Mwitikio ni mkubwa sana, ukumbi unaelekea kua mdogo.. Bado tunawasubiria makamanda LEMA, DR SLAA, MBILINYI.. Nk
pipoooz..
Mwitikio ni mkubwa sana, ukumbi unaelekea kua mdogo.. Bado tunawasubiria makamanda LEMA, DR SLAA, MBILINYI.. Nk
pipoooz..
Anatoa rai, vijana wasijifiche kwenye jamiiforums na facebook, wawe jasiri kwenye kugombea nafasi mbalimbali..
Piga picha hapo utuwekee hapa!
Anaendelea toa ufafanuzi, vijana tuache lalamika, tutoe mipango na mikakati ya kutatua matatizo..
Anamalizia na ujumbe, tuwe na mikakati, tuache kulalamika..
all the best!
Mpaka sasa, zinaendelea tolewa hotuba mbalimbali na viongozi wa CDM tawi la CBE..
Duh poleni sana magamba, mkisikia chadema roho kwatu, mnaanza propaganda zenu mara za ukabila mara za udini, propaganda izo ni za kizamani sana kwa hayo tulisha washtukia tangu 2010, badilisheni staili 2015 inakaribia zaidi jiandaeni tu magamba kuzikwa rasmi 2015
Peoplesssssssssssssssssss powwwwwwwweeeeeeer
Endeleeni kutuletea yanayojili ila tungepata picha jamani tufalijike.
Don Bosco ni moja ya kumbi mashuhuri Dar kama ilivyo Karimjee n.k.Na yamekua yakifanyika matukio mbalimbali yakiwemo ya kiislam. Mfano Madaktari wakati wa mgomo walikua wakikutana hapo Madoctor wote ni wakatoliki?????
Kama kunachama ambacho kinaeneza udini na ukabila basi ni CCM hii imedhilishwa katika kauli za viongozi wao Mfano Katibu mkuu wa CCM Willison Mukama.
Hizo vurugu zilizotokea Zanzibar huko kuna CHADEMA. Ni wazi ya kua CCM hawana mashiko wala hoja ya msingi wanatuingiza katika maswala ya udini na ukabila ili kutuondoa katika katika hoja za msingi.Ufisadi,Uwajibikaji,uba dilifu,rushwa,kujivua gamba n.k.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.
JOHN HECHE ndio anaingia ukumbini..
Follow Us Here