anayejidai kutetea umasikini wa watanzania, kama kweli 20M kwa mwaka just kwa chekechea si pesa ndogo. kwa hiyo hoja ya sh ngapi inamata sana.
      what is the problem here? Mbowe angekuwa ni waziri wa sheria na tunajua mishahara ya mawaziri ni kiasi gani hili lingekuwa issu. Lakini Mbowe ni mfanyibiashara. Hivi leo Bakhresa akigombea ubunge wa Ilala halafu awe na mwanaye anasoma Marekani au Uingereza, litakuwa suala kweli kwamba Bakhresa anasomesha mtoto wake Marekani. Of course not.
      Precise pangolin likes this.

    19. #58
      Comi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd October 2011
      Posts : 1,031
      Rep Power : 596
      Likes Received
      164
      Likes Given
      2

      Default re: Mwigulu Nchemba: Mbowe anamlipia mtoto wake chekechea tu dola 15.000 kwa mwaka

      Tusiwe bendera fata upepo, mbowe hajakiri wala kukanusha,tusubiri ajibiwe maana pia tunataka na risiti ili tujue ni kweli au la

    20. #59
      Ruttashobolwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd February 2012
      Posts : 13,798
      Rep Power : 19852
      Likes Received
      4411
      Likes Given
      1744

      Default re: Mwigulu Nchemba: Mbowe anamlipia mtoto wake chekechea tu dola 15.000 kwa mwaka

      Sisi hatuna shida na mtu kumlipia mwanae hata zaidi ya 30 million,sisi hatu chukii matajiri kwan kama anazipata ki halali hakuna shida. Mwingulu nchemba hakuwa na point hapo.

    21. #60
      Jasusi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th May 2006
      Posts : 10,699
      Rep Power : 2911
      Likes Received
      3892
      Likes Given
      12472

      Default re: Mwigulu Nchemba: Mbowe anamlipia mtoto wake chekechea tu dola 15.000 kwa mwaka

      Quote By Ritz View Post
      Mkuu Mbowe anamiliki gazeti gani?
      kwani hujui?

    Page 3 of 17 FirstFirst 1234513 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...