Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Zitto kuwasilisha Bajeti 'Mbadala' ya Upinzani Juni 18, 2012

    Report Post
    Page 7 of 8 FirstFirst ... 5678 LastLast
    Results 121 to 140 of 146
    1. #1
      Molemo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Posts : 8,418
      Rep Power : 10873
      Likes Received
      3798
      Likes Given
      426

      Default Zitto kuwasilisha Bajeti 'Mbadala' ya Upinzani Juni 18, 2012

      Naibu kiongozi wa upinzani bungeni ambaye pia ni waziri kivuli wa Fedha Zitto Kabwe leo atawasilisha bajeti mbadala ya upinzani bungeni.

      Macho na masikio ya watanzania yanatarajiwa kushuhudia kile kilichoandaliwa na chama cha demokrasia na maendeleo kama majibu kwa bajeti ya serikali iliyosomwa na waziri wa fedha William Mgimwa.

      Bajeti hiyo ya serikali inapingwa kila kona ya nchi kutokana na serikali kujitengea asilimia 70% ya bajeti hiyo kwa matumizi yake huku miradi ya maendeleo ikitengewa tu asilimia 30%

      Watu kadhaa waliohojiwa wanasema wanategemea CDM kupeleka bajeti mbadala itakayowakilisha maoni halisi ya wananchi.

      CDM ambayo kwa sasa inaungwa mkono na idadi kubwa ya watanzania itazidi kujikita mioyoni mwa wananchi kutokana na bajeti mbadala itakayowasilishwa na mbunge wake machachari Zitto Kabwe.

      Habari za uhakika kutoka ndani ya CDM zinadai bajeti mbadala imeandaliwa kwa ustadi mkubwa ili kuwaonyesha wananchi CDM itafanya nini itakapoingia madarakani.

      Tayari kiongozi wa chama hicho Dr Wilbroad Slaa alishasema chama chake kitatumia kila njia kuipinga bajeti hii kwa manufaa ya watanzania wote.
      Last edited by Molemo; 18th June 2012 at 07:47.
      sesy nzenga likes this.

    2. FemaTV & Radio

    3. #121
      Mohamedi Mtoi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th December 2010
      Location : Lushoto - Kwemakame.
      Posts : 2,058
      Rep Power : 24550
      Likes Received
      3137
      Likes Given
      354

      Default Re: Anayefahamu hili la Zitto atujulishe

      Comfermed.
      Kambi rasmi ya upinzani itawasilisha bajeti yake kuanzia saa tano, ataanza kuwasilisha Christina Munghwai halafu atakuja kufunika kamanda mwenyewe Zitto kabwe.

    4. #122
      mashami's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 8th May 2012
      Posts : 168
      Rep Power : 388
      Likes Received
      23
      Likes Given
      1

      Default Re: Anayefahamu hili la Zitto atujulishe

      itakua baada ya maswali na majibu

    5. #123
      Ngarenaro's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th November 2011
      Posts : 282
      Rep Power : 433
      Likes Received
      44
      Likes Given
      1

      Default Re: Anayefahamu hili la Zitto atujulishe

      Mara baada ya kipindi cha maswali na majibu kuisha, kuanzia saa 4:30, kwa sasa maswali yameanza kuuliza yanaelekezwa ofisi ya w/mkuu

    6. #124
      KOMBAJR's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th November 2011
      Posts : 3,865
      Rep Power : 5952
      Likes Received
      800
      Likes Given
      227

      Default Re: Anayefahamu hili la Zitto atujulishe

      Quote By Mohamedi Mtoi
      Comfermed.
      Kambi rasmi ya upinzani itawasilisha bajeti yake kuanzia saa tano, ataanza kuwasilisha Christina Munghwai halafu atakuja kufunika kamanda mwenyewe Zitto kabwe.
      Be blessed mkuu.Hii ndiyo ngoma watayoicheza baada ya Waziri wa Fedha origin kusoma bajeti yenye mwelekeo na majibu kwa wale walio kitaa
      Face Reality As it Is, Not As it Was or As You Wish It To Be.

    7. #125
      peter tumaini's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2012
      Location : DSM
      Posts : 575
      Rep Power : 483
      Likes Received
      86
      Likes Given
      54

      Default Re: Zitto kutikisa Taifa Jumatatu

      Quote By zomba
      Hakuna jipya. Chadema hawana uwezo wa kuandika bajeti.

      Bajeti ya mgimwa ilikuwa sio mbaya ila yeye mwenyewe ndio hajajuwa kui-present.
      uwezo upi unaouongelea mkuu mbona sio mara ya kwanza kuwasilisha bajeti.
      Kuhusu Mgimwa issue ni kilicho kwenye bajeti na sio nani amewakilisha hata ungekuwa wewe bado ingepingwa tu.

    8. Miaka 50

    9. #126
      Myheart's Avatar
      Member Array
      Join Date : 18th June 2012
      Posts : 23
      Rep Power : 353
      Likes Received
      6
      Likes Given
      7

      Default Re: Zitto kutikisa Taifa Jumatatu

      Quote By Marire
      Hivi wakuu haiwezekani kama bajeti ya upinzani itakuwa nzuri tukaitumia na kuachana na hiyo ya hao wezi?
      Huwa najiuliza hivyo hivyo. Maana sioni sababu ya upinzani kuwasilisha bajeti mbadala halafu haifanyiwi kazi yoyote.

    10. #127
      MANI's Avatar
      JF Platinum Member Array
      Join Date : 22nd February 2010
      Location : CHINI YA MBUYU
      Posts : 1,914
      Rep Power : 953
      Likes Received
      568
      Likes Given
      629

      Default Re: Zitto kutikisa Taifa Jumatatu

      Quote By zomba
      Hakuna jipya. Chadema hawana uwezo wa kuandika bajeti.

      Bajeti ya mgimwa ilikuwa sio mbaya ila yeye mwenyewe ndio hajajuwa kui-present.
      Sasa mkuu ulitaka aipresent vipi? Kwani presentation inaondoa ubovu ?
      " TANZANIA BILA CCM INAWEZEKANA"

    11. #128
      peter tumaini's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2012
      Location : DSM
      Posts : 575
      Rep Power : 483
      Likes Received
      86
      Likes Given
      54

      Default Re: Zitto kuwasilisha Bajeti 'Mbadala' ya Upinzani Juni 18, 2012

      ZITTO;Serikali imeshindwa kupunguza mfumuko wa bei hatua zake zimeongeza mfumuko huo badala ya kupunguza.
      Msongoru likes this.

    12. #129
      peter tumaini's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2012
      Location : DSM
      Posts : 575
      Rep Power : 483
      Likes Received
      86
      Likes Given
      54

      Default Re: Zitto kuwasilisha Bajeti 'Mbadala' ya Upinzani Juni 18, 2012

      vibali vya sukarii kwa tani laki mbili bila kutoza ushuru wa forodha ulipandisha bei ya sukari na mchele badala ya kupungua,serikali kwa bajeti hii inachukua hatua zilezile ikitegemea matokeo tofauti.

      Ushauri wake,SERIKALI ITUMIE SECTOR ZA SERIKALI KAMA BODI YA SUKARI ILI KULETA USHINDANI KATIKA SOKO.

    13. #130
      peter tumaini's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2012
      Location : DSM
      Posts : 575
      Rep Power : 483
      Likes Received
      86
      Likes Given
      54

      Default Re: Zitto kuwasilisha Bajeti 'Mbadala' ya Upinzani Juni 18, 2012

      Makosa ya kiufundi kuhusu capital gain,serikali pendekezo la serikali inaongelea hisa inatakiwa iongelee mali(assets)

    14. #131
      peter tumaini's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2012
      Location : DSM
      Posts : 575
      Rep Power : 483
      Likes Received
      86
      Likes Given
      54

      Default Re: Zitto kuwasilisha Bajeti 'Mbadala' ya Upinzani Juni 18, 2012

      Utekelezaji wa msamaha wa kodi uwe kivitendo na wala sio kila wakati kusema wako katika mchakato.refer one billion tax questions by dr. Ngowi. Na serikali ifanyie kazi.

    15. #132
      Benzoic's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 16th January 2012
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 211
      Rep Power : 413
      Likes Received
      32
      Likes Given
      18

      Default Re: Zitto kuwasilisha Bajeti 'Mbadala' ya Upinzani Juni 18, 2012

      Msongoru likes this.
      Hata babu alikuwa kaka.

    16. #133
      Nzenzu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th August 2011
      Posts : 826
      Rep Power : 558
      Likes Received
      155
      Likes Given
      38

      Default Re: Zitto kuwasilisha Bajeti 'Mbadala' ya Upinzani Juni 18, 2012

      Muda gani inarushwa?

    17. #134
      peter tumaini's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2012
      Location : DSM
      Posts : 575
      Rep Power : 483
      Likes Received
      86
      Likes Given
      54

      Default Re: Zitto kuwasilisha Bajeti 'Mbadala' ya Upinzani Juni 18, 2012

      Kuondolewa kwa presumptive tax iondolewe kwa wajasilia mali wadogo wadogo.

      Serikali ilipe skill development levy ili kuongeza wigo kwani hata serikali inafaidika na skills hizi.

      Huduma za simu;kambi ya upinzani inapinga ongezeko hilo kwani litaongeza gharama za simu badala yake kampuni za simu walipe corporate tax kwa uhakika na wadisclose taarifa zao.
      Mfano ni ghana.tcra wafunge mtambo wa ku-monitor taarifa hizi na wawe na revenue assurance

    18. #135
      Bitabo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th September 2011
      Posts : 1,375
      Rep Power : 662
      Likes Received
      447
      Likes Given
      261

      Default Re: Zitto kuwasilisha Bajeti 'Mbadala' ya Upinzani Juni 18, 2012

      namuona waziri wangu wa fedha akisoma bajeti kutoka kwenye ipad wakati waziri wao pamoja na mwenyekiti wa kamati wamebeba makaratasi kibao.

      M4C for life!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! !!!
      Msongoru likes this.
      Uovu wa siku moja, unaondoa wema wa MWAKA MZIMA

    19. #136
      peter tumaini's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2012
      Location : DSM
      Posts : 575
      Rep Power : 483
      Likes Received
      86
      Likes Given
      54

      Default Re: Zitto kuwasilisha Bajeti 'Mbadala' ya Upinzani Juni 18, 2012

      ZITTO;Kupiga marufuku kuuza ngozi ghafi, wauze processed hides and skin;

      Kuhusu maziwa kuwe na zero rating kwenye export ya bidhaa itakanayo na maziwa,refer kenya na uganda.

      Deni la Taifa; mikopo iwe ni kwa ajili ya shughuli za maendeleo tu na wala sio Re current expenditure.itungwe sheria ya kuonyesha kiwango cha juu cha ukopaji kwa taifa.
      Msongoru likes this.

    20. #137
      peter tumaini's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2012
      Location : DSM
      Posts : 575
      Rep Power : 483
      Likes Received
      86
      Likes Given
      54

      Default Re: Zitto kuwasilisha Bajeti 'Mbadala' ya Upinzani Juni 18, 2012

      Quote By Nzenzu
      Muda gani inarushwa?
      Zitto kaanza kusoma saa 6.00

    21. #138
      samora10's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st July 2010
      Location : Kwa-Gude
      Posts : 3,252
      Rep Power : 1102
      Likes Received
      729
      Likes Given
      1163

      Default Re: Zitto kuwasilisha Bajeti 'Mbadala' ya Upinzani Juni 18, 2012

      tutamsikiliza tu hata kwa redio za mbao
      ''Mipango na Mikakati imekamilika na sasa tuko kwenye mchakato wa mazungumzo na wafadhili"- M Pinda

    22. #139
      peter tumaini's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2012
      Location : DSM
      Posts : 575
      Rep Power : 483
      Likes Received
      86
      Likes Given
      54

      Default Re: Zitto kuwasilisha Bajeti 'Mbadala' ya Upinzani Juni 18, 2012

      ZITTO;VIPAUMBELE
      1-Kuanzishwa kwa RURAL DEVELOPMENT AUTHORITY IWE CHINI YA WAZIRI MKUU,
      2-KUONGEZA MISHAHARA KWA WAFANYAKAZI HASA WALIO VIJIJINI
      3-Ku-promote kilimo
      4-kukopesha magari kwa wafanyakazi wanao stahili na mashangingi yapigwe mnada.
      5-kuanzishwa kwa chuo kikuu cha petroleum na gas -mtwara
      6.n.k

    23. #140
      Nzenzu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th August 2011
      Posts : 826
      Rep Power : 558
      Likes Received
      155
      Likes Given
      38

      Default Re: Zitto kuwasilisha Bajeti 'Mbadala' ya Upinzani Juni 18, 2012

      Mishahara ipande bwanaa!

    Page 7 of 8 FirstFirst ... 5678 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...