Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Kimeo kipya cha JK China balozi aliyelala usingizi mpaka sasa

    Report Post
    Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast
    Results 21 to 40 of 53
    1. #1
      nderingosha's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th March 2011
      Posts : 820
      Rep Power : 1449
      Likes Received
      440
      Likes Given
      119

      Default Kimeo kipya cha JK China balozi aliyelala usingizi mpaka sasa

      • Kama tulivyotabiri baada ya uteuzi wa mchovu Philip Marmo kuwa balozi china….tayari dalili za udhaifu wake kama balozi wa TZ uchina zimeshaanza kujitokeza kwa kasi ya ajabu…..China..nchi yenye uchumi imara na wa kasi zaidi duniani….nchi yenye watu wajanja wajanja ambao wanatumia sana udhaifu wa wengine kujinufaisha…iwe kiuchumi kama nchi au hata kibinfsi…kila mtu kwa nafasi yake…Kwa muktadha huu…wengi walitegemea balozi wetu kule uchina awe mtu makini na aweze kulinda interests za TZ na watu wake kule uchina….jambo ambalo linaonekana kuwa bado ni kitendawili kwa muda mfupi tu huyu jamaa aliokaa kule china…Nasema hivi kwani watu makini lazima wafatilie nyendo za utendaji wa ubalozi wetu kule china….hasa ikizingatiwa kuwa kwasasa TZ imekuwa inafanya deals nyingi za kimagumashi kule china…rejea mikataba tata….manunuzi tata….biashara tata….etc etc ..Mambo (indicators) machache yanayonifanya nianze kuhoji utendaji wa huyu balozi kule uchina ni kama ifuatavyo……

      • Tangu amefika uchina…balozi Marmo mpaka sasa hajakutana wala angalau na watanzania walioko uchina….wawe wanafunzi au wafanya biashara…..sasa huyu anamsubiri rais JK aende uchina ndio akutane na watanzania au vipi???...yeye balozi anawakilisha interests za nani uchina kama mpaka sasa ameshindwa hata angalau kuitisha mkutano na watanzania????....nina taarifa kuwa kuna jitihada za wanafunzi kule uchina za kukutana na balozi lakini hakuna initiative yoyote toka kwa balozi mwenyewe ya kukutana na wanafunzi…..haswa ikizingitiwa kuwa yeye ni mgeni china na labda kuna mengi ya msingi ya kuisaidia TZ na pia kusaidia utendaji wake angeweza kujifunza toka kwa wanfunzi ambao ndio msingi mkubwa wa maendeleo ya TZ…..China ina wanafunzi wengi saana watanzania kuliko sehemu yoyote duniani…..hawa ni nguvu kazi ya kuangalia sana…na ni hili ni jukumu la balozi……

      • Tayari kuna taarifa(hazijathibiishwa)kuwa kuna wafanyabiashara wamepigwa vibaya na wachina hivi majuzi kule Guanzhou…mji ambao watanzania wengi wafanyabiashara hushukia na kuchukua mzigo….biashara kubwa kule kariakoo hutoka uchina…haswa katika mji huu wa Guanzhou…..sasa kama kuna taarifa ya wafanyabiashara kupigwa kule hii si nzuri na tungetegemea kusikia tamko la ubalozi wa TZ kule uchina…lakini kinyume chake tunasikia habari hizi kwenye magazeti..tena ya udaku….wakati kuna uwezekano kweli kuwa watanzania hawa wemepigwa……..soma habari hii (pamoja na kuwa yaweza kuwa udaku): WABONGO WALA KICHAPO CHINA - Global Publishers

      • Kuna taarifa za wanafunzi wa kitanzania uchina kupata shida kubwa ku access mtandao wa bodi ya mikopo TZ..yaani OLAS….jambo lililopelekea wanafunzi kulalamika sana na hata kutuma habari bodi ya mikopo moja kwa moja….mpaka ikabidi wanafunzi wasaidiane wao kwa wao kwa kumtumia mwenzao ambaye ana direct contact na bodi ya mikopo…haya yoote yamefanyika wakati ubalozi wa TZ kule uchina upo….Sasa ubalozi wa TZ unawakilisha interests za nani???kama jambo kama hili nalo wanafunzi wameona ubalozi ni helpless mpaka wakachukua jukumu wenyewe (kwa contacts zao)kuweza kusaidiana!!.......Kama balozi angekuwa ameonana na wanafunzi jambo hili angekuwa ameabiwa na kulifanyia kazi kwa wakati…kwani halijatokea mara moja kwa wanafunzi hawa….na matokeo yake siku zote ni kwa wanafunzi hawa kucheleweshewa fedha zao za mikopo toka bodi…..

      Kwa hizi indicators chache nilizotaja…nashawishika kusema kuwa balozi Marmo bado amelala….na ni wakati sasa kwake kuamka na kuchapa kazi aliyotumwa..kwa kuanza na kushughulikia kero kadhaa zilizopo…pamoja na kulinda maslahi ya TZ na watanzania kule uchina…..vinginevyo…hatutamwam ini kuwa anawakilisha interests za TZ uchina…..nawasilisha…
      ....real change begins with PEOPLE.......

    2. Miaka 50

    3. #21
      Bondpost's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th October 2011
      Posts : 1,090
      Rep Power : 602
      Likes Received
      246
      Likes Given
      540

      Default

      Quote By kindafu
      Kama mtu hajapitia Chuo chochote cha Diplomasia halafu anatumwa kufanya kazi za ki-diplomasia kwenye nchi kama China ambayo inajulikana duniani kote unatarajia nini? Nafikiri wa kulaumiwa zaidi ni huyo aliyewateua!
      Nadhani wizara ya mambo ya nje ndiyo inahusika zaidi hapa, unajua zamani ulikuwa unasikia mtu ni diplomat yani walikuwa wanaogopwa maana walikuwa ni watu wenye heshima kubwa sana kwenye jamii. Nadhani sasa kuna haja ya kuangalia upya ajira ya ubalozi maana asidhani kateuliwa kwenda kuomba misaada tu au kuiuza nchi kwa wawekezaji, ubalozi ni zaidi ya hapo, kuna mambo ya kijeshi, mawasiliano, elimu, biashara nk. Mtu anashindwa hata kuandaa students exchange program? Anashindwa kuandaa tour ya vijana kwenda kuangalia mambo mbalimbali ya uchumi na teknology? Hata kutoa tamko fulani hatusikii? Sasa hawa ni wanakuwa ni wanasiasa au ma-diplomats?

    4. #22
      Bondpost's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th October 2011
      Posts : 1,090
      Rep Power : 602
      Likes Received
      246
      Likes Given
      540

      Default

      Quote By zomba
      Nderingosha, You simply do not understand what diplomacy is, I feel pity for you. A diplomat can only facilitate and advose you on the best ways to conduct your business in China if you register to him and go with particular requests, A diplomat can never come and rescue you when you are not even known to exist in China. You simply do not know what diplomacy is. You screw up in China you pay for it not the Ambassador nor The President. Bu diplomasinin ne oldu?unu bilmek çal??mas?n? durdurmak
      Lets be realistic, wewe unaweza ukawa ndugu yake marmo for sure, ila diplomacy na kazi za diplomats huzijui. Endelea ku-quote lugha!

    5. awp
      #23
      awp's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th June 2012
      Location : Around the Corner
      Posts : 923
      Rep Power : 535
      Likes Received
      273
      Likes Given
      1006

      Default Re: …..Kimeo kipya cha JK China…….balozi aliyelala usingizi mpaka sasa…..

      hamna mtu anayekataa chakula, kabadilishiwa sahani tu
      "Look Deep into Nature and then you will Understand Everything Better" - ALBERT Einstein

    6. #24
      Utingo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th December 2009
      Location : Lyazumbi
      Posts : 4,428
      Rep Power : 1383
      Likes Received
      593
      Likes Given
      405

      Default Re: …..Kimeo kipya cha JK China…….balozi aliyelala usingizi mpaka sasa…..

      Habari njema kwake ni kuwa JK na CCM yao doesn't care
      Without justice – Government is nothing but a band of robbers

    7. #25
      Bondpost's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th October 2011
      Posts : 1,090
      Rep Power : 602
      Likes Received
      246
      Likes Given
      540

      Default

      Quote By awp
      hamna mtu anayekataa chakula, kabadilishiwa sahani tu
      Yeah you are right.

    8. RukaaJuu Final

    9. #26
      nderingosha's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th March 2011
      Posts : 820
      Rep Power : 1449
      Likes Received
      440
      Likes Given
      119

      Default Re: …..Kimeo kipya cha JK China…….balozi aliyelala usingizi mpaka sasa…..

      Quote By zomba
      Nderingosha, You simply do not understand what diplomacy is, I feel pity for you. A diplomat can only facilitate and advose you on the best ways to conduct your business in China if you register to him and go with particular requests, A diplomat can never come and rescue you when you are not even known to exist in China. You simply do not know what diplomacy is. You screw up in China you pay for it not the Ambassador nor The President. Bu diplomasinin ne olduğunu bilmek çalışmasını durdurmak
      we have seen serious countries fighting for the better of their citizens wherever they are (whenever they have any problem).....for you..a diplomat deals with business matters only!! what an ignorant puto you are eh!!
      ....real change begins with PEOPLE.......

    10. #27
      kindafu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th November 2010
      Posts : 257
      Rep Power : 488
      Likes Received
      83
      Likes Given
      62

      Default Re: …..Kimeo kipya cha JK China…….balozi aliyelala usingizi mpaka sasa…..

      Quote By zomba
      Nderingosha, You simply do not understand what diplomacy is, I feel pity for you. A diplomat can only facilitate and advose you on the best ways to conduct your business in China if you register to him and go with particular requests, A diplomat can never come and rescue you when you are not even known to exist in China. You simply do not know what diplomacy is. You screw up in China you pay for it not the Ambassador nor The President. Bu diplomasinin ne olduğunu bilmek çalışmasını durdurmak
      Mkuu Zomba, a Diplomat should not wait in his Office for his Nationals to come and Register/Report themselves - rather he should go out and find if there are his Nationals in his territorial area and what they are doing there! At the end of the day these people will be either "polishing or tarnishing" the Image of our country in that particular area! It is his duty to cross-check all that! Reflect!
      nderingosha likes this.

    11. #28
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14621
      Likes Received
      2842
      Likes Given
      1961

      Default Re: …..Kimeo kipya cha JK China…….balozi aliyelala usingizi mpaka sasa…..

      Bondpost, Mimi nimesafiri sana duniani, na baada ya kujifunza, sasa hivi sisafiri kokote mpaka kwanza niupigie simu ubalozi mahali ambapo tuna balozi zetu, huwezi amini, toka nimeanza kufanya hivyo (kama miaka 20 iliyopita mpaka hii leo), huwa nasafiri nikiwa na information kamili, wapi pa kufikia na Mabalozi na maafisa Ubalozi mara nyingi wamekuwa hata wakinikaribisha makwao na kunisihi nisipoteze pesa kwa kufikia hoteli kama nakaa siku mbili tatu, wanajuwa hali zetu. Imefikia mahali mpaka maofisa ubalozi wamekuja nimepokea Airport ili nisitaabike. Nakwambia hivi, Watanzania wengi wanapenda kulaumu pasipo laumika. Siku hizi ni very simple, unaandika email tu kwa ubalozi kutaka information za hiyo nchi au huo mji kabla hujaenda na kuiwekea mkazo unai cc kwa Bernard Membe. Fanya hivyo uone kama hautahudumiwa ipasavyo. Nyie mnjiendea tu kichwa kichwa. Kama unaenda kibiashara poteza masaa mawili matatu kabla hujaenda, nenda Chanber of Commerce, nenda wizara ya mambo ya nje, kuna mabalozi pale wanashughulikia kila nchi katika hii dunia, watakupa anuani za nani uwasiliane nae na nini ufanye kama hujui. Wacheni kukurupuka, mkisikia watu wanasafiri na nyie mnakurupuka tu. "prevention is better than cure" any diplomat will tell you that. Ulizeni wabunge wenu kabla hawajasafiri wanawasiliana na ubalozi au wanajiendea tu kichwa kichwa, sasa ikiwa mliowachaguwa wawatumikie wanafanya hivyo, nyinyi ma bosi zao hamfanyi, nani wakumlaumu?
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    12. #29
      TOWNSEND's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th May 2011
      Location : kwa ngulelo
      Posts : 1,116
      Rep Power : 630
      Likes Received
      196
      Likes Given
      31

      Default Re: …..Kimeo kipya cha JK China…….balozi aliyelala usingizi mpaka sasa…..

      Hili li serikali hata halijui linafanya nini ukimuuliza waziri mkuu leo kuhusu mashamba atakujibu hivi kesho vile ...mkapa kule meru alisema ataongea na jk mashamba yarudishwe wakati yeye ndie alieyauza.....nyama mbofu
      For tommorow belonging to those people who prepared fo it

    13. #30
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14621
      Likes Received
      2842
      Likes Given
      1961

      Default Re: …..Kimeo kipya cha JK China…….balozi aliyelala usingizi mpaka sasa…..

      kindafu, You are very wrong my friend. You are supposed to register to inform your Embassy before you go and you are strongly advised to register to your Embassy as soon as you arrive. You are supposed to be carrying full contact information of your nearest Embassy even before you depart. Imagine an Ambassador going all over China looking for his nationals, who are not even registered and who pour into China in hundreds if not thousands every month.
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    14. #31

      nderingosha, Your way of thinking and your vocabulary is totally undiplomatic, calling me names for enlightening you. Be blessed for that. An ambassador can never be in a position to rescue you if he does not know even your whereabouts in China, because simply you failed to register to him. The best he can do is to ensure your safe departure in casket if anything happens to you and you are reported. Otherwise, never ever blame the diplomats. Yes, they are there not only for your business but you as a businessperson it is your business to register at your embassy and to let them know your whereabouts from time to time.
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    15. #32
      kindafu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th November 2010
      Posts : 257
      Rep Power : 488
      Likes Received
      83
      Likes Given
      62

      Default Re: …..Kimeo kipya cha JK China…….balozi aliyelala usingizi mpaka sasa…..

      Quote By zomba
      Bondpost, Mimi nimesafiri sana duniani, na baada ya kujifunza, sasa hivi sisafiri kokote mpaka kwanza niupigie simu ubalozi mahali ambapo tuna balozi zetu, huwezi amini, toka nimeanza kufanya hivyo (kama miaka 20 iliyopita mpaka hii leo), huwa nasafiri nikiwa na information kamili, wapi pa kufikia na Mabalozi na maafisa Ubalozi mara nyingi wamekuwa hata wakinikaribisha makwao na kunisihi nisipoteze pesa kwa kufikia hoteli kama nakaa siku mbili tatu, wanajuwa hali zetu. Imefikia mahali mpaka maofisa ubalozi wamekuja nimepokea Airport ili nisitaabike. Nakwambia hivi, Watanzania wengi wanapenda kulaumu pasipo laumika. Siku hizi ni very simple, unaandika email tu kwa ubalozi kutaka information za hiyo nchi au huo mji kabla hujaenda na kuiwekea mkazo unai cc kwa Bernard Membe. Fanya hivyo uone kama hautahudumiwa ipasavyo. Nyie mnjiendea tu kichwa kichwa. Kama unaenda kibiashara poteza masaa mawili matatu kabla hujaenda, nenda Chanber of Commerce, nenda wizara ya mambo ya nje, kuna mabalozi pale wanashughulikia kila nchi katika hii dunia, watakupa anuani za nani uwasiliane nae na nini ufanye kama hujui. Wacheni kukurupuka, mkisikia watu wanasafiri na nyie mnakurupuka tu. "prevention is better than cure" any diplomat will tell you that. Ulizeni wabunge wenu kabla hawajasafiri wanawasiliana na ubalozi au wanajiendea tu kichwa kichwa, sasa ikiwa mliowachaguwa wawatumikie wanafanya hivyo, nyinyi ma bosi zao hamfanyi, nani wakumlaumu?
      Mkuu Zomba, unayosema ni kweli lakini wa kulaumiwa sio wananchi wanaosafiri bali ni hao wanaoteuliwa kufanya kazi za ki-diplomasia bila kuwa na Elimu/Ufahamu wa kutosha wa Diplomasia! Balozi zetu zikishirikiana na Wizara ya Mambo ya Nje zina jukumu la kuelimisha Umma kuwa wanapotaka kusafiri kwenda nchi fulani ni nini cha kuzingatia na tahadhari gani muhimu za kuchukua na pia kutoa "contacts" muhimu iwapo mtu anapata matatizo awapo nchi fulani! Tambua ufahamu wa watu wetu ni mdogo sana kwenye mambo hayo - ni jukumu la hao walioajiriwa Idara hizo kutoa elimu ya kutosha!

    16. #33
      kindafu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th November 2010
      Posts : 257
      Rep Power : 488
      Likes Received
      83
      Likes Given
      62

      Default Re: …..Kimeo kipya cha JK China…….balozi aliyelala usingizi mpaka sasa…..

      Quote By zomba
      kindafu, You are very wrong my friend. You are supposed to register to inform your Embassy before you go and you are strongly advised to register to your Embassy as soon as you arrive. You are supposed to be carrying full contact information of your nearest Embassy even before you depart. Imagine an Ambassador going all over China looking for his nationals, who are not even registered and who pour into China in hundreds if not thousands every month.
      Mkuu Zomba, what I mean is that he/she should establish mechanisms that will help him/her be informed and updated and whenever necessary enable him/her take due action! e.g When an American National comes to Tanzania, even without reporting to the American Embassy, will be tracked down wherever he is to counter-check if whatever he is doing there is for the best interest of the American people and will not entangle the Diplomatic Relations between the two countries!

    17. #34
      nderingosha's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th March 2011
      Posts : 820
      Rep Power : 1449
      Likes Received
      440
      Likes Given
      119

      Default Re: …..Kimeo kipya cha JK China…….balozi aliyelala usingizi mpaka sasa…..

      Quote By zomba
      nderingosha, Your way of thinking and your vocabulary is totally undiplomatic, calling me names for enlightening you. Be blessed for that. An ambassador can never be in a position to rescue you if he does not know even your whereabouts in China, because simply you failed to register to him. The best he can do is to ensure your safe departure in casket if anything happens to you and you are reported. Otherwise, never ever blame the diplomats. Yes, they are there not only for your business but you as a businessperson it is your business to register at your embassy and to let them know your whereabouts from time to time.
      i don't need your enlightenment on the matters i put forward...because you always protect the interests of the status quo....Btw..stop your shortsightedness...by thinking that i'm the victim here trying to get rescue from the status quo....you are wrong because what i have presented here are the weaknesses which are already seen in china by Tanzanians who live,study and work there (not me).....You seem to focus your attention on the business deals.....forgetting that there are also many Tanzanian students who need attention from their ambassador.. ...thats why i tell you...i don't need your enlightenment on the said matters...because you are biased....good bye...
      ....real change begins with PEOPLE.......

    18. #35
      MKALIKENYA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 714
      Rep Power : 502
      Likes Received
      282
      Likes Given
      409

      Default Re: …..Kimeo kipya cha JK China…….balozi aliyelala usingizi mpaka sasa…..

      Quote By zomba
      Sasa kupigwa wafanya biashara kuna uhusiano upi na Marmo? Wachina hata hapa wanapiga watu, umesahau kuwa walintandika mpaka mkuu wa kituo cha polisi? Kama huna cha kuandika ondoa hii maji taka.
      Yani umeona tuhuma moja tu hiyo natamani umu JF tungesajiriwa kama kwenye vitambulisho vya NIDA ili watu kama wewe tuwasake tuwatie adabu kibaraka mkubwa akili yako kama CHIZI namaanisha yule CHIZI wa ATCL.

    19. #36
      Mwanaweja's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th February 2011
      Posts : 3,476
      Rep Power : 1115
      Likes Received
      469
      Likes Given
      954

      wewe unafikiria masaburi inamaana unafurahia kupigwa na wachina? kabla ya kuja na solution unaleta ujinga mbele ya maisha ya wenzio.

    20. #37
      Bondpost's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th October 2011
      Posts : 1,090
      Rep Power : 602
      Likes Received
      246
      Likes Given
      540

      Default

      Quote By MKALIKENYA
      Yani umeona tuhuma moja tu hiyo natamani umu JF tungesajiriwa kama kwenye vitambulisho vya NIDA ili watu kama wewe tuwasake tuwatie adabu kibaraka mkubwa akili yako kama CHIZI namaanisha yule CHIZI wa ATCL.
      Huyu bwana yeye anang'ang'ania kurejista! Nani anayajua hayo? Kuna watu wanaishi ughaibuni hayo wanakutana nayo sana! By the way yeye ni lazima atatetea kwa nguvu zote maana anasema hata huwa anapokelewa na maofisa wa ubalozi, ha ha, what a lie! Anafananisha passport ya wabunge na ya mwananchi wakawaida. Anasema hata wabunge wanapokelewa na maofisa wa ubalozi, anasahau wale ni viongozi wa serikali. Anadhani mambo yako hivyo kwa kila mtanzania anaefika ughaibuni sababu yeye naye ni mmoja wa maofisa wa serikali. Anasahau kuwa wengine hayo hatujayashuhudia, last month nilikuwa German kwenye Drupa Trade Fair, hayo mapokezi anayoyasema sijayaona. Wala sihitaji kwani balozi tumempa kazi gani? Unajua ni rahisi kwa samaki kujua umuhimu wa maji kwenye bwawa kuliko kenge!
      nderingosha likes this.

    21. #38
      Mwanaweja's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th February 2011
      Posts : 3,476
      Rep Power : 1115
      Likes Received
      469
      Likes Given
      954

      Default Re: Kimeo kipya cha JK China balozi aliyelala usingizi mpaka sasa

      zomba na shidwa kukuelewa unajua ubalozi wetu china au unaongea tu kunawasanii wa kutupwa pale juzi tu hapa kulikuwa na issue ya wanfunzi kuhusu OLAS kunamwakilishi mmoja anaitwa G. Manongi alikuja na sera kibao lakini alipoona ameshindwa kaa kimya mpaka mwanafunzi mmoja akajitolea kuwasiliana na hao OLAS kilichofuata hapo. kana baadhi ya wanafunzi hawjafanya registration mpaka leo kuna mmoja alimuandikia huyu mwakilishi wa wanafunzi kuwa hajafanya registration jibu alilompa " no coment" hivi ungekuwa ni wewe ungemuonaje huyu mtu aliyeletwa nataaifa kusaidia watanzania kinachofuata hapo anafanya usanii wa kujibidisha na shughuli zake binafisi (biashara) bila kujali tunapata matatizo gani. tusitetee ujinga serikali ijue haina mwakilishi alikuja kuwakilisha nchi kwa masilahi ya watanzania bali ya kifamilia. ukitaka muelewane waambie niko shang'hai utaona kunabiashra gani tuanayoweza fanya bila kujua wewe umekuja china kwa shughuli ipi hili lilisha nipata mimi napiga simu najitambulia anaiuliza mkuu tunaweza fanya biashara gani kabla ya kujua tatizo langu ni lipi na niko china kwa shughuli ipi.
      nderingosha likes this.

    22. #39
      nngu007's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 2nd August 2010
      Posts : 11,242
      Rep Power : 3563
      Likes Received
      3062
      Likes Given
      463

      Default Re: Kimeo kipya cha JK China balozi aliyelala usingizi mpaka sasa

      Kaenda CHINA Mwezi Mmoja Uliopita; yeye Sio Balozi wa Tanzania anayeiwakilisha CHINA pekee anawakilisha VIETNAM, HONGKONG, INDONESIA to name the few

      Huo ni Ubalozi Mkubwa anahitaji angalau Miezi zaidi ya Mmoja kuwa angalu mwenyeji ndio apate muda wa kuangalia na kukutana na Watukufu Wanafunzi; Kuangalia Hiyo Mikataba Unayoitaka Iangaliwe.

      Wapeni Muda, Sasa tuna Internet kila mtu anajua Majukumu ya Mawaziri wetu Mabalozi wetu ?

      * KWELI ANAHITAJIKA ANA MWEZI MMOJA TU, NADHANI HAJAPELEKA HATI ZA KUJITAMBULISHA NCHI NYINGINE.

      *** Uliona Balozi wetu wa Uingereza Juzi Juzi tu ndio alipeleka Utambulisho wake Ireland, na amekuwa huko kwa Mwaka Mmoja? Ni Kazi.

      **** Siitetei CCM; Natetea Mfumo wa kazi ninavyoujua Sio Rahisi...

    23. #40
      Bondpost's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th October 2011
      Posts : 1,090
      Rep Power : 602
      Likes Received
      246
      Likes Given
      540

      Default

      Quote By Mwanaweja
      wewe unafikiria masaburi inamaana unafurahia kupigwa na wachina? kabla ya kuja na solution unaleta ujinga mbele ya maisha ya wenzio.
      Imagine mtu huyu apewe ubalozi.

    Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...