maswali ya papo kwa papo,pinda anafuta lens ya miwani kwa tai yake
maswali ya papo kwa papo,pinda anafuta lens ya miwani kwa tai yake
Enheeeee...
Uongo huonekana na kuaminiwa haraka.Ukweli ndio mwisho wa yote!
Anatafuta miwani au lens?
"Peace is not simply about the absence of violence. It is defined by the presence of fundamental liberties and the prevalence of economic opportunities."
Anaongelea UAMSHO-ZANZIBAR. La korosho amelijibu hovyohovyo tu.
Sema anatafuta namna ya kujibu swali
Tupeni updates wakuu mimi sina access na media yoyote saiv.
Dont BREAK the Law Just Bend it.
WM wetu anachagua sana maneno wakati wa kujibu maswali kiasi kwamba hajibu maswali anayoulizwa.
isee mbatia amekaa karibu na mrema
mnao fatilia tupeni updates...
kwa sasa ni maswali na majibu kwa wizara
akilia mnijulishe, au akianza kujibu kwanini amechukua ng'ombe tisa za walala hoi huko maswa..maana namjua ni muongo kuliko hata shetani
Hiki ndicho nilichomaanisha mkuu huku tulio maofisini tunakosa uhondo kabisa. kama hakuna link basi watupe walau UPDATES mkuu kasema nini leo.
UPDATE.
Mkuu Baba Collins nimepeta ka Link ka Arusha Mambo http://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/278565-sikiliza-bunge-dodoma-leo.html jaribu na wewe.
Dont BREAK the Law Just Bend it.
Aulizwe kwanini Hussein Mwinyi mbunge kutoka Zanzibar ni waziri wa Afya wakati wizara ya Afya sio ya muungano?
Mbatia anamsoma mrema. kuna tetesi kwamba kamati ya Mrema ya LAAC itavunjwa wakati wowote baada tu ya wale wajumbe wengine wanne kufikishwa mahakamani - yaani Idi azzan, Zambi na Zubein Mahita na selasini.
Mbatia ndiyo atakuwa mwenyekiti mpya wa LAAC -- baada ya kupitishwa na Wabunge wengi wa CCM.
Being prolific doesnt mean you are an accomplished person
makinda hataki miongozo,machali kaomba mwongozo wa spika mama hataki
Follow Us Here