Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Mwigulu Nchemba: Mbowe anamlipia mtoto wake chekechea tu dola 15.000 kwa mwaka

    Report Post
    Page 2 of 17 FirstFirst 123412 ... LastLast
    Results 21 to 40 of 340
    1. #1
      Ritz's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 1st January 2011
      Location : Republic of Nauru
      Posts : 19,200
      Rep Power : 12769
      Likes Received
      6435
      Likes Given
      992

      Default Mwigulu Nchemba: Mbowe anamlipia mtoto wake chekechea tu dola 15.000 kwa mwaka

      Wanabodi.

      Mbunge wa Iramba na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Mwigulu Nchemba, leo kwenye Mkutano wa CCM Morogoro, akihutubia Wananchi kasema Mbowe anasema anataka kuwakomboa masikini na kulalamika viongozi wa CCM wanasomesha watoto wao nje ya nchi kwa pesa nyingi wakati yeye Mbowe, anamlipia chekechea tu mtoto wake dola 15,000 kwa mwaka zaidi ya milioni 20.

      SOURCE: HABARI STAR TV


    2. #21
      BONGOLALA's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 14th September 2009
      Posts : 5,413
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1194
      Likes Given
      199

      Default re: Mwigulu Nchemba: Mbowe anamlipia mtoto wake chekechea tu dola 15.000 kwa mwaka

      Familia ya mbowe ina pesa kabla ya uhuru wa tanganyika,ajiulize riz1 mtoto mdogo kaiba wapi pesa huku baba lofa?
      Jasusi and Tumaini Makene like this.

    3. #22
      KOMBAJR's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th November 2011
      Posts : 3,997
      Rep Power : 5982
      Likes Received
      821
      Likes Given
      233

      Default

      Quote By Ritz View Post
      Wanabodi.

      Mbunge wa Iramba na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Mwigulu Nchemba, leo kwenye Mkutano wa CCM Morogoro, akihutubia Wananchi kasema Mbowe anasema anataka kuwakomboa masikini na kulalamika viongozi wa CCM wanasomesha watoto wao nje ya nchi kwa pesa nyingi wakati yeye Mbowe, anamlipia chekechea tu mtoto wake dola 15,000 kwa mwaka zaidi ya milioni 20.

      SOURCE: HABARI STAR TV
      Mwigulu hoja yako haina mashiko ulitaka kuwaambia nini hao waliokuwa wanakusikiliza?kila siku zinavyokwenda najiuliza ni kweli first class yako ni practical?kwenye mkutano wa jangwani uliongea pumba eti CDM wanapata wapi pesa ya kuzunguka nchi nzima.Jipange tena aibu uliyoipata meru bado inakusumbua.umemshindwa Dr. Slaa umehamia kwa mbowe umekuja UDSM kutoka Iramba mbowe yupo town long tym.
      saddam likes this.

    4. #23
      Vmark.'s Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd August 2011
      Location : Arusha/Moshi.
      Posts : 741
      Rep Power : 547
      Likes Received
      89
      Likes Given
      9

      Default

      Quote By Tume ya katiba View Post
      Loh!
      Wapenzi wa Chadema ni watumwa wa kifikra.
      wewe onyesha uharamu wa hela za mbowe sio unabweka tu bila hoja! Hizo hela za ada ya mwanaye kaliibia taifa au nizakwake?
      Jasusi likes this.

    5. #24
      Crashwise's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd October 2007
      Location : Safarini
      Posts : 13,474
      Rep Power : 19244
      Likes Received
      4191
      Likes Given
      3374

      Default

      Quote By BONGOLALA View Post
      MWIGULU akumbuke pia kuwa baba yake freeman mbowe ndiye aliyemnunulia nyerere suit za kwenda uk kwa malkia kuomba uhuru
      hahahaahaah...hawajui waambie kamanda...

    6. #25
      Molemo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Posts : 8,707
      Rep Power : 10935
      Likes Received
      3961
      Likes Given
      426

      Default

      Quote By Ritz View Post
      Wanabodi.

      Mbunge wa Iramba na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Mwigulu Nchemba, leo kwenye Mkutano wa CCM Morogoro, akihutubia Wananchi kasema Mbowe anasema anataka kuwakomboa masikini na kulalamika viongozi wa CCM wanasomesha watoto wao nje ya nchi kwa pesa nyingi wakati yeye Mbowe, anamlipia chekechea tu mtoto wake dola 15,000 kwa mwaka zaidi ya milioni 20.

      SOURCE: HABARI STAR TV
      Mbowe anatumia fedha zake halali wakati mafisadi wanatumia fedha za uma kwa njia ya wizi


    7. #26
      Tume ya Katiba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th April 2012
      Location : Chumbuni-Zanzibar
      Posts : 2,835
      Rep Power : 0
      Likes Received
      565
      Likes Given
      295

      Default re: Mwigulu Nchemba: Mbowe anamlipia mtoto wake chekechea tu dola 15.000 kwa mwaka

      PHD yako haijakusaidia, kwa nchi masikini kama TZ, na kwa mtu kama mbowe anayejidai kutetea umasikini wa watanzania, kama kweli 20M kwa mwaka just kwa chekechea si pesa ndogo. kwa hiyo hoja ya sh ngapi inamata sana.

    8. #27
      Tume ya Katiba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th April 2012
      Location : Chumbuni-Zanzibar
      Posts : 2,835
      Rep Power : 0
      Likes Received
      565
      Likes Given
      295

      Default re: Mwigulu Nchemba: Mbowe anamlipia mtoto wake chekechea tu dola 15.000 kwa mwaka

      Quote By Shardcole View Post
      kati ya watumwa wa CDM na nyie uamsho mnaochoma makanisa sasa ni nani mtumwa kifikra?
      Hata sikushangai kwani umebahatika kuwa na eilimu ahera zat y ur nt gud at ol.
      we Shardcole, acha kujenga chuki baina ya wananchi.

    9. #28
      Crashwise's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd October 2007
      Location : Safarini
      Posts : 13,474
      Rep Power : 19244
      Likes Received
      4191
      Likes Given
      3374

      Default re: Mwigulu Nchemba: Mbowe anamlipia mtoto wake chekechea tu dola 15.000 kwa mwaka

      kama mnatafuta watu wenye pesa nchi hii yko pia ndesa pesa..kuwa na pesa nchi hii ni zambi? zambi ni kama umezipata kwanjia za ujanja ujana kama riz1...
      Jasusi and saddam like this.

    10. #29
      Danho's Avatar
      Member Array
      Join Date : 15th June 2012
      Posts : 54
      Rep Power : 363
      Likes Received
      2
      Likes Given
      0

      Default re: Mwigulu Nchemba: Mbowe anamlipia mtoto wake chekechea tu dola 15.000 kwa mwaka

      Mi nadhan kuwa CCM sio lazma uwe na upeo mkubwa wa kufkilia. Ila inahitaj uwe na sifa zifuatazo:- mnafki, mropokaji, fisadi, mwoga, mla rushwa na nyingine wengine wataongezea...
      Man KKK likes this.

    11. #30
      Kibanga Ampiga Mkoloni's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th August 2007
      Location : Here! here!
      Posts : 5,103
      Rep Power : 1780
      Likes Received
      1271
      Likes Given
      1710

      Default re: Mwigulu Nchemba: Mbowe anamlipia mtoto wake chekechea tu dola 15.000 kwa mwaka

      ilishasemwa kama unaona elimu ni ghali jaribu ujinga.
      Jasusi, Mwita Maranya and sosoliso like this.

    12. #31
      Molemo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Posts : 8,707
      Rep Power : 10935
      Likes Received
      3961
      Likes Given
      426

      Default

      Quote By Tume ya katiba View Post
      Loh!
      Wapenzi wa Chadema ni watumwa wa kifikra.
      Wewe ndiyo mtumwa wa fikra Magamba usiye na aibu

    13. #32
      Tume ya Katiba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th April 2012
      Location : Chumbuni-Zanzibar
      Posts : 2,835
      Rep Power : 0
      Likes Received
      565
      Likes Given
      295

      Default re: Mwigulu Nchemba: Mbowe anamlipia mtoto wake chekechea tu dola 15.000 kwa mwaka

      Quote By Molemo View Post
      Wewe ndiyo mtumwa wa fikra Magamba usiye na aibu
      Molemo, niombe radhi kwanza nimekuzidi umri, pili mimi ni mwanachama wa ADC, kwa maendeleo,umoja,mshikamano,dem okrasia ya kweli.

    14. #33
      Mkira's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th May 2006
      Posts : 432
      Rep Power : 1147
      Likes Received
      39
      Likes Given
      7

      Default re: Mwigulu Nchemba: Mbowe anamlipia mtoto wake chekechea tu dola 15.000 kwa mwaka

      Quote By Molemo View Post
      Mbowe anatumia fedha zake halali wakati mafisadi wanatumia fedha za uma kwa njia ya wizi
      ukiangalia elimu imeharibiwa na ccm ili mtoto wako asome vizuri inabidi ulipe hela ndefu na imefanywa hivyo makusudi ili wenye hela wasomweshe watiti wao ili wawaririthishe utawala hapo baadaye! ndio maana kuna WENGI MASAPOTA WA CCM humu wanasema PAYE SAWA HAKUNA ANAEKATAA hebu juilsime mie ninalipa 850000 kwa mwezi na ni uhakika! lakini mtoto wangu hawezi pata elimu bora inanibidi tena nilipe mioni moja katika hizo shule zinazomilikiwa na hao hao wa ccm! ili mtoto apte elimu japo bora! imagine mdogo wangu au ndugu yangu kijijini akiugua na kupelekwa hosptali ya serkali hamna dawa inanibidi niingie tena mfuko! na hapa bado ninalipa tena 70000 katika bima ya afya!! cha ajabu mmesikia NHIF wao ni kutengeza faida tu hela hizo serikali ingeziweka katika dawa ktk hosptal; zake si tungewa tumechangia kutoka mishahara yetu kuwatibia watazania wengi badala ya NHIF kuwalipa wahindi na nk!!!

      Kwakweli mtu duni atanedelea kuumia tu chini ya utawala wa ccm, ninashangaa kuona watu wanahogwa 5000 wanajazana jangwani! WAKATI MWNGINE NINWAZA SI AFADHALI CHADEMA IAYAACHE HAYA MAJINGA YAENNDELEE KUUMIA TU HASA IGNORANT WA DAR NA UDINI WAO! NA AKINA MAMA! SHIDA TU LAKINI ETI NAO HAELEWI SOMO!

    15. #34
      Ritz's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 1st January 2011
      Location : Republic of Nauru
      Posts : 19,200
      Rep Power : 12769
      Likes Received
      6435
      Likes Given
      992

      Default

      Quote By nngu007 View Post
      Mbowe hizo pesa alizonazo ni za Baba yake na pia aliisaidia Nchi wakati wa Uhuru; Nyerere anamfahamu hata Mlezi wa CCM anafahamu Jinsi Mzee Mbowe alivyofaifanyia Nchi yetu.

      Hakuingia kwenye siasa alibaki kwenye Biashara zake; kwahiyo hakuchota toka serikalini kama Jamaa walioko serikalini sasa hivi, wana mali ndiyo wanaruhusa ya kuitumia. Na tunaiona kama Machame hotel, Na Disco Club ilioko Dar pia Gazeti

      Sasa tukiuliza Lau ana nini mpaka kuwa na Majumba South Afrika lakini hajajenga Mwanza?

      Rais wetu kapeleka watoto kusoma Malawi

      Mafisadi wengi ndani ya CCM...

      Angejaribu kujisafisha yeye Mwenyewe aache Matusi na kuvaa skafu ya bendera ya Taifa ni kosa
      Mkuu Mbowe anamiliki gazeti gani?

    16. #35
      Shardcole's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th January 2012
      Posts : 4,820
      Rep Power : 1374
      Likes Received
      1095
      Likes Given
      4

      Default

      Quote By Tume ya katiba View Post
      Katika uzi kama huu ndio utakapowajua CDM, yaani kama wana akili za kushikiwa, wanatetea kila jambo!

      Hivi kwa akili zenu, ada kwa mwaka chekechea karibu milioni 20 useme haina shida?
      Mbona povu jingi na unakakamaza misuli ya shingo mpaka macho yamekuwa mekundu!? Sasa we ulitaka akamsomeshe mtoto wake madrasa?
      Tatzo lenu wazenj hamnazo kabsa kwan kwenye kusomesha mnaogopa gharama alafu kwenye mitihan mnataka baraza liiwafahurishe na pia kwenye nafasi za job mnataka usawa na wakati nyie mlikimbia elimu dunia na mkaikombatia elimu ahera sasa si muende mkaajiliwe huko ahera kuliko kutoa povu jingi duniani. Eboooo....!
      tweve likes this.

    17. #36
      TUMBIRI's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th May 2011
      Posts : 1,876
      Rep Power : 3641
      Likes Received
      1150
      Likes Given
      288

      Default re: Mwigulu Nchemba: Mbowe anamlipia mtoto wake chekechea tu dola 15.000 kwa mwaka

      Quote By KOMBAJR View Post
      Jipange tena aibu uliyoipata meru bado inakusumbua.umemshindwa Dk Slaa umehamia kwa Mbowe ! Umekuja UDSM kutoka Iramba Mbowe yupo Town long tym.
      CHADEMA tulishamtafutia kiboko ya Mwigulu LM Nchemba, ni swala la muda tu. Mwalimu wangu Kitila Mkumbo for Iramba Magharibi 2015!
      Hadha Min Fadhil Rhabi - Hizi ni Rehema za Mwenyezi Mungu

    18. #37
      MAMA POROJO's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd November 2007
      Posts : 4,907
      Rep Power : 1857
      Likes Received
      626
      Likes Given
      421

      Default re: Mwigulu Nchemba: Mbowe anamlipia mtoto wake chekechea tu dola 15.000 kwa mwaka

      Quote By Tume ya katiba View Post
      PHD yako haijakusaidia, kwa nchi masikini kama TZ, na kwa mtu kama mbowe anayejidai kutetea umasikini wa watanzania, kama kweli 20M kwa mwaka just kwa chekechea si pesa ndogo. kwa hiyo hoja ya sh ngapi inamata sana.
      Mbowe hana mtoto mdogo anayesoma chekechea. Ungesema chuo kikuu tungekuelewa, acha umbea.

    19. #38
      DOSMAN's Avatar
      Member Array
      Join Date : 26th March 2012
      Posts : 29
      Rep Power : 370
      Likes Received
      1
      Likes Given
      1

      Default re: Mwigulu Nchemba: Mbowe anamlipia mtoto wake chekechea tu dola 15.000 kwa mwaka

      hzo fedha anazotoa ni za halali au za wizi?
      kibaya ni kutumia kodi ya mnyonge kujinufaisha wewe na familia yako..!!

    20. #39
      KOMBAJR's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th November 2011
      Posts : 3,997
      Rep Power : 5982
      Likes Received
      821
      Likes Given
      233

      Default

      Quote By Tume ya katiba View Post
      PHD yako haijakusaidia, kwa nchi masikini kama TZ, na kwa mtu kama mbowe anayejidai kutetea umasikini wa watanzania, kama kweli 20M kwa mwaka just kwa chekechea si pesa ndogo. kwa hiyo hoja ya sh ngapi inamata sana.
      Hatukohapa kumpangia mtu matumizi ya pesa aliyochuma kwa jasho lake ulitaga agawe kwa wananchi?mbona serikali wameshindwa hilo?huyo mwigulu mwanaye anasoma iramba?mbona wanaosomesha savannah hajawasema na ni watumishi wa umma!

    21. #40
      Shine's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th February 2011
      Posts : 9,473
      Rep Power : 2490
      Likes Received
      974
      Likes Given
      385

      Default

      Quote By darison andrew View Post
      mbowe ana fedha halari na safi


      Jamaa si mpayukaji tu ajui kama watu wanaangalia mpaka source ya hela ya mtu!

    Page 2 of 17 FirstFirst 123412 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...