Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Mkapa na mkewe wanahusikaje????

    Report Post
    Results 1 to 11 of 11
    1. #1
      ngoshwe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st March 2009
      Location : everywhere
      Posts : 3,688
      Rep Power : 1356
      Likes Received
      570
      Likes Given
      769

      Lightbulb Mkapa na mkewe wanahusikaje????

      VIGOGO WAASISI WA FREEMASONS NCHINI TANZANIA NA KUENEA KWA U FREEMASONS KATIKA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI...

      Januari 2005 nchini Isarel ‘walipata’ kiongozi mpya wa Freemasons, Chaim Henry Gehl, ambapo sherehe yao ilifanywa katika Hoteli ya Sheraton iliyopo Herzlia.

      Wageni walitokana Uingereza, Ujerumani,Uholanzi, Austria, Luxemborg,Romania,Italia,Bulga ria na China. Kiongozi huyo alikuwa akikabidhiwa madaraka kutoka kwa Sami Raphaeli, mhasibu mstaafu wa benki mstaafu wa hekalu la Caspi lenye namba 56 lililopo mjini Haifa. Huyu cheo chake cha utendaji mkubwa katika freemasons ni 33rd degree alichotunukiwa mwaka 2003.

      Naam katika kuselebuka huko ndipo wakajigamba kwamba mnamo Oktoba 9, 2004 kulifanywa sherehe ya kutimiza miaka 100 ya Freemasons katika eneo la afrika mashariki.

      Hapa kwetu Tanzania haikusemwa sana, ingawaje Jayantilal Kashavji Chande , au Sir Andy Chande katika mahojiano yake na mwandishi wa Ernest C. Ambali(The Guardian, Oktoba 8, 2004) haikuelezwa mahali patakapofanyiwa sherehe hizo.

      Katika mahojiano yale Sir Andy Chande alieleza kuwa mgeni rasmi alikuwa Rais Benjamini Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa. Pia kulikuwapo na wafanyabiashara wakubwa,wanadiplomasia,mawazir i n.k

      Sir Andy Chande akiwa nchini India katika mji wa Chennai kuzindia hekalu lao East Star alieleza kwamba ‘marais wawili wa kwanza wa Tanzania (hawakuwa freemasons) lakini walifahamu ni nini’. Je unahitaji akili gani kuwatambua marais wako? Unahitaji Mungu akuongezee ubongo gani ili utambue kuwa ni akina nani wanaozungumziwa? Ndiyo maana nasema tatizo siyo kasi uliyonayo bali kule uendako!

      Tukubaliane, kuwa kwa kiasi Fulani inajionyesha ikulu zetu zimezingirwa na Freemasons. Na katika mahojiano hayo hakusemwi ni Dar es Salaam eneo gani ambao sherehe hiyo ilifanywa, lakini katika kumsimika Chaim Henry Gehl (kule Israel)ilitajwa Hoteli ya Royal Palm ambapo wageni 350 walihudhuria.

      Katika miaka hii 100(108) ikaelezwa kuwa Freemasons walianza kujenga hekalu lao la kwanza la Harmony namba 3084 mwaka 1904 mjini Zanzibar.

      Katika uzinduzi wa jengo hilo Zanzibar inaelezwa Rais Theodore Roosecelt alikuwapo, Duke of York(ambaye baadaye alikuja kufahamika kama Mfalme George VI)na Duke of Connaugh na Strathean walikuwepo pia.

      Ukimsoma mwanahistoria Robert Muchembled(katika; A History of the Devil) ameorodhesha majina yenye kuabudiwa kwa ibada za kishetani lakini tunayathamini na kupofushwa nayo. Nami kwa matendo wanayoyatenda hapa duniani sina soni kusimamia hoja yangu kuwa ni ubatili mtupu waufanyao).

      Naweka orodha ya mambo wanayojigamba Freemasons kujinasibu kwa miaka yao 100(108) ndani ya afrika mashariki huku wakibainisha kuwa makao makuu ya eneo zima ni barabara ya Nyerere, jijini Nairobi(soma;The Guardian, 0ktoba 8, 2004). Katika mahojiano hayo ndipo kukaorodheshwa ‘misaada’(ibilisi?), eti Kindwitwi Leprosy Centre(Utete), Mama Theresa Home for the children, shule ya vipofu(Pongwe, jijini Tanga), na Leprosy Projects (jijini Arusha).

      Montessori School (jijini Mwanza), Mnazi Mmoja Hospitali (iliyopo Zanzibar), Missionaries of Charity, shule ya walemavu (Buguruni, jijini Dar es salaam), wamejenga madarasa shule ya msingi Kinondoni(Dar es salaam) na kutoa pauni za Uingereza 15,000 mnamo mwaka 1996 katika ajali ya Mv Bukoba. Ukiangalia ‘misaada’ yao unapumbazika kuwa ni hisani ya hali juu

      Na tatizo kubwa linalotukabili, ni utegemezi ambao huzaa utumwa na kukengeuka akili zetu. Tunaishi huru mitaani lakini tupo gerezani, tunakwenda kasi sana lakini hatuangalii tunakokwenda, hatutaki kujua nini hiki tunachosaidiwa?

      Ni mungu gani aliruhusu mashoga na wasagaji wasimame madhabauni/altareni? Naam ndivyo tunavyouvaa uovu, ndivyo yanakotakiwa Uganda Museven aliruhusu hali hiyo. Na wenyewe husingizia haki za kiraia au dini za kiraia, inaeleweka kuwa Marekani imejngwa na Freemasons kwani wanajieleza kwa mengi tu. Je nasi tuwe na akina Jack Straw wetu bungeni? Tuvuje jasho kwa kupitisha sheria za kuruhusu mashoga, wasagaji halafu tuseme mungu anaruhusu hayo?

      VIGOGO WA FREEMASONS KATIKA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI NA AFRIKA KWA UJUMLA
      Sir.Andy chande ajitokeza na kusema kuwa yeye ni mmoja wa freemason afrika mashariki .Pia hakuwa nyuma kuwataja viongozi wanaohusika kwenye chama hicho akiwemo rais mstaafu wa awamu ya tatu Mh.Benjamin Mkapa .

      Pia alimtaja steven kanumba, msanii nguli hapa Tanzania,Baba Riz raisi wa Tz,lowassa,AY,Mr. Blue,na wengineo wengi. Pia hakusita kumtaja yoweri museveni raisi wa uganda,Obama raisi wa marekani,George Bush,Bill Clinton,George washington,Elizabeth malkia wa uingereza na wengineo wengi.

      Sir.Andy Chande alitaja yeye kwenye chama hicho ni Grand District Master akiwa amebobea kwa miaka 18 iliyopita.

      Alipoulizwa makao yao makuu hapa Tanzania yapo wapi alijibu bila kusita "we are located at sokoine Drive behind kilimanjaro hotel here in Dar es salaam" (tunapatikana barabara ya sokoine nyuma ya hoteli ya kilimanjaro).

      Pia Sir. Andy alisema wananyaraka zote za kumiliki jengo hilo toka serikalini. Aliongezea kuwa vikao vyao hufanyika kwa siri nyakati za usiku na mtu akishaingia kwenye chama hiko hatotoka tena

      TUKUTANE KATIKA SEHEMU YA TATU AMBAPO TUTAZUNGUMZIA JUU YA MALENGO YA FREEMASONS NA UJIO WA "NEW WORLD ORDER".......,
      ASANTENI

      VIGOGO WAASISI WA FREEMASONS NCHINI TANZANIA NA KUENEA KWA U FREEMASONS KATIKA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI...2 | MPEKUZI

      "Mnataka kujua nini? Sikuzaliwa ili nipate nishani... "Please don't make it an issue, acheni suala hilo ni uchonganishi, acheni," - Malecela.

    2. RukaaJuu Final

    3. #2
      Lu-ma-ga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st September 2010
      Posts : 1,837
      Rep Power : 811
      Likes Received
      519
      Likes Given
      8

      Default Re: Mkapa na mkewe wanahusikaje????

      Quote By ngoshwe

      Bora umetuweka huru na huru tutakuwa kwa jinala yesu

    4. #3
      Mimibaba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st July 2009
      Posts : 3,179
      Rep Power : 1534
      Likes Received
      761
      Likes Given
      593

      Maelezo yako yana mantiki ila kwa sababu ni mambo ya siri ukweli wake ni wa kutilia shaka; ila yana faida kama taarifa
      Ukweli utakuweka huru daima

    5. #4
      NATA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th May 2007
      Posts : 4,255
      Rep Power : 8417
      Likes Received
      1134
      Likes Given
      390

      Default Re: Mkapa na mkewe wanahusikaje????

      Akina mr blue nao ni vigogo .lol!

    6. #5
      Sniper's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th March 2008
      Posts : 1,339
      Rep Power : 839
      Likes Received
      398
      Likes Given
      429

      Default Re: Mkapa na mkewe wanahusikaje????

      source?
      Kama kuoga ni usafi kwanini taulo linachafuka?

    7. Miaka 50

    8. #6
      POMPO's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th March 2011
      Posts : 3,002
      Rep Power : 1184
      Likes Received
      1107
      Likes Given
      637

      Default Re: Mkapa na mkewe wanahusikaje????

      Hii siyo habari ya siasa pela huku kwa wahusika ili sie tuendelee kuwaelimisha raia.
      "Tumefika hapa kutokana na UDHAIFU wa Rais Jakaya Kikwete.." J.J. Mnyika, Bungeni,June,2012.

    9. #7
      mgt software's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st November 2010
      Posts : 1,750
      Rep Power : 784
      Likes Received
      140
      Likes Given
      201

      Default Re: Mkapa na mkewe wanahusikaje????

      hakuna cha free mason hapa kwa kuwa wote ni maskini, freemason ili wameje, huu ni upotoshaji mkubwa.
      "Mtoto wa Maskini Hachagui Malezi, Tanganyika siyo Masikini Masikini ni wewe Unayehonga Haki yako Kwa Mafisadi" Bamugileki

    10. #8
      Gagnija's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th April 2006
      Posts : 2,064
      Rep Power : 1081
      Likes Received
      667
      Likes Given
      466

      Default Re: Mkapa na mkewe wanahusikaje????

      Huo mwaka unaodaiwa kuzinduliwa jengo la Freemasons Zanzibar kulikuwa hakuna usafiri wa ndege duniani. Huyo rais Roosevelt alitumia ngalawa kuja Zanzibar?
      If you are neutral in situations of injustice, you have chosen the side of the oppressor. Tutu

    11. #9
      nngu007's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 2nd August 2010
      Posts : 11,236
      Rep Power : 3562
      Likes Received
      3062
      Likes Given
      462

      Default Re: Mkapa na mkewe wanahusikaje????

      Freemason ni nini? Na Hii ni Habari ya Kisiasa kweli? au ni kikundi au CULT Inayoamini kikwake, Sidhani ina Manufaa hata kidogo kwenye JUKWAA LA SIASA

    12. #10
      JacksonMichael's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd March 2012
      Posts : 331
      Rep Power : 427
      Likes Received
      61
      Likes Given
      37

      Default Re: Mkapa na mkewe wanahusikaje????

      Kwani mke wa mkapa kabila gani?

    13. #11
      Tume ya Katiba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th April 2012
      Location : Chumbuni-Zanzibar
      Posts : 2,688
      Rep Power : 0
      Likes Received
      542
      Likes Given
      273

      Default Re: Mkapa na mkewe wanahusikaje????

      Quote By JacksonMichael
      Kwani mke wa mkapa kabila gani?
      Mchaga! kisha akakabidhiwa ikulu!

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...