Mwitikio ni mkubwa sana, ukumbi unaelekea kua mdogo.. Bado tunawasubiria makamanda LEMA, DR SLAA, MBILINYI.. Nk
pipoooz..
Mwitikio ni mkubwa sana, ukumbi unaelekea kua mdogo.. Bado tunawasubiria makamanda LEMA, DR SLAA, MBILINYI.. Nk
pipoooz..
Anazungumzia swala la udini.. Linavyoligawa taifa hili..
Anaponda CCM kwa kupandikiza mbegu ya udini, unaligawa taifa hili..
Anampönda NAPE, kwa kuendelea kuendeleza dhambi hii ya udini.. Anamwita ni vuvuzela..
Nobody can give you freedom. Nobody can give you equality or justice or anything. If you're a man, you take it.... Malcolm X Nasubiri 'breaking news... '
Anaponda tanzania ni nchi ya tatu kwa kuombaomba duniani..
Anapönda safari za rais, zinatumia pesa nyingi sana, zingeweza okoa vifo vya akinamama kujifungua..
mkuu usiumize kichwa ritz ni mtoto wa JK, asante kwa taarifa endelea kutujuza
Anamponda SHIBUDA, Hatoweza vumiliwa kwenye chama.. Vijana wamuunge mkono ili aondolewe..
Peeeeopleeeeeeeeeessssssssssss s
pooooooooooweeeeeer
Anaponda wizi wa mawaziri, rais kuwalinda kwa kusema ni upepo tu.. Hasa wizi wa TWIGA..
Anasema haitakiwa jimbo lolote lisipite bila kupingwa 2015'
Anaponda mpaka matundu ya vyoo, tunaomba msaada kwa wazungu..
Amemaliza kamanda HECHE, anaingia GB LEMA..
Anashangiliwa na ukumbi wote.. Wanaimba jembe, jembe...
Naona wanaponda kila kitu...
Ameanza kwa kusema, kua amehamia DAR, Moja kwa moja, anataka aibadilishe iwe kama ARUSHA..
Anasema yeye ni mb aliyeenda rikizo..
Anasema amemwandikia rais waraka vol 1,
angejibu angempelekea waraka vol2..
Big up mkuu Mpenda Pombe!! Kwa updates wewe ni jembe!! MUNGU AKUONGOZE!!
Anawaondoa hofu wanafunzi, waache uoga wa kuogopa makachero wa usalama wa taifa na polisi..
Follow Us Here