Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Zitto kuwasilisha Bajeti 'Mbadala' ya Upinzani Juni 18, 2012

    Report Post
    Page 5 of 8 FirstFirst ... 34567 ... LastLast
    Results 81 to 100 of 146
    1. #1
      Molemo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Posts : 8,707
      Rep Power : 10935
      Likes Received
      3961
      Likes Given
      426

      Default Zitto kuwasilisha Bajeti 'Mbadala' ya Upinzani Juni 18, 2012

      Naibu kiongozi wa upinzani bungeni ambaye pia ni waziri kivuli wa Fedha Zitto Kabwe leo atawasilisha bajeti mbadala ya upinzani bungeni.

      Macho na masikio ya watanzania yanatarajiwa kushuhudia kile kilichoandaliwa na chama cha demokrasia na maendeleo kama majibu kwa bajeti ya serikali iliyosomwa na waziri wa fedha William Mgimwa.

      Bajeti hiyo ya serikali inapingwa kila kona ya nchi kutokana na serikali kujitengea asilimia 70% ya bajeti hiyo kwa matumizi yake huku miradi ya maendeleo ikitengewa tu asilimia 30%

      Watu kadhaa waliohojiwa wanasema wanategemea CDM kupeleka bajeti mbadala itakayowakilisha maoni halisi ya wananchi.

      CDM ambayo kwa sasa inaungwa mkono na idadi kubwa ya watanzania itazidi kujikita mioyoni mwa wananchi kutokana na bajeti mbadala itakayowasilishwa na mbunge wake machachari Zitto Kabwe.

      Habari za uhakika kutoka ndani ya CDM zinadai bajeti mbadala imeandaliwa kwa ustadi mkubwa ili kuwaonyesha wananchi CDM itafanya nini itakapoingia madarakani.

      Tayari kiongozi wa chama hicho Dr Wilbroad Slaa alishasema chama chake kitatumia kila njia kuipinga bajeti hii kwa manufaa ya watanzania wote.
      Last edited by Molemo; 18th June 2012 at 07:47.
      sesy nzenga likes this.


    2. #81
      kuku dume's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd April 2012
      Location : School of Medicine
      Posts : 336
      Rep Power : 428
      Likes Received
      47
      Likes Given
      12

      Default Re: Zitto kutikisa Taifa Jumatatu

      Pamoja na Zitto kesho!

    3. #82
      Barnabas Shadrack's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd July 2011
      Posts : 2,061
      Rep Power : 815
      Likes Received
      186
      Likes Given
      12

      Default

      Quote By OSOKONI View Post
      kwa kuwa hujui siasa ndio maana unasema hivo! bajeti ya upinzani ni taswira ya upinzani kuhusu swala la uchumi kwa jumla ni kuwaonyesha wananchi kuwa kama wangechagua CDM hayo ndiyo yangetekelezwa na ni maandalizi ya uchaguzi pia!!
      Una hakika sijui siasa? hujui kuwa kila mtanzania ni mwanasiasa maana Nyerere alituachia siasa nzuri sana.
      The unseen is illusrated by the seen.

    4. #83
      Barnabas Shadrack's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd July 2011
      Posts : 2,061
      Rep Power : 815
      Likes Received
      186
      Likes Given
      12

      Default

      Quote By RMA View Post
      Masikini!!! Huelewi ulisemalo!!!!!!!
      Maskini weee!!! yaani huelewi kuwa sisemi bali naandika?
      The unseen is illustrated by the seen.

    5. #84
      Barnabas Shadrack's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd July 2011
      Posts : 2,061
      Rep Power : 815
      Likes Received
      186
      Likes Given
      12

      Default

      Quote By STEIN View Post
      Hii ndiyo aina ya watanzania tulionao kwenye system... Mawazo mgando.. wanaoamini katika kuibia rasilimali za watanzania.

      Badala ya kuishinikiza serikali ipunguze msamaha wa kodi kwenye madini tunashangaa uwepo wa wapinzani...

      This is shame...
      Kwa hiyo kwakuwa wewe ni mwizi na mwenye mawazo ya wizi, unadhani na mie pia ni mwizi kama wewe? pole sana.
      The unseen is illustrated by the seen.

    6. #85
      Kajuni's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th May 2009
      Location : Jupiter
      Posts : 390
      Rep Power : 591
      Likes Received
      85
      Likes Given
      85

      Default Re: Zitto kutikisa Taifa Jumatatu

      Watuambie mfuko wa simenti sh. 5000! napita nasubiri kwa hamu sana hii bajeti mbadala
      zomba likes this.
      We should use common sense although common sense is not always common to everyone!!!


    7. #86
      Blessing's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st April 2009
      Posts : 261
      Rep Power : 570
      Likes Received
      10
      Likes Given
      0

      Default Re: Zitto kutikisa Taifa Jumatatu

      Aisee Wakuu hayo CHAMA CHA MAMAFIA wana hakika na wanyofanya ??? Hivyo itakuaje bajeti ya maendeleo ndogo kuliko ulaji ???? Eti huyo JK najua jukumu lake kua Rais ??? He has proven a failure kabisa. Sorry for my language lakini he is HOPELESS

    8. #87
      Barnabas Shadrack's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd July 2011
      Posts : 2,061
      Rep Power : 815
      Likes Received
      186
      Likes Given
      12

      Default

      Quote By Molemo View Post
      Wewe na wenzako
      Wenzangu kina nani wewe, mimi humu nimo kama mimi
      The unseen is illustrated by the seen.

    9. #88
      Barnabas Shadrack's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd July 2011
      Posts : 2,061
      Rep Power : 815
      Likes Received
      186
      Likes Given
      12

      Default

      Quote By sangija View Post
      Yale yale! magamba at work! nenda kachukue ujira wako!
      Una hakika kuwa mimi ni magamba?
      The unseen is illustrated by the seen.

    10. #89
      Zogwale's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 10th July 2008
      Posts : 6,133
      Rep Power : 6511
      Likes Received
      1253
      Likes Given
      538

      Default Re: Zitto kutikisa Taifa Jumatatu

      Wakuu nawahakikishia, bajeti ya kambi ya upinzani ni njema mno. Ninashauri kama kweli serikali ni sikivu ichukue bajeti hiyo maana ndiyo bajeti ya kweli iliyoandaliwa kitaalam na siyo cut and paste na kubadilisha figure tu kama wafanyavyo maafisa wa bajeti mawizarani na wale wa Wizara mama, Wizara ya Fedha!!!
      "Kama unaingia Ikulu kwa njia ya rushwa, je ni biashara gani iko huko ya kuwezesha kulipa fadhila ya rushwa hiyo???"

    11. #90
      Barnabas Shadrack's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd July 2011
      Posts : 2,061
      Rep Power : 815
      Likes Received
      186
      Likes Given
      12

      Default

      Quote By Kajuni View Post
      Watuambie mfuko wa simenti sh. 5000! napita nasubiri kwa hamu sana hii bajeti mbadala
      Wakikwambia mfuko wa simenti sh. 5000 ndiyo itakuwa kweli unanunua kwa bei hiyo?
      The unseen is illustrated by the seen.

    12. #91
      Molemo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Posts : 8,707
      Rep Power : 10935
      Likes Received
      3961
      Likes Given
      426

      Default

      Quote By Barnabas Shadrack View Post
      Una hakika kuwa mimi ni magamba?
      The unseen is illustrated by the seen.
      Mtu anayemloga mwanao utampa jina gani zaidu ya mchawi?

    13. #92
      Zogwale's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 10th July 2008
      Posts : 6,133
      Rep Power : 6511
      Likes Received
      1253
      Likes Given
      538

      Default Re: Zitto kutikisa Taifa Jumatatu

      Quote By Majimoto View Post
      TBC na Star TV hawatairusha live.
      Tumwombe Mzee Mengi atasaidia, mwenye mawasiliano naye afanye but tunaomba pia zile radio zetu ziwe live. Tunashukur wakuu.
      "Kama unaingia Ikulu kwa njia ya rushwa, je ni biashara gani iko huko ya kuwezesha kulipa fadhila ya rushwa hiyo???"

    14. #93
      Molemo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Posts : 8,707
      Rep Power : 10935
      Likes Received
      3961
      Likes Given
      426

      Default

      Quote By Maane View Post
      Tumwombe Mzee Mengi atasaidia, mwenye mawasiliano naye afanye but tunaomba pia zile radio zetu ziwe live. Tunashukur wakuu.
      Pia JF tunaomba iwe Live.

    15. #94
      STEIN's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th August 2010
      Location : Arusha
      Posts : 1,348
      Rep Power : 720
      Likes Received
      308
      Likes Given
      157

      Default Re: Zitto kutikisa Taifa Jumatatu

      Quote By Barnabas Shadrack View Post
      Kwa hiyo kwakuwa wewe ni mwizi na mwenye mawazo ya wizi, unadhani na mie pia ni mwizi kama wewe? pole sana.
      The unseen is illustrated by the seen.
      Bora wezi wanaohoji rasilimali za waTZ kuliko wale walioibiwa hadi maarifa na upeo wao na kubakiwa na fikra mgando za kudhani CCM ndiyo imeshushwa na malaika.

      Nadhani dalili moja wapo ya mgando wa mawazo ni uwezo mdogo wa kutambua mambo yenye maslahi kwa umma kufikiri zaidi maslahi binafsi.
      “Problems cannot be solved by the same level of thinking that created them.”“Insanity: doing the same thing over and over again and expecting different results.”" by Albert Einstein"

    16. #95
      STEIN's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th August 2010
      Location : Arusha
      Posts : 1,348
      Rep Power : 720
      Likes Received
      308
      Likes Given
      157

      Default Re: Zitto kutikisa Taifa Jumatatu

      Quote By Barnabas Shadrack View Post
      Umejuaje au wewe ndiye mwenye sifa za gamba la kobe.
      The unseen is illustrated by the seen.
      Tumekutambua kwa maneno na matendo yako.
      “Problems cannot be solved by the same level of thinking that created them.”“Insanity: doing the same thing over and over again and expecting different results.”" by Albert Einstein"

    17. #96
      tpmazembe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th January 2012
      Posts : 382
      Rep Power : 452
      Likes Received
      55
      Likes Given
      59

      Default Re: Zitto kutikisa Taifa Jumatatu

      Quote By molemo View Post
      naibu kiongozi wa upinzani bungeni ambaye pia ni waziri kivuli wa fedha zitto kabwe kesho atawasilisha bajeti mbadala ya upinzani bungeni.
      Macho na masikio ya watanzania yanatarajiwa kushuhudia kile kilichoandaliwa na chama cha demokrasia na maendeleo kama majibu kwa bajeti ya serikali iliyosomwa na waziri wa fedha william mgimwa.bajeti hiyo ya serikali inapingwa kila kona ya nchi kutokana na serikali kujitengea asilimia 70% ya bajeti hiyo kwa matumizi yake huku miradi ya maendeleo ikitengewa tu asilimia 30%
      watu kadhaa waliohojiwa wanasema wanategemea cdm kupeleka bajeti mbadala itakayowakilisha maoni halisi ya wananchi.cdm ambayo kwa sasa inaungwa mkono na idadi kubwa ya watanzania itazidi kujikita mioyoni mwa wananchi kutokana na bajeti mbadala itakayowasilishwa na mbunge wake machachari zitto kabwe.
      Habari za uhakika kutoka ndani ya cdm zinadai bajeti mbadala imeandaliwa kwa ustadi mkubwa ili kuwaonyesha wananchi cdm itafanya nini itakapoingia madarakani.tayari kiongozi wa chama hicho dr wilbroad slaa alishasema chama chake kitatumia kila njia kuipinga bajeti hii kwa manufaa ya watanzania wote.
      zitto nakumbuka baadaya ya uchaguzi 2010 alikuwa analalamikia udini kwenye uchaguzi ule na aliungana na wabunge wengi wa cuf na rais kwa kusema uchaguzi ule ulikuwa na udini,pia alikuwa wa kwanza kupinga kauli ya mtei kuhusu wajumbe wa katiba(hata mimi sikukubaliana na mtei kwa kauli ile) .mbona zitto huyo huyo makanisa yanachomwa hatoi kauli yeyote?.nini msimamo wake kuhusu vurugu hizi na jumuiya ya uamsho na smz kwa ujumla?

    18. #97
      mkurugenz's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 200
      Rep Power : 404
      Likes Received
      15
      Likes Given
      16

      Default Re: Zitto kutikisa Taifa Jumatatu

      tusubiri na kuilingisha

    19. #98
      Molemo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Posts : 8,707
      Rep Power : 10935
      Likes Received
      3961
      Likes Given
      426

      Default

      Quote By tpmazembe View Post
      zitto nakumbuka baadaya ya uchaguzi 2010 alikuwa analalamikia udini kwenye uchaguzi ule na aliungana na wabunge wengi wa cuf na rais kwa kusema uchaguzi ule ulikuwa na udini,pia alikuwa wa kwanza kupinga kauli ya mtei kuhusu wajumbe wa katiba(hata mimi sikukubaliana na mtei kwa kauli ile) .mbona zitto huyo huyo makanisa yanachomwa hatoi kauli yeyote?.nini msimamo wake kuhusu vurugu hizi na jumuiya ya uamsho na smz kwa ujumla?
      Huku kutoa hoha za kijingajinga hata mahali pasipohusika mkiitwa magamba mnakasirika!

    20. #99
      Barnabas Shadrack's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd July 2011
      Posts : 2,061
      Rep Power : 815
      Likes Received
      186
      Likes Given
      12

      Default

      Quote By Molemo View Post
      Mtu anayemloga mwanao utampa jina gani zaidu ya mchawi?
      Fafanua sijakuelewa maana siamini katika wachawi.
      The unseen is illustrated by the seen.

    21. #100
      Barnabas Shadrack's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd July 2011
      Posts : 2,061
      Rep Power : 815
      Likes Received
      186
      Likes Given
      12

      Default

      Quote By STEIN View Post
      Bora wezi wanaohoji rasilimali za waTZ kuliko wale walioibiwa hadi maarifa na upeo wao na kubakiwa na fikra mgando za kudhani CCM ndiyo imeshushwa na malaika.

      Nadhani dalili moja wapo ya mgando wa mawazo ni uwezo mdogo wa kutambua mambo yenye maslahi kwa umma kufikiri zaidi maslahi binafsi.
      Hakuna mambo yenye maslahi kwa taifa hili zaidi ya mawazo na mbinu bora za kuiba rasilimali za nchi.
      The unseen is illustrated by the seen.

    Page 5 of 8 FirstFirst ... 34567 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...