Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

    Report Post
    Page 25 of 62 FirstFirst ... 15232425262735 ... LastLast
    Results 481 to 500 of 1236
    1. #1
      Kiranja Mkuu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th February 2010
      Posts : 2,084
      Rep Power : 886
      Likes Received
      284
      Likes Given
      34

      Default BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

      Hawa Bakwata, wanaikomoa CCM au CUF?

      BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limetangaza rasmi kutoshiriki sensa ya watu na makazi inayotarajiwa kufanyika nchi nzima Agosti, hadi ombi lao la kuingizwa kwa kipengele cha dini kwenye dodoso la sensa kitakapofanyiwa kazi.

      Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Amir Mkuu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Shehe Mussa Kundecha, alisema uamuzi huo umetokana na Serikali kushindwa kusikiliza upande wa Waislamu na kuamua kutokiingiza kipengele hicho.

      Alisema katika mkutano wa viongozi wa dini na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) uliofanyika Dodoma Juni 11, waliwasilisha ombi lao la kipengele cha dini kuingizwa kwenye dodoso za sensa ili kupata idadi kamili ya Watanzania kidini.

      “Kwa kweli mkutano ulikwenda vizuri, tulitoa sababu zetu za kutaka kipengele hicho kiwemo ili kuondoa utata wa sasa wa kila taasisi na dini kutoa takwimu zinazotofautiana na Kamishna wa Takwimu alipokea maombi yetu na kuahidi kuyawasilisha serikalini na kuyafanyia kazi,” alisema Shehe Kundecha.


      Alisema cha kushangaza wakati akifunga mkutano huo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Uhusiano na Uratibu, Stephen Wasira alibainisha wazi kuwa kamwe Serikali haiwezi kukiingiza kipengele hicho kwenye dodoso za sensa, kwa kuwa kinavunja umoja, amani na utulivu wa Taifa.

      Aidha, alisema katika kutetea hoja hiyo, Serikali ilitoa mifano ya nchi za Nigeria na Kenya, ambazo zimefanya sensa na kuingiza kipengele hicho kwenye dodoso, lakini kutokana na kuibuka kwa vuguvugu la kidini katika nchi hizo, hadi leo matokeo ya sensa hizo hayajatangazwa.

      Shehe Kundecha alisema Baraza hilo limepokea hoja hizo na kuzisikiliza ingawa halikubaliani nazo kwa kuwa kwa Tanzania bado zipo taasisi na madhehebu ya dini yanayotoa takwimu za kidini yakionesha idadi ya Wakristo, Waislamu na Wapagani huku umoja na amani vikiendelea kuwapo.

      “Kama tatizo ni kuvurugika kwa amani, umoja na utulivu, mbona basi vyombo hivi visivyohusika na takwimu vinatoa takwimu hizi tena hadi kwenye mitandao na Serikali kuvifumbia macho, huku kukiwa hakuna umoja wala amani iliyovunjika? Kwa nini isifanyike sensa ya kidini na kupatikana takwimu halisi?” Alihoji.

      Alisema kutokana na kauli hiyo, inaonekana wazi kuwa Serikali haijasikiliza kilio cha Waislamu kutaka kipengele cha dini kiingizwe kwenye dodoso za sensa, ili zipatikane takwimu sahihi na rasmi za Watanzania kidini.

      “Hivyo basi tunasisitiza Waislamu hatutashiriki sensa mpaka mapendekezo yetu yatakapofanyiwa kazi, tunataka idadi halisi ya Waislamu, ili nasi tujue tunawasaidiaje kimaendeleo na kidini,” alisema.

      Ustaadh Sadiki Gogo, alisema mfano uliotumiwa na Serikali kukataa ombi la kuingizwa kwa kipengele cha dini kwenye dodoso la sensa hauna nguvu, kwa kuwa umeegemea upande mmoja na kusahau nchi kama Uganda, Uingereza, Australia na Canada, ambazo katika sensa zao wanatumia kipengele cha dini na hazina matatizo.


      Hivi karibuni, Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania, Shehe Ponda Issa Ponda, alisema atahakikisha Waislamu hawashiriki Sensa ya Watu na Makazi iwapo Serikali haitarudisha kipengele cha dini katika maswali wanayoulizwa wananchi.


      Alisema haoni hoja ya msingi ya kuondoa kipengele hicho kwani uzoefu unaonesha kuwa baada ya Serikali kukiondoa, makundi yenye mwelekeo maalumu hutumia nafasi hiyo kutoa takwimu za idadi ya Waislamu, Wakristo na Wapagani.

      Pamoja na kauli ya Wasira, Mkurugenzi Mkuu wa NBS, Dk Albina Chuwa, alikataa ombi la mashehe la kujumuisha kipengele cha dini katika dodoso za maswali wakati wa sensa. Alisisitiza mbele ya viongozi wa dini mbalimbali wakiwemo mashehe kuwa maswali yanayohusu kabila na dini hayatajumuishwa kwenye dodoso kwani Serikali haipangi mipango ya maendeleo ya wananchi kwa kufuata itikadi za kidini au ukabila.

      CHANZO: HabariLeo
      takashi and Lokissa like this.

    2. FemaTV & Radio

    3. #481
      Riwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th October 2007
      Location : Dar es salaam
      Posts : 1,559
      Rep Power : 8228
      Likes Received
      1600
      Likes Given
      802

      Default Re: BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

      Quote By Mdondoaji
      Nonsense kabisa!!!!

      Hivi nikuulize ushawahi kufanya research wewe? Au unafurahisha kijiwe? Hebu nikuulize swali evidence gani utaipata katika gender????? Katika forms za sensa kuna swali la jinsia JE NIKUULIZE WATAJUAJE KAMA WEWE NI MWANAMKE, MWANAUME, JIKE DUME AU HUNA GENDER YEYOTE?

      Swali la Gender halina tofauti na swali dini kwani linataka kujua diversity ya demographic. Unasema sayansi inakuwa tayari ishakuwa primarily defined how? Mfano mtu alizaliwa mwanamke, ikisha akabadilisha jinsia akawa mwanaume how is that possible ati alishakuwa defined?

      VILE VILE HAUTAPATA IDADI KAMILI YA JINSIA ZA WATU KWASABABU WATAKAOJAZA WENGINEO KWELI NI WANAWAKE, WANAUME, WANAOPENDA KUWA WANAWAKE, WANAOPENDA KUWA WANAUME HAYA TUCHAMBULIE WEWE UMEPATA TAARIFA GANI?
      Acha kuendelea kudhirihisha ujinga wako halafu eti unatamba 'sayansi ndio anga zangu' sijui naongea non-sense...sishangai, kwani sayansi kwa mbumbumbu is always non-sense. Hata wagunduzi wakubwa kwenye sayansi zamani hizo walikuwa wanaonekana 'non-sense' na vichaa sababu ya idea zao!

      Turudi kwenye mada:

      Red - Mimi ni Public Health Specialist, Statistics na Demography ni eneo la profession yangu, usiulize kama nimewahi kufanya research...I am researcher, naweza kupa links za publications zangu kwenye international journals na WHO bulletin


      Blue - Unajitia aibu...unaongelea 'Gender' au 'Sex'? Hivyo ni vitu viwili tofauti, nadhani unataka kuongelea Sex lakini unaconfuse na Gender...Gender is a very wide subject with lots of evidence-generating research done and other going on..kuna watu wana PhDs za mambo ya gender! Gender sio 'Mwanamme' na 'Mwanamke' tu, it goes far beyond that my brother!

      Green - Unazidi kuthibitisha ujinga wako...Sex (au gender kama unavyong'ang'ania kuita) na dini ni vitu viwili tofauti kabisaa. Sex is BIOLOGICALLY determined, its either male or female (hata uwe gay, lesbian, trans-sexual, she-male etc), it is GENETICAL.....unlike Dini which is SOCIALLY determined! Unaposema variables gender/sex na dini hazina tofauti wakati moja iko influenced socially with number of factors na nyingine absolutely haina social influence, nadoubt kama wewe ni mwanaSayansi kama unavyotamba!

      Purple - Hapo kwenye purple ni uthibitisho kuwa huna idea yeyote kuhusu research. Primarily kabla hujafanya research, ni lazima u-define clearly your variables of interest, kwamba utakaposema kwenye reseach yako fulani ni dini fulani...basi ina maana ana vigezo (criteria) moja, mbili, tatu etc. ili kuondoa bias. Na kwa kumuuliza mtu 'wewe dini gani' (kama unavyosuggest) naye ajibu 'muIslam' au 'mKristo' bila kuzingatia vigezo vya dini ya kiIslamu kuita mtu muIslam au vigezo vya dini ya kiKristo kuita mtu mKristo..then hujawa na evidence kuwa kuna waIslam au waKristo wangapi sehemu husika!
      All things are DIFFICULT before they are EASY - Thomas Fuller

    4. #482
      ntamaholo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th August 2011
      Location : Mwilavya
      Posts : 4,116
      Rep Power : 1387
      Likes Received
      918
      Likes Given
      412

      Default Re: BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

      Quote By Riwa
      Acha kuendelea kudhirihisha ujinga wako halafu eti unatamba 'sayansi ndio anga zangu' sijui naongea non-sense...sishangai, kwani sayansi kwa mbumbumbu is always non-sense. Hata wagunduzi wakubwa kwenye sayansi zamani hizo walikuwa wanaonekana 'non-sense' na vichaa sababu ya idea zao!

      Turudi kwenye mada:

      Red - Mimi ni Public Health Specialist, Statistics na Demography ni eneo la profession yangu, usiulize kama nimewahi kufanya research...I am researcher, naweza kupa links za publications zangu kwenye international journals na WHO bulletin


      Blue - Unajitia aibu...unaongelea 'Gender' au 'Sex'? Hivyo ni vitu viwili tofauti, nadhani unataka kuongelea Sex lakini unaconfuse na Gender...Gender is a very wide subject with lots of evidence-generating research done and other going on..kuna watu wana PhDs za mambo ya gender! Gender sio 'Mwanamme' na 'Mwanamke' tu, it goes far beyond that my brother!

      Green - Unazidi kuthibitisha ujinga wako...Sex (au gender kama unavyong'ang'ania kuita) na dini ni vitu viwili tofauti kabisaa. Sex is BIOLOGICALLY determined, its either male or female (hata uwe gay, lesbian, trans-sexual, she-male etc), it is GENETICAL.....unlike Dini which is SOCIALLY determined! Unaposema variables gender/sex na dini hazina tofauti wakati moja iko influenced socially with number of factors na nyingine absolutely haina social influence, nadoubt kama wewe ni mwanaSayansi kama unavyotamba!

      Purple - Hapo kwenye purple ni uthibitisho kuwa huna idea yeyote kuhusu research. Primarily kabla hujafanya research, ni lazima u-define clearly your variables of interest, kwamba utakaposema kwenye reseach yako fulani ni dini fulani...basi ina maana ana vigezo (criteria) moja, mbili, tatu etc. ili kuondoa bias. Na kwa kumuuliza mtu 'wewe dini gani' (kama unavyosuggest) naye ajibu 'muIslam' au 'mKristo' bila kuzingatia vigezo vya dini ya kiIslamu kuita mtu muIslam au vigezo vya dini ya kiKristo kuita mtu mKristo..then hujawa na evidence kuwa kuna waIslam au waKristo wangapi sehemu husika!
      mahali fulani Mtume Paul alijishitukia akasema, ..."nisije kuwa napiga mbio bure..." maneno haya hayana tofauti na kujaribu kumwelimisha mtu mwenye majini yenye kiu ya damu, utapoteza ndguvu bure. tuyaache ndivyo yalivyo.
      mwakaboko and sweke34 like this.
      UTUMISHI WA HAKI, NI SULUHISHO LA MAOVU YOTE

    5. #483
      uwemba1's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 102
      Rep Power : 380
      Likes Received
      23
      Likes Given
      3

      Default

      Quote By KALAMAZOO1
      Nlishamjibu mwenzako huko nyuma kuwa kwenye dini yetu ufisadi ni haramu.Soma Quran suratulbaqra.Lakini kwenu mnaambiwa mfisidi halafu mtoe sadaka mali zenu zitakaswe.Sisi tukiwa kwenye utumishi wa umma pengine mafisadi kati yetu watakuwa ni chini ya asilimia moja na 99% ni wasafi,huoni kuwa maendeleo ya haraka yatapatikana?
      Roster M aSiza, Yusifal Munji, Idda Mzungu(Mzee wa Cocain) Oman Mhita Mzee wa polich na Majambazi hao ni baadhi tu ya mapapa kati ya wengi kama Abdul Chimbo yule afande anayemiliki mkwanja wa wizara kadhaa South Africa nao ni wakristo? Suala hapa mnataka iitwe jamhuri ya kiislamu Ikitokea mkawa wengi. Mnataka kazi yet hamtaki SHULE Mnataka kigezo kiwe madrasa?

    6. #484
      ntamaholo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th August 2011
      Location : Mwilavya
      Posts : 4,116
      Rep Power : 1387
      Likes Received
      918
      Likes Given
      412

      Default Re: BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

      Quote By Mzee Msemakweli
      Mimi nadhani acha tuwape ushindi ili waridhike na matakwa yao ya kijinga. Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inao Waislam 100%. Hakuna Wakristo, Wapagani wala Dini nyingine yeyote. Hapo je mmeridhika? Jamani ni lini waislam wataacha vituko na chokochoko zisizo na maana? Mnataka kutupeleka wapi? Ni Mungu yupi mnaye mwabudu wenzetu? Je Mungu wenu ni shari na fujo kila wakati? Au mnataka kutuaminisha kuwa uwezo wenu na viongozi wenu mdogo sana kiasi cha kushindwa kujitambua kuwa ninyi chanzo cha vurugu duniani kote? Tumechoka na UJINGA WENU TUACHENI TUISHI KWA AMANI NA UPENDO.
      mimi naamini kuna waislamu wa aina kuu mbili.

      1) waislam waukweli- hawa wanamwabudu mungu wao na hapendi dhuluma, ugomvi, fujo na mengine mengi tena mungu huyu anawataka wafuasi wake kuwaheshimu na kuishi kwa upendo na waliopokea kitabu yaani neno la mungu kabla yao ambao ni wayahudi na wakristo. waislamu wa namna hii ni wachache, kwao kupigana eti kwa manufaa ya dini hakuna kabisa, na hayuko tayari kujitolea muhunga.

      2. kuna wailam wanaoabudu mungu majini. mashehe wengi wako kwenye kundi hili. majini kwa asili yanaishi kwa kunywa damu za watu. waislamu wanaopatikana katika kundi hili ni wale wanaojitolea muhanga, afe mmoja lakini aue watu 1,000, na yeye atajihesabia kuwa na haki kuua wanadamu wenzie kwani ndiyo sadaka yenye maana.

      Wengi wa wanaoshinikiza wajijue wangapi, ambapO najua watakataa maotokeo, wako katika kundi la pili.
      UTUMISHI WA HAKI, NI SULUHISHO LA MAOVU YOTE

    7. #485
      ntamaholo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th August 2011
      Location : Mwilavya
      Posts : 4,116
      Rep Power : 1387
      Likes Received
      918
      Likes Given
      412

      Default Re: BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

      Quote By uwemba1
      Roster M aSiza, Yusifal Munji, Idda Mzungu(Mzee wa Cocain) Oman Mhita Mzee wa polich na Majambazi hao ni baadhi tu ya mapapa kati ya wengi kama Abdul Chimbo yule afande anayemiliki mkwanja wa wizara kadhaa South Africa nao ni wakristo? Suala hapa mnataka iitwe jamhuri ya kiislamu Ikitokea mkawa wengi. Mnataka kazi yet hamtaki SHULE Mnataka kigezo kiwe madrasa?
      wauza unga wengi ni waislam. mfano anayemiliki kiwanda cha kuber,
      UTUMISHI WA HAKI, NI SULUHISHO LA MAOVU YOTE

    8. Miaka 50

    9. #486
      malema 1989's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th January 2012
      Posts : 806
      Rep Power : 741
      Likes Received
      147
      Likes Given
      117

      Default Re: BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

      Quote By KALAMAZOO1
      Zote zilijengwa kwa kodi za wtz wote na bado zinaendeshwa kwa kodi za watz.kanisa halina ujiko hapo
      mpumbavu kweli ww, lini mwislamu alichangia ujenzi wa hosp. za kcmc, bugando, Huruma nk. hata chakula wengi wenu ni shida kwa sababu ya chuki, majungu na manunguniko yasiyo na mwisho.ebu niache nipige job mwanangu asije akawa kama MWISLAM

    10. #487
      christine ibrahim's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th February 2012
      Posts : 2,695
      Rep Power : 904
      Likes Received
      432
      Likes Given
      440

      Default

      Quote By chilisosi
      mie naomba tufanye hivi
      URAIS UJAO WAWEKWE WAGOMBEA WA DINI MBILI
      MUISLAMU NA MKATOLIKI (ACHANA NA MADHEHEBU MENGINE YA KIKRISTO ITAKUWA SIO VIZURI)
      halafu tupate matokeo masharti ya kura iwe mkatoliki amchague mkatoliki na muislamu achague muisilamu
      ...sipati picha!ndo wataipata hiyo idadi yao vzr wanayoitaka!

    11. #488
      christine ibrahim's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th February 2012
      Posts : 2,695
      Rep Power : 904
      Likes Received
      432
      Likes Given
      440

      Default

      Quote By chilisosi
      Tatizo hata ukisema leo huyo shekhe aliyesema hayo awe rais na baraza la mawaziri wawe bakwata nzima bado bakora zitatembea wataanza kubaguana kimisikiti kama sio shia na sunni hapo ndio patamu manake wataanza kuruka tiktak huku wamevaa kanzu na ndio siri itakapofichuka mtu kavaa nini ndani au la!
      ..ha ha ha

    12. #489
      Mwanawalwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th May 2012
      Posts : 324
      Rep Power : 416
      Likes Received
      88
      Likes Given
      53

      Default Re: BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

      Quote By David webb
      Sensa ya mwaka 1957 ya kikoloni kipengele cha kuonesha dini kilikuwepo na ndio kinachoonesha takwimu waislamu wangapi na wakristo wangapi, na ukiangalia mwaka huo 1957 waislamu walikuwa ni 65%.

      Baada ya hapo sensa zote zilizofuata kipengele cha dini kilifutwa; ajabu leo hii watu wanasema wakristo wapo wengi kuliko waislamu kwa takwimu zipi ikiwa kipengele cha kuorodhesha watu dini zao hakipo.

      Pili ni kwanini wanaogopa kuhesabu watu kwa kutumia kigezo cha dini? Wengi watasema wanaogopa udini, hii hoja ni dhaifu maana nchi nyingi duniani sensa zinahebabiwa kwa mtindo wakujua idadi ya watu na dini zao ni asilimia ngapi katika nchi hizo.
      kwahiyo ukishajua waislamu mko wangapi afu itakusaidia nn?mbona mnakuwa na lehman mental attitude ok waislamu mko wengi kwani inakuwekea pesa mfukoni piga kazi za kuingiza pesa acha KUPOTEZA MUDA WAKO KWA MAMBO YA KIJINGA KAMA HAYA AFU HIVI VIONGOZI WA KIISLAMU HUWA EDUCATION BACKGROUND YAO IKO VIPI I DOUBT ABOUT THEIR THINKING CAPACITY ON EVALUTION OF MATTERS THAT HAVE IMPACT ON THE SOCIETY AT LARGE.

    13. #490
      Join Date : 26th February 2012
      Posts : 2,695
      Rep Power : 904
      Likes Received
      432
      Likes Given
      440

      Default

      Quote
      Roster M aSiza, Yusifal Munji, Idda Mzungu(Mzee wa Cocain) Oman Mhita Mzee wa polich na Majambazi hao ni baadhi tu ya mapapa kati ya wengi kama Abdul Chimbo yule afande anayemiliki mkwanja wa wizara kadhaa South Africa nao ni wakristo? Suala hapa mnataka iitwe jamhuri ya kiislamu Ikitokea mkawa wengi. Mnataka kazi yet hamtaki SHULE Mnataka kigezo kiwe madrasa?
      ...mkuu ongeza Iddi simba,nae mkristo?
      style="display:none;visibility:hidden;" data-cfsrc="https://www.jamiiforums.com/clear.gif" alt="Reply With Quote" /> Reply With Quote

    14. #491
      mikonomiwili's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 11th January 2011
      Posts : 119
      Rep Power : 446
      Likes Received
      27
      Likes Given
      199

      Default Re: BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

      Kama serikali ita ruhusi kipengele cha dini kiwepo Na sis wasukuma tutaomba kipengele chakabila kiwepo .

      Ili nasisi wasukuma tujue tuko wangapi eti na hata rasilimali za taifa zingawanywe kwa idadi ya makabia atii.
      he kwani wao tu ndo wanataka kipengele chaudini hata sis wasukuma twataka tujue edadi yetu na tumetapakaa vipi
      ili hata mkiwamnachagua viongozi iwepia kwa uhiyano wamakabila

    15. #492
      sanga malua's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 17th December 2011
      Posts : 226
      Rep Power : 420
      Likes Received
      46
      Likes Given
      54

      Default Re: BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

      kwa maoni yangu hata kama viongozi wa dini watawashawishi waislam wagome kushiriki sensa,WAISLAM WENGI hawatawatii kwasababu wanajua kuwa viongozi wao siku zote wanaleta hoja tata ili kuipima serikali kama ina wasikiliza kwa lolote wanalo sema.sensa itafanyika na watanzania wote watashiriki. HATUDANGANYIKI KUINGIZWA KWENYE CHUKI ZISIZO NA MAANA.

    16. #493
      Mwanawalwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th May 2012
      Posts : 324
      Rep Power : 416
      Likes Received
      88
      Likes Given
      53

      Default Re: BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

      Quote By christine ibrahim
      ...sipati picha!ndo wataipata hiyo idadi yao vzr wanayoitaka!
      bora wakahesabiwe msikitini si ijumaa ndo siku yao bana watajua idadi yao na ujinga wao

    17. #494
      Chesty's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th August 2009
      Posts : 1,040
      Rep Power : 703
      Likes Received
      155
      Likes Given
      18

      Default Re: BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

      Quote By christine ibrahim
      jibu swali langu?mafisadi wote ni wakristo?...na hao wanaoenda makanisani ni kina nani wataje?...kwahiyo mnataka kuleta mfumo islam?
      Hakuna ubishi kwamba katika level ya rohoni the whole world is under the authority of Jesus, waislam wako right kabisa. Kwani hamkumbuki Yesu alipofufuka alisema, 'Nimepewa mamlaka mbinguni na duniani". (Mathayo 28:18).

      Hicho ndicho kinachowasumbua wale wote wanaompinga (Anti-Christ). Na ndio maana kwa sasa kuna mpango unaitwa "NEW WORLD ORDER" ambao kusudi lake ni kuondoa mamlaka toka kwa Yesu kwenda kwa anayempinga akitumia wafuasi wake.(World Religion System and Government Leaders-Occults)

      Mamlaka ya Yesu ilitokana na DAMU aliyoimwaga (remember BLOOD is extremely powerful), ndio maana engineers wa NEW WORLD ORDER wanashed a lot of blood ili kufikia malengo hayo. Unfortunately no BLOOD can match the BLOOD of Jesus. Dose hii inatosha kwa sasa.

    18. #495
      Ibrah's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd March 2007
      Location : TZ
      Posts : 2,883
      Rep Power : 1198
      Likes Received
      402
      Likes Given
      46

      Default

      Quote By Mizizi
      Wewe kweli ni Mweupe! Kwani waislamu hawalipi kodi hiyo ambayo inatumika kufanyia sensa hadi wachangie tena kwenye zoezi hilo?? Kuna kinachotakiwa kufichwa hapa??
      Wewe ndio mweupe kupitiliza! Hao Waislamu wanaolipa kodi, wanalipa kama taasisi au kibinafsi? Je, hao Waislamu wanapolipa kodi, wanalipa kodi wanalipa kuchangia ustawi wa dini ya au Taifa lao?
      Nakurahisishia, ni pale Waislamu wanapotoa zaka na sadaka Misikitini tu ndipo wanapochangia ustawi wa dini yao.

    19. #496
      malema 1989's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th January 2012
      Posts : 806
      Rep Power : 741
      Likes Received
      147
      Likes Given
      117

      Default Re: BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

      Quote By mwongozo
      WANA FORUM TUWE WAUNGWANA NA TUJADILI KISOMI BILA UNAFIKI!!!!!!!!!!!!!!!!

      Tuna zaidi ya wiki moja tunajadili suala la sensa na kipengele cha dini. naomba niulize kisha nijibu maswali yafuatayo;

      1- Sensa ni nini?
      sensa ni zoezi la kuhesabu watu wakazi katika eneo husika likisimamiwa na chombo halali kilicho na dhamana ya kufanya hivyo. Aghalabu, sensa ya kitaifa hufanyika kila baada ya miaka kumi.

      2- Lengo la sensa ni nini?
      Lengo kuu la sensa ni kujua idadi ya watu kiumri, kijinsia, kimakzi ktk eneo husika, kikazi(ajira) na kidini (hapa ndiyo penye utata)

      3-Kipengele cha dini kiliwahi kuwekwa kwenye dodoso ya sensa hapa nchini?
      ndiyo. sensa za mwaka 1957 na 1967 zilikua na kipengele cha dini

      4-Kipengele hicho cha dini kilichangia kuvunja amani nchini?
      hapana hakijawahi kusababisha uvunjifu wa amani kwa kuwekwa kwenye sensa?

      5- Kwa nini kiliondolewa? na nani?

      sababu hazijulikani lakini nadhani rais wa kwanza alikiondoa ktk dodoso ya sensa ya tatu 1977 kwa kuhofia jambo moja. Sensa zote mbili zilionesha Waislamu ni wengi hapa nchini. hali halisi ikaonesha kuwa Waislamu ni wachache sana katika ajira za sekta ya umma (serikalini). ikumbukwe kuwa Waislamu waliogopa kupeleka watoto wao katika shule za kikoloni (wazungu) wakihofia watabadilishwa dini. hali hii ikafanya idadi ya wasomi waislamu kuwa ndogo. Mwalimu Nyerer hakuzuia Waislamu kusoma. ni khofu wa wazee wenyewe wa Kiislamu. naweza kusema walikosea na kwa upande mwengine walikua sahihi. Vile mwalimu alikua mwana saikolojia, aliona HATARI ya kuwa na watu wengi hapa nchini wenye asilimia kiduchu ktk idara za serikali. JAMBO LA KWANZA, BILA KULISHAURI BUNGE, MWL AKAAGIZA KIMYAKIMYA KIONDOLEWE KIPENGELE CHA DINI KTK SENSA.

      simlaumu mwalimu katika hili. ALITAKA KULINDA UMAJO WA NCHI. narudia tena. ni wazee wenyewe wa kiislamu ndiyo walihofia watoto wao kubadilishwa dini wakisomesha ktkt shule za misheni.

      kama mnavoelewa, mtu akiwa na cheo ofisini, anapopata habari ya ajira HUMFAHAMISHA NDUGU YAKE AU JAMAA WA KARIBU AU RAFIKI YAKE. bila kutarajiwa, kadri miaka ilivyozidi, wakristo wakawa wameshamiri maofini kwa asilimia kubwa sana. NAMLAUMU BABA WA TAIFIA KWA JAMBO MOJA. baada ya kugundua hatari iliokuepo, angejitahidi kufanya mkakati maalumu wa kuwasomesha waislamu wachache na kuwasimika ktk ajira ya umma ili kulazimisha ongezeko la idadi yao. nadhani hili hakulifanya! hali imeendelea hivyo hadi hii leo.


      6-KWA NINI AKINA PONDA WANALALAMIKA?

      sasa hivi ukienda kwenye ofisi za serikali kama TRA, VYEO VYA JUU POLISI (kuwepo said mwema juu kabisa siyo kigezo tosha), VYEO VYA JUU JESHINI, WIZARA ZOTE ZA SERIKALI .... nk utakuta ofisi zimekaa kama parokia fulani. wakristo watupu (najua hili kwa wakristo ama hawasilioni au wanaliona na wanalijua). wapo waislamu ambao wamesoma (japo hawajawafikia wakristo) lkn waislamu walio wengi wanapata rizki katika biashara, muziki, mpira, uvuvi, kilimo, umachinga na kazi ngumu kama kusukuma mikokoteni na kubeba mizigo (hawajui wala kunusa WHITE COLAR JOBS). vijana wengi wa kiislamu wnabwiya unga. wanaishia la saba! kaka zao wanashindwa kuwasaidia kwa SABABU HAWAMO SERIKALINI. HAWANA MSHAHARA WA MWISHO WA MWEZI. wasomi waislamu hili wanaliona na wanalijua. AKINA PONDA WANAONA ILI UNFAIR TREATMENT iliyokuepo kipindi cha mwalimu imetapakaa na kukua hadi hii leo. kwa anae jua maana ya govt adminstrtve strcture pamoja na local gvt system, hawezi kuema ooohhh mbona rais na makamu ni waislamu? thats nothing! kwenye wizara na halmashauri nchini waislamu ni chini ya asilimia 9. hawakutaka wenyewe. serikali kama mzazi haikuweka mkakati wa kukosoa kosa lililofanywa na wazee kuogopa shule za kimisheni (sina uhakika kama ni kosa kwa sababu kweli baadhi walibadilishwa au walilazimika kutumia majina ya kikristo ili wakasome. bob makani ni mmoja wao).


      7-MADAI YA PONDA NI YAPI?
      ponda anasema "enough is enough. tutumie sensa kama gia ili tujue idadi kisha yaje madai ya kuuliza mbona waislamu ni asilimia 35, 40 50 au 55 lakini kwenye ajira asilimia 9!!!!!!!?" NI BOMU AMBALO LIPO NA LITAPASUKA. NATABIRI KUWA kama kipengele cha dini hakitawekwa, waislamu watatafuta haki ya uwiano kiajira kwa njia ambazo zitavunja amani.


      USAHURI WANGU
      NI wakati muafaka tuache kuweka majivu kwenye moto tukidhani umezimika. UKWELI NI KWAMBA KIJANA WA KIISLAMU ANAPOKWENDA SERIKALINI KUOMBA KAZI, hujihisi kwa anakwenda parokiani. na akitaja jina la kiislamu, huangaliwa na walakini. hili jambo linawasononesha waislamu kuwa hivyo katika nchi yao licha ya kupigania UHURU WA NCHI HII NA KUMPOKEA NYERERE DSM NA KUMKABIDHI TAA KISHA TANU


      nimeandika kwa nia njema. nitafurahi nikijibiwa kwa hoja bila ya ushabiki wa kidini wala matusi
      Kama hambebeki ndugu zetu tuwabebe kwa mbeleko gani? hata mngekuwa 80% hamtaweza kushika nyadhifa nyingi serikalini kwani elimu yenu ni ndogo labda tufanye taifa hili liwe la kijuha.Wangapi mnaweza kuwa madaktari kule muhas,bugando, kcmc? inahitajika shule mzee sio Madrasa na utabiri wa kishetani mfano wa shehe yahaya.

      Mlinungunika sana serikali ikawapa chuo chake cha tanesco morogoro, badala mtoe elimu ya kisasa pale kwa ajili ya kuwakomboa mmefanya kijiwe cha soga. Hakina sifa ya kutoa mtaalamu kile. Prof. mmoja wa kiislamu aliombwa atoe mihadhara pale akakataa kwa sababu ya kukataa kupoteza hadhi yake yupo st. augustine.

      Acheni majungu hambebeki nduguzangu.
      sister likes this.

    20. #497
      Kimbito nyama's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 10th April 2012
      Posts : 156
      Rep Power : 390
      Likes Received
      38
      Likes Given
      19

      Default Re: BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

      Quote By Sideeq
      Ninatumaini kuwa maamuzi ya Waislamu yataheshimiwa katika nchi ya Kidemokrasia kama Tanzania.
      Maamuzi yepi ya Waislamu yataheshimiwa? Mimi nilidhani waislamu walikuwa wanaomba hicho kipengele kiwekwe kumbe walikuwa wanalazimisha! Kama ni ombi kwanini wasikubaliane na jibu la ombi lao? na kama wanaamini kuwa wao ni wengi tangu mwaka 1957 kwani wanataka kuahakiki kama wamepungua? au wameongezeka? au wakiristo ni wangapi?

    21. #498
      manucho's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th April 2012
      Posts : 561
      Rep Power : 469
      Likes Received
      79
      Likes Given
      0

      Default Re: BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

      Hapa muislam ameshajionyesha yeye ni mtu wa Aina gani. Wamejionyesha kwamba muislam ni Kiumbe TATIZO. Hajui anataka nini
      sister likes this.

    22. #499
      sanga malua's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 17th December 2011
      Posts : 226
      Rep Power : 420
      Likes Received
      46
      Likes Given
      54

      Default Re: BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

      Watanzania tusipoteze muda kwa mambo yasiyo na maana yoyote kwa mtu mmojammoja au taifa kwa ujumla. hivi ukijua kuwa wachagga wako mil2,wasukuma mil 14,wanyakyusa mil 3,wakwere laki tano itatusaidia nini?ukijua waislamu wako mil 15 na wakristu mil 16 ndio iwe nini kwa maendeleo ya nchi hii? WACHINA HAWANA DINI MBONA WAMEENDELEA! MAENDELEO YANAKUJA KWA KUCHAPA KAZI TU NA SIYO BLABLA.
      sister likes this.

    23. #500
      Ibrah's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd March 2007
      Location : TZ
      Posts : 2,883
      Rep Power : 1198
      Likes Received
      402
      Likes Given
      46

      Default Re: BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

      Zamani tukiwa na kitoweo cha kuku, mama alinituma kwa jirani yetu Mzee Juma Lubela ili atuchinjie, mama akimpika alinipa nyama ya kuku kwenye bakuli nimpelekee yule babu. Wakati wa Pasaka/Krimasi watoto wa majirani walikuja kula pilau home nasi kwenye Idi tulikwenda kula kwao.
      Tangu walipoanza harakati zao 1980s mambo hayo hayapo tena, tunachinja wenyewe na ile share ya mnofu hawaipati tena siku hizi.!
      Hapo ndipo hawa Mashehe uchwala na njaa zao walipotufikisha, chuki tupu-Mtaani hadi Taifani.
      Steve Dii likes this.

    Page 25 of 62 FirstFirst ... 15232425262735 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...