Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Sheikh Ponda yuko sahihi

    Report Post
    Page 1 of 16 12311 ... LastLast
    Results 1 to 20 of 313
    1. #1
      mwongozo's Avatar
      Member Array
      Join Date : 26th October 2011
      Posts : 45
      Rep Power : 391
      Likes Received
      9
      Likes Given
      21

      Default Sheikh Ponda yuko sahihi

      Juzi Sheikh Ponda Issa ambaye ni katibu wa Jumuiya ya Kutetea Haki za Waislamu alitanabahisha kuwa iwapo serikali haitoweka kipengele cha dini katika fomu za sensa ya mwaka, jumuiya yao itahamasisha Waislamu wasishiriki katika zoezi la sensa.Alisema kuwa nchi hii siyo ya Kikristo lakini INATAWALIWA NA MFUMO KRISTO.

      Alisema kutokana na mazoea, Waislamu wanabaguliwa katika mgawanyo wa keki ya taifa khasa upande wa ajira. ofisi na idara za serikali zinaongozwa na Wakristo kwa asilimia kubwa kulinganishwa na waislamu. alitoa mfano wa TRA, NECTA, Wizara ya Eimu, Wizara ya Ujenzi, Afya, Mahakama nk........... kwa mujibu wa Sheikh Ponda, wastani wa ajira ni karibu Wakristo 77% na Waisalmu siyo zaidi ya asilimia 20%. Licha ya hoja inayojengwa kuwa Waislamu hawajasoma lakini akasema waliosoma wapo.

      Akatanabahisha kuwa kwa maslahi na umoja wa kitaifa, kupuuza watu ambao ni sehemu ya jamii ktk keki ya taifa ni jambo hatari sana! Kwa kuwa wtu wanadai waislamu ni chini ya 20% katika nchi hii, akapendekeza sensa ya mwaka huu kiwekwe kipengele cha dini ili idadi ya watanzania kidini ijulikane. Kwa mujibu wa Sheihk Ponda, anaamini kuwa waislamu ni takriban 64% ya rais wa Tanzania.

      "SIYO SAHIHI WATU WENYE IDADI HII KUPUUZWA KATIKA UWIANO WA AJIRA SERIKALINI", alisema Sheikh Ponda.Alitoa mifano wa nchi karibia zote za Ulaya, Marekani, asia pamoja na Afrika, kipengele cha dili kipo kwenye fomu za sensa zao. "Ukisoma country profile au fact file uingiapo katika nchi mbalimbali, utakuta wameandika wastani wa idada ya raia kidini" alisisitiza Ponda. "Mbona mnajifanya kama hamtembei au hamjui kinacho endelea ulimwengunu jamani!" alilalama Ponda.

      HOJA YANGU Ndugu znaguni Watanzania, tufike sehemu tuache ukweli udhihiri. kama Waislamu wanalalamika kuwa wanabaguliwa katika ajira labda kutokana na uchache wao, kwa nini suala la dini lisiwekwe wazi? au utakua udini? au uchochezi? au uvunjifu wa amani? Kama ni hivyo, mbona karibu 98% ya sensa zote duniani zina kipengele cha dini!? je huko wameuana kutoakana na kipengele hicho? TUBADILIKE!!!

      Naomba kuwasilisha!
      takashi, Ally Kombo, NIMO and 2 others like this.

    2. Miaka 50

    3. #2
      Starr's Avatar
      Member Array
      Join Date : 29th October 2010
      Posts : 15
      Rep Power : 437
      Likes Received
      10
      Likes Given
      0

      Default re: Sheikh Ponda yuko sahihi

      Waambie wafanye sensa yao wajue idadi ya waumini wa kiislam

    4. #3
      Mtanzania1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th December 2010
      Location : Kalenga, Liringa
      Posts : 979
      Rep Power : 620
      Likes Received
      124
      Likes Given
      94

      Default re: Sheikh Ponda yuko sahihi

      Nadhani hii ni busara kwani muanisho huu wa kipengele cha dini ni muhimu hasa kukiwa na mipango inayohusu dini.. kama kujua tunahitaji kutenga ardhi kiasi gani kwa ajili ya misikiti/makanisa... au makaburi
      takashi, Barubaru and mfumo like this.
      Ukifanya jambo la werevu utaitwa mwerevu, ukifanya jambo la kijinga basi utaitwa mjinga pia

    5. FJM
      #4
      FJM's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 7,168
      Rep Power : 2566
      Likes Received
      5318
      Likes Given
      4585

      Default re: Sheikh Ponda yuko sahihi

      Sheikh Ponda amejipa kazi ya kuenesha shari nchi hii. Pengine ni kwa sababu ya tatizo la ajira, lakini sioni ni kwa vipi waislam watakaa chini na kumsikiliza huyu semi-illiterate!<BR><BR>Week chache zilizopita alikuwa anapiga debe kuwaunga UAMSHO, sasa makanisha yamechomwa kakimbilia kwenye sensa! UAMSHO kawaacha kwenye mataa! Ni aina ya ma-sheikh kama hawa wanaoudhalilisha uislam. Hana la maana alilofanyia hii nchi zaidi ya kugawa watu.
      Mzalendo JR likes this.

    6. #5
      isotope's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 4th April 2012
      Posts : 483
      Rep Power : 0
      Likes Received
      143
      Likes Given
      127

      Default re: Sheikh Ponda yuko sahihi

      Mi naona mnatafuta sababu nyingine ya kuandamana. Mtaandamana kupinga matokeo ya sensa, mtaandamana kutaka mkurugenzi wa Takwimu naye ajiuzulu. Mi nawajua, sensa ikitoa matokeo kinyume na matarajio yenu, kesho yake wote mko barabarani. Hebu jihesabuni wenyewe tu, maana mfumo wa sensa wa sasa hauwezi kutupa majibu ya contraversial issue kama hiyo ya idadi ya waislamu.

    7. FemaTV & Radio

    8. #6
      nundaz's Avatar
      Member Array
      Join Date : 8th June 2012
      Posts : 15
      Rep Power : 353
      Likes Received
      4
      Likes Given
      0

      Default re: Sheikh Ponda yuko sahihi

      mwaka 2005 wakat kikwete anagombea askof mmoja alisema kik ete ni chaguo la mungu hawakulalamika! mwaka juz bakwata wakasema docta slaa hawez kuwa rais kisa mkristo! uchaguz igunga bakwata wakatoa tamko kuwa waislam kutopigia kura chadema! mwaka jana vuguvugu la maandamano ya chadema waislam wakasewa serikali inaandamwa sababu rais ni muislamu...! wametoka hapo wameandamana bla kbali, sasa wanakuja na ajenda za ajira na sensa...? ivii wao tu wanamatizo? wakristo hawana?

    9. #7
      Barubaru's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th April 2009
      Location : Doha, Qatar
      Posts : 5,739
      Rep Power : 1917
      Likes Received
      1177
      Likes Given
      962

      Default Re: Sheikh Ponda yuko sahihi

      Alonena ni suala zuri sana. vipengele muhimu va kuzingatiwa katika sensa ni pamoja na Umri, Dini, jinsia, hali za watu (ulemavu n.k) kwa ajili ya mipango ya nchi kwa maendeleo na ustawi wa jamii.

      Ni vizuri kulijadili kwa kina kwa mustakabali bora wa nchi yenu katika mipango ya baadae.
      Ukiwa mchoyo, usiwe mroho.

      Man Sharaf naf'sahu, fahuwa rasul

    10. #8
      Head teacher's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th March 2012
      Posts : 610
      Rep Power : 485
      Likes Received
      124
      Likes Given
      6

      Default Re: Sheikh Ponda yuko sahihi

      Fanyeni sensa misikitini acheni lalama kila leo utadhani bi mdogo mnakera

    11. #9
      Safari_ni_Safari's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th October 2007
      Location : Kibaruani
      Posts : 11,899
      Rep Power : 24134
      Likes Received
      4619
      Likes Given
      2624

      Default Re: Sheikh Ponda yuko sahihi

      Wasukukuma tuko kama 8m ambayo ni 20% ya Watanzania. Vipi hilo Sheikh Ponda from Burundi?

      Soki Ozali Mwasi Yaka, Soki Ozali Mobali Koya Te


    12. #10
      Wingu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th January 2011
      Posts : 3,970
      Rep Power : 1217
      Likes Received
      247
      Likes Given
      41

      Default Re: Sheikh Ponda yuko sahihi

      Mimi mwenyewe nataka hicho kipengele cha dini kiwepo kina faida zake jamani

    13. #11
      isotope's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 4th April 2012
      Posts : 483
      Rep Power : 0
      Likes Received
      143
      Likes Given
      127

      Default Re: Sheikh Ponda yuko sahihi

      Quote By Mtanzania1
      Nadhani hii ni busara kwani muanisho huu wa kipengele cha dini ni muhimu hasa kukiwa na mipango inayohusu dini.. kama kujua tunahitaji kutenga ardhi kiasi gani kwa ajili ya misikiti/makanisa... au makaburi
      Hapo matokeo lazima yatolewe kila kituo, halafu kuwe na mawakala wa dini zote ili kuhakikikisha hakuna uchakachuaji. Vinginevyo itakuwa ni chazo cha vurugu nchini.

    14. #12
      papason's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th September 2010
      Location : Choma Cha Nkola
      Posts : 875
      Rep Power : 615
      Likes Received
      154
      Likes Given
      161

      Default Re: Sheikh Ponda yuko sahihi

      Kusema kweli kuna umuhimu kwa kipengele cha dini kuongezwa kwenye zoezi zima la sensa ya wa TZ

    15. #13
      Kikwebo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th August 2006
      Posts : 323
      Rep Power : 716
      Likes Received
      42
      Likes Given
      20

      Default

      Quote By Head teacher
      Fanyeni sensa misikitini acheni lalama kila leo utadhani bi mdogo mnakera
      mbona nyie wagala mnaogopa sana hiki kipengele? Kuna nini kimejificha?

    16. #14
      mfumo's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 21st November 2011
      Posts : 129
      Rep Power : 403
      Likes Received
      23
      Likes Given
      159

      Default Re: Sheikh Ponda yuko sahihi

      Quote By mwongozo
      juzi sheikh ponda issa ambaye ni katibu wa jumuiya ya kutetea haki za waislamu alitanabahisha kuwa iwapo serikali haitoweka kipengele cha dini katika fomu za sensa ya mwaka, jumuiya yao itahamasisha waislamu wasishiriki katika zoezi la sensa.alisema kuwa nchi hii siyo ya kikristo lakini inatawaliwa na mfumo kristo. Alisema kutokana na mazoea, waislamu wanabaguliwa katika mgawanyo wa keki ya taifa khasa upande wa ajira. Ofisi na idara za serikali zinaongozwa na wakristo kwa asilimia kubwa kulinganishwa na waislamu. Alitoa mfano wa tra, necta, wizara ya eimu, wizara ya ujenzi, afya, mahakama nk........... Kwa mujibu wa sheikh ponda, wastani wa ajira ni karibu wakristo 77% na waisalmu siyo zaidi ya asilimia 20%. Licha ya hoja inayojengwa kuwa waislamu hawajasoma lakini akasema waliosoma wapo. Akatanabahisha kuwa kwa maslahi na umoja wa kitaifa, kupuuza watu ambao ni sehemu ya jamii ktk keki ya taifa ni jambo hatari sana! Kwa kuwa wtu wanadai waislamu ni chini ya 20% katika nchi hii, akapendekeza sensa ya mwaka huu kiwekwe kipengele cha dini ili idadi ya watanzania kidini ijulikane. Kwa mujibu wa sheihk ponda, anaamini kuwa waislamu ni takriban 64% ya rais wa tanzania. "siyo sahihi watu wenye idadi hii kupuuzwa katika uwiano wa ajira serikalini", alisema sheikh ponda.alitoa mifano wa nchi karibia zote za ulaya, marekani, asia pamoja na afrika, kipengele cha dili kipo kwenye fomu za sensa zao. "ukisoma country profile au fact file uingiapo katika nchi mbalimbali, utakuta wameandika wastani wa idada ya raia kidini" alisisitiza ponda. "mbona mnajifanya kama hamtembei au hamjui kinacho endelea ulimwengunu jamani!" alilalama ponda.hoja yangundugu znaguni watanzania, tufike sehemu tuache ukweli udhihiri. Kama waislamu wanalalamika kuwa wanabaguliwa katika ajira labda kutokana na uchache wao, kwa nini suala la dini lisiwekwe wazi? Au utakua udini? Au uchochezi? Au uvunjifu wa amani? Kama ni hivyo, mbona karibu 98% ya sensa zote duniani zina kipengele cha dini!? Je huko wameuana kutoakana na kipengele hicho? Tubadilike!!!!!!!!naomba kuwasilisha!!!!!!!!!!!!!!!!!!! !!!!!!!!!!
      ahsante mwongozo kwa taarifa hii.
      Nakufagilia sheikh ponda, hayo uliyosema ni kweli tupu. Nafurahi pia kusikia mkutano wa jana wa sensa dodoma waislamu wote pamoja na bakwata wamekubaliana kususia sensa ya mwaka august 2012 kama kipendele cha dini hakitakuwepo kwenye fomu ya sensa. Cha kushangaza zaidi maaskofu wao wanataka kipengele hicho kisiwepo ati kitahatarisha amani. Amani itaharibika vipi ikiwa tutajua idadi ya waislamu wangapi na wakristo wangapi? Maaskofu walishindwa kujibu swali hili!!!!!! What is behind the scene maaskofu??? Kuna jambo gani limejificha hapa mpaka hamtaki tujue idadi yetu kutokana na dini zetu?!!
      mwongozo and Ponera like this.

    17. #15
      Barubaru's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th April 2009
      Location : Doha, Qatar
      Posts : 5,739
      Rep Power : 1917
      Likes Received
      1177
      Likes Given
      962

      Default Re: Sheikh Ponda yuko sahihi

      Quote By Kikwebo
      mbona nyie wagala mnaogopa sana hiki kipengele? Kuna nini kimejificha?

      Kuna kitu kimejificha hapo.

      Mbona mkiwa mnatoa maelezo Polisi mnaandika sio tu kabila mpaka dini mnabainisha. Kwenye vitabu vya wageni hotelini na nyumba za kulala wageni mbona kunakipengele cha dini na kabila. Kwanini msikiweke hata kwenye sensa zenu.

      Nafikiri kiuchumi wanazuia kuona ni misada au misamaha ya kodi kiasi gani wanayopata dini moja dhidi ya zingine na kunufaika kwa namna gani kiuchumi dhidi ya wengine.

      Kuna mengi sana . Lakin msingi mkuu ni mipango ya nchi yenu kuweka usawa wa kitabaka na kijamii kwa kupata taarifa sahihi ndani ya sensa.
      mwongozo and mkomatembo like this.
      Ukiwa mchoyo, usiwe mroho.

      Man Sharaf naf'sahu, fahuwa rasul

    18. #16
      Olaigwanani lang's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th April 2012
      Posts : 331
      Rep Power : 816
      Likes Received
      52
      Likes Given
      373

      Default Re: Sheikh Ponda yuko sahihi

      hivi kuwa shekhe inabidi uwe na elimu gani...?
      maana reasoning lazima iwepo eb nisaidieni jamani....!

    19. #17
      Njoka Ereguu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th April 2012
      Posts : 503
      Rep Power : 459
      Likes Received
      167
      Likes Given
      30

      Default Re: Sheikh Ponda yuko sahihi

      Hivi akijua waislam ni asilimia 70 ndiyo itamsaidia nini? watu wanafikiria namna ya kuitoa nchi katika umaskini yeye anafikria kuzaa ili idadi ya waislam iwe kubwa kuliko dini nyingine, bila kujiuliza ili hao watoto wengi wanahitaji kupelekwa shule ili waweze kujikwamua katika maisha yao ya baadaye. Kama lengo ni kufahamu Waislam wako wa ngapi katika kila msikiti au mtaa kuna jumuiya ya kidini watumie hizo jumuiya kujihesabu kama lengo ni kujua idadi yao. Unajua inachosha mara mahakama mnataka, mara ajira, ni kweli kuwa hajui ajira zinatolewa kwa ushindani? Si ajabu Tanzania hatuendelei leo mtu kama huyo apewe nafasi ya kuwa Waziri wa Utumishi wa Umma sijui nini kitatokea. Shuleni tunaonewa, mtaani tunaonewa, kazini tunaonewa bado kwenye familia nako mtakuja hapa na kusema tumeingiliwa. Tutumie muda wetu kufikiria maendeleo ya nchi badala ya kuendekeza ubinafsi wa kidini. Nchi haijengwi kwa kujua idadi ya waislam kwenye mji au mtaa fulani.
      kituma12 and grndossy like this.

    20. #18
      Ndahani's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 3rd June 2008
      Location : Somewhere
      Posts : 9,646
      Rep Power : 4015
      Likes Received
      2940
      Likes Given
      5063

      Default Re: Sheikh Ponda yuko sahihi

      Quote By Barubaru
      Kuna kitu kimejificha hapo.

      Mbona mkiwa mnatoa maelezo Polisi mnaandika sio tu kabila mpaka dini mnabainisha. Kwenye vitabu vya wageni hotelini na nyumba za kulala wageni mbona kunakipengele cha dini na kabila. Kwanini msikiweke hata kwenye sensa zenu.

      Nafikiri kiuchumi wanazuia kuona ni misada au misamaha ya kodi kiasi gani wanayopata dini moja dhidi ya zingine na kunufaika kwa namna gani kiuchumi dhidi ya wengine.

      Kuna mengi sana . Lakin msingi mkuu ni mipango ya nchi yenu kuweka usawa wa kitabaka na kijamii kwa kupata taarifa sahihi ndani ya sensa.
      Barubaru,
      Kwani namba ya waamini wa dini yako, hata kama ni kubwa ina faida gani kwa uwepo na ustawi wa Taifa hili? Kama namba ni tija, waafrika tulivyo, tunaweza kuanzisha mashindano ya kuzaana bila utaratibu, bila kujua kwamba anayeongoza dunia ya leo sio kwamba ana namba kubwa, la hasha!!! Ana elimu, uwezo na ujuzi mkubwa.
      Ndio maana waisrael kwa idadi ni wadogo lakini pale walipo waliwahi kupigana na mataifa karibu yote yaliowazunguka kwa wakati mmoja na kuwashinda. It was not by chance....it was by design and intelligence to come with victory. So hoja hapa kwetu sisi wengine ni kuhakikisha generations zetu zina aim higher kwa kutafuta mambo ya msingi yatakayotusukuma huko. Sio haya mambo ya kujua nani ni dini gani! So what?
      TIMING, Bigirita and kituma12 like this.
      We are all inventors, each sailing out on a voyage of discovery, guided each by a private chart, of which there is no duplicate. The world is all gates, all opportunities.
      Ralph Waldo Emerson

    21. #19
      sweke34's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th September 2010
      Posts : 2,493
      Rep Power : 1254
      Likes Received
      734
      Likes Given
      1240

      Default Re: Sheikh Ponda yuko sahihi

      Quote By Starr
      Waambie wafanye sensa yao wajue idadi ya waumini wa kiislam
      Halafu wakokotoe kwenye idadi itakayopatikana ya watanzania wote ili wajue waislam ni roughly asilimia ngapi ya population ya tzii

    22. #20
      Mtanzania1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th December 2010
      Location : Kalenga, Liringa
      Posts : 979
      Rep Power : 620
      Likes Received
      124
      Likes Given
      94

      Default Re: Sheikh Ponda yuko sahihi

      Quote By isotope
      Hapo matokeo lazima yatolewe kila kituo, halafu kuwe na mawakala wa dini zote ili kuhakikikisha hakuna uchakachuaji. Vinginevyo itakuwa ni chazo cha vurugu nchini.
      ha ha ha mkuu umenichekesha sana....... kwani kusudi la sensa ni kujua kati ya wakristo na waislam wepi ni wengi??? ha ha ha ha hata hivyo suala la dini sio la kudumu sana.... vijana wa siku hizi wanabadili dini kama vyama vya siasa vile
      Dawa ya Mjinga likes this.
      Ukifanya jambo la werevu utaitwa mwerevu, ukifanya jambo la kijinga basi utaitwa mjinga pia

    Page 1 of 16 12311 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...