Mwitikio ni mkubwa sana, ukumbi unaelekea kua mdogo.. Bado tunawasubiria makamanda LEMA, DR SLAA, MBILINYI.. Nk
pipoooz..
Mwitikio ni mkubwa sana, ukumbi unaelekea kua mdogo.. Bado tunawasubiria makamanda LEMA, DR SLAA, MBILINYI.. Nk
pipoooz..
Makamanda tufight mpaka tone la mwisho na hawa magamba haina haja ya kuwaogopa naona wao ndio wanaotuogopa sana siku hizi.
Follow Us Here