Waziri Mwakyembe atoa siku 3 kwa maofisa waliohusika na rushwa reli ya kati kujisalimisha. Hi ni baada ya kupanda usafiri wa njia reli kwenda Bungeni. Je huyu ndiye mchapa kazi??
Nangojea matokeo jumamosi
Waziri Mwakyembe atoa siku 3 kwa maofisa waliohusika na rushwa reli ya kati kujisalimisha. Hi ni baada ya kupanda usafiri wa njia reli kwenda Bungeni. Je huyu ndiye mchapa kazi??
Nangojea matokeo jumamosi
"A REAL MAN doesn't love Million GIRLS, He love ONE GIRL in Millions ways"
-facebook.com/HassanZiaa
Angewafuata huko waliko kuliko kuwasubiri wajisalimishe
I always wonder what Tanzanians really want their Govt to do coz whatever is done to them is nothing!
Huyo haijui ccm atatulizwa 2 huyo, ulimsikia CDM SQUARE alitaka kuanza siasa za majitaka akaacha,
kawaida Maovu yakiwa Mengi kuliko Mazuri si rahisi watu kukubaliana na wewe kwa haraka kile unchowafanyia hepu fikiria richmondi,epa,ufisadi,mali alisili zetu zinavyokwapuliwa na wajanja, umeme ndio sitaki kuzungumzia kabisa n.k kwa hayo Serikali ina kazi kubwa kufanya jambo likubalike kwa haraka
"A REAL MAN doesn't love Million GIRLS, He love ONE GIRL in Millions ways"
-facebook.com/HassanZiaa
Mtoa habari umesema rushwa reli ya kati, rushwa ya nini? Kwenye kitu gani? Unazungumza kana kwamba kila mtu yuko informed juu ya hiyo rushwa unayotaja! Una haraka gani? Jaribu kudadavua habari yako kama Great Thinker, umeshaanzisha uzi hauporwi!
"A REAL MAN doesn't love Million GIRLS, He love ONE GIRL in Millions ways"
-facebook.com/HassanZiaa
....Thanks....but if there are a few who are working harder to rebuild trust, let us support them. Otherwise if we keep on lamenting even on their good start, the likely is causing desperation and killing of good spirit. Remember, these few expect to pull courage and strengths from the public. Thus our acts of denying or belittling their efforts are contributing to killing patriotism.
Last edited by English Learner; 14th June 2012 at 12:23.
sikawahi kuona anayejiita great thinker akitoa habari zenye dhana badala ya kueleza kilichotokea. Nahisi unatatizo la malezi sababu hautaki kukosolewa kwenye makosa dhahiri kama hayo. Siyo kosa lako
....Time is the wisest counselor!!!
my dear, huwezi ku-rebuild trust kwa kumpa muda mhalifu namna hiyo, kumbuka kuna idara za serikali zinalipwa usiku na mchana kufanya kazi yao, sasa wewe kutoa notisi tu, hauoni kwamba kama ingekua rahisi hivyo tungefuta takukuru, mahakama na polisi pia?? hauoni kwamba oda ya mwakyembe ni kituko?
Mie nadhani ni athari za dawa anazotumia .... karopokwa
....Time is the wisest counselor!!!
You need to be result oriented to make development.
You need to do not try
You need to delivery well according to the strategic plan..sio kuishia kusema serikali ina mipango mikakati kadha wa kadha kama tunavyosikia bungeni na kwenye majukwaa kila siku or chep popularity through the news/media.
Hakuna tofauti na mtu kuishia kusema nimesoma sana badala ya kuacha watu waone matokeo ya kusoma kwako.
Viongozi bongo wanahitaji kufanya vitu vionekane na hakuna sababu ya kutaka kusifiwa kwani ni wajibu wao na wanatumia pesa nyingi za kodi.
I dont care who rule the Country ( CCM or CDM)I just it to be done well ..ila kwa mazoea waliojiwekea CCM ni kazi kujirudi na kuaminika
Ndio text book ya CCM halisi. Kama Kikwete alipohutubia Bunge akasema aliyeiba hela za EPA na arudishe mwenyewe. Wajanja tukajua hii ni tamthiliya mpya kwenye runinga. Wakirudisha ndio unafanyaje, unawasamehe?
Huwezi kujipeleka polisi eti "najisalimisha nimekula rushwa ya reli." Kila mtu ana haki ya kutojifunga mwenyewe, right against self-incrimination, na haki ya kuthibitishwa na mtu mwingine kwamba kweli kala rushwa ya reli, sio yeye mwenyewe akajishtaki.
Kazi ya Serikali ndio kukamata, kushitaki na kuthibitisha kwamba mtu kala rushwa ya reli. Kama kweli Mwakyembe angekuwa sio magumashi 1) angefukuza mtu 2) akatoa ushahidi kwamba fulani kala rushwa ya reli ili ashitakiwe.
Ukimwambia mtu nakupa siku tatu sijalimishe mwenyewe akijisalimisha ndo unafanyaje, unamsamehe? Au bado utamfunga? Mana kama bado utamfunga bora auchune tu, hata mimi ningeuchuna, mtu yeyote anaejua sheria hawezi kujisalimisha, unless ni malaika, na ukila rushwa you are far from malaika. Ningesema catch me if you can, halafu tuta drag kesi miaka mitano kama Mramba na Mgonja mwishowe Watanzania watasahau na Jaji atasema isiwe tabu, wameiba wangapi? Toka lini umesikia mserikali wa Tanzania kaisha kwa rushwa. Mwakyembe usianze ku sound kama Mrema!
Last edited by Anheuser; 14th June 2012 at 12:40.
Follow Us Here