Jamani taarifa ya habari Leo usiku huu Nape kama kawaida yake akiongea kwa kufoka akiwa Mufindi amesema watumishi wa serikali wanaotumia ofisi za umma kutekeleza matakwa ya vyama fulani vya siasa sasa marufuku.
Source: TBC
Jamani taarifa ya habari Leo usiku huu Nape kama kawaida yake akiongea kwa kufoka akiwa Mufindi amesema watumishi wa serikali wanaotumia ofisi za umma kutekeleza matakwa ya vyama fulani vya siasa sasa marufuku.
Source: TBC
Huyu dogo mwehu!
System At Work
"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe
Nape ameathiriwa sana na mfumo wa chama dola, ni vigumu kumbadilisha kwa maneno!!
Atabadilisha mtazamo wake 2015!
Nape anahitaji maombi na msaada kutoka kwa wana magamba wenzake. wamemsusia kila kitu sasa anakurupuka tu ('CCM haitakufa hata nikibaki mwenyewe'). Anahitaji muongozo.
Kilichobaki sasa ni yy kueneza sumu ya kukimaliza 'chama chake'.
"Tanzania ni ya watanzania, na watanzania wenyewe ndo sisi"
yuko sahihi kinadharia lakini kivitendo/uhalisia ni siasa tu, kwani wao ndo wa kwanza wa kuwateua watu kushika nyazifa fulani kwenye ofisi za umma kwa vigezo vya kuwa makada waaminifu wa CCM. Wengi wakurugenzi, maofisa wa jeshi na wakuu wa idara mbalimbali wamelishwa viapo na ccm kufanya kazi kwa maslahi si UMMA bali maslahi ya CCM. Hivyo ashindwe na alegee, na kama anamaanisha awashauri magamba kuacha tabia ya kuteua watendaji serikalini ili na sisi tulio chini yao tuanze kuwajibika kwa umma
UTUMISHI WA HAKI, NI SULUHISHO LA MAOVU YOTE
Hivi ccm wanazama kwenye mto gani? Maana mda huu wako vuluu vuluu, kila mmoja anajaribu kutafuta mti wa kujinasua
poleni sana mliopanda meli isiyokuwa na baharia
hivi Nape aijua mipaka yake ya kazi.?
huyu huyu nape si ndiye huwa anaenda ikulu kwenye vikao vya cc ya magamba?,au ikulu sio ofisi ya umma?
Kama damu inakusisimka unapoona haki ya mtu ikipokwa na uko tayari kuitetea kwa gharama yeyote, basi hakika wewe ni Comrade wangu-Che Guevara.
Aanze na Benson Bana na Dr Kitilla Mkumbo
Nape ndio msemaji wa CCM(Chama tawala kinachounda serikali)watendaji wa serikali wanapokosea Chama kilichowapa mamlaka kinahaki yakuwakosoa...Fikiria kwa ubongo kijana..
Follow Us Here