Re: Lawrence Masha: Kutoka Uwaziri hadi kukusanya takataka Dar
Go Lau Go, That is the way to go. Usisikilize vimeo vya hapa JF. Ukiachana na siasa fanya shughuli mbadala na unachokifanya kianongeza thamani na kuboresha maisha ya Mtanzania. Fanya mazuri na natumaini kama kila sehemu Tanzania kungekuwa na wabunifu kama wewe, Tanzania ingekuwa sehemu bora zaidi. Hawa wanaokuponda hapa JF wengine wamezungukwa na mitaro ya maji taka ambayo inavuja hawadiriki kufanya chochote na wanasubiri serikali iwasafishie.
Bravo
"In time of war, when truth is so precious, it must be protected by a bodyguard of lies." Winston Churchill
Follow Us Here