Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Kuhusu Bajeti ya mwaka huu serikali ya CCM inakaribia mwisho wake-Dr Slaa

    Report Post
    Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast
    Results 21 to 40 of 57
    1. #1
      Molemo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Posts : 8,445
      Rep Power : 10880
      Likes Received
      3817
      Likes Given
      426

      Default Kuhusu Bajeti ya mwaka huu serikali ya CCM inakaribia mwisho wake-Dr Slaa

      Kiongozi Mkuu wa upinzani nchini na Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CDM Dr Wilbroad Slaa amesema ameshangazwa na kushtushwa na bajeti ya serikali ya mwaka huu.
      Dr Slaa amesema serikali ya CCM imefikia mwisho wa kufikiri kwa kuomba misaada na mikopo kwa wahisani kwa lengo la kukidhi fungu la matumizi ya serikali.Dr Slaa amesema hakungekuwa na tatizo kama mikopo na misaada ingeelekezwa kwenye maendeleo kama ujenzi wa viwanda nk.Dr Slaa alihoji unakopa ili mlipane mishahara na marupurupu?
      Dr Slaa alishangazwa pia na serikali kutegemea vinywaji kila mwaka katika kuongeza kodi na kusema huko ni kukosa ubunifu.Mbona hawaangalii madini? Alihoji kiongozi huyo.
      Dr Slaa aliponda pia uamuzi wa kuanzisha kodi maalum kwenye plate namba za magari zenye majina ya watu na kusema huko ni kuleta matabaka katika nchi na kuhalalisha mafisadi kutamba na fedha zao haramu.

      Source:Tanzania Daima Jumamosi
      Gerald, Kiwi, muchetz and 1 others like this.

    2. Miaka 50

    3. #21
      MNYISANZU's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 21st October 2011
      Posts : 6,311
      Rep Power : 0
      Likes Received
      593
      Likes Given
      76

      Default Re: Kuhusu Bajeti ya mwaka huu serikali ya CCM inakaribia mwisho wake-Dr Slaa

      Utegemezi hadi kwenye recurrent expenditure! Hii ni aibu na fedheha kwa taifa letu.

    4. #22
      TEMILUGODA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th February 2012
      Posts : 954
      Rep Power : 557
      Likes Received
      134
      Likes Given
      1

      Default

      Quote By mopaozi
      Bajeti nzuri donge tu na vizabinazabina vyenyu
      Poleni enyi watu pori!

    5. #23
      Angel Msoffe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st June 2011
      Posts : 6,266
      Rep Power : 1826
      Likes Received
      1397
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By mopaozi
      Bajeti nzuri donge tu na vizabinazabina vyenyu
      wakwanza kuanza kulia ugumu wa maisha ni wewe

    6. #24
      MESTOD's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th November 2010
      Posts : 2,580
      Rep Power : 949
      Likes Received
      693
      Likes Given
      131

      Default

      Quote By Tume ya katiba
      Slaa anajua nini kuhusu bajeti? hivi si vituko waungwana?

      Huku ni kutafutiana ban sasa. Watu tuna machungu, wewe unabwabwaja utafikiri umevimbiwa kitimoto. Au moshi wa makanisa mlochoma umewalevya?

    7. #25
      Shine's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th February 2011
      Posts : 9,188
      Rep Power : 2429
      Likes Received
      946
      Likes Given
      377

      Default

      Quote By ruttashobolwa
      Umenena baba,cc imefika mwisho wa kufikiri.
      Ilikwisha fika siku nyingi sana sema tu waTz tunakuwa siyo waelewa

    8. RukaaJuu Final

    9. #26
      Katalyeba's Avatar
      Member Array
      Join Date : 20th April 2012
      Posts : 15
      Rep Power : 361
      Likes Received
      3
      Likes Given
      6

      Default Re: Kuhusu Bajeti ya mwaka huu serikali ya CCM inakaribia mwisho wake-Dr Slaa

      Quote By Tume ya katiba
      Slaa anajua nini kuhusu bajeti? hivi si vituko waungwana?
      Uhitaji kusoma, bajeti ni mbovu, Watanzania tunahitaji Uzalendo, penye ukweli tuseme.

      Dr. slaa ni mtaalam, acha dharau.

    10. #27
      Shine's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th February 2011
      Posts : 9,188
      Rep Power : 2429
      Likes Received
      946
      Likes Given
      377

      Default

      Quote By OSOKONI
      hata kabla ya hapo maana b4 2015 anything can happen!
      Kweli mkuu umefikiria kwa kina!

    11. #28
      tindikalikali's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th January 2011
      Posts : 3,082
      Rep Power : 1215
      Likes Received
      392
      Likes Given
      89

      Default

      Quote By Tume ya katiba
      Slaa anajua nini kuhusu bajeti? hivi si vituko waungwana?
      wewe unajua nini?

    12. #29
      hoyce's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th October 2010
      Posts : 478
      Rep Power : 530
      Likes Received
      106
      Likes Given
      1

      Default

      Quote By Tume ya katiba
      Slaa anajua nini kuhusu bajeti? hivi si vituko waungwana?
      wewe unajua nini? Hata kichwa huna, hapo juu ya mabega yako naona kichwa cha Nape, pia nakifananisha na cha Mtatiro.

    13. #30
      Kazi Deo's Avatar
      Member Array
      Join Date : 28th July 2011
      Posts : 12
      Rep Power : 398
      Likes Received
      0
      Likes Given
      7

      Default

      Quote By molemo
      you made my day
      safiii

    14. #31
      Jotojiwe's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 24th March 2012
      Location : Tanzania
      Posts : 141
      Rep Power : 389
      Likes Received
      30
      Likes Given
      8

      Default Re: Kuhusu Bajeti ya mwaka huu serikali ya CCM inakaribia mwisho wake-Dr Slaa

      Hapa cha msingi ni kutafuta mwelekeo mpya wa sera na uongoz ifikapo 2015 hawa ccm juz walikua wanasema uchumi umekua sa'umekua vp wakati leverage ratio imeincrease zaidi. Tunaitaji fikra mpya makini na endelevu kwa wanyonge ktk usawa wa haki na uchumi.

    15. #32
      Fredrick Sanga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th January 2011
      Location : Kijitonyama
      Posts : 2,982
      Rep Power : 2590
      Likes Received
      637
      Likes Given
      776

      Default

      Quote By Molemo
      Kiongozi Mkuu wa upinzani nchini na Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CDM Dr Wilbroad Slaa amesema ameshangazwa na kushtushwa na bajeti ya serikali ya mwaka huu.
      Dr Slaa amesema serikali ya CCM imefikia mwisho wa kufikiri kwa kuomba misaada na mikopo kwa wahisani kwa lengo la kukidhi fungu la matumizi ya serikali.Dr Slaa amesema hakungekuwa na tatizo kama mikopo na misaada ingeelekezwa kwenye maendeleo kama ujenzi wa viwanda nk.Dr Slaa alihoji unakopa ili mlipane mishahara na marupurupu?
      Dr Slaa alishangazwa pia na serikali kutegemea vinywaji kila mwaka katika kuongeza kodi na kusema huko ni kukosa ubunifu.Mbona hawaangalii madini? Alihoji kiongozi huyo.
      Dr Slaa aliponda pia uamuzi wa kuanzisha kodi maalum kwenye plate namba za magari zenye majina ya watu na kusema huko ni kuleta matabaka katika nchi na kuhalalisha mafisadi kutamba na fedha zao haramu.

      Source:Tanzania Daima Jumamosi
      Ndio habari ndio hiyo. Wamekwisha.

    16. #33
      Molemo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Posts : 8,445
      Rep Power : 10880
      Likes Received
      3817
      Likes Given
      426

      Default

      Quote By Jotojiwe
      Hapa cha msingi ni kutafuta mwelekeo mpya wa sera na uongoz ifikapo 2015 hawa ccm juz walikua wanasema uchumi umekua sa'umekua vp wakati leverage ratio imeincrease zaidi. Tunaitaji fikra mpya makini na endelevu kwa wanyonge ktk usawa wa haki na uchumi.
      Wananchi wanapaswa kuwa makini sana kwenye uchaguzi ujao

    17. #34
      Kocha's Avatar
      Member Array
      Join Date : 2nd March 2008
      Location : Kijitonyama,Dar es Salaam
      Posts : 96
      Rep Power : 592
      Likes Received
      25
      Likes Given
      42

      Default Re: Kuhusu Bajeti ya mwaka huu serikali ya CCM inakaribia mwisho wake-Dr Slaa

      Wakuu tufanye kitu gani ili JK aondoke madarakani kabla ya 2015? Nchi inakwenda shimoni maana serikali inakopa ili kulipa mishahara na marupurupu,kila mwaka nyongeza ya kodi ni kwenye vinywaji,madini hayaguswi,leo hii Tanesco wanataka kukopa bil 480,kwa ajili ya kununua mafuta wapi umewahi kuona mambo kama haya?Sasa kama leo hali iko hivi je mpaka mwaka 2015 itakuaje kama huyu jamaa akiendelea kuwepo madarakani?

    18. #35
      Comi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd October 2011
      Posts : 963
      Rep Power : 578
      Likes Received
      156
      Likes Given
      2

      Default Re: Kuhusu Bajeti ya mwaka huu serikali ya CCM inakaribia mwisho wake-Dr Slaa

      Hivi Tume ya katiba na C programming ni wanafunzi wa chekechea gani? Maana wao wanalipwa peremende kila siku kwa manufaa ya nani? Acheni ushabiki ila si mbaya mwizi hata akiambiwa acha wizi anaona anaonewa, acheni ujinga au ndio elimu ........ ya mwarabu inawafundisha kupinga kila kitu?

    19. #36
      Tume ya Katiba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th April 2012
      Location : Chumbuni-Zanzibar
      Posts : 2,690
      Rep Power : 0
      Likes Received
      542
      Likes Given
      273

      Default Re: Kuhusu Bajeti ya mwaka huu serikali ya CCM inakaribia mwisho wake-Dr Slaa

      Quote By TEMILUGODA
      Elimu yako?
      Bsc (UD),MSC(pretoria univ.) na ya kwako mkuu?
      Nyunyu likes this.

    20. #37
      Molemo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Posts : 8,445
      Rep Power : 10880
      Likes Received
      3817
      Likes Given
      426

      Default

      Quote By mopaozi
      Bajeti nzuri donge tu na vizabinazabina vyenyu
      Nina hakika hapo ulipo una maisha ya dhiki sana kuliko wanachama wengi wa CDM.

    21. #38
      STIDE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st September 2011
      Posts : 805
      Rep Power : 556
      Likes Received
      270
      Likes Given
      0

      Default Re: Kuhusu Bajeti ya mwaka huu serikali ya CCM inakaribia mwisho wake-Dr Slaa

      Ccm wanamuogopa Dr.Slaa kuliko kifo!!! Akikohoa tu ma.i yanawatoka!! Na 2016 lazima mumtambue!! Subilieni na wizi wenu!!

    22. #39
      Mlyafinono's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 6th April 2012
      Posts : 131
      Rep Power : 386
      Likes Received
      42
      Likes Given
      1

      Default Re: Kuhusu Bajeti ya mwaka huu serikali ya CCM inakaribia mwisho wake-Dr Slaa

      Quote By Tume ya katiba
      Slaa anajua nini kuhusu bajeti? hivi si vituko waungwana?
      wewe mabulula kweli,kama na wewe hujui bajeti basi hata familia yako inashida maana huna vipaumbele katika bajeti ya familia yako

    23. #40
      jogi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th September 2010
      Posts : 4,024
      Rep Power : 1220
      Likes Received
      982
      Likes Given
      247

      Default

      Quote By MtamaMchungu
      Sijui kama unaelewa unachosema na implications zake! Maana yake ni kwamba bajeti ijadiliwe na wachumi tu!

      THINK BEFORE YOU TYPE
      Na katiba iandikwe na wanasheria tu!!!!!!
      ccm wamefilisika akili mpaka mipango.

    Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...