Nipo kwenye eneo la mkutano watu wamejaa ajabu,viongozi punde watafika hapa kuhutubia,mengi nitazidi kuwajuza!
Nipo kwenye eneo la mkutano watu wamejaa ajabu,viongozi punde watafika hapa kuhutubia,mengi nitazidi kuwajuza!
Weka picha basi kamanda
Hao viongozi wanaotarajiwa kuhutubia ni akina nani? Usisahau kutupatia update zinazoandamana na picha tafadhali
TANZANIA ITAJENGWA NA WENYE MOYO NA KULIWA NA WENYE MENO KAMA AKINA EL, JK, EC na RA
Mkutano wa chadema wakuu!
"watu kibao?"
Natuma picha muda si mrefu
Mzee picha kidogo
Kuna mtu alituarifu jana kuwa Nape amesambaratisha Chadema Iringa.
umesimama kwa wapi mkuu nipo eneo la tukio..
Watu ni wengi na wengi ni vijana walio kuja kwa nauli zao wala sio malory.
Jamani nimeshindwa kuweka picha naomba msaada
Nobody can give you freedom. Nobody can give you equality or justice or anything. If you're a man, you take it.... Malcolm X
Watu ni wengi na wengi ni vijana walio kuja kwa nauli zao wala sio malory.
Jamani nimeshindwa kuweka picha naomba msaada
Eneo la sokoni kihesa hapa manispaa ya Iringa
Leo CHADEMA wapo irina. Muda huu mkutano ndo unaanza. Tunaye kamanda Tundu Lissu, kamanda Mnyika, Halima Mdee, dogo Nassari na wengine wengi.
Ninachoona sasa CCM haina kitu Iringa.
Akina Zitto na wenzake ndo wanaingia
Hii si mchezo naona Dar yupo kamanda, jembe, jemedari LEMA pamoja na heche don Bosco
Follow Us Here