Mwitikio ni mkubwa sana, ukumbi unaelekea kua mdogo.. Bado tunawasubiria makamanda LEMA, DR SLAA, MBILINYI.. Nk
pipoooz..
Mwitikio ni mkubwa sana, ukumbi unaelekea kua mdogo.. Bado tunawasubiria makamanda LEMA, DR SLAA, MBILINYI.. Nk
pipoooz..
Anaelezea historia yake ya siasa na kugombania ubunge toka mwaka 2005..
Mkuu kwa updates wewe ni kiboko,sijui mafunzo umechukulia wapi na mimi nijiunge.Hakika utadhani niko ukumbini ingawa niko Zambia.
Anaelezea Felix Mrema, aliwahi mdharau, na kutamka kua ataenda pumzika Italy na kuja wakati wa kupiga kura..
Anatolea mfano wa Nasari alimuahidi kama angeshinda kura za maoni, angempa milioni 10..
Bado anaendelea toa somo la kuondoa uoga kwa vijana..
Inabidi CDM waongeze kasi, hii kasi hairidhishi kwani kuna maeneo mengi yanahitaji hii huduma ya M4C kwa sana.
"Never argue with stupid people, they will drag you down to their level and then beat you with experience" Mark Twain
Anasema, vijana wabadilike, waanze kufikiria vitu vizito..
Hata CDM ikiingia madarakani, bila vijana kubadilika, ni kazi bure..
Anasema alienda jela kwa hiari, na alifikiria kupindua nchi..
Anasema CCM imelegea.. Tuzidi endeleza kasi hii mpaka 2015.. Anasema vijana wawe na commitment..
Anasema miaka ya nyuma huko kusini akina mzee Ndesamburo walipata tabu hata gest zilikua zinawakataa..
Anasema JK hajamkomoa kwa kumpokönya ubunge.. Ni posho za msimu tu..
Maisha yake yanasonga kama kawaida..
Anasema vijana wasiogope kufukuzwa chuo, kutetea haki zao..
"Never argue with stupid people, they will drag you down to their level and then beat you with experience" Mark Twain
Anasema vijana wasomi jamii inawategemea kuleta mabadiliko, wasijidharau..
Anatoa historia ya mandela, katika kupigania ukombozi..
Follow Us Here