Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Mbunge avilalamikia Vyombo vya habari vya Tanzania kwa udini

    Report Post
    Page 2 of 6 FirstFirst 1234 ... LastLast
    Results 21 to 40 of 109
    1. #1
      Malaria Sugu's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 2nd August 2009
      Posts : 1,783
      Rep Power : 0
      Likes Received
      246
      Likes Given
      18

      Default Mbunge avilalamikia Vyombo vya habari vya Tanzania kwa udini

      leo ktk kipindi cha maswali ya papo kwa papo bungeni. Mbunge mmoja wa Zanzibar alivilaumu vyombo vya habari kwa udini uliokithiri alipouliza Mh Pinda kuhusu yaliotokea zanzibar na uripotiaji wa habari hiyo kwa magazeti

      "Mh Waziri Mkuu, Hivi karibuni palitokea Vurugu Zanzibar, Lkn Cha ajabu vyombo vyetu vya habari viliegemea tu Uchomaji Makanisa huku hata baadhi ya misikiti iliharabiwa na baadhi ya watu, Lkn vyombo kwa makusudi vilificha HABARI HIYO.
      jee Mh unashauri nini kuhusu vyombo vyetu vya habari kwa kubase zaidi Upande mmoja huku matokeo kama hayo ya Vyombo vya habari ndivyo vilivyosababisha mauji ya Kenya na Rwanda?

      MY TAKE.SIPENDI UDINI LKN KWA MTITIRIKO HUU KWELI VYOMBO VYETU HAVITAKUWA BIAS?
      JAMBO LEO
      Muhariri Mkuu: Willy Edward (mkiristo)
      Muhariri wa habari: Julian Msacky (mkiristo)
      TZDAMA
      muhariri Mkuu:Absolume Kibanda (Mkiristo)Ambae pia ndio Mwenyekiti wa JUKWAA LA HABARI
      Muhariri Msaidizi: Albert Ngurumo (mkiristo)
      MWANANCHI
      Muhariri Mkuu: Theophil Makunga (mkiristo)
      MAJIRA:
      muhariri mkuu mkiristo)
      MTANZANIA
      muhariri mkuu (Mkiristo)
      Habarileo: John (Mkiristo)
      Daily news
      Mhariri mtendaji wa gazeti la the guardian on sunday, Richard Mgamba
      . Mhariri Mtendaji wa gazeti la Nipashe, Jose Kwayu
      JEE HAWA WANAWEZA KUONA KASORO HIYO?
      Mwenyekiti wa MOAT, Reginald Mengi : hivi karibuni amekabidhiwa PHD ya Biblia
      .Katibu Mtendaji wa MCT, Kajubi Mukajanga
      Last edited by Malaria Sugu; 14th June 2012 at 15:40.

    2. FemaTV & Radio

    3. #21
      Kiganyi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th April 2012
      Posts : 1,162
      Rep Power : 983
      Likes Received
      708
      Likes Given
      400

      Default Re: Mbunge avilalamikia Vyombo vya habari vya Tanzania kwa udini

      Quote By ritz
      Tanzania hakuna waandishi wa habari wengi wao ni makanjanja...umeishaona wapi muandishi wa habari mkereketwa wa chama cha siasa.
      Kama Cyprian Musiba, Nkoromo, Michuzi,

    4. #22
      Ruttashobolwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd February 2012
      Posts : 13,480
      Rep Power : 19785
      Likes Received
      4300
      Likes Given
      1248

      Default Re: Mbunge avilalamikia Vyombo vya habari vya Tanzania kwa udini

      Naomba mtuwekee picha za huo mskiti ulio chomwa! Mbona kama mpya?

      Yan mpaka mbuge anasema kweli waislam wanao swali mbona hawajasema?

      Nashindwa kuyaamini maneno ya huyo mbunge, kama mskiti ungekuwa umechomwa waislam wasinge nyamaza.

    5. #23
      TUKUTUKU's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th September 2010
      Location : KIPALAPALA TU
      Posts : 8,368
      Rep Power : 2114
      Likes Received
      1728
      Likes Given
      676

      Default Re: Mbunge avilalamikia Vyombo vya habari vya Tanzania kwa udini

      Quote By ritz
      Tanzania hakuna waandishi wa habari wengi wao ni makanjanja...umeishaona wapi muandishi wa habari mkereketwa wa chama cha siasa.
      Duh!kichekesho,Tanzania hakuna waandishi wa habari(Sawa!),wengi wao(Hawa wanatoka wapi sasa,wakati ulishasema hakuna waandishi wa habari,ina maana unajipinga wewe mwenyewe?)
      "A friend in need,is a friend indeed"

    6. #24
      TANGANYIKA01's Avatar
      Member Array
      Join Date : 3rd April 2011
      Posts : 18
      Rep Power : 415
      Likes Received
      4
      Likes Given
      0

      Default Re: Mbunge avilalamikia Vyombo vya habari vya Tanzania kwa udini

      Hahaha ati JK Hahaha huyu ni sawa na mwanakijiji tu hawana tofautin yeyote wanamambo ya kizamaniiiiiii???

    7. #25
      TUKUTUKU's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th September 2010
      Location : KIPALAPALA TU
      Posts : 8,368
      Rep Power : 2114
      Likes Received
      1728
      Likes Given
      676

      Default Re: Mbunge avilalamikia Vyombo vya habari vya Tanzania kwa udini

      Quote By samstevie
      Mbona rais wa Zanzibar alipoadress juu ya machafuko Zanzibar hakutaja msikiti ulioharibiwa naye anapendelea upande mmoja tu?
      Labda kwa kuwa yeye si mwana uamsho!Waislamu mbona mnatapatapa wakati huu ni mwanzo tu wa mapambano ya kidni mliyoyaasisi nyinyi wenyewe?
      "A friend in need,is a friend indeed"

    8. Miaka 50

    9. #26
      mkomatembo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th December 2011
      Location : Bweleo
      Posts : 1,019
      Rep Power : 637
      Likes Received
      228
      Likes Given
      1269

      Default Re: Mbunge avilalamikia Vyombo vya habari vya Tanzania kwa udini

      Quote By Sangarara
      Kama ni Police ndio walipiga mabomu msikiti basi hakukuwa na haja ya kureport, sababu tulichokuwa tunapaswa kufahamu ni athari zilizosababishwa na raia ambao ndio walikuwa chanzo, Kama maelezo yako ni kweli, sababu wewe nae sikuamini amini, basi mbunge huyo ndio atakuwa ana tatizo la udini, sababu anafikiri kwamba kama ingerepotiwa basi ingekuwa rahisi sana kujustify kwamba makanisa hayakuchomwa na waislamu, bahati nzuri vyombo vya habari havikuingia kwenye mtego huo.
      Kwa MAKUSUDI kulipitiza kisasi cha kuchomwa makanisa, maana wenyewe wazenji wanasema ni POLICE KUTOKA BARA, na si police wao ! sasa hapo utasema nini

    10. #27

      Nimecheka saaaaaaana, hilo lako ! na sikulazimishi ukitaka unaacha !

    11. #28
      mkomatembo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th December 2011
      Location : Bweleo
      Posts : 1,019
      Rep Power : 637
      Likes Received
      228
      Likes Given
      1269

      Default Re: Mbunge avilalamikia Vyombo vya habari vya Tanzania kwa udini

      Quote By Hute
      hivi kwa akili yako msikiti kupigwa bomb na polisi, na kanisa kuchomwa na waislam unauna ni vitu vinavyoelekeana?....kwani hao askari wa zenji si waislam karibia wote?...unajua wazanzibari akili zao ni mgando hawatakuja wapate akili ya kufikiri hata siku moja, yaani hata ukitaka kumharibu mtoto wako mpeleke shule yeyote ya zenji, atarudi akili zote ameziacha amekuwa kopo..hata waelimike namna gani, akili inabaki palepale...mbumbuumbu....
      NAomba nikusahihshe, NI POLICE KUTOKA BARA! sio police wa zenji! tafadhali nenda zanzibar wakuhadithie usikie kwa masikio yako! wanasema walipelekwa usiku.
      Hute likes this.

    12. #29
      Sangarara's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th September 2011
      Posts : 3,315
      Rep Power : 1200
      Likes Received
      1184
      Likes Given
      1560

      Default Re: Mbunge avilalamikia Vyombo vya habari vya Tanzania kwa udini

      Quote By mkomatembo
      Kwa MAKUSUDI kulipitiza kisasi cha kuchomwa makanisa, maana wenyewe wazenji wanasema ni POLICE KUTOKA BARA, na si police wao ! sasa hapo utasema nini
      Hao wanzibar wanamatatizo, Wabara walipize kisasi cha kuchomwa makanisa kwa msingi upi, kwamba wabara wote ni wakiristo? au kwamba makanisa yote Zanzibar yanaoriginate kutokea Bara?

      Mimi nadhani wao ndio waliofanya uharibifu wa msikiti ili kupoteza chanzo halisi cha vurugu.

    13. #30
      Ngongo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th September 2008
      Location : Mlima Meru
      Posts : 4,871
      Rep Power : 1977
      Likes Received
      2348
      Likes Given
      3025

      Default Re: Mbunge avilalamikia Vyombo vya habari vya Tanzania kwa udini

      Duh habari mpya hii sijawahi kusikia kumbe msikiti uliharibiwa kibaya zaidi hata SUK chini ya mtukufu Rais Dr Shein hakulitaja hili kumbe na yeye ni mgalatia ha ha ha ha ha.

    14. #31
      ZionTZ's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th October 2009
      Posts : 897
      Rep Power : 669
      Likes Received
      128
      Likes Given
      133

      Default Re: Mbunge avilalamikia Vyombo vya habari vya Tanzania kwa udini

      Quote By Globu
      Ni kweli kabisa hayo aliyosema Mbunge. Na ni kweli kuna Misikiti ilipigwa mabomu, lakini habari zake zilifichwa kwa makusudi. Wapi tunaelekea Watanzania?
      nani alificha?? nani alitakiwa kureport hilo swala?? je mbona hata said mwema hatujamsikia akisema hilo swala?? je kama ni police waliopiga mabomu msikiti huoni kama halihusiki kurepotiwa sana kama wananchi kuchoma kanisa???

    15. #32
      Malaria Sugu's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 2nd August 2009
      Posts : 1,783
      Rep Power : 0
      Likes Received
      246
      Likes Given
      18

      Default Re: Mbunge avilalamikia Vyombo vya habari vya Tanzania kwa udini

      Tutegmee nini hapo?

    16. #33
      MAMA POROJO's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd November 2007
      Posts : 4,858
      Rep Power : 1843
      Likes Received
      592
      Likes Given
      413

      Default Re: Mbunge avilalamikia Vyombo vya habari vya Tanzania kwa udini

      Kama vyombo vya habari vilipotosha....... wabunge kama taasisi na serikali kwa pamoja waliwajibika kutoa ufafanuzi na kutupa habari sahihi wananchi.... kama ilivyo kwa mbunge kujipendelea posho hata vyombo vya habari vinaweza kufanya visivyo.

    17. #34
      ngokowalwa's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 22nd July 2011
      Posts : 141
      Rep Power : 424
      Likes Received
      19
      Likes Given
      185

      Default Re: Mbunge avilalamikia Vyombo vya habari vya Tanzania kwa udini

      Quote By nipo hapa
      leo ktk kipindi cha maswali ya papo kwa papo bungeni. Mbunge mmoja wa Zanzibar alivilaumu vyombo vya habari kwa udini uliokithiri alipouliza Mh Pinda kuhusu yaliotokea zanzibar na uripotiaji wa habari hiyo kwa magazeti

      "Mh Waziri Mkuu, Hivi karibuni palitokea Vurugu Zanzibar, Lkn Cha ajabu vyombo vyetu vya habari viliegemea tu Uchomaji Makanisa huku hata baadhi ya misikiti iliharabiwa na baadhi ya watu, Lkn vyombo kwa makusudi vilificha HABARI HIYO.
      jee Mh unashauri nini kuhusu vyombo vyetu vya habari kwa kubase zaidi Upande mmoja huku matokeo kama hayo ya Vyombo vya habari ndivyo vilivyosababisha mauji ya Kenya na Rwanda?

      MY TAKE.SIPENDI UDINI LKN KWA MTITIRIKO HUU KWELI VYOMBO VYETU HAVITAKUWA BIAS?
      JAMBO LEO
      Muhariri Mkuu: Willy Edward (mkiristo)
      Muhariri wa habari: Julian Msacky (mkiristo)
      TZDAMA
      muhariri Mkuu:Absolume Kibanda (Mkiristo)Ambae pia ndio Mwenyekiti wa JUKWAA LA HABARI
      Muhariri Msaidizi: Albert Ngurumo
      MWANANCHI
      Muhariri Mkuu: Theophil Makunga (mkiristo)
      MAJIRA: (mkiristo)
      muhariri mkuu:

      Habarileo: John (Mkiristo)
      Daily news
      Mwenyekiti wa MOAT, Reginald Mengi .
      kweli ni hatari, hata Al-Nuur
      halikuriporti habari hii , yawezekana nalo mhariri Mkristo -lol

    18. #35
      Malaria Sugu's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 2nd August 2009
      Posts : 1,783
      Rep Power : 0
      Likes Received
      246
      Likes Given
      18

      Default Re: Mbunge avilalamikia Vyombo vya habari vya Tanzania kwa udini

      duhu, hapa vyombo vyetu vya habari vinaaibika

    19. #36
      POMPO's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th March 2011
      Posts : 2,964
      Rep Power : 1176
      Likes Received
      1093
      Likes Given
      628

      Default Re: Mbunge avilalamikia Vyombo vya habari vya Tanzania kwa udini

      Malaria Sugu na UDINI... ka vipi jitoe mhanga... tukikustukia unabadilisha ID... pole
      "Tumefika hapa kutokana na UDHAIFU wa Rais Jakaya Kikwete.." J.J. Mnyika, Bungeni,June,2012.

    20. #37
      Precise pangolin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 4th January 2012
      Posts : 5,687
      Rep Power : 1913
      Likes Received
      1583
      Likes Given
      676

      Default Re: Mbunge avilalamikia Vyombo vya habari vya Tanzania kwa udini

      Quote By ritz
      Tanzania hakuna waandishi wa habari wengi wao ni makanjanja...umeishaona wapi muandishi wa habari mkereketwa wa chama cha siasa.
      Ni kweli mkuu nakubaliana na wewe kwasababu wakereketwa wapo ndani ya CCM mfano UHURU MZALENDO RAI MTAZANIA lakini ndani ya CDM huwa hawaitwi wakereketwa

    21. #38
      Iramba Junior's Avatar
      Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 82
      Rep Power : 376
      Likes Received
      21
      Likes Given
      1

      Default Re: Mbunge avilalamikia Vyombo vya habari vya Tanzania kwa udini

      Je kwa hili nalo hapa chini linalozunguka kwenye simu tutafika?
      Katika ukusanyaji wa maoni yakatiba mpya wajibu wetu kama waislam ni: -
      · Mapumziko siku ya ijumaa
      · Kuondoa ushuru wa misaada yawaislam inayoingia nchini
      · Mahakama ya kadhi
      · Waislamu TZ waruhusiwe kujiungana umoja wa nchi za kiislam OIC
      Nakuomba tuma SMS hii kwawaislam wote Tanzania nzima.

    22. #39
      Malaria Sugu's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 2nd August 2009
      Posts : 1,783
      Rep Power : 0
      Likes Received
      246
      Likes Given
      18

      Default Re: Mbunge avilalamikia Vyombo vya habari vya Tanzania kwa udini

      Quote By ngokowalwa
      kweli ni hatari, hata Al-Nuur
      halikuriporti habari hii , yawezekana nalo mhariri Mkristo -lol
      mfumo uliopo unawapa wahahariri na wamiliki wa vyombo vya habari nafasi kubwa ya kubase kwenye imani ya kidini zaidi

    23. #40
      Ritz's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 1st January 2011
      Location : Republic of Nauru
      Posts : 18,264
      Rep Power : 12577
      Likes Received
      5812
      Likes Given
      768

      Default

      Quote By Precise pangolin
      Ni kweli mkuu nakubaliana na wewe kwasababu wakereketwa wapo ndani ya CCM mfano UHURU MZALENDO RAI MTAZANIA lakini ndani ya CDM huwa hawaitwi wakereketwa
      Mkuu wakiwa Chadema wanajiita wakombozi.

    Page 2 of 6 FirstFirst 1234 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...