Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Fedha za safari za JK zaibwa na watendaji

    Report Post
    Page 2 of 5 FirstFirst 1234 ... LastLast
    Results 21 to 40 of 88
    1. #1
      mizambwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th October 2008
      Posts : 1,439
      Rep Power : 975
      Likes Received
      368
      Likes Given
      1811

      Default Fedha za safari za JK zaibwa na watendaji

      Fedha za safari za JK zaibwa

      MAOFISA watano wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, wamesimamishwa kazi kwa tuhuma za kuiba fedha zilizotengwa “kwa ajili ya safari za rais,” MwanaHALISI limeelezwa.

      Taarifa za uhakika zilizopatikana ndani ya ikulu na wizara hiyo, zimesema kwamba maofisa hao, akiwemo Mkuu wa Itifaki, walifanikiwa kuchota Sh. 3 bilioni “kutoka benki moja nchini.”


      .............................. .............................. ............

      Source: Gazeti la Mwanahalisi:
      Saint Ivuga likes this.
      SASA NIMEAMINI KUWA TANZANIA BILA CCM INAWEZEKANA!!!!, TUANDAE KABURI LA KUIZIKA MWAKA 2015

    2. Miaka 50

    3. #21
      Dabudee's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 30th May 2012
      Posts : 129
      Rep Power : 377
      Likes Received
      13
      Likes Given
      0

      Default Re: Jamani wizi hadi Ikulu!!!

      Hivyo ni vijisenti wanavyochukua kila siku hapa labda walidhulumiana mgawo ndiyo kadili kakajulikana na sisi vipofu

    4. #22
      asigwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st September 2011
      Location : TANDHANIYA
      Posts : 4,389
      Rep Power : 1265
      Likes Received
      1209
      Likes Given
      1253

      Default Re: Jamani wizi hadi Ikulu!!!

      wachakachuzi wamechakachuana..hatari sana hii ila mwizi akiibiwa chake huwa inauma sana

    5. #23
      mizambwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th October 2008
      Posts : 1,439
      Rep Power : 975
      Likes Received
      368
      Likes Given
      1811

      Default Re: Jamani wizi hadi Ikulu!!!

      Quote By mizambwa
      Fedha za safari za JK zaibwa

      MAOFISA watano wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, wamesimamishwa kazi kwa tuhuma za kuiba fedha zilizotengwa “kwa ajili ya safari za rais,” MwanaHALISI limeelezwa”

      .............................. .............................. ............

      Source: Gazeti la Mwanahalisi:
      Lakini kwa kuwasimamisha hawa Dagaa haitasaidia, kwa nini Ofisi ya Ikulu isiwafanyie kazi Sangara!!!

      Au hizi pesa kwa sababu ni za safari ya Raisi ndio maana imewauma sana, mbona ubadhirifu mwingine wanaufumbia macho.

      SERIKALI AMKENI, WIZI HADI CHINI YA KITANDA. BALAA HILI!!!!!!!!!!!!!!!!!!



      MIZAMBWA
      INANIUMA SANA!!!
      SASA NIMEAMINI KUWA TANZANIA BILA CCM INAWEZEKANA!!!!, TUANDAE KABURI LA KUIZIKA MWAKA 2015

    6. #24
      Nyauuu's Avatar
      Member Array
      Join Date : 27th January 2012
      Posts : 26
      Rep Power : 374
      Likes Received
      0
      Likes Given
      4

      Default Re: Jamani wizi hadi Ikulu!!!

      Ndio maaana huko ikulu kila mtu anapatakaeee, pesa zote hizo ni kwasafari tuu au na kwa mambo mengine?. Kwautashi wangu wa haraka bila kufanya utafiti akinifu, tunakoelekea kubaya na tena kubaya sana, halii hii inatisha kwa mtu anaye tafakari kwa kina na kibinaadamu. Hii kwa mfano naweza kusema watoto waingie kwenye chumba cha baba yao na kufungua kabati la kuifadhia pesa za baba yao na kuchukua fedha bila kupata ridhaa kutoka kwa mzazi, hiii ni mbaya machoni na kusikia. Kama wazazi wetu walio aminika nakupewa madaraka makubwa namna hii tena wenye kuhitaji uzalendo wa hali ya juu zaidi wanaweza kufanya hivyo sijui miaka ishirini ijayo kutakua na haligani Tanzania, nafikiri udhalimu wote utafanyika katika nchi hii, itakua zaidi ya pango la wanyang'anyi, fanya utakavyo hakuna wakukuuliza! INASIKITISHA KWELI KWELI!

    7. #25
      Ileje's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th December 2011
      Posts : 1,032
      Rep Power : 581
      Likes Received
      405
      Likes Given
      106

      Default Re: Jamani wizi hadi Ikulu!!!

      Labda tu nikukumbushe ndugu yangu, hizi ni zama za Chukua Chako mapema ili mradi usibabwe!
      Never give up your right!

    8. RukaaJuu Final

    9. #26
      Dotworld's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th August 2011
      Posts : 2,569
      Rep Power : 1113
      Likes Received
      1415
      Likes Given
      1838

      Default Re: Fedha za safari za JK zaibwa

      Hawa wezi ... kama kweli wameiba - basi nimewapenda! .... walikuwa wapi hawa siku zote? - wamefanya jambo la maana ila jamaa aache U-Vasco da Gama wake!

      Walitakiwa waanze mwanzo tu jamaa baada ya kuingia madarakani ... aingekuwa anasafiri kwenda kubembea huko nje!
      Dduhsi itnuhn kose kiri itda ---> 뜻이 있는 곳에 길이 있다

    10. #27
      Mahesabu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th January 2008
      Location : manzese
      Posts : 3,035
      Rep Power : 1319
      Likes Received
      218
      Likes Given
      678

      Default Re: Jamani wizi hadi Ikulu!!!

      hivi ikulu na mambo ya nje ni wizara moja? huu wizi umetokea ikulu au mambo ya nje? (KAMA KWELI UMETOKEA)

    11. #28
      Mwenyeminazi's Avatar
      Member Array
      Join Date : 24th May 2012
      Location : JAMBIANI- ZANZIBAR
      Posts : 59
      Rep Power : 364
      Likes Received
      15
      Likes Given
      23

      Default Re: Fedha za safari za JK zaibwa

      Mtenda hutendwa

    12. #29
      Sheshejr's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th January 2012
      Posts : 433
      Rep Power : 457
      Likes Received
      63
      Likes Given
      1

      Default Re: Jamani wizi hadi Ikulu!!!

      Duh! Billion 3, kwenda kupiga picha na beckham........

    13. #30
      Mpita Njia's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 3rd March 2008
      Posts : 6,703
      Rep Power : 3255
      Likes Received
      984
      Likes Given
      754

      Default Re: Jamani wizi hadi Ikulu!!!

      Quote By Saint Ivuga
      IKulu leo ama kesho itakuja na waraka kukanusha haya madai
      Hata wakikanusha sie ukweli tumeshaujua
      I assume full responsibility for my actions, except the ones that are someone else's fault.

    14. #31
      Sijali's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th September 2010
      Posts : 610
      Rep Power : 571
      Likes Received
      187
      Likes Given
      92

      Default Re: Jamani wizi hadi Ikulu!!!

      NAsikia zilikuwa za safari yake aliyoipanga kwenda Papua New Guinea!

    15. #32
      muonamambo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd September 2010
      Posts : 554
      Rep Power : 552
      Likes Received
      164
      Likes Given
      938

      Default Re: Jamani wizi hadi Ikulu!!!

      Quote By Ringo Edmund
      ukisikia jambazi kapigwa roba na kibaka ndio hapo sasa.
      kaka kweli JF burudani tosha.. nimecheka mpaka mbavu zinataka kukatika... Jambazi kapigwa roba na kibaka.... kweli hii kali... Ngoma draw...

    16. #33
      Bajabiri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st December 2010
      Posts : 9,741
      Rep Power : 2884
      Likes Received
      1115
      Likes Given
      52

      Default

      Quote By mizambwa
      Fedha za safari za JK zaibwa

      MAOFISA watano wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, wamesimamishwa kazi kwa tuhuma za kuiba fedha zilizotengwa “kwa ajili ya safari za rais,” MwanaHALISI limeelezwa.

      Taarifa za uhakika zilizopatikana ndani ya ikulu na wizara hiyo, zimesema kwamba maofisa hao, akiwemo Mkuu wa Itifaki, walifanikiwa kuchota Sh. 3 bilioni “kutoka benki moja nchini.”


      .............................. .............................. ............

      Source: Gazeti la Mwanahalisi:
      inawezekana ni mchezo wa muda mrefu tu.ila kwa sasa wanamhofia CAG

    17. #34
      Bajabiri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st December 2010
      Posts : 9,741
      Rep Power : 2884
      Likes Received
      1115
      Likes Given
      52

      Default

      Quote By muonamambo
      kaka kweli JF burudani tosha.. nimecheka mpaka mbavu zinataka kukatika... Jambazi kapigwa roba na kibaka.... kweli hii kali... Ngoma draw...
      hahahahaa,,,,huyu ametumia lugha ya picha,,,,

    18. #35
      Bajabiri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st December 2010
      Posts : 9,741
      Rep Power : 2884
      Likes Received
      1115
      Likes Given
      52

      Default

      Quote By Mu-sir
      Sio mchezo mkuu hata wao wanaona jinsi 'VASCO DA GAMMA' anavyozichota hadi wanapata hasira.
      hili nalo nimeliwaza
      Mu-sir likes this.

    19. #36
      MAMA POROJO's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd November 2007
      Posts : 4,858
      Rep Power : 1844
      Likes Received
      592
      Likes Given
      413

      Default Re: Jamani wizi hadi Ikulu!!!

      Hazijaibwa Ikulu zimeibwa mambo ya nje na Maafisa ambao sio wa Ikulu bali ni wa wizara hiyo.... mwanahalisi wametumia Ikulu kuuza gazeti lao. Fedha zilikuwa mikononi mwa wizara hiyo na ndio walikuwa walinzi wa fedha hizo sio Ikulu. Let be fair

    20. #37
      Bajabiri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st December 2010
      Posts : 9,741
      Rep Power : 2884
      Likes Received
      1115
      Likes Given
      52

      Default

      Quote By MAKAWANI
      Taarifa zinasema walisimamishwa kazi wiki mbili zilizopita, but kati ya hao waliosimamishwa kuna ambao wapo Nje ya nchi (Brazil) kikazi mpaka sasa. Kuna haja ya kujua namna transaction ya kutoa fedha za matumizi serikalini inavyofanyika coz haiwezekani Katibu wa wizara asijue dili kama hilo! Si ajabu hata TAKUKURU wamepata taarifa hizi kupitia Mwanahalisi!
      hapo kwenye kala,,,hao TAKUKURU ndo washehereshaj wa rushwa bongo

    21. #38
      Fidel80's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd May 2008
      Location : UVUNGUNI
      Posts : 19,064
      Rep Power : 9500
      Likes Received
      3184
      Likes Given
      1232

      Default Re: Jamani wizi hadi Ikulu!!!

      Hii ni hatari wezi wameamua sasa kutafuna hicho hicho kidogo kinacho tengwa kwa ajili ya Ikulu. Sasa inabidi rais ashtuke hapa tafsiri yake ni kwamba rais ameng'atwa alikuwa amesinzia sasa inabidi aamke kukabiliana na hawa panya.
      **^^+..Ukiuza Utumbo usiogope nzi..+^^**
      Chuda Raha
      Email: [email protected]

    22. #39
      Bajabiri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st December 2010
      Posts : 9,741
      Rep Power : 2884
      Likes Received
      1115
      Likes Given
      52

      Default

      Quote By Ringo Edmund
      ukisikia jambazi kapigwa roba na kibaka ndio hapo sasa.
      only manzese

    23. #40
      Bajabiri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st December 2010
      Posts : 9,741
      Rep Power : 2884
      Likes Received
      1115
      Likes Given
      52

      Default

      Quote By Fidel80
      Hii ni hatari wezi wameamua sasa kutafuna hicho hicho kidogo kinacho tengwa kwa ajili ya Ikulu. Sasa inabidi rais ashtuke hapa tafsiri yake ni kwamba rais ameng'atwa alikuwa amesinzia sasa inabidi aamke kukabiliana na hawa panya.
      ye kang'atwa sie tunatafunwa

    Page 2 of 5 FirstFirst 1234 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...