Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Lema, Heche na Mabere Marando kufanya mkutano mkubwa wa hadhara (M4C) Jimbo la Segerea [Jumapili]

    Report Post
    Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast
    Results 21 to 40 of 56
    1. #1
      Mendelian Inheritanc's Avatar
      Member Array
      Join Date : 25th December 2011
      Posts : 86
      Rep Power : 391
      Likes Received
      11
      Likes Given
      14

      Default Lema, Heche na Mabere Marando kufanya mkutano mkubwa wa hadhara (M4C) Jimbo la Segerea [Jumapili]

      CCM haikubaliki tushirikiane kuitokomeza.

      Wanachama na wapenzi wa CHADEMA na wananchi wote wa jimbo la segerea na dar es salaam kwa ujumla, baada ya kuitikisa kusini na viunga vyake sasa m4c imeingia katika jimbo la segerea tunaombwa tufike kwenye viwanja vya tabata shule (segerea) siku ya jumapili tar 17/06/2012 kuanzia saa sita mchana kutakuwa na mkutano mkubwa wa hadhara (M4C) ukiongozwa na kamanda godbless lema, john heche na muasisi wa mageuzi nchini kamanda mabere marando wote kwa pamoja watauwasha moto wa M4C wakiwa na makamnda wengine wengi kutoka makao makuu ya chama. Makamanda katika mwendelezo wa M4C watafungua ofisi za kata na kuzindua matawi mbali mbali katika jimbo la segerea na kumalizia na mkutano mkubwa wa hadhara katika viwanja vya tabata shule. Jiunge na vugu vugu la mabadiliko katika kuandika historia mpya ya Tz.

      Ukipata habari hii unaombwa umwambie na mwenzako. Hii sio ya kukosa makamanda. CCM Imezeeka tuitoe. - Moshi katibu BAVICHA (J) Segerea
      escober and Taja like this.

    2. RukaaJuu Final

    3. #21
      Asprin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 8th March 2008
      Location : Psychiatric Ward
      Posts : 25,441
      Rep Power : 32076
      Likes Received
      14547
      Likes Given
      22033

      Default Re: G.lema, heche na mabere marando watafanya mkutano mkubwa wa hadhara (m4c) jimbo la segerea jumap

      Quote By Precise pangolin
      Nasikia baada ya kusikia pilau litakuwepo kwenye zoezi la sensa mmeanza kulegeza Uzi
      Quote By zomba
      Mie nilisikia biriani ya ndizi ndiyo itakuwepo. Kaskazini hawataki kushindwa nasikia siku hizi kuna biriani ya ndizi.

      Kiswahili sahihi ni Kuregeza sio "kulegeza".
      Hapa panahitajika mjuvi wa Kiswahili, japo mie naamini kiswahili sahihi hapo ni "KULEGEZA"
      Ngongo likes this.
      ....Shimo La Panya Halifunikwi Kwa Mkate.....

    4. #22
      wagaba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd April 2012
      Posts : 598
      Rep Power : 479
      Likes Received
      123
      Likes Given
      92

      Default Re: G.lema, heche na mabere marando watafanya mkutano mkubwa wa hadhara (m4c) jimbo la segerea jumap

      Quote By Asprin
      Hapa panahitajika mjuvi wa Kiswahili, japo mie naamini kiswahili sahihi hapo ni "KULEGEZA"

      Aspirin, uko sawa kabisa. sihitaji hata kutafuta mtaalam wa kiswahili. neno sahihi ni KULEGEZA! Huyo Zomba ni zoba tu. arudie darasa la pili
      Asprin likes this.
      "Tanzania ni ya watanzania, na watanzania wenyewe ndo sisi"

    5. #23

      Baada ya hapo, Nape anatia timu jpili ya tarehe 24/6/2012.
      Nawaomba kina Lema mpatieni Nape ratiba yenu ili nae ajipange. Mnamtesa huyo kijana, najua hapendi surprises, ndo maana anakurupuka sana ktk mikutano yake.
      "Tanzania ni ya watanzania, na watanzania wenyewe ndo sisi"

    6. #24
      asigwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st September 2011
      Location : TANDHANIYA
      Posts : 4,389
      Rep Power : 1265
      Likes Received
      1209
      Likes Given
      1253

      Default Re: Lema, Heche na Mabere Marando kufanya mkutano mkubwa wa hadhara (M4C) Jimbo la Segerea [Jumapili

      safi sanaa..sie leo tupo huku iringa tunaendeleza mashambulizi kata ya kihesa makamanda wote wapo
      m4c forever

    7. #25
      Asprin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 8th March 2008
      Location : Psychiatric Ward
      Posts : 25,441
      Rep Power : 32076
      Likes Received
      14547
      Likes Given
      22033

      Default Re: G.lema, heche na mabere marando watafanya mkutano mkubwa wa hadhara (m4c) jimbo la segerea jumap

      Quote By wagaba

      Aspirin, uko sawa kabisa. sihitaji hata kutafuta mtaalam wa kiswahili. neno sahihi ni KULEGEZA! Huyo Zomba ni zoba tu. arudie darasa la pili
      Nadhani zomba atakusoma hapa na atajirekebisha. Kiswahili ni lugha ya Taifa.
      ....Shimo La Panya Halifunikwi Kwa Mkate.....

    8. Miaka 50

    9. #26
      Baba V's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th December 2010
      Location : Buguruni Mnyamani
      Posts : 10,882
      Rep Power : 30218
      Likes Received
      4708
      Likes Given
      3477

      Default

      Quote By Mendelian Inheritanc
      Hata Wakoloni walimwambia Nyerere muda wa Tanganyika kujitawala wenyewe haujafika ukifika tutawapa, walitaka mpaka mwaka 1999 ndio watupe uhuru wetu, lakini watanganyika kwa kushirikiana na Nyerere hawakukubali na mwaka 1961 kikaeleweka. Amka mtanzania acha kujifanya kuwa huna ubongo ila una uji wa ulezi kichwani.
      Baba V 'likes' this!

    10. #27
      Baba V's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th December 2010
      Location : Buguruni Mnyamani
      Posts : 10,882
      Rep Power : 30218
      Likes Received
      4708
      Likes Given
      3477

      Default

      Quote By zomba
      Mie nilisikia biriani ya ndizi ndiyo itakuwepo. Kaskazini hawataki kushindwa nasikia siku hizi kuna biriani ya ndizi.

      Kiswahili sahihi ni Kuregeza sio "kulegeza".
      He! Kuregeza?? Basi mi sikijui kiswahili hadi hii leo
      Asprin likes this.

    11. #28
      Ngongo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th September 2008
      Location : Mlima Meru
      Posts : 4,874
      Rep Power : 1977
      Likes Received
      2353
      Likes Given
      3038

      Default Re: G.lema, heche na mabere marando watafanya mkutano mkubwa wa hadhara (m4c) jimbo la segerea jumap

      Neno sahihi ni kulegeza sijui kuregeza umeitoa wapi labda Ngazija usituharibie lugha yetu ya taifa.

      Quote By zomba
      Mie nilisikia biriani ya ndizi ndiyo itakuwepo. Kaskazini hawataki kushindwa nasikia siku hizi kuna biriani ya ndizi.

      Kiswahili sahihi ni Kuregeza sio "kulegeza".
      Asprin and Mwita Maranya like this.

    12. #29
      Taja's Avatar
      Member Array
      Join Date : 4th December 2011
      Location : Zanzui - Maswa
      Posts : 95
      Rep Power : 396
      Likes Received
      33
      Likes Given
      46

      Default Re: Lema, Heche na Mabere Marando kufanya mkutano mkubwa wa hadhara (M4C) Jimbo la Segerea [Jumapili

      Maswa lini?
      Omba kazi usiombe pesa
      chezea pesa usichee Kazi

    13. #30
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14621
      Likes Received
      2842
      Likes Given
      1961

      Default Re: G.lema, heche na mabere marando watafanya mkutano mkubwa wa hadhara (m4c) jimbo la segerea jumap

      Quote By Asprin
      Hapa panahitajika mjuvi wa Kiswahili, japo mie naamini kiswahili sahihi hapo ni "KULEGEZA"
      Imani yako si sahihi, ni regeza si legeza.
      Asprin likes this.
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    14. #31
      Asprin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 8th March 2008
      Location : Psychiatric Ward
      Posts : 25,441
      Rep Power : 32076
      Likes Received
      14547
      Likes Given
      22033

      Default Re: G.lema, heche na mabere marando watafanya mkutano mkubwa wa hadhara (m4c) jimbo la segerea jumap

      Quote By zomba
      Imani yako si sahihi, ni regeza si legeza.
      Hebu wasome watanzania wenzangu hapa chini...

      Quote By Ngongo
      Neno sahihi ni kulegeza sijui kuregeza umeitoa wapi labda Ngazija usituharibie lugha yetu ya taifa.
      Quote By Baba V
      He! Kuregeza?? Basi mi sikijui kiswahili hadi hii leo
      Quote By wagaba

      Aspirin, uko sawa kabisa. sihitaji hata kutafuta mtaalam wa kiswahili. neno sahihi ni KULEGEZA! Huyo Zomba ni zoba tu. arudie darasa la pili
      ....Shimo La Panya Halifunikwi Kwa Mkate.....

    15. #32
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14621
      Likes Received
      2842
      Likes Given
      1961

      Default Re: G.lema, heche na mabere marando watafanya mkutano mkubwa wa hadhara (m4c) jimbo la segerea jumap

      Quote By Ngongo
      Neno sahihi ni kulegeza sijui kuregeza umeitoa wapi labda Ngazija usituharibie lugha yetu ya taifa.
      Hivi Kiswahili ni lugha mama kwako au unakurupuka tu?
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    16. #33
      Ngongo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th September 2008
      Location : Mlima Meru
      Posts : 4,874
      Rep Power : 1977
      Likes Received
      2353
      Likes Given
      3038

      Default Re: G.lema, heche na mabere marando watafanya mkutano mkubwa wa hadhara (m4c) jimbo la segerea jumap

      Kati yangu mimi na wewe nani kakurupuka ?.

      Quote By zomba
      Hivi Kiswahili ni lugha mama kwako au unakurupuka tu?

    17. #34
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14621
      Likes Received
      2842
      Likes Given
      1961

      Default Re: G.lema, heche na mabere marando watafanya mkutano mkubwa wa hadhara (m4c) jimbo la segerea jumap

      Quote By Asprin
      Hebu wasome watanzania wenzangu hapa chini...
      Si Watanzania wote ambao lugha "mama" kwao ni Kiswahili, wengi wao ni lugha ya pili. Mimi lugha mama kwangu ni Kiswahili, kwa hiyo hunambii lolote kuhusu hili, nnajuwa na nna uhakika, regeza mwendo, regeza kamba, regeza kiuno, sio "legeza".

      Msikurupuke.
      Asprin likes this.
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    18. #35
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14621
      Likes Received
      2842
      Likes Given
      1961

      Default Re: G.lema, heche na mabere marando watafanya mkutano mkubwa wa hadhara (m4c) jimbo la segerea jumap

      Quote By Asprin
      Nadhani zomba atakusoma hapa na atajirekebisha. Kiswahili ni lugha ya Taifa.
      Inabidi wewe na hao wenzako mjirekebishe, neno sahihi ni regeza na si "legeza".

      Nakuhakikishia ni regeza tena ni kwa asili na fasili yake.
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    19. #36
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14621
      Likes Received
      2842
      Likes Given
      1961

      Default Re: G.lema, heche na mabere marando watafanya mkutano mkubwa wa hadhara (m4c) jimbo la segerea jumap

      Quote By Ngongo
      Kati yangu mimi na wewe nani kakurupuka ?.
      Wewe uliyekurupuka, mimi Kiswahili ni lugha mama kwangu, wewe jee?

      Want to know where Regeza Mwendo in Zanzibar Urban, Tanzania is located? Find out here.
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    20. #37
      Crashwise's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd October 2007
      Location : Safarini
      Posts : 13,127
      Rep Power : 14289
      Likes Received
      4015
      Likes Given
      3273

      Default Re: G.lema, heche na mabere marando watafanya mkutano mkubwa wa hadhara (m4c) jimbo la segerea jumap

      Quote By zomba
      Wewe uliyekurupuka, mimi Kiswahili ni lugha mama kwangu, wewe jee?

      Want to know where Regeza Mwendo in Zanzibar Urban, Tanzania is located? Find out here.
      Haya turudi kwenye mada.....Kesho makamanda wanakamu Segerea, njoo ujivue Gamba uvae Gwanda.
      Nobody can give you freedom. Nobody can give you equality or justice or anything. If you're a man, you take it.... Malcolm X Nasubiri 'breaking news... '

    21. #38
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14621
      Likes Received
      2842
      Likes Given
      1961

      Default Re: G.lema, heche na mabere marando watafanya mkutano mkubwa wa hadhara (m4c) jimbo la segerea jumap

      Quote By Crashwise
      Haya turudi kwenye mada.....Kesho makamanda wanakamu Segerea, njoo ujivue Gamba uvae Gwanda.
      Siyo "segelea"?

      Mbona mnarukia hoja ya kuvua gamba? iliyotangazwa rasmi na CCM. Hamna jipya?
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    22. #39
      kitero's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st February 2012
      Location : Kaskazini
      Posts : 516
      Rep Power : 469
      Likes Received
      98
      Likes Given
      48

      Default Re: Lema, Heche na Mabere Marando kufanya mkutano mkubwa wa hadhara (M4C) Jimbo la Segerea [Jumapili

      Nazani sasa wamesha anza kuona faida na hasara ya lema kutokuwa bungeni.Nawatakia kila lakheri makamanda

    23. #40
      kuku dume's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd April 2012
      Location : School of Medicine
      Posts : 335
      Rep Power : 424
      Likes Received
      47
      Likes Given
      12

      Default Re: Lema, Heche na Mabere Marando kufanya mkutano mkubwa wa hadhara (M4C) Jimbo la Segerea [Jumapili

      Zomba is not a great thinker....sentensi ya chekechea.

    Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast

    User Tag List

    Tags for this Topic

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...