Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Ushauri wa bure kwa BAKWATA na waislamu wenzangu wote kuhusu kususia SENSA

    Report Post
    Page 3 of 11 FirstFirst 12345 ... LastLast
    Results 41 to 60 of 210
    1. #1
      Jumakidogo's Avatar
      R I P Array
      Join Date : 16th July 2009
      Location : DOM & DAR
      Posts : 1,868
      Rep Power : 1176
      Likes Received
      390
      Likes Given
      42

      Default Ushauri wa bure kwa BAKWATA na waislamu wenzangu wote kuhusu kususia SENSA

      Nimepata tabu kwa muda ili kujaribu kufikiri na kupata sababu na jibu la maana la waislamu kususia hesabu ya watu nchini yaani sensa. Bado sijaelewa idadi ya watu, ama hesabu ya watu inahusiana vipi na imani za kidini wakati wanaohesabiwa ni watanzania wenye dini mbali mbali walionea na kusambaa nchini kwetu.

      Je! Serikali ikichakachua idadi kamili ya watu wa dini fulani na kutoa idadi tofati kutakuwa na faida gani? Je! idadi ndogo ya waumini inasababisha kupungua imani ya watu kwa dini yao? Ukiwa na imani unaweza kuwa na dini yako peke yako, au ya watu sita tu na bado ikawa dini bila ya halaiki ya watu.

      Au lengo letu ni kushindana idadi na watu wa imani nyingine? Hiyo itakuwa na faida gani kwetu.

      Ikiwa ni hivyo, ushauri wangu ni huu.

      Tuiache sensa ya serikali ifanye kazi yake, tukubali kuhesabiwa. Baada ya hapo tufanye sensa yetu ya waislamu tu. Nina hakika kila mtaa haukosi kuwa na shekhe ambaye anaweza kupita na kujua idadi ya waislamu walio katika mtaa wake, ndani ya kipindi kifupi tunaweza kupata majibu kwa kupitia sensa yetu ya uhakika. Maustadhi na mashekhe wetu mbona mengi mnayapigania na kufanikiwa? Je, sensa maalumu kwa ajili ya waislamu tu, itawashinda?

      Hakuna sababu ya kutaka kujua idadi yetu kwa kubebwa na sensa ya serikali wakati uwezo tunao watu wakihamasishwa. Huo ndio ushauri wangu, isije ikawa tunafanya mambo kinyume na demokrasia na matakwa ya jamii inayotuzunguuka.
      August, Kinyungu, Pasco and 16 others like this.
      NI FAHARI KUMFUKUZA SIMBA AKAKIMBIA, LAKINI NI HATARI KUFUATA NYAYO ZAKE

    2. Miaka 50

    3. #41
      Barubaru's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th April 2009
      Location : Doha, Qatar
      Posts : 5,740
      Rep Power : 1919
      Likes Received
      1178
      Likes Given
      962

      Default Re: Ushauri wa bure kwa BAKWATA na waislamu wenzangu wote kuhusu kususia SENSA

      Quote By Free World
      Juma Salaam,
      Kwanza sina shaka juu ya uislamun wako kama wengine humu JF, wanaojifanya waislamu kumbe ni makafiri wazuri.
      Kimsingi hata mimi binafsi siathiriki na sensa na matokeo yake.
      lakini unapaswa kuangalia mbali zaidi ya hoja zako hapo juu. Wakristo wanataka Waislamu wafikiri kama wewe ulivyofanya, kwa hiyo itawahakikishia dhulma bila bughdha
      1. Madai ya msingi ya Waislamu ni kuwa Wakristo kwa kuwa ndio wengi serikalini na kwenye ufanyaji maamuzi wanatumia mwanya wa kutokuwa na takwimu sahihi kuhalalisha wao kuwa wengi kila mahali.
      2. kama idadi ya watu wa dini fulani sio issue, kwa nini izungumzwe ile ya makadirio?
      3. Kama kuna haja ya kuwa na makadirio (estimates) kwanini kusiwe na real data?
      4. Pia kuna confusion inayotokana na records za nyuma, mwanzo waislamu walikuwa majority TZ, leo kwa nini wawe 35%?

      Mwisho KWA NINI TUNAOGOPA KUPIMWA? wakati tunasisitiza watu wakapimwe ukimwi! Hapa tunaogopa ukweli?
      Kuna siri ndani ya Pazia.

      Kama wao wangedai hilo saa hizi limeshaingizwa katika fomu zenu.

      Hakuna dhulma yenye kudumu.


      Ukiwa mchoyo, usiwe mroho.

      Man Sharaf naf'sahu, fahuwa rasul

    4. #42
      Las Mas Bobos's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th June 2012
      Posts : 911
      Rep Power : 531
      Likes Received
      296
      Likes Given
      84

      Default Re: Ushauri wa bure kwa BAKWATA na waislamu wenzangu wote kuhusu kususia SENSA

      Kuna watu wa akili fupi wanadhani hii nchi ina dini mbili tu kiasi kila leo wapo majukwaani wanadai uwakilishi wa dini yao kwenye kila nukta. Hivi mmeshawahi kujiuliza kuna dini na madhehebu mangapi ambayo hayafungamani kiasi serikali iingize kwenye sensa viongozi wao, hiyo itakuwa tume au nchi nzima?

      Kama kuna anataka kujua idadi ya waumini wa dini yake hiyo sensa afanye mwenyewe nyumbani kwake. Serikali haina haja ya kutujua kwa dini na ndio maana haijafanya utaratibu huo. Sasa hawa wanaopenda kuleta usumbufu wa kitoto sijui wanataka lipi kwenye sensa.

      Hivi kuna mwanaume wa kukataa kutoa taarifa kweli ikiwa kila mtu anafuatwa peke yake?

    5. #43
      Dumelang's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th August 2011
      Location : Dar es salaam
      Posts : 307
      Rep Power : 454
      Likes Received
      178
      Likes Given
      144

      Default Re: Ushauri wa bure kwa BAKWATA na waislamu wenzangu wote kuhusu kususia SENSA

      Mmehangaika sana jamani kujibishana na watu wa hii Dini, moslems will not change till the second coming of jesus! unajua kwanini? lililoandikwa katika Biblia ni lazima litimie. Baba wa uslam ni ish-mael yule mtoto wa Ibrahimu aliyemzaa na mjakazi wake mmisri, HAJIRI. [FONT=Georgia]Mungu liandika hivi: KATIKA MWANZO 16:12[/FONT]

      He will be a wild donkey of a man; his hand will be against everyone and everyone's hand against him, and he will live in hostility toward all his brothers." (QUOTED FROM ENGLISH STANDARD VERSION)

      KWA BIBLIA ZA KISWAHILI ANASEMA: naye atakuwa kama punda mwitu kati ya watU, Mkono wake utakuwa juu ya watu wote na mkono wa watu wote utakuwa juu yake, naye atakaa mbele yao ndugu zake wote

      sasa katika kiswahili Maana imepotea angalia neno lenye rangi nyekundu kwenye kingreza "hostility" kwa tafsiri nzuri ni 1. a hostile (very unfriendly) disposition 2. a state of deep-seated ill-will
      3. the feeling of a hostile person 4. violent action that is hostile and usually unprovoked


      Sasa kwa tafsri hizo unaweza usiwalaumu hawa waislam, neno la mungu ni lazima litimie, angalia mataifa ya kiislam yanavyoishi na mataifa wanayoyaita yana wakristo, matendo wayafanyayo duniani. NK
      NISIWACHOSHE REFERENCE ZA BIBLE NI NYINGI WAACHENI WAISLAM WANAITIMIZA MISTARI YA BIBLIA
      Never say more than is necessary.

    6. #44
      Precise pangolin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 4th January 2012
      Posts : 5,675
      Rep Power : 1911
      Likes Received
      1580
      Likes Given
      676

      Default Re: Ushauri wa bure kwa BAKWATA na waislamu wenzangu wote kuhusu kususia SENSA

      Quote By ritz
      Serikali, lakini ninachofurahi Chadema wote wamerudi CCM.
      Mkuu naona unachokoza halafu nikiingia unasema nimekuja hapa JF kushabikia dini

    7. #45
      Maundumula's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th November 2010
      Posts : 4,915
      Rep Power : 3094
      Likes Received
      1339
      Likes Given
      5643

      Default Re: Ushauri wa bure kwa BAKWATA na waislamu wenzangu wote kuhusu kususia SENSA

      Hii inshu mimi siielewi kabisa
      jouneGwalu likes this.

    8. FemaTV & Radio

    9. #46
      Njilembera's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th May 2008
      Posts : 782
      Rep Power : 723
      Likes Received
      90
      Likes Given
      158

      Default Re: Ushauri wa bure kwa BAKWATA na waislamu wenzangu wote kuhusu kususia SENSA

      Quote By MAMA POROJO
      kama ndivyo basi makanisa na misikiti ndio wahesabu watu/waumini wao kama dhamira ni kwa matumizi ya imani

      Walau najua makanisa yana orodha ya waumini wao kwa sharika au parokia. Waislamu hawana, kwa nini wasifanye nao sensa ya kwao huko misikitini?

    10. #47
      Precise pangolin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 4th January 2012
      Posts : 5,675
      Rep Power : 1911
      Likes Received
      1580
      Likes Given
      676

      Default Re: Ushauri wa bure kwa BAKWATA na waislamu wenzangu wote kuhusu kususia SENSA

      Quote By Kikwebo
      Mkuu umeona enhe! hapa Wassira ni bonge la kiongozi mbele ya Wahafidhina wa CDM! ama kweli ni vigumu kutofautisha kati ya CDM, kanisa na CCM ! (pole Ritz).

      Kikwebo.
      Kuhesabiwa hiyo haiusiani na wassira tunchotaka tupate data kwaajili ya maendeleo zitatusaidia 2015 tukichukua nchi

    11. #48
      Maundumula's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th November 2010
      Posts : 4,915
      Rep Power : 3094
      Likes Received
      1339
      Likes Given
      5643

      Default Re: Ushauri wa bure kwa BAKWATA na waislamu wenzangu wote kuhusu kususia SENSA

      Quote By Dumelang
      Sasa kwa tafsri hizo unaweza usiwalaumu hawa waislam, neno la mungu ni lazima litimie, angalia mataifa ya kiislam yanavyoishi na mataifa wanayoyaita yana wakristo, matendo wayafanyayo duniani.
      Machafuko karibu yote yanayotokea kwenye nchi za kiislam yanasababishwa na nchi unazoziita za kikristo sasa wewe niambie huyo bwana aliye hostile hapo anayetajwa ni nani kati ya USA ,UK, Iran au Iraq?

    12. #49
      Ritz's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 1st January 2011
      Location : Republic of Nauru
      Posts : 18,237
      Rep Power : 12572
      Likes Received
      5794
      Likes Given
      758

      Default

      Quote By Kikwebo
      Mkuu umeona enhe! hapa Wassira ni bonge la kiongozi mbele ya Wahafidhina wa CDM! ama kweli ni vigumu kutofautisha kati ya CDM, kanisa na CCM ! (pole Ritz).

      Kikwebo.
      Pole unanipa tena mie badala uwape Chadema jinsi CCM wanavyocheza na akili zao.

    13. #50
      Las Mas Bobos's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th June 2012
      Posts : 911
      Rep Power : 531
      Likes Received
      296
      Likes Given
      84

      Default Re: Ushauri wa bure kwa BAKWATA na waislamu wenzangu wote kuhusu kususia SENSA

      Quote By ritz
      Huu ushauri wako wa bure bora ukaenao utakusaidia mbeleni.
      Hujajibu hoja zake unaongea kiswahili swahili tu kama waanzilishi wa mgomo wenyewe. Issue ni kwa faida ya nani na ili iwe nini. Wengi wenu akili zenu ndio kama hizi ulizotumia kujibu hoja hii kipuuzi na bado mnataka uwiano sawa serikalini.

      Tafakari jipe majibu, kazi hapewi mtu ili kubalansisha dini kwamba 10 huku na 10 huku, kazi hutolewa kwa vigezo vya elimu na uwezo wa kuifanya. Sasa kwa mfano Waislamu wakiwa milioni 38 kati ya 45 ndio kigezo kwamba wawe wengi kwenye kazi kwa kuwa wao ni wengi mtaani?

    14. #51
      Azimio Jipya's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Location : Universal Space Station
      Posts : 3,281
      Rep Power : 5415
      Likes Received
      1006
      Likes Given
      1731

      Default

      Quote By MAMA POROJO
      Kama waumini wote
      wangekuwa wanakwenda kuswali msikitini na wakristo wote kwenda
      makanisani sensa ingekuwa nyepesi ..... naona kazi ya kwanza ya dini ni
      kuwarejesha waislamu na wakristo wote kwenda nyumba za ibada ili wapate
      sensa yao. wamrudie Mungu hesabu itakuwa rahisi wala hakutakuwa na haja
      ya kuisumbua serikali ambayo idadi ya waumini wa dini haina umuhimu
      katika kupanga maendeleo ya watu kama vile barabara, umeme,
      maji.
      Hoja imetulia!
      KOMBESANA likes this.

    15. #52
      babayah67's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th March 2008
      Location : Makasuku
      Posts : 390
      Rep Power : 651
      Likes Received
      35
      Likes Given
      6

      Default Re: Ushauri wa bure kwa BAKWATA na waislamu wenzangu wote kuhusu kususia SENSA

      Quote By Kabembe
      Taabu ya hawa wenzetu hata ukiwapa uongozi wa nchi,yaani Rais,makamu,waziri mkuu na mawaziri wote,makatibu wote,wakurugenzi wa idara wote,wakuu wa mikoa,wilaya wote,wakurugenzi wa mashirika ya umma wote na kadha wa kadha bado hawa jamaa zetu wataendelea kulalamika na kudai mfumo kristo unatawala,frankly is very hard to deal with these characters,they are funny and useless!

      Mhh nina wasiwasi na uwezo wako wa kuangalia mambo na kupata uhalisia wake. Tatizo la waislamu si kutaka kupewa, Urais, au ukuu wa wilaya kama unavyosema, tatizo ni mfumo gani unamuweka mtu fulani mahali gani. Je ni mfumo wa haki??? Hili ndilo tatizo. Angalia kilichotokea juzijuzi tu baraza la mtihani, na aina ya majibu tuliyopata baada ya waislam kulalamikia matokeo ya mtihani, na baadaye majibu yaliyofuatia!!! Hii ni katika somo moja tu, je nani anajua nini kinaendelea katika masomo mengine???. Sioni kwa nini Serikali ikatae kuweka kipengele cha kumtambua mtu dini yake??

    16. #53
      KOMBESANA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th June 2009
      Posts : 525
      Rep Power : 610
      Likes Received
      114
      Likes Given
      1460

      Default Re: Ushauri wa bure kwa BAKWATA na waislamu wenzangu wote kuhusu kususia SENSA

      Walau basi Makanisa yanaweka kumbukumbu za waumini wao kwa daftari rahisi lenye majina ya waumini wanaoabudu kwenye kila nyumba ya ibada jumapili bila kuhitaji sensa au utaratibu wa kiserikali.
      Waislamu hilo hamliwezi?Tangazeni tenda ya kuhitaji huduma za ushauri namna ya kujuanidadi yenu,tutawapa dozi ya ushauri mtupatie hiyo fedha
      Last edited by KOMBESANA; 15th June 2012 at 17:24. Reason: typo

    17. #54
      stroke's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 17th February 2012
      Posts : 1,427
      Rep Power : 0
      Likes Received
      153
      Likes Given
      4

      Default Re: Ushauri wa bure kwa BAKWATA na waislamu wenzangu wote kuhusu kususia SENSA

      Quote By Sideeq
      Sawa! lakini itambulike officially na Serikali.
      Na kama serikali inaweza kugharimia ufanyaji wa sensa , vilevile hawa Masheikh watakaofanya hii kazi wagharimiwe na Serikali.
      Nyie mbona mmezidi vya dezo sana?? kwanini msitumie pesa zenu kufanya sensa zenu..kwani wakristo wanapohesabiana huko makanisani hiyo kazi inagharamiwa na serikali?? mambo ya ajabu sana haya..hamna source of income??? taabu tupu..mahakama ya kadhi mnataka serikali ii gharamie , yaani belivers na non belivers wabebe mizigo ambayo sio yao..nani anataka pesa zake zikafanye kazi isiyo mhusu?? mahakama zenu sisi tuzigharamie...ajabu hii

    18. #55
      KOMBESANA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th June 2009
      Posts : 525
      Rep Power : 610
      Likes Received
      114
      Likes Given
      1460

      Default Re: Ushauri wa bure kwa BAKWATA na waislamu wenzangu wote kuhusu kususia SENSA

      nasikia mmoja wenu alijieleza kwenye radio eti mnataka kujua mna watu wangapi mjenge madrasa za kutosha,sijui kweli nayo?ajabu kubwa kabisa!

    19. #56
      Dumelang's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th August 2011
      Location : Dar es salaam
      Posts : 307
      Rep Power : 454
      Likes Received
      178
      Likes Given
      144

      Default Re: Ushauri wa bure kwa BAKWATA na waislamu wenzangu wote kuhusu kususia SENSA

      Quote By Maundumula
      Machafuko karibu yote yanayotokea kwenye nchi za kiislam yanasababishwa na nchi unazoziita za kikristo sasa wewe niambie huyo bwana aliye hostile hapo anayetajwa ni nani kati ya USA ,UK, Iran au Iraq?
      Naona hukusoma vizuri hapa: his hand will be against everyone and everyone's hand against him, and he will live in hostility toward all his brothers.

      Ufafanuzi wa sentensi: mchokozi ni anaye inua mkono wake dhidi ya meingine "his hand, against everypone(Waislam au mataifa ya kiislam dhidi ya wenzao) sawa? ndipo sentesi inasema and everyone's hand against himyaani kwa sababu ya uchokozi wake kila mtu atainua mkono dhidi yake (kujibu mapigo/uchokozi) wanaojibu ndio hao uliowataja akina USA, UK, Israel n.k au siyo? ndipo hapo chuki inaanza. UMEELEWA SASA
      Never say more than is necessary.

    20. #57
      SANGILA MKAMA's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 21st February 2012
      Posts : 6
      Rep Power : 367
      Likes Received
      6
      Likes Given
      0

      Default Re: Ushauri wa bure kwa BAKWATA na waislamu wenzangu wote kuhusu kususia SENSA

      Nakushukuru sana ndugu yangu kwa kuangalia mambo practically. Waache kulalama. Maneno hayasaidii kitu. Kwenye somo la Mantiki (Logic) tunafundishwa kitu kinachoitwa specific difference (yaani kile kinachotofautisha kundi au kitu fulani na kingine). Kwa binadamu specific difference yetu ni rationality (uwezo wa kufanya mang'amuzi). Rationality inatutofautisha na wanyama. Ndugu zangu Waislamu muwe mnapima mambo kabla ya kuyaweka hadharani.

    21. #58
      Kikwebo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th August 2006
      Posts : 323
      Rep Power : 716
      Likes Received
      42
      Likes Given
      20

      Default Re: Ushauri wa bure kwa BAKWATA na waislamu wenzangu wote kuhusu kususia SENSA

      Quote By Precise pangolin
      Kuhesabiwa hiyo haiusiani na wassira tunchotaka tupate data kwaajili ya maendeleo zitatusaidia 2015 tukichukua nchi
      Ebwana enhe! kumbe saa nyingine Wassira ana point enhe! ambazo mkiingia madarakani 2015 zitakusaidieni..duuh! si mchezo. Labda nikusaidie kitu kimoja..

      ushauri wangu nyie CDM kubalini hiki kipengele ili mkiingia madarakani 2015 mruhusu MoU na Waislamu..kwa kuwa serikali isingekubali kuingia MoU ile ilihali hakuna umuhimu wakujua watu kwa dini zao.?

      Kipengele hiki for your information ni muhimu na serikali inatumia idadi ya wakristo kwa mlango wa nyuma kuwabeba. Hivi kama Wakrosto wangekuwa ni asilimia 2% unadhani wangekubali kuingia nao ile MoU!!! akili zao nikuwa wako wengi ndio maana wakawakubalia kuwapa mabilioni ya shilingi kila mwezi.

    22. #59
      Jumakidogo's Avatar
      R I P Array
      Join Date : 16th July 2009
      Location : DOM & DAR
      Posts : 1,868
      Rep Power : 1176
      Likes Received
      390
      Likes Given
      42

      Default

      Quote By Barubaru
      Nilipo RED kunapelekea kutilia mashaka Uislam wako. Je unajuwa shahe ni nani? Inawezekana kweli kuwe na shahe kila mtaa huko Tanzania ?

      Labda nikuulize.

      Tunajuwa fika lengo kuu la sensa yenu ni kuhisabu watu.
      Kwanini sasa mnaweka kipengele cha jinsia na umri wakti lengo kuu ni kujua idadi ya watu?
      Kumbuka kuwa wanawake na wanaume wote ni watu na vile vile watoto, vijana na wazee wote ni watu.

      Sasa kwanini msijumuishe na dini pia? je kuna gharama gani kama mtakiweka kipengele hicho?

      Acheni kubaniana wenyee kwa wenyewe na kuoneana husda
      Kaka baruu! Umeibukia njozini? Au ndevu zimekuzidi uzito mpaka unashindwa kuandika. Sijasema 'shahe' nimesema 'shekhe' huku kwetu ni mtu aliyebobea katika elimu ya madrasa na dini kwa ujumla. Mitaa yetu huku ni mikubwa kiasi inaweza hata kudai uhuru. Sio kama huko kwenu Zenji. Kwa taarifa yako huku bara kila mtaa haukosi shekhe.

    23. #60
      Sideeq's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th December 2009
      Posts : 1,596
      Rep Power : 799
      Likes Received
      210
      Likes Given
      0

      Default Re: Ushauri wa bure kwa BAKWATA na waislamu wenzangu wote kuhusu kususia SENSA

      Quote By mkaliwakitaa
      Nyie mbona mmezidi vya dezo sana?? kwanini msitumie pesa zenu kufanya sensa zenu..kwani wakristo wanapohesabiana huko makanisani hiyo kazi inagharamiwa na serikali?? mambo ya ajabu sana haya..hamna source of income??? taabu tupu..mahakama ya kadhi mnataka serikali ii gharamie , yaani belivers na non belivers wabebe mizigo ambayo sio yao..nani anataka pesa zake zikafanye kazi isiyo mhusu?? mahakama zenu sisi tuzigharamie...ajabu hii
      Umeielewa context ya niliyoyasema?
      Quote By Barubaru
      Tunajuwa fika lengo kuu la sensa yenu ni kuhisabu watu.
      Kwanini sasa mnaweka kipengele cha jinsia na umri wakti lengo kuu ni kujua idadi ya watu?
      Kumbuka kuwa wanawake na wanaume wote ni watu na vile vile watoto, vijana na wazee wote ni watu.
      Point taken!
      Alapo ndipo anyapo!

    Page 3 of 11 FirstFirst 12345 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...