Re: Mwakyembe: Sikusinzia...

By
VUTA-NKUVUTE
Waziri wa Uchunguzi Dr.Harrison Mwakyembe amesema kuwa hakupata kusinzia njia nzima,wakati akisafiri kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma kwa treni, kwakuwa anafanya utafiti wake.Waziri Mwakyembe amesema kuwa hakuweza kusinzia kwakuwa alihitaji kujiridhisha na hali ya usafiri wa treni na pia kujionea hali halisi ya wananchi wa Tanzania sehemu ambapo treni linapita.'Nimejifunza mengi sana;ya Wizara yangu na Wizara nyinginezo' alisema Dr.Mwakyembe. 'Nitatumia niliyoyaona kwa maslahi ya Taifa' aliongeza.
Chanzo: Mimi mwenyewe niliyeambatana naye kwenda Dodoma kwa treni...
Ni wizara mpya nini?? maana zumbukuku hakawii kulala na kuamka na kuanzisha wizara mpya..
Watu wakimya wamejaliwa busara, ufahamu na midomo inayonuka!
Follow Us Here