Aliyekuwa mgombea udiwani kata ya nyasa kada mkubwa wa cuf Yusuph Omary Ally leo ameahama na kurudisha kadi kwa mwenyekiti wa CHADEMA kata ya migongo Masasi Mtwara Kassim Bingwe
Aliyekuwa mgombea udiwani kata ya nyasa kada mkubwa wa cuf Yusuph Omary Ally leo ameahama na kurudisha kadi kwa mwenyekiti wa CHADEMA kata ya migongo Masasi Mtwara Kassim Bingwe
Hongera sana mapambano yaendelee.
Hongereni makamanda wa Mtwara!! Naimani nchi yetu itajengwa na sisi wenyewe wala si kwa misaada kutoka kwa watu tofauti na watanzania!!
"Never argue with stupid people, they will drag you down to their level and then beat you with experience" Mark Twain
hizi ni taarifa za uwongo mtupu.....mgombea udiwani aliitwa abdala kaijuki ......
Hongera sana Mwenyekiti na katibu sana CDM.
siasa za chadema za uongo uongo, mgombea udiwani aliyegombea anaitwa abdallah kaijuki. na hata baadhi ya picha mpaka sasa zipo bado zimebandikwa mitaani.
Follow Us Here