Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: CHADEMA V/S NAPE NNAUYE nana zaidi???? NAPE mkali kisiasa kama marehemu KOLIMBA nani anabisha???

    Report Post
    Page 3 of 3 FirstFirst 123
    Results 41 to 52 of 52
    1. #1
      Chilisosi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th October 2008
      Posts : 1,695
      Rep Power : 0
      Likes Received
      371
      Likes Given
      455

      Default CHADEMA V/S NAPE NNAUYE nani zaidi???? NAPE mkali kisiasa kama marehemu KOLIMBA nani anabisha???

      Nimekuwa nikifuatilia mikutano ya chadema kwa karibu sana na kugundua kuwa hujaa watu wengi sana kwa sababu ndio wanaonekana kimbilio pekee la watanganyika , lakini kwa mbali namuona huyu Nnape anakuja kwa kasi sana na anafanya kazi bila kulala, yaani kama Dr SlAA ataenda mtwara basi nape yuko bomba mbili songea.

      Sikatai CCM wamebaki na watu wachache sana wanaoweza kuwashawishi wananchi, lakini katika hao wachache namuona huyu nape ni sawa na makamanda kumi wa chadema, nina maana nape mmoja ni sawa na MBOWE, SLAA, ZITTO, LISU, LEMA, MNYIKA, MSIGWA, SUGU, MDEE NA YULE DOMO KUBWA SHIBUDA

      Mie sina chama ila nawapenda chadema lakini tuwe tunaangalia kwa wapinzani wetu nani tishio,
      Wakati Chadema wanazunguka tanzania nzima full squad, NAPE ANAZUNGUKA PEKE YAKE NA MIKUTANO YAKE INAJAA KAMA YA FULL SQUAD YA CHADEMA.

      Mie binafsi namuona nape kama marehemu HORACE KOLIMBA, kijana ni mkali kisiasa na ndio hazina kubwa ya CCM. anayepinga na aseme
      Last edited by Chilisosi; 16th June 2012 at 13:59.

    2. RukaaJuu Final

    3. #41
      Chilisosi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th October 2008
      Posts : 1,695
      Rep Power : 0
      Likes Received
      371
      Likes Given
      455

      Default Re: CHADEMA V/S NAPE NNAUYE nani zaidi???? NAPE mkali kisiasa kama marehemu KOLIMBA nani anabisha???

      Quote By MTK
      Reading your post between the lines inanionyesha kwamba capacity yako ya kuchambua na kunyumbulisha mambo na elimu yako ya mizania ni duni sana ndio maana unalinganisha CDM; TAASISI na Nape; INDIVIDUAL, jambo ambalo si sahihi kabisa kwa hiyo linakuumbua unaonekana wazi kwamba wewe ni CCM tofauti na kauli yako kwamba huna chama na kwa hiyo inabainisha wazi kwamba ajenda yako ni kuidhalilisha CDM; kitu ambacho hutaweza maisha yako. kauli zinaumba kijana!! kwa hiyo kabla ya kupost chochote hapa kindly engage your gray matter first.
      Sawa kaka
      nimekubali kwa mtazamo wako mie nina elimu duni sana, lakini mie nimeandika kwa mtazamo wangu sasa tatizo ni nini??? mie nina uhuru wa kuandika maono yangu kama vile wewe ulivyo na uhuru wa kusema elimu yangu duni. siwezi kufananisha ccm na chadema kwa sababu ccm ni wengu hapo kuna mafisadi wezi akina ekelege chizi, nk kwa hiyo siwezi sema ccm nimesema NAPE kwa sababu namuona ndio tishio kwa chadema , unatakiwa usome point ya mtu uielewe sio kuoma tu kwa kupitia maandishi bila kutafsiri. Nape anazunguka peke yake nchi nzima wakati chadema wanazunguka timu nzima hata bungeni hawako wakati vikao vya bajeti vinaendelea nasikia wao wako iringa. nape sio mbunge lakini kijana kila aendako anapata watu hapo hajaongozana na mwenyekiti wake au watu maarufu toka kwenye chama chake, inabidi chadema nayo iwe na system kwamba katibu mwenezi afanye kazi yake wakati wengine wanalijenga taifa. mbona lema anazunguka na kupata watu?????? kwani chadema hakuna katibu mwenezi mpaka iwe chama kizima kiwe kinasafiri kwenye mikutano???

    4. #42
      Chilisosi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th October 2008
      Posts : 1,695
      Rep Power : 0
      Likes Received
      371
      Likes Given
      455

      Default Re: CHADEMA V/S NAPE NNAUYE nana zaidi???? NAPE mkali kisiasa kama marehemu KOLIMBA nani anabisha???

      Quote By mwakaboko
      Naomba uwe na busara usimfananishe Nape na YESU, the guy does not have that sifa.

      Nape namheshimu kama kiongozi, lkn sifa zake sio kubwa kiasi hicho. Huwezi kumlinganisha na Dr. Slaa. hata kiumri, kielimu, busara, hekima nk hawezi linganishwa na Dr. Slaa.
      Siasa haina umri, kama ingekuwa umri basi obama asingekuwa rais sabau ni kijana matokeo yake angepewa yule babu mwanajeshi

    5. #43
      Arvin sloane's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th July 2011
      Posts : 885
      Rep Power : 574
      Likes Received
      130
      Likes Given
      40

      Default Re: CHADEMA V/S NAPE NNAUYE nana zaidi???? NAPE mkali kisiasa kama marehemu KOLIMBA nani anabisha???

      Napita tuuu.

    6. #44
      mwakaboko's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th September 2010
      Posts : 633
      Rep Power : 566
      Likes Received
      140
      Likes Given
      858

      Default Re: CHADEMA V/S NAPE NNAUYE nana zaidi???? NAPE mkali kisiasa kama marehemu KOLIMBA nani anabisha???

      Quote By chilisosi
      Siasa haina umri, kama ingekuwa umri basi obama asingekuwa rais sabau ni kijana matokeo yake angepewa yule babu mwanajeshi
      nilitarajia majibu yapackage nzima niliyopost, sio nusu nusu. Umenielewa?

    7. #45
      dguyana's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th January 2011
      Posts : 426
      Rep Power : 508
      Likes Received
      109
      Likes Given
      66

      Default Re: CHADEMA V/S NAPE NNAUYE nana zaidi???? NAPE mkali kisiasa kama marehemu KOLIMBA nani anabisha???

      inaonyesha nape ameanza kukosa watu wenye upeo wa kuwatumia hapa jf. Sasa walichobakiza ni kumpamba Bwana wao badala ya kueneza sera. Ila hata kumpamba vip nape tayari kushnei.

    8. Miaka 50

    9. #46
      Gwalihenzi's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 21st October 2011
      Posts : 2,379
      Rep Power : 0
      Likes Received
      615
      Likes Given
      377

      Default Re: CHADEMA V/S NAPE NNAUYE nana zaidi???? NAPE mkali kisiasa kama marehemu KOLIMBA nani anabisha???

      Quote By chilisosi
      Duh! Wee kichomiz kweli una kichomi, hebu soma vizuri point Zangu kwanza, mie Sio ccm napenda chadema na sina chama
      chilisosi, mbona sijaona point hata moja zaidi ya kumsifu Nape tu! ama hujui point ninini?

    10. #47
      Gwalihenzi's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 21st October 2011
      Posts : 2,379
      Rep Power : 0
      Likes Received
      615
      Likes Given
      377

      Default Re: CHADEMA V/S NAPE NNAUYE nani zaidi???? NAPE mkali kisiasa kama marehemu KOLIMBA nani anabisha???

      Quote By chilisosi
      Sawa kaka
      nimekubali kwa mtazamo wako mie nina elimu duni sana, lakini mie nimeandika kwa mtazamo wangu sasa tatizo ni nini??? mie nina uhuru wa kuandika maono yangu kama vile wewe ulivyo na uhuru wa kusema elimu yangu duni. siwezi kufananisha ccm na chadema kwa sababu ccm ni wengu hapo kuna mafisadi wezi akina ekelege chizi, nk kwa hiyo siwezi sema ccm nimesema NAPE kwa sababu namuona ndio tishio kwa chadema , unatakiwa usome point ya mtu uielewe sio kuoma tu kwa kupitia maandishi bila kutafsiri. Nape anazunguka peke yake nchi nzima wakati chadema wanazunguka timu nzima hata bungeni hawako wakati vikao vya bajeti vinaendelea nasikia wao wako iringa. nape sio mbunge lakini kijana kila aendako anapata watu hapo hajaongozana na mwenyekiti wake au watu maarufu toka kwenye chama chake, inabidi chadema nayo iwe na system kwamba katibu mwenezi afanye kazi yake wakati wengine wanalijenga taifa. mbona lema anazunguka na kupata watu?????? kwani chadema hakuna katibu mwenezi mpaka iwe chama kizima kiwe kinasafiri kwenye mikutano???
      chilisosi, inaonekana una matatizo ya kuchambua mambo na kuyaelewa, unarukia hoja usizo na uwezo nazo. Tazama hapo kwenye nyekundu, je unaweza kuthibitisha tuhuma hizo? je hao uliowatuhumu wamepelekwa kwenye chombo cha kisheria ambacho kimethibitisha hizo tuhuma?Hapo kwenye blue, hebu fafanua, Nape anawezaje kuwa tishio kwa CHADEMA? mie naona huna hoja za msingi zaidi ya kujipendekeza kwa Nape.Hapo kwenye kijana, nashangaa sana kuona unarudia sana neno 'point' wakati hujatoa point hata moja. Nashiwishika kuamini kuwa unakiwango kidogo cha elimu au unaweza ukawa zao la shule za kata ambapo uliishia kujua kusoma na kuandika na kutumia kompyuta kuandika upuuzi wako hapa. Hujachelewa, rudi kajifunze kujenga hoja na kuziweka uwanjani kwa mijadala na sio kuja na visifa vya kipuuzi vya kujipendekeza kwa Nape.

    11. #48
      Bob G's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 5th October 2011
      Location : UK Manyasi
      Posts : 1,659
      Rep Power : 717
      Likes Received
      291
      Likes Given
      36

      Default Re: CHADEMA V/S NAPE NNAUYE nani zaidi???? NAPE mkali kisiasa kama marehemu KOLIMBA nani anabisha???

      Nape na Shibuda sawa,But huwezi kufananisha Nape Na Majembe ya CDM

    12. #49
      kitero's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st February 2012
      Location : Kaskazini
      Posts : 516
      Rep Power : 469
      Likes Received
      97
      Likes Given
      48

      Default Re: CHADEMA V/S NAPE NNAUYE nani zaidi???? NAPE mkali kisiasa kama marehemu KOLIMBA nani anabisha???

      Quote By chilisosi
      Nimekuwa nikifuatilia mikutano ya chadema kwa karibu sana na kugundua kuwa hujaa watu wengi sana kwa sababu ndio wanaonekana kimbilio pekee la watanganyika , lakini kwa mbali namuona huyu Nnape anakuja kwa kasi sana na anafanya kazi bila kulala, yaani kama Dr SlAA ataenda mtwara basi nape yuko bomba mbili songea.

      Sikatai CCM wamebaki na watu wachache sana wanaoweza kuwashawishi wananchi, lakini katika hao wachache namuona huyu nape ni sawa na makamanda kumi wa chadema, nina maana nape mmoja ni sawa na MBOWE, SLAA, ZITTO, LISU, LEMA, MNYIKA, MSIGWA, SUGU, MDEE NA YULE DOMO KUBWA SHIBUDA

      Mie sina chama ila nawapenda chadema lakini tuwe tunaangalia kwa wapinzani wetu nani tishio,
      Wakati Chadema wanazunguka tanzania nzima full squad, NAPE ANAZUNGUKA PEKE YAKE NA MIKUTANO YAKE INAJAA KAMA YA FULL SQUAD YA CHADEMA.

      Mie binafsi namuona nape kama marehemu HORACE KOLIMBA, kijana ni mkali kisiasa na ndio hazina kubwa ya CCM. anayepinga na aseme
      Inawezekana ulikuwa na lengo zuri la kumsifia Mh Nape kwa kazi yake Nzuri,Ila njia uliyo tumia siyo mzuri kwa upande wangu.Yap inawezekana anafanya kazi nzuri kwa chama chake,Ila huweze kuleta mashindaono/kukompea utendaji wa mtu mmoja na chama/taasisi,hutoweza pata data/kilicho sahii.Yani ni sawa na kusema unataka kufananisha kiwango cha JUMA KASEJA NA KIWANGO CHA BARCELONA.Au Umbaji wa Boyz 2 Men na Lady Jay Dee ni vitu tofauti,kama ulitaka hivyo unge mfana nisha na John Mnyika ingelata maaana zaidi.
      Chilisosi likes this.

    13. #50
      mpiganaji jm's Avatar
      Member Array
      Join Date : 9th February 2011
      Posts : 76
      Rep Power : 435
      Likes Received
      2
      Likes Given
      0

      Default Re: CHADEMA V/S NAPE NNAUYE nana zaidi???? NAPE mkali kisiasa kama marehemu KOLIMBA nani anabisha???

      hivi unafikiria kweli kabla ya kutoa post au unakurupuka Nape halingani hata na diwani wa cdm, unamlinganisha nape na lissu huu ni udhalilishaji, lisu ni sawa na magamba zaidi ya mia moja akiwepo na nape pia.......

    14. #51
      Mag3's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 31st May 2008
      Posts : 3,540
      Rep Power : 1805
      Likes Received
      2464
      Likes Given
      2502

      Default Re: CHADEMA V/S NAPE NNAUYE nana zaidi???? NAPE mkali kisiasa kama marehemu KOLIMBA nani anabisha???

      Quote By Marire
      Mimi simjui NAPE kama kuna mwenye picha yake pls atuwekee hapa.

      Huyu hapa!

      Huyu hapa tena, anayegawa vitenge!
      Ni kweli hakuna kamanda anayeweza kufanya hii shughuli, kugawa vitenge? no, hakuna!
      The true sign of intelligence is not knowledge but imagination.
      Education is what remains after one has forgotten what one has learned in School
      -Albert Einstein.

    15. #52
      Chilisosi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th October 2008
      Posts : 1,695
      Rep Power : 0
      Likes Received
      371
      Likes Given
      455

      Default Re: CHADEMA V/S NAPE NNAUYE nani zaidi???? NAPE mkali kisiasa kama marehemu KOLIMBA nani anabisha???

      Quote By Gwalihenzi
      chilisosi, inaonekana una matatizo ya kuchambua mambo na kuyaelewa, unarukia hoja usizo na uwezo nazo. Tazama hapo kwenye nyekundu, je unaweza kuthibitisha tuhuma hizo? je hao uliowatuhumu wamepelekwa kwenye chombo cha kisheria ambacho kimethibitisha hizo tuhuma?Hapo kwenye blue, hebu fafanua, Nape anawezaje kuwa tishio kwa CHADEMA? mie naona huna hoja za msingi zaidi ya kujipendekeza kwa Nape.Hapo kwenye kijana, nashangaa sana kuona unarudia sana neno 'point' wakati hujatoa point hata moja. Nashiwishika kuamini kuwa unakiwango kidogo cha elimu au unaweza ukawa zao la shule za kata ambapo uliishia kujua kusoma na kuandika na kutumia kompyuta kuandika upuuzi wako hapa. Hujachelewa, rudi kajifunze kujenga hoja na kuziweka uwanjani kwa mijadala na sio kuja na visifa vya kipuuzi vya kujipendekeza kwa Nape.
      myonge mnyongeni haki yake mpeni, kijana anafanya kazi aliyotumwa vizuri, tatizo anajenga nyumba iliyobomoka

    Page 3 of 3 FirstFirst 123

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...