Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: PICHA: Zitto akiwa jimboni kwa Msigwa leo

    Report Post
    Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast
    Results 21 to 40 of 48
    1. #1
      kamandamakini's Avatar
      Member Array
      Join Date : 17th February 2012
      Posts : 62
      Rep Power : 378
      Likes Received
      78
      Likes Given
      3

      Default PICHA: Zitto akiwa jimboni kwa Msigwa leo

      Mh. msigwa

      Mh. zitto.

      magamba yavuliwa watu wamiminika toka chama chamapinduzi kuhamia chama cha demokrasia na maendeleo. katika mkutano huu mh. msigwa alichukua maoni na maswali toka kwa wananchi ilikwenda kuwawakilisha vyema wananchi walio mtuma bungeni hasa katika bunge hili la bajeti,

      Mh. zitto Akihutubia mkutano uliohudhiriwa na mamia ya wakazi wa manispaa ya Iringa katika viwanja vya Kihesa Sokoni, Manispaa ya Iringa, Naibu katibu Mkuu wa Chadema ambaye ni Naibu waziri kivuli wa fedha, alisema bajeti iliyosomwa bungeni, inaonyesha wazi kwamba Serikali imeshindwa kujali wananchi maskini badala yake inajali matajiri
      .
      “Jumatatu tutaenda kuwakatalia bajeti yao, hatutaikubali kamwe! bajeti hii imeshindwa kudhibiti mfumko wa bei ambao umepaa kwa kasi hadi kufikia asilimia 18.7 toka asilimia 6.6, iliyokuwepo wakati bajeti iliposomwa mwaka jana,” alisema Kabwe.

      Alisema vitu vinavyofanya maisha ya watanzania kuwa magumu ni mfumko wa bei ya chakula ambao ni asilimia 25 na nishati ambayo ni asilimia 27, huku Serikali ikishindwa kudhibiti hali hiyo kwa kuandaa bajeti inayoshindwa kutekeleza ahadi zake.

      Alisema bunge lilipitisha mpango wa maendeleo wa taifa uliotaka asilimia 35 ya mapato ya ndani, yatengwe kwa ajili ya bajeti ya maendeleo jambo ambalo, limekuwa kinyume na bajeti iliyosomwa ambayo, imetengewa asilimia sifuri, kwa ajili ya mpango huo.

      “Tutahoji kwa nini Serikali imeshindwa kutenga asilimia 35 ya mapato yake ya ndani kwa ajili ya mpango huu, kwanini inafanya vitu kinyume cha sheria na kutenga asilimia sifuri?...jambo hili hatutakubaliana nalo,” alisema.

      Alidai kuwa hali halisi ilivyo sasa ni kwamba, mtanzania anatumia asimilia 48 kwa ajili ya kununua chakula, asilimia tisa kwa ajili ya nishati hali ambayo ni hatari.

      Alidai kuwa, kwa mujibu wa bajeti hiyo, shughuli zote zitaendeshwakwa fedha za mkopo na misaada toka kwa wahisani huku akidai kuwa, kwa mwaka huu Serikali itakopa sh trioni tano, huku deni la sasa likiwa trioni 22.

      “Trioni 22 ni deni kubwa ambalo linafanya kila kichwa cha mtanzania kudaiwa sh laki 4.18, fedha ambayo ni kubwa kuliko hali halisi ya mtanzania,” alisema.

      Alidai kuwa tatizo sio kukopa isipokuwa tatizo ni pale ambapo Serikali inakopa kwa ajili ya anasa kama mafuta ya mabenzi, na kulipana posho

      source: Mbunge Wako Iringa Mjini

    2. FemaTV & Radio

    3. #21
      Shardcole's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 15th January 2012
      Posts : 4,393
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1032
      Likes Given
      4

      Default Re: PICHA: Zitto akiwa jimboni kwa msigwa leo

      Viva msigwa, Viva zitto.

      Peoples.............!

    4. #22
      Gizakuu's Avatar
      Member Array
      Join Date : 29th April 2012
      Posts : 39
      Rep Power : 362
      Likes Received
      13
      Likes Given
      0

      Default Re: PICHA: Zitto akiwa jimboni kwa msigwa leo

      Aibu jamani,
      YAANI CHADEMA MMEKOSA WATU KIASI HIKI MPAKA MNACHAKACHUA PICHA ZA MKUTANO HUU?!!! nilikuwepo hizi picha mme adobeshop

      QUOTE=kamandamakini;4066288]

      Mh. msigwa

      Mh. zitto.

      magamba yavuliwa watu wamiminika toka chama chamapinduzi kuhamia chama cha demokrasia na maendeleo. katika mkutano huu mh. msigwa alichukua maoni na maswali toka kwa wananchi ilikwenda kuwawakilisha vyema wananchi walio mtuma bungeni hasa katika bunge hili la bajeti,

      Mh. zitto Akihutubia mkutano uliohudhiriwa na mamia ya wakazi wa manispaa ya Iringa katika viwanja vya Kihesa Sokoni, Manispaa ya Iringa, Naibu katibu Mkuu wa Chadema ambaye ni Naibu waziri kivuli wa fedha, alisema bajeti iliyosomwa bungeni, inaonyesha wazi kwamba Serikali imeshindwa kujali wananchi maskini badala yake inajali matajiri
      .
      “Jumatatu tutaenda kuwakatalia bajeti yao, hatutaikubali kamwe! bajeti hii imeshindwa kudhibiti mfumko wa bei ambao umepaa kwa kasi hadi kufikia asilimia 18.7 toka asilimia 6.6, iliyokuwepo wakati bajeti iliposomwa mwaka jana,” alisema Kabwe.

      Alisema vitu vinavyofanya maisha ya watanzania kuwa magumu ni mfumko wa bei ya chakula ambao ni asilimia 25 na nishati ambayo ni asilimia 27, huku Serikali ikishindwa kudhibiti hali hiyo kwa kuandaa bajeti inayoshindwa kutekeleza ahadi zake.

      Alisema bunge lilipitisha mpango wa maendeleo wa taifa uliotaka asilimia 35 ya mapato ya ndani, yatengwe kwa ajili ya bajeti ya maendeleo jambo ambalo, limekuwa kinyume na bajeti iliyosomwa ambayo, imetengewa asilimia sifuri, kwa ajili ya mpango huo.

      “Tutahoji kwa nini Serikali imeshindwa kutenga asilimia 35 ya mapato yake ya ndani kwa ajili ya mpango huu, kwanini inafanya vitu kinyume cha sheria na kutenga asilimia sifuri?...jambo hili hatutakubaliana nalo,” alisema.

      Alidai kuwa hali halisi ilivyo sasa ni kwamba, mtanzania anatumia asimilia 48 kwa ajili ya kununua chakula, asilimia tisa kwa ajili ya nishati hali ambayo ni hatari.

      Alidai kuwa, kwa mujibu wa bajeti hiyo, shughuli zote zitaendeshwakwa fedha za mkopo na misaada toka kwa wahisani huku akidai kuwa, kwa mwaka huu Serikali itakopa sh trioni tano, huku deni la sasa likiwa trioni 22.

      “Trioni 22 ni deni kubwa ambalo linafanya kila kichwa cha mtanzania kudaiwa sh laki 4.18, fedha ambayo ni kubwa kuliko hali halisi ya mtanzania,” alisema.

      Alidai kuwa tatizo sio kukopa isipokuwa tatizo ni pale ambapo Serikali inakopa kwa ajili ya anasa kama mafuta ya mabenzi, na kulipana posho

      source: Mbunge Wako Iringa Mjini[/QUOTE]

    5. #23
      NICE LAMECK's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 206
      Rep Power : 400
      Likes Received
      26
      Likes Given
      37

      Default Re: PICHA: Zitto akiwa jimboni kwa msigwa leo

      Sioni utata wa M4C kutoingia madarakani hivi ccm imekuwa na dharau kiasi hiki!

    6. #24
      Davie's Avatar
      Member Array
      Join Date : 26th February 2009
      Posts : 82
      Rep Power : 537
      Likes Received
      16
      Likes Given
      208

      Default Re: PICHA: Zitto akiwa jimboni kwa msigwa leo

      na yule aliekuja na brah brah za Nape aibomoa CDM Iringa yupo wapi...
      aone hiyo nyomi...M4C

    7. #25
      lyimoc's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 20th February 2011
      Posts : 140
      Rep Power : 446
      Likes Received
      9
      Likes Given
      4

      Default Re: PICHA: Zitto akiwa jimboni kwa msigwa leo

      Ccm kwa sasa ni sawa na ngamia aliefia jangwani na wanajaribu kumfufua na ni kitu ambacho hakiwezekani

    8. Study Abroad

    9. #26
      blue arrow's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 236
      Rep Power : 406
      Likes Received
      10
      Likes Given
      3

      Default Re: PICHA: Zitto akiwa jimboni kwa msigwa leo

      haongera sana gamba "B" japo kazi unayo tunachotaka ni matunda ya taifa hili lifaidhishe watanzania

    10. #27
      vunjajungu's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 25th November 2011
      Posts : 120
      Rep Power : 402
      Likes Received
      28
      Likes Given
      0

      Default Re: PICHA: Zitto akiwa jimboni kwa msigwa leo

      Twinomeeee!
      Twiyangasulee!X2

    11. #28
      Kingo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th May 2009
      Posts : 369
      Rep Power : 583
      Likes Received
      52
      Likes Given
      106

      Default Re: PICHA: Zitto akiwa jimboni kwa msigwa leo

      Quote By Mohamedi Mtoi
      Ukombozi umesha wadia kwa kasi ya kimbunga, hakuna rangi magamba wataacha kuona. Bajeti tri 15 deni tri 22.
      Hapo ndo nashindwa kuelewa mpango na mkakati endelevu wa taifa!!
      GOOD TIMBER DOES NOT GROW WITH EASE. THE STRONGER THE WIND THE STRONGER THE TREES.

    12. #29
      christine ibrahim's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th February 2012
      Posts : 2,693
      Rep Power : 903
      Likes Received
      430
      Likes Given
      440

      Default

      Quote By Duble Chris

      mkutano huko Kilolo
      Ha ha ha Napeeeee! Na bado
      Mbelwa Germano likes this.

    13. #30
      fige's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th July 2010
      Posts : 357
      Rep Power : 521
      Likes Received
      51
      Likes Given
      20

      Default Re: PICHA: Zitto akiwa jimboni kwa msigwa leo

      Quote By Havizya
      Kila mtanzania anadaiwa 488'000/ ili kulipia deni la taifa, hii ni pamoja na mimba iliyotungwa leo! NAPE anatamka 2015 ccm haitakabidhi nchi kwa wahuni. Wahuni ni nani? Nani anamdanganya huyu bwana mdogo? Wanaokabidhi ni wanananchi na wala si SISIEMU.
      Huwa simuelewi kabisa huyu kijana kwa sentensi yake hiyo ya kidikteta.Kwamba hata wananchi wakiamua kuchagua chama kingine ccm hawako tayari kukabidhi nchi ni kitisho cha demokrasia na ni kauli inayofaa kusemwa na vikundi kama boko-haram au al-shabab.
      Nawashanga polisi kutokumkamata ili afafanue kauli hiyo na nawashangaa sana ccm kutokukanusha.

    14. #31
      christine ibrahim's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th February 2012
      Posts : 2,693
      Rep Power : 903
      Likes Received
      430
      Likes Given
      440

      Default

      Quote By Gizakuu
      Aibu jamani,
      YAANI CHADEMA MMEKOSA WATU KIASI HIKI MPAKA MNACHAKACHUA PICHA ZA MKUTANO HUU?!!! nilikuwepo hizi picha mme adobeshop

      QUOTE=kamandamakini;4066288]

      Mh. msigwa

      Mh. zitto.

      magamba yavuliwa watu wamiminika toka chama chamapinduzi kuhamia chama cha demokrasia na maendeleo. katika mkutano huu mh. msigwa alichukua maoni na maswali toka kwa wananchi ilikwenda kuwawakilisha vyema wananchi walio mtuma bungeni hasa katika bunge hili la bajeti,

      Mh. zitto Akihutubia mkutano uliohudhiriwa na mamia ya wakazi wa manispaa ya Iringa katika viwanja vya Kihesa Sokoni, Manispaa ya Iringa, Naibu katibu Mkuu wa Chadema ambaye ni Naibu waziri kivuli wa fedha, alisema bajeti iliyosomwa bungeni, inaonyesha wazi kwamba Serikali imeshindwa kujali wananchi maskini badala yake inajali matajiri
      .
      “Jumatatu tutaenda kuwakatalia bajeti yao, hatutaikubali kamwe! bajeti hii imeshindwa kudhibiti mfumko wa bei ambao umepaa kwa kasi hadi kufikia asilimia 18.7 toka asilimia 6.6, iliyokuwepo wakati bajeti iliposomwa mwaka jana,” alisema Kabwe.

      Alisema vitu vinavyofanya maisha ya watanzania kuwa magumu ni mfumko wa bei ya chakula ambao ni asilimia 25 na nishati ambayo ni asilimia 27, huku Serikali ikishindwa kudhibiti hali hiyo kwa kuandaa bajeti inayoshindwa kutekeleza ahadi zake.

      Alisema bunge lilipitisha mpango wa maendeleo wa taifa uliotaka asilimia 35 ya mapato ya ndani, yatengwe kwa ajili ya bajeti ya maendeleo jambo ambalo, limekuwa kinyume na bajeti iliyosomwa ambayo, imetengewa asilimia sifuri, kwa ajili ya mpango huo.

      “Tutahoji kwa nini Serikali imeshindwa kutenga asilimia 35 ya mapato yake ya ndani kwa ajili ya mpango huu, kwanini inafanya vitu kinyume cha sheria na kutenga asilimia sifuri?...jambo hili hatutakubaliana nalo,” alisema.

      Alidai kuwa hali halisi ilivyo sasa ni kwamba, mtanzania anatumia asimilia 48 kwa ajili ya kununua chakula, asilimia tisa kwa ajili ya nishati hali ambayo ni hatari.

      Alidai kuwa, kwa mujibu wa bajeti hiyo, shughuli zote zitaendeshwakwa fedha za mkopo na misaada toka kwa wahisani huku akidai kuwa, kwa mwaka huu Serikali itakopa sh trioni tano, huku deni la sasa likiwa trioni 22.

      “Trioni 22 ni deni kubwa ambalo linafanya kila kichwa cha mtanzania kudaiwa sh laki 4.18, fedha ambayo ni kubwa kuliko hali halisi ya mtanzania,” alisema.

      Alidai kuwa tatizo sio kukopa isipokuwa tatizo ni pale ambapo Serikali inakopa kwa ajili ya anasa kama mafuta ya mabenzi, na kulipana posho

      source: Mbunge Wako Iringa Mjini
      [/QUOTE]

      ...ww acha uongo,hapa ni kihesa iringa!hatudanganyiki

    15. #32
      Shine's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th February 2011
      Posts : 9,123
      Rep Power : 2416
      Likes Received
      935
      Likes Given
      377

      Default Re: PICHA: Zitto akiwa jimboni kwa msigwa leo

      Watu wameamka sasa ilobaki ni kuitumia kura yao vyema hapo 2015 or anything happen before

    16. #33
      Njowepo's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 26th February 2008
      Location : Santiago
      Posts : 7,591
      Rep Power : 22053
      Likes Received
      992
      Likes Given
      769

      Default Re: PICHA: Zitto akiwa jimboni kwa msigwa leo

      Nape ana kazi!
      Hii vita ya David na Goliati!
      WB Tanzania lead economist Jacques Morisset said the GDP doubled in 10 years, but it has failed to produce any significant decline in poverty levels.

    17. #34
      Ta Muganyizi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th October 2010
      Location : Kashasha
      Posts : 2,743
      Rep Power : 983
      Likes Received
      948
      Likes Given
      1456

      Default Re: PICHA: Zitto akiwa jimboni kwa msigwa leo

      Alale pema peponi gambaaaa
      "Wajumbe kifungu hiki kinaafikiwa........Ndiyooooooo ooooooooooooooooooooo, "Wabunge wa Tanzania!!! !hasa wa CCM

    18. #35
      Ruttashobolwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd February 2012
      Posts : 13,444
      Rep Power : 19776
      Likes Received
      4282
      Likes Given
      1187

      Default Re: PICHA: Zitto akiwa jimboni kwa msigwa leo

      Cdm juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu uuuuuuu

    19. #36
      kichomiz's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th February 2011
      Posts : 4,053
      Rep Power : 1231
      Likes Received
      652
      Likes Given
      80

      Default

      Quote By Duble Chris

      mkutano huko Kilolo
      huu nao ni mkutano?

    20. #37
      Kiganyi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th April 2012
      Posts : 1,162
      Rep Power : 982
      Likes Received
      708
      Likes Given
      400

      Default Re: PICHA: Zitto akiwa jimboni kwa msigwa leo

      Bw Nape Nauye akiwahutubia wananchi Ilula Kilolo leo
      wananchi wa Ilula wakiwa katika mkutano huo wa CCM leo

    21. #38
      MAMMAMIA's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 25th February 2008
      Location : Near You
      Posts : 3,794
      Rep Power : 3256
      Likes Received
      1496
      Likes Given
      1206

      Default Re: PICHA: Zitto akiwa jimboni kwa msigwa leo

      Quote By Havizya
      Kila mtanzania anadaiwa 488'000/ ili kulipia deni la taifa, hii ni pamoja na mimba iliyotungwa leo! NAPE anatamka 2015 ccm haitakabidhi nchi kwa wahuni. Wahuni ni nani? Nani anamdanganya huyu bwana mdogo? Wanaokabidhi ni wanananchi na wala si SISIEMU.
      Wao CCM serikali walikabidhiwa na nani?
      Walifanya mapinduzi na kujitwalia kwa nguvu?

      Kama waliiingia serikalini kwa imani ya wananchi, ni wananchi hao hao sasa wamekosa imani nao, kwani wananchi ambao zaidi ya asilimia 50 wanaishi kwa chini ya Tz. Shs. 1000 kwa siku, ambazo nikasoro ya 365,000 kwa mwaka, utawabebeshaje deni la 488,000 kwa mwaka?

      Kama walichakachua, ya jana si ya leo na ya leo si ya kesho,
      itafika wakati hata wakichavhua vipi watashindwa kuunganisha hesabu.

      Msiba wa kujitakia hauambiwi pole. Rest In Hell CCM
      "JF - SAUTI YA WASIO NA SAUTI ............ na wapayukaji"

    22. #39
      Jackbauer's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th October 2010
      Location : CTU
      Posts : 4,873
      Rep Power : 1690
      Likes Received
      1348
      Likes Given
      277

      Default Re: PICHA: Zitto akiwa jimboni kwa msigwa leo

      Quote By RMA
      CCM wanasemaje? Bado Chadema ni Chama cha kaskazini?
      itakuwa ni kaskazini mwa kusini!!
      You may succeed in silencing me but that silence comes at a price-Alex litvinenko

    23. #40
      MESTOD's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th November 2010
      Posts : 2,558
      Rep Power : 943
      Likes Received
      677
      Likes Given
      131

      Default Re: PICHA: Zitto akiwa jimboni kwa msigwa leo

      Quote By Duble Chris

      mkutano huko Kilolo
      Yanatokea Tanzania kweli haya?

    24. Miaka 50
    Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...