Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Budget ya Kenya ni zaidi ya bajeti ya Tanzania kwa 44%

    Report Post
    Page 1 of 2 12 LastLast
    Results 1 to 20 of 21
    1. #1
      Kijana Msomali's Avatar
      Member Array
      Join Date : 10th May 2012
      Posts : 92
      Rep Power : 1364
      Likes Received
      68
      Likes Given
      42

      Default Budget ya Kenya ni zaidi ya bajeti ya Tanzania kwa 44%

      Leo Mawaziri wa Fedha wa Nchi za Afrika ya Mashariki wataanza kusoma Bajeti za serikali zao kwa mwaka wa Fedha wa 2012/2013.

      Waziri wa Fedha wa Tanzania Dr. William Mgimwa atasoma bajeti ya Tanzania kwa mwaka 2012/2013 leo Mjini Dodoma ambayo ni SH. 15 TRILLION, hii ni takriban Dolari za Kimarekani 9.43 Billion.

      Bajeti ya Tanzania ya mwaka huu itakuwa na vipaombele saba, Vipao mbele vitano kati ya hivyo ni

      1. Deni la Taifa ( Shs. 2.7 Trillion)

      2.Wizara ya Ujenzi (Shs. 1 Trillion)

      3.Wizara ya Ulinzi ( Shs. 920 Billion)

      4.Wizara ya Elimu ( Shs. 721 Billion)

      5.Wizara ya Nishati na Madini ( Shs. 641 Billion)

      Kwa upande wa Kenya, Bajeti ya mwaka 2012/2013 ambayo itasomwa na Waziri wa Fedha wa nchi hiyo Njeru Githae ni Shilingi za Kenya 1.4 Trillion, ambazo ni takriban Dolari za Kimarekani 16.87 Billion.

      Kipaombele kikubwa katika bajeti ya Kenya ya mwaka huu ni Wizara ya Ulinzi na Uslama, ambayo imepangiwa Shilingi za KENYA 13.4 Billion.

      Tofauti ya Bajeti ya Kenya ( USD 16.87 BILLION) na ile ya Tanzania ( USD 9.43 BILLION) ni Dolari za Kimarekani 7.43 Billion.

      Hii ina maana ya kuwa Bajeti ya Kenya inazidi ile ya Tanzania kwa
      44%.

      Nini implications ya tofauti hii kubwa katika masuala ya

      1. Kuongeza pato la ndani la taifa (G.D.P)

      2. Kupunguza mfumuko wa bei ( Inflation)

      3. Kuongeza Ajira Nchini ( Job Creation)

      4. Kupunguza Umaskini na Kuongeza Ustawi wa Jamii ( Poverty Eradication and Social Welfare Improvement)

      5. Kupunguza tofauti za kipato miongoni mwa matabaka mbali mbali nchini (Income Gap Reduction).

      6. Kuongeza ushindani wa Makampuni ya Tanzania katika soko la Afrika Mashariki.

    2. #2
      Kurunzi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st July 2009
      Location : DAR ES SALAAM
      Posts : 2,012
      Rep Power : 905
      Likes Received
      392
      Likes Given
      171

      Default Re: Budget ya Kenya ni zaidi ya bajeti ya Tanzania kwa 44%

      Tupate na Uganda tuone.

    3. #3
      Ndinani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th August 2010
      Posts : 2,974
      Rep Power : 1540
      Likes Received
      755
      Likes Given
      238

      Default Re: Budget ya Kenya ni zaidi ya bajeti ya Tanzania kwa 44%

      Ndugu zangu nadhani kuna umuhimu wa pekee wa kulifanyia special AUDIT hili deni laTaifa na kujua chanzo kikuu cha hili deni kukua at a GEOMETRIC rate!! Hawa magamba wanaweza kuwa ndio wanatumia deni la Taifa kama uchochoro wao wa kulihujumu Taifa.
      Kwetu Iringa likes this.

    4. #4
      ntamaholo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th August 2011
      Location : Mwilavya
      Posts : 4,119
      Rep Power : 1391
      Likes Received
      919
      Likes Given
      412

      Default Re: Budget ya Kenya ni zaidi ya bajeti ya Tanzania kwa 44%

      du, kibaya zaidi, wakenya ni wachache kuliko watanzania. serikali ya kina ritz hiyo, lakini utaona wanakuja kuitetea
      rugumisa likes this.
      UTUMISHI WA HAKI, NI SULUHISHO LA MAOVU YOTE

    5. #5
      Nono's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th February 2008
      Location : Bulyanhulu
      Posts : 970
      Rep Power : 774
      Likes Received
      107
      Likes Given
      63

      Default Re: Budget ya Kenya ni zaidi ya bajeti ya Tanzania kwa 44%

      Quote By Ndinani View Post
      Ndugu zangu nadhani kuna umuhimu wa pekee wa kulifanyia special AUDIT hili deni laTaifa na kujua chanzo kikuu cha hili deni kukua at a GEOMETRIC rate!! Hawa magamba wanaweza kuwa ndio wanatumia deni la Taifa kama uchochoro wao wa kulihujumu Taifa.
      Hapo penye nyekundu ulitaka kusema nini? Hisabati kama nimezisahau kidogo vile!

    6. #6
      rugumisa's Avatar
      Member Array
      Join Date : 29th May 2012
      Posts : 38
      Rep Power : 363
      Likes Received
      8
      Likes Given
      12

      Default Re: Budget ya Kenya ni zaidi ya bajeti ya Tanzania kwa 44%

      Quote By ntamaholo View Post
      du, kibaya zaidi, wakenya ni wachache kuliko watanzania. serikali ya kina ritz hiyo, lakini utaona wanakuja kuitetea
      Idadi ya kenya na Tanzania karibu zinalingana.kutokana na sensa ya mwisho.kama kuna tofauti ya watu itakuwa ndogo sana!

    7. #7
      Kijana Msomali's Avatar
      Member Array
      Join Date : 10th May 2012
      Posts : 92
      Rep Power : 1364
      Likes Received
      68
      Likes Given
      42

      Default Re: Budget ya Kenya ni zaidi ya bajeti ya Tanzania kwa 44%

      Quote By rugumisa View Post
      Idadi ya kenya na Tanzania karibu zinalingana.kutokana na sensa ya mwisho.kama kuna tofauti ya watu itakuwa ndogo sana!
      According to Census of 2011 Kenya Population is 41 million, and according to Census of 2002, Tanzania population is nearly 40 million, so the difference is minimal.

    8. #8
      MAMMAMIA's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 25th February 2008
      Location : Near You
      Posts : 3,794
      Rep Power : 3261
      Likes Received
      1496
      Likes Given
      1206

      Default Re: Budget ya Kenya ni zaidi ya bajeti ya Tanzania kwa 44%

      Quote By Kijana Msomali View Post

      Leo Mawaziri wa Fedha wa Nchi za Afrika ya Mashariki wataanza kusoma Bajeti za serikali zao kwa mwaka wa Fedha wa 2012/2013.

      Waziri wa Fedha wa Tanzania Dr. William Mgimwa atasoma bajeti ya Tanzania kwa mwaka 2012/2013 leo Mjini Dodoma ambayo ni SH. 15 TRILLION, hii ni takriban Dolari za Kimarekani 9.43 Billion.

      Bajeti ya Tanzania ya mwaka huu itakuwa na vipaombele saba, Vipao mbele vitano kati ya hivyo ni

      1. Deni la Taifa ( Shs. 2.7 Trillion)

      2.Wizara ya Ujenzi (Shs. 1 Trillion)

      3.Wizara ya Ulinzi ( Shs. 920 Billion)

      4.Wizara ya Elimu ( Shs. 721 Billion)

      5.Wizara ya Nishati na Madini ( Shs. 641 Billion)

      Kwa upande wa Kenya, Bajeti ya mwaka 2012/2013 ambayo itasomwa na Waziri wa Fedha wa nchi hiyo Njeru Githae ni Shilingi za Kenya 1.4 Trillion, ambazo ni takriban Dolari za Kimarekani 16.87 Billion.

      Kipaombele kikubwa katika bajeti ya Kenya ya mwaka huu ni Wizara ya Ulinzi na Uslama, ambayo imepangiwa Shilingi za KENYA 13.4 Billion.
      Mkuu, tafadhali kama unazo takwimu, tuwekee vipaumbele vya bajeti ya Kenya pia mbali na hiyo ya ulinzi. ambayo sishangai kutokana na mapambano yake na AL-KASIDA (a.k.a. al-UAMSHO). Lakini pia sishangai kuwa bajeti ya Kenya ni kubwa kwa sababu ina miradi mingi ya maendeleo kuliko Tanzania hasa katika miundo mbinu (barabara, bandari, viwanja vya ndege), elimu, afya, nishati, ITC.
      "JF - SAUTI YA WASIO NA SAUTI ............ na wapayukaji"

    9. #9
      GeniusBrain's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd November 2010
      Location : CHADEMA Makao Makuu
      Posts : 3,842
      Rep Power : 1155
      Likes Received
      194
      Likes Given
      0

      Default Re: Budget ya Kenya ni zaidi ya bajeti ya Tanzania kwa 44%

      Quote By Kijana Msomali View Post

      Leo Mawaziri wa Fedha wa Nchi za Afrika ya Mashariki wataanza kusoma Bajeti za serikali zao kwa mwaka wa Fedha wa 2012/2013.

      Waziri wa Fedha wa Tanzania Dr. William Mgimwa atasoma bajeti ya Tanzania kwa mwaka 2012/2013 leo Mjini Dodoma ambayo ni SH. 15 TRILLION, hii ni takriban Dolari za Kimarekani 9.43 Billion.

      Bajeti ya Tanzania ya mwaka huu itakuwa na vipaombele saba, Vipao mbele vitano kati ya hivyo ni

      1. Deni la Taifa ( Shs. 2.7 Trillion)

      2.Wizara ya Ujenzi (Shs. 1 Trillion)

      3.Wizara ya Ulinzi ( Shs. 920 Billion)

      4.Wizara ya Elimu ( Shs. 721 Billion)

      5.Wizara ya Nishati na Madini ( Shs. 641 Billion)

      Kwa upande wa Kenya, Bajeti ya mwaka 2012/2013 ambayo itasomwa na Waziri wa Fedha wa nchi hiyo Njeru Githae ni Shilingi za Kenya 1.4 Trillion, ambazo ni takriban Dolari za Kimarekani 16.87 Billion.

      Kipaombele kikubwa katika bajeti ya Kenya ya mwaka huu ni Wizara ya Ulinzi na Uslama, ambayo imepangiwa Shilingi za KENYA 13.4 Billion.

      Tofauti ya Bajeti ya Kenya ( USD 16.87 BILLION) na ile ya Tanzania ( USD 9.43 BILLION) ni Dolari za Kimarekani 7.43 Billion.

      Hii ina maana ya kuwa Bajeti ya Kenya inazidi ile ya Tanzania kwa
      44%.

      Nini implications ya tofauti hii kubwa katika masuala ya

      1. Kuongeza pato la ndani la taifa (G.D.P)

      2. Kupunguza mfumuko wa bei ( Inflation)

      3. Kuongeza Ajira Nchini ( Job Creation)

      4. Kupunguza Umaskini na Kuongeza Ustawi wa Jamii ( Poverty Eradication and Social Welfare Improvement)

      5. Kupunguza tofauti za kipato miongoni mwa matabaka mbali mbali nchini (Income Gap Reduction).

      6. Kuongeza ushindani wa Makampuni ya Tanzania katika soko la Afrika Mashariki.

      Kumbe ni bora hata bajeti ya Tz kwani ya kenya yote inamalizia kwenye vita. Na believe me mkuu , vita inakula hela balaa, USA wenyenye bajeti yao ina shake sana kwa shauri ya vita
      Bantugbro likes this.

    10. #10
      timbilimu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd September 2010
      Location : DSM
      Posts : 2,718
      Rep Power : 989
      Likes Received
      598
      Likes Given
      10

      Default

      Umetawaliwa na chuki ya udini kwasababu jamaa zako wa Uamsho huko Somalia wanabondwa na Kenya.
      Quote By GeniusBrain View Post

      Kumbe ni bora hata bajeti ya Tz kwani ya kenya yote inamalizia kwenye vita. Na believe me mkuu , vita inakula hela balaa, USA wenyenye bajeti yao ina shake sana kwa shauri ya vita

    11. #11
      gmosha48's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th October 2010
      Posts : 828
      Rep Power : 605
      Likes Received
      256
      Likes Given
      486

      Default Re: Budget ya Kenya ni zaidi ya bajeti ya Tanzania kwa 44%

      Kuna takwimu moja ya msingi sana umeisahau ambayo ingekusaida kufanya ulinganifu yakinifu. Mara nyingi ukitaka kulinganisha bajeti za chi mbali mbali inakubidi kwanza uziwianishe na pato la Taifa la nchi husika- Budget as a share of GDP.
      Ngo'ng'o

    12. #12
      Kimey's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th March 2009
      Location : Counter ya Juu!
      Posts : 4,093
      Rep Power : 1340
      Likes Received
      763
      Likes Given
      673

      Default Re: Budget ya Kenya ni zaidi ya bajeti ya Tanzania kwa 44%

      Quote By Kijana Msomali View Post
      According to Census of 2011 Kenya Population is 41 million, and according to Census of 2002, Tanzania population is nearly 40 million, so the difference is minimal.
      Khaaa....Bora hata usinge andika! Tofauti ya miaka tisa halafu unasema tofauti ni ndogo?
      I may be walking slowly, But I never walk backwards! and Whenever I walk backwards, Its for a long jump!!

    13. #13
      mamajack's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st May 2012
      Posts : 1,153
      Rep Power : 587
      Likes Received
      275
      Likes Given
      71

      Default Re: Budget ya Kenya ni zaidi ya bajeti ya Tanzania kwa 44%

      Quote By GeniusBrain View Post

      Kumbe ni bora hata bajeti ya Tz kwani ya kenya yote inamalizia kwenye vita. Na believe me mkuu , vita inakula hela balaa, USA wenyenye bajeti yao ina shake sana kwa shauri ya vita
      wewe ni zuzu.

    14. #14
      Ndinani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th August 2010
      Posts : 2,974
      Rep Power : 1540
      Likes Received
      755
      Likes Given
      238

      Default Re: Budget ya Kenya ni zaidi ya bajeti ya Tanzania kwa 44%

      Quote By Nono View Post
      Hapo penye nyekundu ulitaka kusema nini? Hisabati kama nimezisahau kidogo vile!
      Sio kosa lako ni kosa la serikali ya ccm kuanzisha secondary za kata zisizokuwa na walimu; kukua kwa geometric rate kwa kiswahili chepesi unachoweza kuelewa ni kukua kwa kasi kubwa!!Mfano nambari zifuatazo zinakua kwa geometric progression [ 1 2 4 8 16 32] Nadhani umeelewa na kama hujaelewa then you need some supernatural intervention!!
      Last edited by Ndinani; 14th June 2012 at 18:30.

    15. #15
      msnajo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th January 2011
      Posts : 666
      Rep Power : 559
      Likes Received
      75
      Likes Given
      98

      Default Re: Budget ya Kenya ni zaidi ya bajeti ya Tanzania kwa 44%

      Hii ndo Tzii bwana! Hata mambo sensitive kama budget nayo wamechakachua!! Kwa swala la kukua uchumi dhidi ya Kenya, Tza wataisoma namba!! Kenya wamewasha moto, tazama wanavyowekeza Tz, sio mabank tu, s'market za NAKUMAT zimefika Tz. Nilipita Moshi, nimeona kwa macho yangu, it's shame! Bajeti yetu asilimia 70 anasa, 30% ndo maendeleo. Kwa staili hii hata mrukeruke hamtaenda mahali coz mnatumia kuliko mapato yenu.

    16. #16
      Bangoo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd November 2011
      Posts : 2,775
      Rep Power : 5801
      Likes Received
      452
      Likes Given
      0

      Default Re: Budget ya Kenya ni zaidi ya bajeti ya Tanzania kwa 44%

      Kenya mpaka wazee wanalipwa sasa kwa mwezi ksh 2000/= nyinyi wabongo hamwezi! Hata yatima wametengewa hela zao!.

    17. #17
      Njowepo's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 26th February 2008
      Location : Santiago
      Posts : 7,783
      Rep Power : 22096
      Likes Received
      1044
      Likes Given
      859

      Default Re: Budget ya Kenya ni zaidi ya bajeti ya Tanzania kwa 44%

      Uganda ni 10bill!
      Mbaya zaidi Tz pop tumewazidi kenya na nchi yetu ni kubwa so ata buajeti ilibidi iwe kama 20trillion ili kuweza fanikisha mambo ya msingi hasa kilimo ambacho mwaka huu wametenga ela pungufu ya mwaka uliopita
      WB Tanzania lead economist Jacques Morisset said the GDP doubled in 10 years, but it has failed to produce any significant decline in poverty levels.

    18. #18
      Nono's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th February 2008
      Location : Bulyanhulu
      Posts : 970
      Rep Power : 774
      Likes Received
      107
      Likes Given
      63

      Default Re: Budget ya Kenya ni zaidi ya bajeti ya Tanzania kwa 44%

      Quote By Ndinani View Post
      Sio kosa lako ni kosa la serikali ya ccm kuanzisha secondary za kata zisizokuwa na walimu; kukua kwa geometric rate kwa kiswahili chepesi unachoweza kuelewa ni kukua kwa kasi kubwa!!Mfano nambari zifuatazo zinakua kwa geometric progression [ 1 2 4 8 16 32] Nadhani umeelewa na kama hujaelewa then you need some supernatural intervention!!
      Asante kwa kunielewesha. Bahati mbaya nilisoma kabla ya kuanzishwa kwa shule za kata, ila kama sasa nimekuwa msahaulifi. Hivi na zile hesabu za pai, hakuna waalimu wa kizufundisha pia, manake hizo za geometriki naona ni kali zaidi kwenye hizi shule za kata sijui kama watazinyaka.

    19. #19
      Ronal Reagan's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th November 2010
      Posts : 2,748
      Rep Power : 986
      Likes Received
      647
      Likes Given
      264

      Default Re: Budget ya Kenya ni zaidi ya bajeti ya Tanzania kwa 44%

      Uchumi wao unaruhusu bajeti yao, maana wanaimudu kwa takriban 96%. Uchumi i.e. bajeti ya Tz unategemea wafadhili 60%. Ingawa binafsi zitaki kusoma chochote ktk hizo bajeti maana hakuna nidhamu ya matumizi na bajeti zimekuwa tu ni kama maigizo fulani.

      Ufisadi kwa kwenda mbele, umaskini na mfumuko wa bei ndio maisha hapa AM

    20. #20
      Kiumbo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th February 2012
      Posts : 498
      Rep Power : 471
      Likes Received
      84
      Likes Given
      0

      Default Re: Budget ya Kenya ni zaidi ya bajeti ya Tanzania kwa 44%

      Kenya wanategemea mapato ya ndani zaidi wana viwanda vingi na maendeleo yanaonekana sio kwetu huku. Dola kenya ni takribani 85 ksh sisi je 1600tsh. Hela yao inathamani kubwa sana.

    Page 1 of 2 12 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...