Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Dr. Slaa, wewe unanisaidiaje ktk matatizo haya yanayonipata mwanachama wako?

    Report Post
    Page 1 of 3 123 LastLast
    Results 1 to 20 of 41
    1. #1
      Mikael P Aweda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th December 2010
      Posts : 1,836
      Rep Power : 6548
      Likes Received
      2436
      Likes Given
      2215

      Default Dr. Slaa, wewe unanisaidiaje ktk matatizo haya yanayonipata mwanachama wako?

      Nimeanza kazi ya kuajiriwa miaka 7 iliyopita. Jana jioni nikakwama kwenye foleni masaa mengi sana nikafika nyumbani saa 3 usiku. nikaanza kuwaza mgawanyo wa masaa yangu baada ya kukaa kwenye foleni. Nikaanza kutafakari kama ifuatavyo:

      MUDA NILIOKA NJIANI.
      Kwa siku napoteza masaa 4; Asubuhi 2 na jioni 2. Hii inatokana na foleni. Kama siyo foleni nisingetumia muda huo. Siku 6 za wiki natumia masaa hayo kwenda kazin na kurudi, kwa kuwa nafanya hadi jumamosi. Ni jumapili tu ndo siendi kazini.

      Kwa hiyo, Ktk siku 30 nafanya kazi siku 26 za mwezi ( toa jumapili tu). Hivyo, masaa 4 kwa siku * 26 siku za mwezi ni sawa masaa 104 kwa mwezi zinapotea njiani.

      Kwa mtazamo huo huo, Masaa 104 kwa mwezi ni sawa na masaa 1248 kwa mwaka.

      Kwa mantiki hiyo, kwa miaka 7 niliyoajiriwa,muda niliokaa kwenye foleni ni swa na masaa 1248 (ya mwaka * miaka 7 = masaa 8736 kwa miaka 7.

      Baada ya hapo nikataka kujua masaa haya 8736 ni miaka mingapi. Nikagundua kuwa masaa 8736 nikagawa kwa 24 (masaa kwa siku) ninapata siku 364. Mwaka una siku 365/366.

      Hiyo ni kusema Dr Slaa nimekaa njiani (ndani ya daladala + gari binafsi) kwenda kazini au kurudi nyumbani muda wa mwaka moja kasoro siku moja ( 364). Je, una mawazo mapya ya kunisaidia?

      MUDA NILITUMIA OFISI
      Kwa siku nafanya kazi masaa 8 (Mara mbili ya muda niliokaa njiani) Kwa hiyo kwa mwezi natumia masaa 208 Ofisini (8 ya siku * siku 26 za mwezi toa jumapili). Kwa mwaka natumia masaa 2496 ofisini. Kwa miaka 7 nimetumia masaa 17,472 ofisini. Nikigawa kwa saa 24 ( idadi ya maasa kwa siku) ninapata siku 728 ambazo ni wastani wa miaka 2.

      Kwa hiyo ndani miaka 7. Nimefanya kazi miaka 2 nimekaa njiani (dala dala au gari binafsi) mwaka 1 . Masaa yaliyobaki ni ya kulala, kupumpizika kazi nyinginezo ikiwepo kujenga Chadema nk.

      Je, mgawanyo huu unaweza kunitoa ktk umaskini na kuniletea Maendeleo nikawa na malori na vituo vya mafuta Rizi1?. Mimi naona hapana ndio maana nihitaji ushauri wako.

      Hoja yangu ni kuwa siwezi kukaa barabarani masaa manne (Mwaka1 ktk miaka 7) kila siku halafu nikategemea maendelea. Ninahitaji mawazo mapya ya kunitoa hapa. Dr Slaa unanishaurije?

      Gharama.
      Rafiki yangu anakaa Kibamba na anafanya kazi mjini. Anatumia Tsh 7,000 Kila siku kama gharama ya ziada ya foleni. Bila foleni angetumia 10,000 kwa gari yake ndogo. Lakini kutokana na foleni kwa siku anatumia 17,000/=

      Ziada ya 7,000/= anayoingia rafiki yangu ni hasara ya Tsh ngapi ktk miaka 11 aliyofanya kazi? Je, WanaDar es Salaam wote wanapata hasara ya muda + pesa ya kiasi gani kwa siku, mwezi na mwaka?

      Je,Dr Slaa ungenisaidiaje kama ungekuwa umeingia ikulu 2010? Na kama umechakachuliwa kura unanipa ushauri gani? Maana hata muda wa Kufanya kazi za Chadema niko bara barani.

      Mawazo yangu tu yaliyonikuta kwenye foleni ya Jana.
      Mikael P Aweda 0784 583 330
      Elimu kwanza

    2. FemaTV & Radio

    3. FJM
      #2
      FJM's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 7,172
      Rep Power : 2568
      Likes Received
      5321
      Likes Given
      4587

      Default Re: Dr Slaa, unanisaidiaje mwanachama wako ktk matatizo haya yanayonisibu? Nimechoka sana.

      Mikael, sijaelewa kwanini umeelekeza hili swali kwa Dr Slaa?

    4. #3
      Mikael P Aweda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th December 2010
      Posts : 1,836
      Rep Power : 6548
      Likes Received
      2436
      Likes Given
      2215

      Default Re: Dr Slaa, unanisaidiaje mwanachama wako ktk matatizo haya yanayonisibu? Nimechoka sana.

      FJM,
      Kwa sababu sina matumaini yo yote kwa jk na serikali yake. Sasa hata kama Dr hayupo ikulu nataka kujua mawazo yake. Na kama inawezekana tufanyie kazi hata kwa njia ya mikutano ya hadhara na hoja za wabunge wetu. Kama haiwezekani basi tuombe Mungu mpaka 2015 tutakapopata serikali mpya ambayo itaniondolea matatizo yangu. Nimechoka na foleni.
      Jasusi likes this.
      Mikael P Aweda 0784 583 330
      Elimu kwanza

    5. #4
      Mlangaja's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd November 2010
      Posts : 494
      Rep Power : 532
      Likes Received
      92
      Likes Given
      73

      Default Re: Dr Slaa, unanisaidiaje mwanachama wako ktk matatizo haya yanayonisibu? Nimechoka sana.

      Swali zuri sana. Dr Slaa kama kiongozi wangu wa moyoni ningependa kuona ni kwa jinsi gani unaweza kuitoa nchi hii katika taabu hii.

    6. #5
      Black Bat's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th October 2007
      Location : Abbottabad
      Posts : 2,479
      Rep Power : 9580
      Likes Received
      682
      Likes Given
      575

      Default Re: Dr Slaa, unanisaidiaje mwanachama wako ktk matatizo haya yanayonisibu? Nimechoka sana.

      hawa watu wa Daresalamu wanaosota kwenye foleni ndio hao kila siku wanaikumbatia ccm iweje leo dr Slaa akujibie? yeye alichosema ni kuwamkimchagua kikwete ni janga na mtajuta sasa hivi mnaanza kujuta munamuuliza uliza nini tena . mmelikoroga linyweni wenyewe , na wewe AWEDA
      ukipenda niite double biiiiiii!! tchao

    7. Miaka 50

    8. #6
      Mikael P Aweda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th December 2010
      Posts : 1,836
      Rep Power : 6548
      Likes Received
      2436
      Likes Given
      2215

      Default re: Dr. Slaa, wewe unanisaidiaje ktk matatizo haya yanayonipata mwanachama wako?

      Na ifahamike kuwa nikikokotoa hasara inayotokana na muda tunaopoteza njiani sote tuanaofanya kazi ktk jiji la Dsm, Ni sawa na kujiingiza ktk umasikini usio na sababu kwa makusudi. Huku tunasherehekea miaka 50 ya uhuru kwa kutumia BIL karibu 70. Tafakari.
      English Learner likes this.
      Mikael P Aweda 0784 583 330
      Elimu kwanza

    9. #7
      Negotiator's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 9th August 2010
      Posts : 301
      Rep Power : 510
      Likes Received
      36
      Likes Given
      33

      Default re: Dr. Slaa, wewe unanisaidiaje ktk matatizo haya yanayonipata mwanachama wako?

      kwa hiyo kama wengine tuna majibu tubaki nayo kwa kua swali ni kwa Dokta Slaa? haya mkuu ngoja tumsubiri dokta
      MKALIKENYA likes this.
      '

    10. #8
      Sangarara's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th September 2011
      Posts : 3,314
      Rep Power : 1199
      Likes Received
      1183
      Likes Given
      1560

      Default re: Dr. Slaa, wewe unanisaidiaje ktk matatizo haya yanayonipata mwanachama wako?

      Hizo hesabu zako zimenichanganya sana, nimeingiza facts zangu kwenye hiyo equation yako nakugundua kwamba, mimi katika hiyo miaka saba nimefanya kazi miaka miwili na nusu, na nimepoteza barabarani mwaka mmoja na miezi tisa. Naendelea kufanya analysis kuona kama mimi ndio chanzo cha tatizo au La. I am real very shocked.

    11. #9
      Mikael P Aweda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th December 2010
      Posts : 1,836
      Rep Power : 6548
      Likes Received
      2436
      Likes Given
      2215

      Default Re: Dr Slaa, unanisaidiaje mwanachama wako ktk matatizo haya yanayonisibu? Nimechoka sana.

      Quote By Black Bat
      hawa watu wa Daresalamu wanaosota kwenye foleni ndio hao kila siku wanaikumbatia ccm iweje leo dr Slaa akujibie? yeye alichosema ni kuwamkimchagua kikwete ni janga na mtajuta sasa hivi mnaanza kujuta munamuuliza uliza nini tena . mmelikoroga linyweni wenyewe , na wewe AWEDA
      Black Bat,
      sijilaumu kwa sababu sijapigia kuraccm hata jimbo nililokuwa naliogoza kama mkiti wa Jimbo oct 2010 tuliiondoa ccm. Hata hivyo, nalinywa kwa sababu wanadsm wenzangu wameichagua ccm.
      Mikael P Aweda 0784 583 330
      Elimu kwanza

    12. #10
      Black Bat's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th October 2007
      Location : Abbottabad
      Posts : 2,479
      Rep Power : 9580
      Likes Received
      682
      Likes Given
      575

      Default Re: Dr Slaa, unanisaidiaje mwanachama wako ktk matatizo haya yanayonisibu? Nimechoka sana.

      Quote By Mikael P Aweda
      Black Bat,
      sijilaumu kwa sababu sijapigia kuraccm hata jimbo nililokuwa naliogoza kama mkiti wa Jimbo oct 2010 tuliiondoa ccm. Hata hivyo, nalinywa kwa sababu wanadsm wenzangu wameichagua ccm.
      natambaua sana mchango wako ..wengi wape walichokitaka wanakipata sasa hivi
      ukipenda niite double biiiiiii!! tchao

    13. #11
      POMPO's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th March 2011
      Posts : 2,963
      Rep Power : 1176
      Likes Received
      1093
      Likes Given
      628

      Default Re: Dr. Slaa, wewe unanisaidiaje ktk matatizo haya yanayonipata mwanachama wako?

      Aweda, Dr na CDM hawakusanyi Kodi, elekeza swali hili kwa JJK na Magufuli, unless otherwise liwe swali la Jamvin, Dr, na tem mzima iko kwenye mazishi ya kamanda wetu BOB. so siyo issue kuelekeza kwa Dr.
      Black Bat likes this.
      "Tumefika hapa kutokana na UDHAIFU wa Rais Jakaya Kikwete.." J.J. Mnyika, Bungeni,June,2012.

    14. #12
      Angel Msoffe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st June 2011
      Posts : 6,266
      Rep Power : 1826
      Likes Received
      1397
      Likes Given
      0

      Default Re: Dr. Slaa, wewe unanisaidiaje ktk matatizo haya yanayonipata mwanachama wako?

      Ccm ccm, ccm no. 1 MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA

    15. #13
      Andrew Kellei's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 11th September 2009
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 301
      Rep Power : 553
      Likes Received
      70
      Likes Given
      48

      Default Re: Dr. Slaa, wewe unanisaidiaje ktk matatizo haya yanayonipata mwanachama wako?

      Mkuu Michael,
      Katika ukokotoaji wako umesahau kupigia hasara unayopata kwa kutumia gari katika barabara mbovu na zenye mashimo.
      Ukipiga gharama ya spea na matengenezo unapata kwa mwaka unafanyia kazi gari yako badala ya maendeleo yako na familia yako.
      Invisible likes this.
      WHATEVER YOU DO YOU HAVE TO KEEP MOVING FOWARD,BUT SHOULD BE DONE IN LOVE.

    16. #14
      Mbalinga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th April 2010
      Posts : 653
      Rep Power : 593
      Likes Received
      130
      Likes Given
      0

      Default Re: Dr. Slaa, wewe unanisaidiaje ktk matatizo haya yanayonipata mwanachama wako?

      Kwa nini suala lako usilielekeze kwa Waziri kivuli wa uchukuzi kutoka kambi rasmi ya upinzani Bungeni? Rais Dr Slaa ni mtu mkubwa sana.
      Mikael P Aweda likes this.

    17. #15
      Kasimba G's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th January 2011
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 852
      Rep Power : 593
      Likes Received
      252
      Likes Given
      265

      Default Re: Dr. Slaa, wewe unanisaidiaje ktk matatizo haya yanayonipata mwanachama wako?

      Ideal nzuri ila hata dr akijibu hilo swali la kufirika majibu yake nayo yatakuwa ya kufikirika mi naona asijibu tuu!

    18. #16
      Starn's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th October 2011
      Posts : 376
      Rep Power : 524
      Likes Received
      51
      Likes Given
      42

      Default Re: Dr. Slaa, wewe unanisaidiaje ktk matatizo haya yanayonipata mwanachama wako?

      Hawezi kukusaidia kwasababu akiingia ikulu hapo itabidi uongeze saa lingine la kusubiri msafara wake upite.

      Mambo yatakuwa ni yale yale.
      Mikael P Aweda likes this.

    19. #17
      Starn's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th October 2011
      Posts : 376
      Rep Power : 524
      Likes Received
      51
      Likes Given
      42

      Default Re: Dr. Slaa, wewe unanisaidiaje ktk matatizo haya yanayonipata mwanachama wako?

      Quote By Mbalinga
      Kwa nini suala lako usilielekeze kwa Waziri kivuli wa uchukuzi kutoka kambi rasmi ya upinzani Bungeni? Rais Dr Slaa ni mtu mkubwa sana.
      Kabisa bora kabisa akae kimya

    20. #18
      Ileje's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th December 2011
      Posts : 1,025
      Rep Power : 580
      Likes Received
      399
      Likes Given
      106

      Default Re: Dr. Slaa, wewe unanisaidiaje ktk matatizo haya yanayonipata mwanachama wako?

      Kwanza wewe unahitajika kumsaidia Dr. Slaa kutoa elimu ya uraia kwa wananchi na kufungua matawi ya CHADEMA po pote ulipo.
      Mikael P Aweda likes this.
      Never give up your right!

    21. #19
      Mundali's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th September 2010
      Posts : 689
      Rep Power : 643
      Likes Received
      144
      Likes Given
      77

      Default Re: Dr. Slaa, wewe unanisaidiaje ktk matatizo haya yanayonipata mwanachama wako?

      Jibu ni rahisi mno,

      Ondoa mabingwa wa statistics na analysis, all 50 years leading imitatively. Yametufanya watanzania tuonekane imbecile mbele ya mataifa mengine kwa ajili ya kuombaomba kila kukicha. Yanajisifia kujenga km 11,000 za barabara, ati ndio achievement ya kujisifia, 90% ya ujenzi huo ni mikopo na misaada watakayoilipa watoto zetu.

      Miaka sita ya JK deni la taifa trilioni 13, akimaliza kipindi chake itakuwa balaa. Ondoa magamba nchi isonge mbele.
      Mikael P Aweda likes this.

    22. #20
      Mikael P Aweda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th December 2010
      Posts : 1,836
      Rep Power : 6548
      Likes Received
      2436
      Likes Given
      2215

      Default Re: Dr. Slaa, wewe unanisaidiaje ktk matatizo haya yanayonipata mwanachama wako?

      Quote By POMPO
      Aweda, Dr na CDM hawakusanyi Kodi, elekeza swali hili kwa JJK na Magufuli, unless otherwise liwe swali la Jamvin, Dr, na tem mzima iko kwenye mazishi ya kamanda wetu BOB. so siyo issue kuelekeza kwa Dr.
      Dr Slaa anaweza kujibu au asijibu. Majibu yako na wengine ndo lengo la makala yangu. Ingewa personal kwa Dr Slaa ningempigia simu au kumtumia yeye binafsi. Mjadala unaendelea kwenye uzi huu ndio lengo lenyewe. Kufikirisha watu na kuwaamsha ili wajue kwa undani hasara ya foleni.
      jouneGwalu likes this.
      Mikael P Aweda 0784 583 330
      Elimu kwanza

    Page 1 of 3 123 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...