Nauliza hivi wanajamvi wenzangu,ile hoja ya kutokuwa na imani na PM imeyeyukia wapi? Au mchakato wake bado?
Nauliza hivi wanajamvi wenzangu,ile hoja ya kutokuwa na imani na PM imeyeyukia wapi? Au mchakato wake bado?
Concentrations zipo kwenye bajet
Kilichotakiwa ni kuwajibisha mawaziri wapuuzi ndo kilichotokea,.hiyo hoja kwa sasa kapuni
Kazi iliyotakiwa kufanywa kupitia huyo PM imefanywa tayari.
Follow Us Here