Signature kwenye cheque ya kutoa hela account za chadema ni ya nani? Na ipo kwa miaka mingapi? Ni swali tu wana jf
Signature kwenye cheque ya kutoa hela account za chadema ni ya nani? Na ipo kwa miaka mingapi? Ni swali tu wana jf
Last edited by Mwangendage; 13th June 2012 at 11:49.
duuh breach of privacy hawa chadema sasa wamegeuka soko la wajinga yaani hata signature za mtoa pesa watuwekee kwenye public domain,takukuru,usalama wa taifa hamuwezi kuwainvestigate wenyewe mpaka mupitie jamii Forum ngojea wajuzi wapo wengi watakupa jibu
Aisee, unataka kuijaribu kui-forge?
Vipi unatafuta namna ya kutengeza 'signature" mtaani? Naona kama polisi wanahitaji kuona hili swali
Mbona mi sioni attachment wandungu!
Swali zuri sana maana kuna watu wameanza kuwa na wasiwasi na michango yetu jinsi inavyotumika. kuna tetesi kuwa hakuna control nzuri ya utoaji wa pesa katika chama, nasikia eti anaangaliwa nani anataka bila kujali ni kipi kipaombele. Hatari sana
Unataka kutengeneza feki?
Umetumwa weeeeyeeeee
napita tu
Napita tu. Hayanihusu.
Jf ni mahali pa kujadili hoja ndugu.
Basi wanaCDM naomba mtoe maelezo msikwepe swali nani ambaye anapiga singature?
MTU MPUMBAVU HATA UKIMTWANGA KWENYE KINU PAMOJA NA NGANO UPUMBAVU WAKE HAUMTOKI
Mkuu Crashwise, kwanini huwa mna hasira sana watu wakihoji mapato na matumizi ya chama? kuna nini kimejificha katika hili?
MTU MPUMBAVU HATA UKIMTWANGA KWENYE KINU PAMOJA NA NGANO UPUMBAVU WAKE HAUMTOKI
Makamanda wa Chadema member mwenzetu kauliza swali la msingi mpeni jibu...signature kwenye chegue ya kutoa pesa mnatumia majina ya nani na nani?
Hakika wewe ni mwizi kama sio jambazi!
Never give up your right!
Follow Us Here