Kama makusanyo ya TRA yalikuwa 106% izo fedha zilienda wapi?
Tumeshindwa kuelewa inakuwaje TRA inakusanya mapato asilimia 106, yaani zaidi ya asilimia 100, wahisani tunaambiwa wametoa fedha asilimia 80,halafu eti fedha za maendeleo zilizopelekekwa wizarani ni asilimia 22 tu, haiwezekani na hapa tunataka uchunguzi ufanyike,”alisema mmoja wa wabunge wa CCM.
MY TAKE
Izo ni comment toka kwa mmoja wa wabunge wa CCM kwenye kikao chao jana.
Inaonekana kuna wizi mkubwa wa fedha za serikali maana ata fedha toka sector ya madini kama 300bill haziko featured kwenye report za TRA.
Isipofanyika special audit haya mafungu yataendelea kuliwa
Re: Kama makusanyo ya TRA yalikuwa 106% izo fedha zilienda wapi?
Mkuu kwenda Davos kwa kujialika unafikiri mchezo? achilia mbali safari zaidi ya kumi USA na kubembea huko jamaica na marastar hapo pata baki hata shilingi?
Re: Kama makusanyo ya TRA yalikuwa 106% izo fedha zilienda wapi?
By Njowepo
Tumeshindwa kuelewa inakuwaje TRA inakusanya mapato asilimia 106, yaani zaidi ya asilimia 100, wahisani tunaambiwa wametoa fedha asilimia 80,halafu eti fedha za maendeleo zilizopelekekwa wizarani ni asilimia 22 tu, haiwezekani na hapa tunataka uchunguzi ufanyike,”alisema mmoja wa wabunge wa CCM.
MY TAKE
Izo ni comment toka kwa mmoja wa wabunge wa CCM kwenye kikao chao jana.
Inaonekana kuna wizi mkubwa wa fedha za serikali maana ata fedha toka sector ya madini kama 300bill haziko featured kwenye report za TRA.
Isipofanyika special audit haya mafungu yataendelea kuliwa
Wacha umanamba na wewe, jaribu kuandika kiswahili kilichonyooka.... unakuwa kama ulikimbia umande bwana. izo=hizo, ata = hata

Unataka uchunguzi upi tena ndugu yangu report ya CAG juzijuzi si iliibua uozo mwingi tu kwenye wizara na halmashauri? kilichofanyika mawaziri wakabadilishwa na wengine waliokuwa na tuhuma wakazawadiwa full minister mchezo kwisha! halafu unapoona watu wanajenga mahoteli makubwa, wantembelea hammer, pesa ndio hiyo!!
Narrow minded people discuss people,common minded people discuss events great minded people discuss ideas!!!

Mtu ameleta hoja nzito wewe na kichwa nazi unaona kukosea maneno ni jambo kubwa, ndiyo maana viongozi wanatudharau maana wanajua mambo ya msingi hatuyapi umuhimu tunakimbilia kwenye upuuzi kama ulivyofanya badilika.
By macho_mdiliko

Huyo Mbunge naye haelewi nini kinaendelea hapa Tanzania. Aende TRA akaulize siyo kuuliza bila mpango.
Tumeshindwa kuelewa inakuwaje TRA inakusanya mapato asilimia 106, yaani zaidi ya asilimia 100, wahisani tunaambiwa wametoa fedha asilimia 80,halafu eti fedha za maendeleo zilizopelekekwa wizarani ni asilimia 22 tu, haiwezekani na hapa tunataka uchunguzi ufanyike,”alisema mmoja wa wabunge wa CCM.
MY TAKE
Izo ni comment toka kwa mmoja wa wabunge wa CCM kwenye kikao chao jana.
Inaonekana kuna wizi mkubwa wa fedha za serikali maana ata fedha toka sector ya madini kama 300bill haziko featured kwenye report za TRA.
Isipofanyika special audit haya mafungu yataendelea kuliwa
Serikali yetu imekuwa ikilalamika na kutoa kauli zinazorembeshwa na waandishi wa habari kuwa "zimetafunwa na wajanja wachache".Sasa sie wananchi tutasema nini na kwa nani na ni nani atatusikiliza?Maisha acha yasonge vivyo hivyo mpaka siku sisi Kama wananchi tutaamua kubadilika kwa kuiondoa Serikali hii madarakani kwa njia ya kura au ya vita.
Re: Kama makusanyo ya TRA yalikuwa 106% izo fedha zilienda wapi?
By Masabaja
Mtu ameleta hoja nzito wewe na kichwa nazi unaona kukosea maneno ni jambo kubwa, ndiyo maana viongozi wanatudharau maana wanajua mambo ya msingi hatuyapi umuhimu tunakimbilia kwenye upuuzi kama ulivyofanya badilika.
mimi na kichwa changu cha nazi nilishamkosoa na kumfundisha mara nyingi, lakini yeye anadhani kuondoa herufi za kwanza za maneno kama hizo, hata nk ni ujanja. Ndio maana sikubali kuwa amekosea ila ana tabia za umanamba. Hoja nzito ni ile inayotolewa kwa lugha sahihi.
Re: Kama makusanyo ya TRA yalikuwa 106% izo fedha zilienda wapi?
By OSOKONI
Unataka uchunguzi upi tena ndugu yangu report ya CAG juzijuzi si iliibua uozo mwingi tu kwenye wizara na halmashauri? kilichofanyika mawaziri wakabadilishwa na wengine waliokuwa na tuhuma wakazawadiwa full minister mchezo kwisha! halafu unapoona watu wanajenga mahoteli makubwa, wantembelea hammer, pesa ndio hiyo!!
Inaelekea kuna fedha nyingi hapo hazina ambazo hazioneshwi kwenye mapato na matumizi ya serikali hivyo kuwa ndio nafasi ya kuziiba/kuzitumia hovyo!! Kuna umuhimu wa kufanya forensic audit pale hazina.
Re: Kama makusanyo ya TRA yalikuwa 106% izo fedha zilienda wapi?
By Ndinani

bila kubadili mfumo ni ngumu maana kuna mfumo dokozi uliojengeka nchi hii wanawekana kuanzia bot, hazina tra na sehemu zote nyeti hata report ya ukaguzi ya CAG naamini sii yote yanayoanikwa kuna mengi sana yanafichwa!Mimi nakuhakikishia kitakapokuja chama kingine kutawala madudu yatakayoibuliwa ya serikali hii ya sasa hayataelezeka!!
Narrow minded people discuss people,common minded people discuss events great minded people discuss ideas!!!
Re: Kama makusanyo ya TRA yalikuwa 106% izo fedha zilienda wapi?
Mimi naona hata CAG Wanaweza ficha uwozo kama nao watapewa fungu lao na nafkiri wanaongoza kwa kuiba ni wao manake wakipewa fungu wanapiga flat na kuisifia wizara huska. NCHI IMEOZA SANA HII
Re: Kama makusanyo ya TRA yalikuwa 106% izo fedha zilienda wapi?
Bwana Macho ninachoshukuru ni kuwa umesoma maneno bila shaka baada ya kuelewa!
Mimi kama mwalimu ninalielewa ilo kuwa wanafunzi huwa wanaendaga offpoint
Personally nilidhani la msingi ni kujadili huu wizi mwenzangu huna shida nao ila shida yako iko kwenye spelling na unajiita great thinker!
We need to change for sure mambo ya msingi tuyape uzito na sio kuleta mzaha!
WB Tanzania lead economist Jacques Morisset said the GDP doubled in 10 years, but it has failed to produce any significant decline in poverty levels.
Re: Kama makusanyo ya TRA yalikuwa 106% izo fedha zilienda wapi?
By Njowepo
Bwana Macho ninachoshukuru ni kuwa umesoa maneno bila shaka baada ya kuelewa!
Mimi kama mwalimu ninalielewa ilo kuwa wanafunzi huwa wanaendaga offpoint
Personally nilidhani la msingi ni kujadili huu wizi mwenzangu huna shida nao ila shida yako iko kwenye spelling na unajiita great thinker!
We need to change for sure mambo ya msingi tuyape uzito na sio kuleta mzaha!
mizaha nchi hii ndio mfumo wa maisha ya watanzania...mambo ya msingi hufanyiwa mzaha na upuuzi ndio hupewa uzito..hili liko mpaka kwa watawala....Tukija kwenye issue hii ya mapato ya TRA...kwa kweli mi naona kama hawa wabunge wa CCM wamechelewa kuanza kuhoji hili...kwani karibia kila mwaka imekua ni kawaida kuambiwa TRA wamezidi malengo ya kukusanya kodi...lakini kila mara tunasikia matatizo kuwa pesa haziwafikii walengwa vijijini kuwaletea maendeleo...hata wahisani huwa wanatoa hela wanayo ahidi(hata kama inachelewa mara nyingine)lakini bado malengo ya kuwaletea maendeleo wananchi hayafikiwi...kwa kuwa hela zinatafunwa hazina...Nashangaa hili wanalisema sasa hawa wabunge.....
My take:
Kuna haja sasa wabunge kuhoji si tu hazina kuu pesa zinaenda wapi bali hata lile fungu la ofisi ya rais....ambalo siku zote ni siri kwa wabunge....yaani mchanganuo wa fungu la ofisi ya rais(ikulu)..hili lazima wabunge wakomae nalo this time....kama watataka tuone wako serious...lazima wabunge wote...upinzani na ccm wahoji mchanganuo wa lile fungu la ofisi ya rais..ikulu...maana hutolewa kama lambsome..bila mchanganuo wa matumizi....hapa mimi nahisi nako kuna ufisadi mkubwa.....maana mafungu yote ya bajeti yana mchanganuo wa matumizi...lakini fungu la ikulu huwa halina mchanganuo....maana hapa ndipo kuna pesa za safari za rais za kila kukicha nje....wakati nchi haina pesa...Napata mashaka kuwa kuna pesa huwa zinachotwa hazina kuu kupelekwa ikulu....kwa safari za rais...maana wakati kila mwanasiasa alipokuwa analia kuwa serikali imefilisika haina hela..yeye JK alikuwa anasafikiri bila kuahirisha hata safari moja...sasa pesa zilikuwa zinatoka wapi?????wakati hata wafanyakazi kuna wakati walikuwa wacheleweshewa mishahara..yeye JK alikuwa anasafiri....pesa zilukuwa zinatoka wapi????.....wakati halmashauri zilikuwa zinalia pesa hamna..JK alikuwa anasafiri bila shida.....tena wakati mwingine na commercial flights.....Ni wakati sasa wabunge kuhoji loopholes zote za matumizi yasiyo na mpango ya hazina kuu......nina hakika ikulu wamechangia kutafuna hela hazina......i mean...kwa vimemo.....
Wacha umanamba na wewe, jaribu kuandika kiswahili kilichonyooka.... unakuwa kama ulikimbia umande bwana. izo=hizo, ata = hata
kwenye blue ya kwanza si kiswahili fasaha,,,,,,kiswahili fasaha ni ACHA,kwenye blue ya 2 unajuaje kama mtoa hoja ni me???usikurupuke anaweza akawa ni ke,turudi kwenye mada ya mtoa mada,amejitahid sana kueleza,habari aliyoileta imetoka kwenye gazeti la mwananchi na mbunge aliyehoji ni ole sendeka,hili jambo lina mantiki sana wadau,pesa zinatumikaje?????
Re: Kama makusanyo ya TRA yalikuwa 106% izo fedha zilienda wapi?
By Njowepo
Bwana Macho ninachoshukuru ni kuwa umesoa maneno bila shaka baada ya kuelewa!
Mimi kama mwalimu ninalielewa ilo kuwa wanafunzi huwa wanaendaga offpoint
Personally nilidhani la msingi ni kujadili huu wizi mwenzangu huna shida nao ila shida yako iko kwenye spelling na unajiita great thinker!
We need to change for sure mambo ya msingi tuyape uzito na sio kuleta mzaha!
mwalimu gani kuandika kunakushinda... wewe ni hawa waandishi wachumia tumbo (zuzu magics) wa naofukuzana na vibahasha kila kukicha
Re: Kama makusanyo ya TRA yalikuwa 106% izo fedha zilienda wapi?
By Bajabiri
kwenye blue ya kwanza si kiswahili fasaha,,,,,,kiswahili fasaha ni ACHA,kwenye blue ya 2 unajuaje kama mtoa hoja ni me???usikurupuke anaweza akawa ni ke,turudi kwenye mada ya mtoa mada,amejitahid sana kueleza,habari aliyoileta imetoka kwenye gazeti la mwananchi na mbunge aliyehoji ni ole sendeka,hili jambo lina mantiki sana wadau,pesa zinatumikaje?????
Na wewe mkuu tangu uje na ule mpango wako uliotaka kunitapeli sh. milioni mbili nikakutolea nje umekuwa unaniandama andama sana. Mimi nilikataa kwa nia njema kwa sababu mradi wako ulikuwa hauna mbele wala nyume. Isitosha jamaa wengi niliozungumza nao walinipa historia yako nikaona wewe sio mtu wa kuaminika...
Follow Us Here