Swala la kutega tembo na maboga yenye sumu na kusafirisha twiga wakiwa hai ni kipi ni tatizo kubwa?
Hapa jana kwenye taarifa ya habari wameonyeshwa washtakiwa wa ujangili waliokamatwa wakiwa wanatega tembo kwa kutumia maboga yenye sumu na hawa watapewa adhabu kali.
Lakini kuna kashfa ya kusafirisha wanyama hai ambayo haieleweki imeishia wapi na wahusika wamefanywa nini?
Hapa ni kwamba uhalifu wa Tanzania unapewa uzito kulingana na ni nani ameufanya au uhalifu ni uhalifu tu hata kama mtu aliyeufanya ni Rais?
Re: Swala la kutega tembo na maboga yenye sumu na kusafirisha twiga wakiwa hai ni kipi ni tatizo kub
Yote ni makosa makubwa tu. haijalishi ni nani aliyefanya ujangili huo. aidha ni mlala hoi au fisadi.
Wote hao wapewe sumu.
Tanzania kwa sasa tunaona kama ni issue ndogo kupoteza hawa wanyama. but once they become extinct (in the near future if this habit will be not contained) tutajua majibu yake while it will be too late.

By wagaba

ni kweli kabisa kwa sababu pia kuzaliana kwa tembo ni interval kubwa sana
Re: Swala la kutega tembo na maboga yenye sumu na kusafirisha twiga wakiwa hai ni kipi ni tatizo kub
By wagaba
Yote ni makosa makubwa tu. haijalishi ni nani aliyefanya ujangili huo. aidha ni mlala hoi au fisadi.
Wote hao wapewe sumu.
Tanzania kwa sasa tunaona kama ni issue ndogo kupoteza hawa wanyama. but once they become extinct (in the near future if this habit will be not contained) tutajua majibu yake while it will be too late.
U are very right ndugu, kwangu wanyama waliondoka wakiwa hai ni afadhali sana kuliko kile kinachoendelea sasa kwenye hifadhi zetu hapa Tanzania. Bunge, vyombo vya habari na wananchi wanashikia bango hao wanyama mia hivi, waliosafirishwa kwenda nje lakini laiti wangetafuta ukweli kujua wanyama wetu wanamalizwa na nani, ingekuwa afadhali sana. Inaniuma sana kwa jinsi ninavyoshuhudia jinsi wanyama wanvyoteketea kila siku. Leo hii nenda Selous ukashuhudie mizoga ya tembo ilivyo mingi, nenda huko maasai land ushuhudie mizoga ya Twiga ilivyotapakaa, nenda nje kidogo ya Hifadhi ya Tarangire uone simba wanavyomalizwa kwa sumu, jamani sisi tuko kimya tunabaki kupiga kelele kwa wanyama hai waliosafirishwa kwenda nje wakapona na mauaji haya!!?? Nenda Ifakara au Mahenge uliza watu wanatajirika kwa kitu gani? Je ni mchele? Utaambiwa mmhh kidogo sana..!! Kuna madini yamegundulika, mmhh hapa!! Sasa watu wanatoka kivipi wakati nchi nzima inalalamika hali mbaya?? Jibu lipo, na sio zaidi ya mamia ya tembo wanaouwawa kila kukicha huko selous na kusafirishwa kupitia miji hiyo kuja Dar. Hivi umeshajiuliza kwanini serikali haikufuatili zile kontena zilizokamatwa Thailand zikitoka Tanzania zimejaa meno ya ndovu?? Jamani hali ni mbaya sana, wajukuu wa wajukuu zetu watakuja kusoma kwenye historia tuu!!
Re: Swala la kutega tembo na maboga yenye sumu na kusafirisha twiga wakiwa hai ni kipi ni tatizo kub
By harakat
Hapa jana kwenye taarifa ya habari wameonyeshwa washtakiwa wa ujangili waliokamatwa wakiwa wanatega tembo kwa kutumia maboga yenye sumu na hawa watapewa adhabu kali.
Lakini kuna kashfa ya kusafirisha wanyama hai ambayo haieleweki imeishia wapi na wahusika wamefanywa nini?
Hapa ni kwamba uhalifu wa Tanzania unapewa uzito kulingana na ni nani ameufanya au uhalifu ni uhalifu tu hata kama mtu aliyeufanya ni Rais?
Hatuwezi kuwapa excuse hawa wahalifu kwakuwa tu kuna wahalifu wengine hawakupewa adhabu. hao waliosafirisha wanyama pori wakiwa hai walikamatwa? Mimi nakubaliana na adhabu hiyo waliyopewa hao watega tembo. Maana hatuwezi kuruhusu kosa liendelee kwa kuwa tu wengine walikosea na hawakushughulikiwa.
Mtaji mkubwa kabisa wa CCM katika chaguzi zake ni umaskini na ujinga wa watanzania. CCM haitafanya kosa la kuyamaliza matatizo hayo kwa kuwa kwa kufanya hivyo watakuwa wamehatarisha nafasi yao ya kuendelea kutawala
Follow Us Here