Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Maendeleo hayaletwi na vyama vya siasa

    Report Post
    Page 2 of 4 FirstFirst 1234 LastLast
    Results 21 to 40 of 72
    1. #1
      Annael's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th September 2011
      Location : Dar es salaam, Tanzania
      Posts : 1,258
      Rep Power : 1507
      Likes Received
      235
      Likes Given
      237

      Post Maendeleo hayaletwi na vyama vya siasa

      Ndugu wananchi maendeleo hayaletwi na vyama vya siasa, maendeleo yanaletwa na watu walioamua kuendelea.

      Nchi ikiwa na wananchi walioamua kuendelea itaendelea tu.

      Vijana changamkeni tumieni nguvu zenu. Nchi yetu ipo wanasiasa hawataweza hata siku moja kutuletea maendeleo.
      Invisible, Roulette and TCleverly like this.
      MTU MPUMBAVU HATA UKIMTWANGA KWENYE KINU PAMOJA NA NGANO UPUMBAVU WAKE HAUMTOKI

    2. Miaka 50

    3. #21
      KIJOME's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 7th June 2012
      Posts : 1,323
      Rep Power : 0
      Likes Received
      244
      Likes Given
      220

      Default Re: Maendeleo hayaletwi na vyama vya siasa.

      Quote By mamajack
      jamani ni jambo ambalo lipo na litakuwapo bila kupingwa.wanasiasa wanaweza wakawafanya wananchi wakawa na maendeleo au wasiwe na maendeleo.kwa macho ya kawaida espacially hapa tnazania nchini kwangu,wanasiasa ni watu wabaya maana sifa za wizi, dhuluma, uonevu,unyanyasaji,wauaji ni wanasiasa wetu wanaodai wameleta maendeleo.ila wanasiasa ndio viongozi siku zote,nchi bila siasa haipo.the issue is,wanasiasa wetu wapoje???.ukisema maendeleo hayaletwi na wansiasa,mie sikubaliani na wewe,maana wanasisa ndio
      1.watawala
      2.watunga sera na mipamgo ya maendele
      3.wasimamizi wa maendeleo
      nk.sasa wewe usiwadanganye wananchi,cha kusema ni kwamba,tunawapambanua vipi hao wanasiasa??
      safi sana mamajack yaambie haya ni magamba yanafanya kazi yao!!
      BAK and mamajack like this.

    4. #22
      Crashwise's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd October 2007
      Location : Safarini
      Posts : 13,087
      Rep Power : 14280
      Likes Received
      3980
      Likes Given
      3246

      Default Re: Maendeleo hayaletwi na vyama vya siasa.

      Ndugu wananchi maendeleo hayaletwi na vyama vya siasa, maendeleo yanaletwa na watu walioamua kuendelea.
      Nchi ikiwa na wananchi walioamua kuendelea itaendelea tu.

      Vijana changamkeni tumieni nguvu zenu. Nchi yetu ipo wanasiasa hawataweza hata siku moja kutuletea maendeleo.
      Wengine hata mlo mmoja hatuna uhakika nao....halafu unaniambia niipende CCM yaani kwa picha hiyo juu...CCM NOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO OOOO
      Nobody can give you freedom. Nobody can give you equality or justice or anything. If you're a man, you take it.... Malcolm X Nasubiri 'breaking news... '

    5. #23
      Annael's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th September 2011
      Location : Dar es salaam, Tanzania
      Posts : 1,258
      Rep Power : 1507
      Likes Received
      235
      Likes Given
      237

      Default Re: Maendeleo hayaletwi na vyama vya siasa.

      Quote By Sangarara
      Hauna akili wewe, na hakuna point yoyote uliyoweka hapa, wewe inaonekana unatoka kwenye Familia ya kifukara sana kuanzia babu zako mpaka wewe mwenye na familia zote ambazo ndugu zako wameolewa au kuoa. tukifanya mabadiriko ya katiba wewe unastahili kupewa the lowest class ya uraia, inashangaza sana kwamba na wewe una haki ya kuandika kwenye public kama hii.

      wewe daraja lako ni la utumwa. na slave master wako ni Nape.
      Poa kwa matusi hayo uliyofundishwa na Mbowe. Ila akilizako hazinafikira na nyiendio mliokuwa mnatupwa kwenye mto kagera wakati wa Amini. Hufai kukaa na watu bali unafaa kukaa na majini, maana ulipata laana kabla ya kuzaliwa ndio maana watu mtaani kwenu hawakupendi, pia ulishaansaliwa adhabu yako moja kwa moja, hataukiomba na kutubu hautasamehewa.

      Pole sana
      MTU MPUMBAVU HATA UKIMTWANGA KWENYE KINU PAMOJA NA NGANO UPUMBAVU WAKE HAUMTOKI

    6. #24
      Sangarara's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th September 2011
      Posts : 3,291
      Rep Power : 1195
      Likes Received
      1178
      Likes Given
      1551

      Default Re: Maendeleo hayaletwi na vyama vya siasa.

      Quote By Crashwise
      Wengine hata mlo mmoja hatuna uhakika nao....halafu unaniambia niipende CCM yaani kwa picha hiyo juu...CCM NOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO OOOO
      Crackwise, hii picha sio kutoka sudani?

    7. #25
      Kiganyi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th April 2012
      Posts : 1,162
      Rep Power : 982
      Likes Received
      708
      Likes Given
      400

      Default Re: Maendeleo hayaletwi na vyama vya siasa.

    8. Study Abroad

    9. #26
      Froida's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th May 2009
      Posts : 3,734
      Rep Power : 1314
      Likes Received
      717
      Likes Given
      146

      Default Re: Maendeleo hayaletwi na vyama vya siasa.

      propaganda za kichina ha ha ha CCM ndio inaondoka sasa manake hamna pa kushika ,Vyama ni nani wananchi ndio vyama vyenyewe au sikuhizi vyama ni mawe

    10. #27
      Crashwise's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd October 2007
      Location : Safarini
      Posts : 13,087
      Rep Power : 14280
      Likes Received
      3980
      Likes Given
      3246

      Default Re: Maendeleo hayaletwi na vyama vya siasa.

      Yaani nchi hii kila napo ifikilia CCM machozi huwa natamani kulia CCM imeshindwa kabisa kutuongoza wamekalia kushindana kuinyonya nchi hii, kila mtanzania anajua kuwa Mkapa alipewa kipande cha dhahabu tukapiga kelel weeeeeeeeeeee juzi mtoto anae jita mtoto wa mkulima nae kapewa dhahabu eti cheni ya mkewe ******** zenu CCM....
      Nobody can give you freedom. Nobody can give you equality or justice or anything. If you're a man, you take it.... Malcolm X Nasubiri 'breaking news... '

    11. #28
      asigwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st September 2011
      Location : TANDHANIYA
      Posts : 4,388
      Rep Power : 1264
      Likes Received
      1208
      Likes Given
      1253

      Default Re: Maendeleo hayaletwi na vyama vya siasa.

      maendeleo yoyote huanzai katika fikra kama wanasiasa na vyama vyao watakuwa kichochezi cha kuamsha fikra basi wao ni muhimu mno kuliko mtu anayemwaga mamilioni mitaani...
      Crashwise likes this.

    12. #29
      Mgelukila's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 27th May 2012
      Posts : 224
      Rep Power : 396
      Likes Received
      42
      Likes Given
      2

      Default Maendeleo yanaletwa na wanasiasa.

      Maendeleo yana letwa na wanasiasa kwa kuwa wanakuwa na dhamana toka kwa wananchi, tusifanye makosa uchaguzi ujao kuinusuru tz. Tumchague mtu atakae wajibika kwetu, kweli anauchungu na taifa hili fitna na majungu kwake mwiko, akakuwa tayari kutupa ripoti sisi kwa wakati, atatoa ahadi za kweli na zinazotekelezeka.

    13. #30
      Crashwise's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd October 2007
      Location : Safarini
      Posts : 13,087
      Rep Power : 14280
      Likes Received
      3980
      Likes Given
      3246

      Default Re: Maendeleo hayaletwi na vyama vya siasa.

      Quote By Annael
      Poa kwa matusi hayo uliyofundishwa na Mbowe. Ila akilizako hazinafikira na nyiendio mliokuwa mnatupwa kwenye mto kagera wakati wa Amini. Hufai kukaa na watu bali unafaa kukaa na majini, maana ulipata laana kabla ya kuzaliwa ndio maana watu mtaani kwenu hawakupendi, pia ulishaansaliwa adhabu yako moja kwa moja, hataukiomba na kutubu hautasamehewa.

      Pole sana
      Naona umeishiwa kama chama chako....CCM haisafishiki ni zaidi ya mavi....
      Nobody can give you freedom. Nobody can give you equality or justice or anything. If you're a man, you take it.... Malcolm X Nasubiri 'breaking news... '

    14. #31
      Crashwise's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd October 2007
      Location : Safarini
      Posts : 13,087
      Rep Power : 14280
      Likes Received
      3980
      Likes Given
      3246

      Default Re: Maendeleo hayaletwi na vyama vya siasa.

      Quote By Sangarara
      Crackwise, hii picha sio kutoka sudani?
      Mkuu ni Tanzania, kutoka mikoa mabayo wana gasi, wanalima korosho, aridhi nzuri kama unavyoiona lakini kuna **** CCM yamewafikisha hapo walipo..kifundi kambi ya CCM iliko kuwa imabaki sasa nako kumenuka subiri mwaka 2015....
      Nobody can give you freedom. Nobody can give you equality or justice or anything. If you're a man, you take it.... Malcolm X Nasubiri 'breaking news... '

    15. #32
      Fidel80's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd May 2008
      Location : UVUNGUNI
      Posts : 18,931
      Rep Power : 9474
      Likes Received
      3052
      Likes Given
      1192

      Default Re: Maendeleo hayaletwi na vyama vya siasa.

      Wakiwezeshwa wanaweza
      **^^+..Ukiuza Utumbo usiogope nzi..+^^**
      Chuda Raha
      Email: [email protected]

    16. #33
      mtotowamjini's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd April 2012
      Location : None of Your Business
      Posts : 4,531
      Rep Power : 1262
      Likes Received
      1109
      Likes Given
      28

      Default Re: Maendeleo hayaletwi na vyama vya siasa.

      sasa kama mimi nataka kujiendeleza kwa kujenga au kuweka biashara kwenye eneo ambalo serikali yangu imeninyang'anya sasa nitaendelea kivipi...hao viongozi wanaplay part kubwa sana kwenye maendeleo ya wananchi
      Every saint has a past, every sinner has a future' ...Oscar Wilde

      One man's good fortune is another man's misfortune

    17. #34
      Mkandara's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd March 2006
      Location : T dot
      Posts : 13,770
      Rep Power : 7662
      Likes Received
      4929
      Likes Given
      4509

      Default Re: Maendeleo hayaletwi na vyama vya siasa.

      Quote By Annael
      Ndugu wananchi maendeleo hayaletwi na vyama vya siasa, maendeleo yanaletwa na watu walioamua kuendelea.
      Nchi ikiwa na wananchi walioamua kuendelea itaendelea tu.

      Vijana changamkeni tumieni nguvu zenu. Nchi yetu ipo wanasiasa hawataweza hata siku moja kutuletea maendeleo.
      Alaaa hivi kuna nchi isiyokuwa na POLICY?... na kama hakuna hizo sera huletwa na kina nani?..
      Exploration of reality

    18. #35
      Mgelukila's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 27th May 2012
      Posts : 224
      Rep Power : 396
      Likes Received
      42
      Likes Given
      2

      Default Maendeleo yanaletwa na wanasiasa.

      Maendeleo yanaletwa na siasa ktk nchi yeyote duniani ndiyo maana wenzetu wanabadili chama cha siasa kutokana na swra zake na wanaangalia na uwezo wa mgombea kuliko tz tuache siasa za kukomoana na kuchagua viongozi wabadhilifu wasio na uchungu na taifa hili.

    19. #36
      JingalaFalsafa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th April 2012
      Location : Africa.
      Posts : 336
      Rep Power : 425
      Likes Received
      211
      Likes Given
      80

      Default

      Quote By MBELWA Germano

      Siasa ni nini?
      ......................
      [/B]
      Mkuu: Ni kweli kuwa siasa ni moja ya nyanja kuu za maisha, pamoja na tamaduni(kwangu kama msingi mkuu), na uchumi. Vitu hivi havitengani kamwe! Kila mtu ni mwanasiasa, mwanauchumi, na mwanatamaduni katika taifa lake...yaani hizo ni sifa kuu zinazo m-shape binadamu! Tujiulize hapa, ni nani haishi siasa, tamaduni, ama uchumi? Mambo hayo yote hupaswa kusimikiwa mifumo ya kuyaendesha kufikia maendeleo ya watu. Mifumo hiyo ni lazima isadifu (a) MAZINGIRA yaani sura ya nchi na watu wake (b) NYAKATI, yaani mahusiano yaliyopo katika mazingira, yaani baina ya watu na watu, na watu na sura yao ya nchi. ,, Hapo ndipo tunapohoji ufanisi na uzito wa mifumo iliyopo katika kuendesha nyanja hizi za maisha kuleta maendeleo. Je, mifumo hiyo inakidhi haja?
      Kisiasa tupo chini ya "demokrasia", kiuchumi tupo chini ya "uchumi huria-free economy" Kitamaduni nako tunasema "uhuru-freedom". Yote hayo yapo chini ya katiba inayoitwa "HAKI ZA BINADAMU-HUMAN RIGHTS"
      Tukiruhusu fikra zetu, kufanya upembuzi yakinifu juu ya mifumo iliyopo "HUWEZI KUKATAA KWAMBA, KUAMINI MAENDELEO YATALETWA NA SIASA ILIYOPO NI KUJIDANGANYA"
      Ubunifu haujawai kufika mwisho. Tunayo nafasi ya kuutumia!
      Mungu wetu anaita!

    20. #37
      Dumelang's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th August 2011
      Location : Dar es salaam
      Posts : 307
      Rep Power : 454
      Likes Received
      178
      Likes Given
      144

      Default Re: Maendeleo hayaletwi na vyama vya siasa.

      Mkuu maneno yako ni ya ujenzi sana...Pro-Chadema JF wengi wao wanadhani Chadema wakichukuwa nchi kila mtu atakuwa tajiri.

      THIS IS FALLACY. si kweli kuwa watu wanadhani chadema ikichukua madaraka watu wote tutakuwa matajiri ila tunataka! mabadiliko, we know for sure they'll not satisfy everyone ila watatuondoa tulipo, yaani kwaakili kidogo tu wawezajua suala hili halihitaji shule.

      Amani kwa wote Makamanda!
      Never say more than is necessary.

    21. #38
      Henge's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th May 2009
      Posts : 5,440
      Rep Power : 1674
      Likes Received
      918
      Likes Given
      1673

      Default Re: Maendeleo hayaletwi na vyama vya siasa.

      Quote By ritz
      Mkuu maneno yako ni ya ujenzi sana...Pro-Chadema JF wengi wao wanadhani Chadema wakichukuwa nchi kila mtu atakuwa tajiri.
      mkuu kumbe wewe ni kweli ni mtoto wa mkulu!?
      TUKIWAKAMATA MAFISADI NCHI ITAYUMBA by PINDA

    22. #39
      Annael's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th September 2011
      Location : Dar es salaam, Tanzania
      Posts : 1,258
      Rep Power : 1507
      Likes Received
      235
      Likes Given
      237

      Default Re: Maendeleo hayaletwi na vyama vya siasa.

      Quote By Dumelang

      THIS IS FALLACY. si kweli kuwa watu wanadhani chadema ikichukua madaraka watu wote tutakuwa matajiri ila tunataka! mabadiliko, we know for sure they'll not satisfy everyone ila watatuondoa tulipo, yaani kwaakili kidogo tu wawezajua suala hili halihitaji shule.

      Amani kwa wote Makamanda!

      Sikia ndugu yangu Utaedelea kusubiri mkombozi mpaka utachoka. Ndio maana Waisrael mpaka leo wanamsubiri Masia.
      Kaka achana na hawa wanasiasa hawawezi kukufanyia chochote tena hawa CHADEMA wakiingia madarakani itakuwa kulipizana kisasi na kukamata kamata watu hovyo.

      Wewe angalia tu walivyo na jaziba. Hawataki hatakidogo kukosolewa, kuulizwa.

      Play your part usitegemee hawa jamaa hawana lolote.
      MTU MPUMBAVU HATA UKIMTWANGA KWENYE KINU PAMOJA NA NGANO UPUMBAVU WAKE HAUMTOKI

    23. #40
      Mbelwa Germano's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th May 2011
      Posts : 701
      Rep Power : 838
      Likes Received
      200
      Likes Given
      262

      Default Re: Maendeleo hayaletwi na vyama vya siasa.

      Quote By JingalaFalsafa
      Mkuu: Ni kweli kuwa siasa ni moja ya nyanja kuu za maisha, pamoja na tamaduni(kwangu kama msingi mkuu), na uchumi. Vitu hivi havitengani kamwe! Kila mtu ni mwanasiasa, mwanauchumi, na mwanatamaduni katika taifa lake...yaani hizo ni sifa kuu zinazo m-shape binadamu! Tujiulize hapa, ni nani haishi siasa, tamaduni, ama uchumi? Mambo hayo yote hupaswa kusimikiwa mifumo ya kuyaendesha kufikia maendeleo ya watu. Mifumo hiyo ni lazima isadifu (a) MAZINGIRA yaani sura ya nchi na watu wake (b) NYAKATI, yaani mahusiano yaliyopo katika mazingira, yaani baina ya watu na watu, na watu na sura yao ya nchi. ,, Hapo ndipo tunapohoji ufanisi na uzito wa mifumo iliyopo katika kuendesha nyanja hizi za maisha kuleta maendeleo. Je, mifumo hiyo inakidhi haja?
      Kisiasa tupo chini ya "demokrasia", kiuchumi tupo chini ya "uchumi huria-free economy" Kitamaduni nako tunasema "uhuru-freedom". Yote hayo yapo chini ya katiba inayoitwa "HAKI ZA BINADAMU-HUMAN RIGHTS"
      Tukiruhusu fikra zetu, kufanya upembuzi yakinifu juu ya mifumo iliyopo "HUWEZI KUKATAA KWAMBA, KUAMINI MAENDELEO YATALETWA NA SIASA ILIYOPO NI KUJIDANGANYA"
      Ubunifu haujawai kufika mwisho. Tunayo nafasi ya kuutumia!
      Mungu wetu anaita!
      Jambo la muhimu tunalopaswa kutambua ni kwamba, kila binadamu anafanya makosa lakini hatupaswi kujiridhisha na makosa yetu bila kutumia fikra zetu kutafuta ufumbuzi mkubwa kusahihisha makosa yetu. Ukweli hautaki kupuuzwa hivyo tusijidanganye wenyewe na kujiridhisha kana kwamba matatizo na shida zetu hazihitaji fikra za juu zilizojaa hekima, ubunifu, uadilifu na busara na njia rahisi ni kutenganisha maendeleo, siasa na vyama vya siasa. Kama suala ni MFUMO tutafakari na tudai mabadiliko na mabadiliko haya hayawezi kuja kwa kung'ang'ania mfumo ambao tunahisi unafanya kile unachokiita SIASA iliyopo chini ya DEMOKRASIA.

      80 percent of problems are often due to 20 percent of the causes

    24. FemaTV & Radio
    Page 2 of 4 FirstFirst 1234 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...