Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

    Report Post
    Page 23 of 62 FirstFirst ... 13212223242533 ... LastLast
    Results 441 to 460 of 1236
    1. #1
      Kiranja Mkuu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th February 2010
      Posts : 2,084
      Rep Power : 887
      Likes Received
      284
      Likes Given
      34

      Default BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

      Hawa Bakwata, wanaikomoa CCM au CUF?

      BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limetangaza rasmi kutoshiriki sensa ya watu na makazi inayotarajiwa kufanyika nchi nzima Agosti, hadi ombi lao la kuingizwa kwa kipengele cha dini kwenye dodoso la sensa kitakapofanyiwa kazi.

      Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Amir Mkuu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Shehe Mussa Kundecha, alisema uamuzi huo umetokana na Serikali kushindwa kusikiliza upande wa Waislamu na kuamua kutokiingiza kipengele hicho.

      Alisema katika mkutano wa viongozi wa dini na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) uliofanyika Dodoma Juni 11, waliwasilisha ombi lao la kipengele cha dini kuingizwa kwenye dodoso za sensa ili kupata idadi kamili ya Watanzania kidini.

      “Kwa kweli mkutano ulikwenda vizuri, tulitoa sababu zetu za kutaka kipengele hicho kiwemo ili kuondoa utata wa sasa wa kila taasisi na dini kutoa takwimu zinazotofautiana na Kamishna wa Takwimu alipokea maombi yetu na kuahidi kuyawasilisha serikalini na kuyafanyia kazi,” alisema Shehe Kundecha.


      Alisema cha kushangaza wakati akifunga mkutano huo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Uhusiano na Uratibu, Stephen Wasira alibainisha wazi kuwa kamwe Serikali haiwezi kukiingiza kipengele hicho kwenye dodoso za sensa, kwa kuwa kinavunja umoja, amani na utulivu wa Taifa.

      Aidha, alisema katika kutetea hoja hiyo, Serikali ilitoa mifano ya nchi za Nigeria na Kenya, ambazo zimefanya sensa na kuingiza kipengele hicho kwenye dodoso, lakini kutokana na kuibuka kwa vuguvugu la kidini katika nchi hizo, hadi leo matokeo ya sensa hizo hayajatangazwa.

      Shehe Kundecha alisema Baraza hilo limepokea hoja hizo na kuzisikiliza ingawa halikubaliani nazo kwa kuwa kwa Tanzania bado zipo taasisi na madhehebu ya dini yanayotoa takwimu za kidini yakionesha idadi ya Wakristo, Waislamu na Wapagani huku umoja na amani vikiendelea kuwapo.

      “Kama tatizo ni kuvurugika kwa amani, umoja na utulivu, mbona basi vyombo hivi visivyohusika na takwimu vinatoa takwimu hizi tena hadi kwenye mitandao na Serikali kuvifumbia macho, huku kukiwa hakuna umoja wala amani iliyovunjika? Kwa nini isifanyike sensa ya kidini na kupatikana takwimu halisi?” Alihoji.

      Alisema kutokana na kauli hiyo, inaonekana wazi kuwa Serikali haijasikiliza kilio cha Waislamu kutaka kipengele cha dini kiingizwe kwenye dodoso za sensa, ili zipatikane takwimu sahihi na rasmi za Watanzania kidini.

      “Hivyo basi tunasisitiza Waislamu hatutashiriki sensa mpaka mapendekezo yetu yatakapofanyiwa kazi, tunataka idadi halisi ya Waislamu, ili nasi tujue tunawasaidiaje kimaendeleo na kidini,” alisema.

      Ustaadh Sadiki Gogo, alisema mfano uliotumiwa na Serikali kukataa ombi la kuingizwa kwa kipengele cha dini kwenye dodoso la sensa hauna nguvu, kwa kuwa umeegemea upande mmoja na kusahau nchi kama Uganda, Uingereza, Australia na Canada, ambazo katika sensa zao wanatumia kipengele cha dini na hazina matatizo.


      Hivi karibuni, Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania, Shehe Ponda Issa Ponda, alisema atahakikisha Waislamu hawashiriki Sensa ya Watu na Makazi iwapo Serikali haitarudisha kipengele cha dini katika maswali wanayoulizwa wananchi.


      Alisema haoni hoja ya msingi ya kuondoa kipengele hicho kwani uzoefu unaonesha kuwa baada ya Serikali kukiondoa, makundi yenye mwelekeo maalumu hutumia nafasi hiyo kutoa takwimu za idadi ya Waislamu, Wakristo na Wapagani.

      Pamoja na kauli ya Wasira, Mkurugenzi Mkuu wa NBS, Dk Albina Chuwa, alikataa ombi la mashehe la kujumuisha kipengele cha dini katika dodoso za maswali wakati wa sensa. Alisisitiza mbele ya viongozi wa dini mbalimbali wakiwemo mashehe kuwa maswali yanayohusu kabila na dini hayatajumuishwa kwenye dodoso kwani Serikali haipangi mipango ya maendeleo ya wananchi kwa kufuata itikadi za kidini au ukabila.

      CHANZO: HabariLeo
      takashi and Lokissa like this.

    2. RukaaJuu Final

    3. #441
      christine ibrahim's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th February 2012
      Posts : 2,749
      Rep Power : 914
      Likes Received
      440
      Likes Given
      440

      Default

      Quote By Unstoppable
      Ha ha ha! Take five my friend! Kwakweli sipendi mashindano yasiyo na kichwa wala mguu. However, labda serikali ilipowakatalia ingewapa suggestions kufanya sensa through taasisi zao. By the way, kuna watu wanabadilisha dini ili kuolewa na ndoa ikienda mrama wanarudia dini zao, kuna wenye vitambulisho vya dini mbili (yes dini mbili) i.e. ana badilisha identification e.g. passport depending na nchi anayokwenda, watu/taasisi anayofanya nayo biashara, shule anayosoma etc. Kuna waliozaliwa na wazazi wa dini tofauti na hawajitambui wao ni dini gani hasa ; sasa Hawa sijui watajaza dini gani. Je ikiwekwa dodoso ya dini kwenye form za sensa kuna option yakutojaza dodoso hiyo?
      ...dah!u a GT,haya yote hawayafikirii,cjui wenzetu wana matatizo gani

    4. #442
      sanjo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th October 2010
      Posts : 861
      Rep Power : 607
      Likes Received
      219
      Likes Given
      33

      Default

      Quote By WA-UKENYENGE
      Wengi mnapindisha pindisha! Lakini lengo kuu la kujua idadi yao ni kutaka kuibadili nchi iwe ya kiislamu, wakishajua idadi yao wataanzisha lingine la kutaka ipigwe kura ya kutaka nchi iwe ya kiislamu au la na hapo ndiyo katiba mpya inafuata. Mark my words!!
      Hapo umenena. Baada ya hapo watataka mahakama ya kadhi, bajeti ya kukujuza mambo kidini. Haya mambo ya kuendekeza udini hayatatufikisha mbali.

    5. Nzi
      #443
      Nzi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st October 2010
      Location : 740 Park Avenue
      Posts : 3,322
      Rep Power : 21625
      Likes Received
      947
      Likes Given
      828

      Default

      Quote By ritz
      Kwani kuna tatizo gani kuweka dini kwenye sensa, mbona nchi nyingi duniani wameweka sehemu ya dini, kama Uingereza, Misri, Israel, na hakuna tatizo lolote.
      Kwenye mambo yasiyo na tija kwa taifa uwa mnapenda sana kujifananisha na mataifa mengine. Lakini yanapokuja masuala yenye tija kwa taifa hata hamdhubutu kujifananisha na nchi yoyote.

      Hivi kuna nchi gani duniani waziri mkuu aliyejiuzulu anaendelea kupata retirement benefits? Kuna nchi gani duniani kiongozi aliyekataliwa na wananchi kwa njia ya kura anateuliwa kushika nafasi ya uongozi wa umma? Ni nchi gani duniani kiongozi wa umma anajiuzulu kutokana na wizi na matumizi mabaya ya mali za umma,lakini hafikishwi mahakamani? Ni nchi gani duniani ambayo raia wake anaweza akawa na Tsh. 5000 benki na kesho akawa na milioni 10 bila kuulizwa amezipataje? Na mifano mingine mingi tu ya kustaajabisha!
      Steve Dii likes this.

    6. #444
      SoNotorious's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th September 2011
      Posts : 766
      Rep Power : 510
      Likes Received
      185
      Likes Given
      248

      Default Re: BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

      mbona ni rahisi sana kesho ni ijumaa sheikh wa kila msiki ahesabu waumini halafu atume idadi bakwata makao makuu kwa majumuisho. wajinga.

    7. #445
      Ruttashobolwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd February 2012
      Posts : 13,514
      Rep Power : 19791
      Likes Received
      4314
      Likes Given
      1290

      Default

      Quote By Mag3
      Hakika inashangaza;

      1. Chama tawala Tanzania ni CCM na mwenyekiti wake ni Muislaam,
      2. Tanzania tunao Raisi wawili na wote ni Waislaam.
      3. Anayeunda serikali na kuiongoza ni Muislaam
      4. Anayewateua watendaji wakuu pamoja na Waziri Mkuu ni Muislaam.
      5. Tanzania tunao Makamu wa Raisi watatu na wote ni Waislaam.
      6. Jemadari Mkuu wa majeshi Tanzania ni Muislaam.
      7. Mkuu wa polisi Tanzania ni Muislaam.
      8. Mkuu wa Usalama wa Taifa ni Muislaam.
      9. Mkuu wa Mahakama Tanzania ni Muislaam.
      10. Ardhi yote ya Tanzania ni mali ya serikali inayoongozwa na Muislaam.

      Katika hali kama hii, mfumo Kristo unawezekanaje? Je, hali ingekuwaje kama mambo yangekuwa tofauti? Kama pamoja na huu ukweli bado mfumo Kristo umeweza kushamiri, basi sidhani kugomea sensa kutafanikisha lolote...ni mawazo yangu tu!
      umewamaliza waseme lingine.

    8. Miaka 50

    9. #446
      RGforever's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd April 2011
      Posts : 2,091
      Rep Power : 1132
      Likes Received
      413
      Likes Given
      106

      Default

      Quote By Mag3
      Hakika inashangaza;

      1. Chama tawala Tanzania ni CCM na mwenyekiti wake ni Muislaam,
      2. Tanzania tunao Raisi wawili na wote ni Waislaam.
      3. Anayeunda serikali na kuiongoza ni Muislaam
      4. Anayewateua watendaji wakuu pamoja na Waziri Mkuu ni Muislaam.
      5. Tanzania tunao Makamu wa Raisi watatu na wote ni Waislaam.
      6. Jemadari Mkuu wa majeshi Tanzania ni Muislaam.
      7. Mkuu wa polisi Tanzania ni Muislaam.
      8. Mkuu wa Usalama wa Taifa ni Muislaam.
      9. Mkuu wa Mahakama Tanzania ni Muislaam.
      10. Ardhi yote ya Tanzania ni mali ya serikali inayoongozwa na Muislaam.

      Katika hali kama hii, mfumo Kristo unawezekanaje? Je, hali ingekuwaje kama mambo yangekuwa tofauti? Kama pamoja na huu ukweli bado mfumo Kristo umeweza kushamiri, basi sidhani kugomea sensa kutafanikisha lolote...ni mawazo yangu tu!

      Tatizo hawakwenda Shule Washeikh wao

    10. F2S
      #447
      F2S's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 16th February 2008
      Posts : 192
      Rep Power : 614
      Likes Received
      21
      Likes Given
      18

      Default Re: BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

      Sifikiri kama hao waliotoa tamko kama wako na viongozi wenye uwezo mkubwa wa kufikiri na kuchambua mambo na kuona risk itakayotokea kama hicho wanachokiomba kitakubaliwa. Sishangai sana kwani hawa jamaa huwa wanakuja na misimamo ya ajabu sana. Thus why middle east haijatulia because hawaminiani hata wao kwa wao. Sijui ni mafundisho au ni tabia za hao viongozi. We need a break from their chokochoko. Hawa ndio wanafyrahia nyumba za ibada kuchomwa. I remember one time nikiwa Tosa High School walishinikiza mkuu wa shule kufukuza baadhi ya students cause wanatumia mafuta ya kitimoto kama appetizer. Tulieni ndigu zangu jiungeni na watu wema hata kama si wa dini nzenu. Msiige mambo ya Nigeria na kwingineko hakujasettle till 2day. Eti sensa itaje dinio halafu iwe ndio mahubiri ya ijumaa mkiwa wengi au mseme wamechakachua mkiwa wachache. Hakuna zuri mtakalokubalia wakiruhusu hicho kipengele hamuishi vituko. Ruhusuni vijana wenye elimu ya dini na ya dunia sasa waongoze hiyo taasisi kupata balance ya hivi vitu otherwise mtaona mnaonewa every day. Heko wasira kwa kuwakata maini hapo kwa hapo though next time hawakualiki. JK walishamtosa mambo ya Kadhi

    11. #448
      Tume ya Katiba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th April 2012
      Location : Chumbuni-Zanzibar
      Posts : 2,690
      Rep Power : 0
      Likes Received
      542
      Likes Given
      273

      Default Re: BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

      Hizo data zinapewa nguvu kwa sababu ipi, kama wanaona wakristu wametangaza cooked data na wao watangaze roasted data. tatizo liko wapi hapo. Hii nchi si ya kidini, mnataka tujue mko wangapi kiserikali ili tufanyeje?
      Cooked data kwenye TV ya TAIFA? unafikili ni kwa bahati mbaya? you can't be serious!

    12. #449
      Ibrah's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd March 2007
      Location : TZ
      Posts : 2,883
      Rep Power : 1199
      Likes Received
      402
      Likes Given
      46

      Default

      Quote By David webb
      kigoma iko pwani?tabora je, zanzibar haihusiki kwenye sensa ya 1957 kwa kuwa hatukuungana nao mwaka huo.na wao walikuwa na sensa yao.
      Usizungumzie Kigoma kwa ujumla, sema Ujiji nitakuelewa. Kuzungumzia Kigoma ni sawa na Dodoma, ukizungumzia Ujiji Kigoma ni sawa na kuzungumzia Kondoa Dodoma.
      Steve Dii likes this.

    13. #450
      primestar's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 20th April 2012
      Posts : 7
      Rep Power : 359
      Likes Received
      1
      Likes Given
      1

      Default Re: BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

      This always makes me sick, kwa nini kila siku ni nyinyi tu... kwani mpo peke yenu? mbona hatusikii wakristo wakilalamika kudai attention like what you people are doing daily? Sensa ya udini tena ili iweje? mnataka kujua idadi ya waislamu, ili iweje? if that is important to you si mfanye wenyewe? na wakristo wakitaka ya kwao watafanya wenyewe. Kwa nini muweke iwe issue ya kitaifa?

      Why in everything mnaingiza udini? Sisi ni ndugu jamani,
      hebu Utanzania wetu uwe na nguvu kwetu sote kuliko kitu kingine chochote for we dont' belong to any other nation but Tanzania hebu tushikamane tuikomboe nchi yetu na maswahiba ya kiuchumi na kiuongozi yanayoikumba, tushikamane tumkomboe mtanzania masikini kabisa ambae anashindwa kununua hata kibatari na tustop ku-dig our differences ambazo hazitatufikisha popote zaidi ya kutumaliza sisi wenyewe.
      Sipendi kuwachukia kwa sababu najua ninyi ni ndugu zetu ila imani tu tofauti lakini mara nyingine mnaudhi.. Acheni serikali ifanye mambo yake inavyoona inafaa, mbona mnataka kuiharibu nchi..? Ni malengo au hamjui? dini ni dini tu but the first thing sisi ni watoto wa mama mmoja, Tanzania..
      'HII NCHI NI MOJA, MTANZANIA NI MTANZANIA TU., udini wake, ukabila wake anaujua mwenyewe' na kamwe serikali isifanye kosa la kuanza kum-identify mtanzania wa aina moja na mwingine..

      I BELIEVE IN CHANGE, I AM A CHANGE.. we are Tanzanians' and this is our country, together we can...
      Chilisosi likes this.

    14. #451
      sweke34's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th September 2010
      Posts : 2,493
      Rep Power : 1255
      Likes Received
      734
      Likes Given
      1240

      Default Re: BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

      Quote By Tume ya katiba
      Uchaguzi wa KIDINI ulikuwa 2010 na matokeo unayajua!
      Hapa utakuwa unatamba kiaina kuwa Kikwete(mwislam) alishinda uchaguzi...Sasa kama mlishiriki kikamilifu kumuweka madarakani malalamiko yooote haya yanatoka wapi? Hivi kuna siku mtakuja kuridhika nyinyi watu? Mimi naona kama kuna kitu kinawawasha hivi...

    15. #452
      christine ibrahim's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th February 2012
      Posts : 2,749
      Rep Power : 914
      Likes Received
      440
      Likes Given
      440

      Default Re: BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

      mmmhhh,Jk ana kazi,ila namkubali kwa kupotezea

    16. #453
      NURFUS's Avatar
      Member Array
      Join Date : 27th November 2009
      Posts : 31
      Rep Power : 489
      Likes Received
      1
      Likes Given
      1

      Default Re: BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

      Mwenyewe nafikiri bakwata wangetuelezea umma kuwa baada ya kujua tupo wangapi pengine umuhimu ni nn hasa kwa taifa hili la watanzania wote isiwe kwa waislamu tu maana ukiwa na maslahi binafsi serikali haitakubali hata angekuwa nani asingekubali, tusaidieni hata kama tunagoma kuhesabiwa tujue sababu za msingi. Na hii sababu iwe ya maana isiwe kwa maslahi ya waislamu la hasha iwe kwa maslahi ya watanzania, sio wa sababu wakristu wanatoa takwimu ambazo tunajua sio sahihi basi ndio iwe agenda, kama vipi basi na sie tutoe takwimu zetu kama ni kuwaridhisha watu wetu.
      Last edited by NURFUS; 14th June 2012 at 23:55. Reason: just spellings tu

    17. #454
      Sideeq's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th December 2009
      Posts : 1,603
      Rep Power : 800
      Likes Received
      213
      Likes Given
      0

      Default Re: BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

      Quote By Unstoppable
      By the way, kuna watu wanabadilisha dini ili kuolewa na ndoa ikienda mrama wanarudia dini zao, kuna wenye vitambulisho vya dini mbili (yes dini mbili) i.e. ana badilisha identification e.g. passport deni epending na nchi anayokwenda, watu/taasisi anayofanya nayo biashara, shule anayosoma etc. Kuna waliozaliwa na wazazi wa dini tofauti na hawajitambui wao ni dini gani hasa ; sasa Hawa sijui watajaza dini gani. Je ikiwekwa dodoso ya dini kwenye form za sensa kuna option yakutojaza dodoso hiyo?
      Ungejifunza namna gani wanafanya sensa kwanza!....Ondoa dodoso ya dini halafu serikali ifanye sensa na kutuambia kuwa Watanzania wapo millioni 46, vipi kuhusu watakaohama nchi na kuchukua uraia wa kigeni baada ya sensa? watakao oa au kuolewa na kuhamia nchi nyingine pamoja watoto wao au ndugu zao?
      Unataka kutuambia kwa sababu vitu kama hivi vitatokea hivyo sensa isifanyike?!!

    18. #455
      Chilisosi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th October 2008
      Posts : 1,700
      Rep Power : 0
      Likes Received
      372
      Likes Given
      458

      Default Re: BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

      Quote By mgongo wa paka
      ni vizuri sana kwanini utoe kipengele cha dini?
      halafu mkiisha jua waisilamu wako wangapi inakuwaje???

    19. #456
      Chilisosi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th October 2008
      Posts : 1,700
      Rep Power : 0
      Likes Received
      372
      Likes Given
      458

      Default Re: BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

      Quote By christine ibrahim
      mmmhhh,Jk ana kazi,ila namkubali kwa kupotezea
      Kuwa Rais sio kazi ndogo
      JK angekuwa sheikh ubwabwa basi wasio waisilamu tungepata tabu sana, hawa jamaa wameona JK sio mdini basi ndio maana wana hasira sana, wao walitegemea zijae kanzu pale ikulu.
      Kwa takwimu zangu wakatoliki tu ni wengi kuliko waisilamu hapo hujaongeza walutheri, walokole, wa anglikan, mashahidi wa yehova, na wengineo. ukitaka kujua uwingi wa wakatoliki tafuta takwimu za ujio wa papa john paulo nchini

    20. #457
      Chilisosi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th October 2008
      Posts : 1,700
      Rep Power : 0
      Likes Received
      372
      Likes Given
      458

      Default Re: BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

      huko somalia nchi nzima ni waisilamu , je kuna maendeleo yoyote waliyonayo zaidi ya mirungi?
      Syria? Iraq, tena huko ndio balaa baada ya uisilamu sasa ni shia na suni full kuchinjana kila kukicha, hivi kwa nini hii dini haina amani????? kwa nini kila kukicha matatizo?? ukiwauliza kwa nini wanaua watu jibu ni wanapambana na america.?????
      mwakaboko likes this.

    21. #458
      NURFUS's Avatar
      Member Array
      Join Date : 27th November 2009
      Posts : 31
      Rep Power : 489
      Likes Received
      1
      Likes Given
      1

      Default Re: BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

      shekhe kundecha hajawahi kuwa msemaji wa bakwata nafikiri anatupotosha,ngoja tumsikie shekhe mkuu ndio tutajua hili ni la kweli au la

    22. #459
      Chilisosi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th October 2008
      Posts : 1,700
      Rep Power : 0
      Likes Received
      372
      Likes Given
      458

      Default Re: BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

      mie naomba tufanye hivi
      URAIS UJAO WAWEKWE WAGOMBEA WA DINI MBILI
      MUISLAMU NA MKATOLIKI (ACHANA NA MADHEHEBU MENGINE YA KIKRISTO ITAKUWA SIO VIZURI)
      halafu tupate matokeo masharti ya kura iwe mkatoliki amchague mkatoliki na muislamu achague muisilamu

    23. #460
      Chilisosi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th October 2008
      Posts : 1,700
      Rep Power : 0
      Likes Received
      372
      Likes Given
      458

      Default Re: BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

      Quote By primestar
      This always makes me sick, kwa nini kila siku ni nyinyi tu... kwani mpo peke yenu? mbona hatusikii wakristo wakilalamika kudai attention like what you people are doing daily? Sensa ya udini tena ili iweje? mnataka kujua idadi ya waislamu, ili iweje? if that is important to you si mfanye wenyewe? na wakristo wakitaka ya kwao watafanya wenyewe. Kwa nini muweke iwe issue ya kitaifa?

      Why in everything mnaingiza udini? Sisi ni ndugu jamani,
      hebu Utanzania wetu uwe na nguvu kwetu sote kuliko kitu kingine chochote for we dont' belong to any other nation but Tanzania hebu tushikamane tuikomboe nchi yetu na maswahiba ya kiuchumi na kiuongozi yanayoikumba, tushikamane tumkomboe mtanzania masikini kabisa ambae anashindwa kununua hata kibatari na tustop ku-dig our differences ambazo hazitatufikisha popote zaidi ya kutumaliza sisi wenyewe.
      Sipendi kuwachukia kwa sababu najua ninyi ni ndugu zetu ila imani tu tofauti lakini mara nyingine mnaudhi.. Acheni serikali ifanye mambo yake inavyoona inafaa, mbona mnataka kuiharibu nchi..? Ni malengo au hamjui? dini ni dini tu but the first thing sisi ni watoto wa mama mmoja, Tanzania..
      'HII NCHI NI MOJA, MTANZANIA NI MTANZANIA TU., udini wake, ukabila wake anaujua mwenyewe' na kamwe serikali isifanye kosa la kuanza kum-identify mtanzania wa aina moja na mwingine..

      I BELIEVE IN CHANGE, I AM A CHANGE.. we are Tanzanians' and this is our country, together we can...
      Tatizo hata ukisema leo huyo shekhe aliyesema hayo awe rais na baraza la mawaziri wawe bakwata nzima bado bakora zitatembea wataanza kubaguana kimisikiti kama sio shia na sunni hapo ndio patamu manake wataanza kuruka tiktak huku wamevaa kanzu na ndio siri itakapofichuka mtu kavaa nini ndani au la!

    Page 23 of 62 FirstFirst ... 13212223242533 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...