Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Sheikh Ponda yuko sahihi

    Report Post
    Page 10 of 16 FirstFirst ... 89101112 ... LastLast
    Results 181 to 200 of 313
    1. #1
      mwongozo's Avatar
      Member Array
      Join Date : 26th October 2011
      Posts : 45
      Rep Power : 391
      Likes Received
      9
      Likes Given
      21

      Default Sheikh Ponda yuko sahihi

      Juzi Sheikh Ponda Issa ambaye ni katibu wa Jumuiya ya Kutetea Haki za Waislamu alitanabahisha kuwa iwapo serikali haitoweka kipengele cha dini katika fomu za sensa ya mwaka, jumuiya yao itahamasisha Waislamu wasishiriki katika zoezi la sensa.Alisema kuwa nchi hii siyo ya Kikristo lakini INATAWALIWA NA MFUMO KRISTO.

      Alisema kutokana na mazoea, Waislamu wanabaguliwa katika mgawanyo wa keki ya taifa khasa upande wa ajira. ofisi na idara za serikali zinaongozwa na Wakristo kwa asilimia kubwa kulinganishwa na waislamu. alitoa mfano wa TRA, NECTA, Wizara ya Eimu, Wizara ya Ujenzi, Afya, Mahakama nk........... kwa mujibu wa Sheikh Ponda, wastani wa ajira ni karibu Wakristo 77% na Waisalmu siyo zaidi ya asilimia 20%. Licha ya hoja inayojengwa kuwa Waislamu hawajasoma lakini akasema waliosoma wapo.

      Akatanabahisha kuwa kwa maslahi na umoja wa kitaifa, kupuuza watu ambao ni sehemu ya jamii ktk keki ya taifa ni jambo hatari sana! Kwa kuwa wtu wanadai waislamu ni chini ya 20% katika nchi hii, akapendekeza sensa ya mwaka huu kiwekwe kipengele cha dini ili idadi ya watanzania kidini ijulikane. Kwa mujibu wa Sheihk Ponda, anaamini kuwa waislamu ni takriban 64% ya rais wa Tanzania.

      "SIYO SAHIHI WATU WENYE IDADI HII KUPUUZWA KATIKA UWIANO WA AJIRA SERIKALINI", alisema Sheikh Ponda.Alitoa mifano wa nchi karibia zote za Ulaya, Marekani, asia pamoja na Afrika, kipengele cha dili kipo kwenye fomu za sensa zao. "Ukisoma country profile au fact file uingiapo katika nchi mbalimbali, utakuta wameandika wastani wa idada ya raia kidini" alisisitiza Ponda. "Mbona mnajifanya kama hamtembei au hamjui kinacho endelea ulimwengunu jamani!" alilalama Ponda.

      HOJA YANGU Ndugu znaguni Watanzania, tufike sehemu tuache ukweli udhihiri. kama Waislamu wanalalamika kuwa wanabaguliwa katika ajira labda kutokana na uchache wao, kwa nini suala la dini lisiwekwe wazi? au utakua udini? au uchochezi? au uvunjifu wa amani? Kama ni hivyo, mbona karibu 98% ya sensa zote duniani zina kipengele cha dini!? je huko wameuana kutoakana na kipengele hicho? TUBADILIKE!!!

      Naomba kuwasilisha!
      takashi, Ally Kombo, NIMO and 2 others like this.

    2. FemaTV & Radio

    3. #181
      ALEX PETER's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 17th January 2012
      Posts : 100
      Rep Power : 391
      Likes Received
      21
      Likes Given
      60

      Default Re: Sheikh Ponda yuko sahihi

      nafikiri tufike mahali tupime ukali wa maneno au uwezo wa maneno kwa nadharia tatu moja je kuna sababu gani ambayo ipo nyuma ya hii kauli, maana kila jambo lina sababu hakuna jambo linaloweza kutokea bila sababu, mbili je ni malengo yapi yamezamiliwa katika kauli hiyo na je kama yasipotimizwa ni ninu itakuwa hatima ya hii kauli kama siyo uchochezi, na je hii kauli ina madhara gani kwetu kama taifa.
      je wazo zuri ni lipi tugawe mgawanyo wa kazi kutokana na dini na matabaka au tugawe mgawanyo kazi kutokana na taaluma na ujuzi, je shekh ponda amesahau kama serikali haina dini? je anapodai fomu za sensa ziwe na alama au ishara ambayo muislam tajaza dini yake haoni kama tukifanya tutalazimisha na wakristo na wenyewe wadai hivohivo hali kadharika na wale wasiyo na dini na wenyewe hivo na fikiri siyo kila kiwazwacho moyoni lazima kisemwe mdomononi, tuache majungu na propaganda zisizo na msingi tujenge taifa letu

    4. #182
      Hofstede's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th July 2007
      Posts : 3,604
      Rep Power : 21341
      Likes Received
      981
      Likes Given
      988

      Default Re: Sheikh Ponda yuko sahihi

      Quote By mwongozo
      juzi Sheikh Ponda Issa ambaye ni katibu wa Jumuiya ya Kutetea Haki za Waislamu alitanabahisha kuwa iwapo serikali haitoweka kipengele cha dini katika fomu za sensa ya mwaka, jumuiya yao itahamasisha Waislamu wasishiriki katika zoezi la sensa.Alisema kuwa nchi hii siyo ya Kikristo lakini INATAWALIWA NA MFUMO KRISTO.

      Alisema kutokana na mazoea, Waislamu wanabaguliwa katika mgawanyo wa keki ya taifa khasa upande wa ajira. ofisi na idara za serikali zinaongozwa na Wakristo kwa asilimia kubwa kulinganishwa na waislamu. alitoa mfano wa TRA, NECTA, Wizara ya Eimu, Wizara ya Ujenzi, Afya, Mahakama nk........... kwa mujibu wa Sheikh Ponda, wastani wa ajira ni karibu Wakristo 77% na Waisalmu siyo zaidi ya asilimia 20%. Licha ya hoja inayojengwa kuwa Waislamu hawajasoma lakini akasema waliosoma wapo.

      Akatanabahisha kuwa kwa maslahi na umoja wa kitaifa, kupuuza watu ambao ni sehemu ya jamii ktk keki ya taifa ni jambo hatari sana! kwa kuwa wtu wanadai waislamu ni chini ya 20% katika nchi hii, akapendekeza sensa ya mwaka huu kiwekwe kipengele cha dini ili idadi ya watanzania kidini ijulikane. Kwa mujibu wa Sheihk Ponda, anaamini kuwa waislamu ni takriban 64% ya rais wa Tanzania.

      "SIYO SAHIHI WATU WENYE IDADI HII KUPUUZWA KATIKA UWIANO WA AJIRA SERIKALINI", alisema Sheikh Ponda.Alitoa mifano wa nchi karibia zote za Ulaya, Marekani, asia pamoja na Afrika, kipengele cha dili kipo kwenye fomu za sensa zao. "Ukisoma country profile au fact file uingiapo katika nchi mbalimbali, utakuta wameandika wastani wa idada ya raia kidini" alisisitiza Ponda. "Mbona mnajifanya kama hamtembei au hamjui kinacho endelea ulimwengunu jamani!" alilalama Ponda.

      HOJA YANGU Ndugu znaguni Watanzania, tufike sehemu tuache ukweli udhihiri. kama Waislamu wanalalamika kuwa wanabaguliwa katika ajira labda kutokana na uchache wao, kwa nini suala la dini lisiwekwe wazi? au utakua udini? au uchochezi? au uvunjifu wa amani? kama ni hivyo, mbona karibu 98% ya sensa zote duniani zina kipengele cha dini!? je huko wameuana kutoakana na kipengele hicho? TUBADILIKE!!!

      naomba kuwasilisha!
      Ntakubaliana na PONDA kwenye suala moja muhimu, nalo ni kuhusu 'dodoso' ya dini ya mtu basi, hayo mengine namwachia mwenyewe. Hili si swali ambalo serikali inatakiwa kujiuliza ama liwepo ama lisiwepo la ni swali la kuwepo kwenye dodo na kukataa litakuwani kosa kubwa sana. Sehemu mbalimbali duniani na mimi binafsi nimewahi kushiriki sensa nikiwa katika nchi moja ya madharibi ni kwamba swali hili linaulizwa. Ila kuna kuwa na option kama mtu haitaji kusema anaachana nalo. Kuna swali kama gender (jinsia) hili ni lazima, ila pia kuna swali la sexual orientation (gay, straight, bisexual) hili ni option - swali hili haswa ndilo lilitakiwa kupingwa na serikali yetu kuuliza kwani sisi hatutambua jinsi mtu anavyofanya mapenzi, sisi tunajua mapnezi ni kati ya mke na mume basi.

      Sensa inatakiwa kuwa general purpose na kitendo cha serikali kujimilikisha outcome ya sensa ni worse. Serikali kama mdau inakuwa na maeneo inayotaka kuangalia kwa ajili ya policies zake. Lakini pia serikali kama Authority (Hapa nina maana kuwa wanakusanya kodi na kuzitumia) inatakiwa kuwa broad. Unapokuwa na database ya kila kitu unarahisha maendeleo sana, kwani stakeholders mbalimbali wanaweza kuomba data fulani toka kwenye ofisi ya Takwimu kwa ajili ya shughuli mbalimbali kama research, programme zao n.k.

      Serikali haitakiwi kuogopa kuuliza dini ya mtu provided inafanya hivyo for recording purposes and not for political purpose au kwa ajili ya kupendelea kundi lolote lile. Watu wawe na uhuru wa kusema dini zao ni zipi au la. Ule mchezo wa watu wa statistics kukaa chini baada ya sensa na kuanza kuangalia majina kama John, Alex, Anna, Chrisptopher, Ramazani, Frank, Juma, Mwantumu, Havijawa na kuassume dini kutokana na majina umepitwa na wakati. Siku hizi kuna kina Ramazani wakristo , Alex waislam. Why wakae na kuestimate badala ya kuwa na real figures?. Je wapagani wanaoitwa Kulthum au Godwin nao utawaweka wapi?.

      Binafsi sioni sababu za msingi za kukataa hoja ya 'dodoso la dini mtu' zaidi ya siasa na kupinga kwa sababu tu aliyeomba ni Sheikh Ponda Isa Ponda na hivyo wawakilishi wa JK kuona kuwa wakikubali basi akina baba askofu watawashambulia na kuhusisha dini ya boss wa nchi na kukubaliwa ombi la Ponda.

      Mambo mengine hayahitaji sana analysis bali ni common sense. Kusema kama wanataka idadi wahesabu waumini wao ni irresponsible kwa serikali kwani kama inaweza kutumia kodi kuweka taarifa kwa nini pia isiseme kila dini ihesabu watu wake na kuwapelejka ofisi ya takwimu na hapo sensa itakuw imekamilika?

    5. #183
      Ibrah's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd March 2007
      Location : TZ
      Posts : 2,883
      Rep Power : 1198
      Likes Received
      402
      Likes Given
      46

      Default

      Quote By Mzinga
      Mimi mwenyewe nataka hicho kipengele cha dini kiwepo kina faida...
      Faida zipi hizo na kwa faida kwa dini husika au Watanzania?
      Kanisa nalosali tunajua idadi kamili ya Wakristo kwenye parokia yetu, tunajua idadi ya wanakuja Ibadani kila wiki, kwa hiyo tunajua dayosisi ina waumini wangapi na nchi nzima wako wangapi. Waislamu wanashindwa vipi hadi kulazimisha serikali iwasaidie kujua idadi yao? Hawana namna ya kujua Waislamu wako wangapi? Au wanataka kuwatisha wengine tu?

    6. #184
      I have a dream's Avatar
      Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 68
      Rep Power : 373
      Likes Received
      52
      Likes Given
      36

      Default Re: Sheikh Ponda yuko sahihi

      Quote By mwongozo
      juzi Sheikh Ponda Issa ambaye ni katibu wa Jumuiya ya Kutetea Haki za Waislamu alitanabahisha kuwa iwapo serikali haitoweka kipengele cha dini katika fomu za sensa ya mwaka, jumuiya yao itahamasisha Waislamu wasishiriki katika zoezi la sensa.Alisema kuwa nchi hii siyo ya Kikristo lakini INATAWALIWA NA MFUMO KRISTO.

      Alisema kutokana na mazoea, Waislamu wanabaguliwa katika mgawanyo wa keki ya taifa khasa upande wa ajira. ofisi na idara za serikali zinaongozwa na Wakristo kwa asilimia kubwa kulinganishwa na waislamu. alitoa mfano wa TRA, NECTA, Wizara ya Eimu, Wizara ya Ujenzi, Afya, Mahakama nk........... kwa mujibu wa Sheikh Ponda, wastani wa ajira ni karibu Wakristo 77% na Waisalmu siyo zaidi ya asilimia 20%. Licha ya hoja inayojengwa kuwa Waislamu hawajasoma lakini akasema waliosoma wapo.

      Akatanabahisha kuwa kwa maslahi na umoja wa kitaifa, kupuuza watu ambao ni sehemu ya jamii ktk keki ya taifa ni jambo hatari sana! kwa kuwa wtu wanadai waislamu ni chini ya 20% katika nchi hii, akapendekeza sensa ya mwaka huu kiwekwe kipengele cha dini ili idadi ya watanzania kidini ijulikane. Kwa mujibu wa Sheihk Ponda, anaamini kuwa waislamu ni takriban 64% ya rais wa Tanzania.

      "SIYO SAHIHI WATU WENYE IDADI HII KUPUUZWA KATIKA UWIANO WA AJIRA SERIKALINI", alisema Sheikh Ponda.Alitoa mifano wa nchi karibia zote za Ulaya, Marekani, asia pamoja na Afrika, kipengele cha dili kipo kwenye fomu za sensa zao. "Ukisoma country profile au fact file uingiapo katika nchi mbalimbali, utakuta wameandika wastani wa idada ya raia kidini" alisisitiza Ponda. "Mbona mnajifanya kama hamtembei au hamjui kinacho endelea ulimwengunu jamani!" alilalama Ponda.

      HOJA YANGU Ndugu znaguni Watanzania, tufike sehemu tuache ukweli udhihiri. kama Waislamu wanalalamika kuwa wanabaguliwa katika ajira labda kutokana na uchache wao, kwa nini suala la dini lisiwekwe wazi? au utakua udini? au uchochezi? au uvunjifu wa amani? kama ni hivyo, mbona karibu 98% ya sensa zote duniani zina kipengele cha dini!? je huko wameuana kutoakana na kipengele hicho? TUBADILIKE!!!

      naomba kuwasilisha!

      UKO SAHIHI KABISA .....sioni jambo la ajabu kuwepo kwa kipengele cha dini kwenye sensa ni kupata tarakimu tu

    7. #185
      Lokissa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th November 2010
      Location : Goba
      Posts : 4,091
      Rep Power : 5807
      Likes Received
      1024
      Likes Given
      2876

      Default Re: Sheikh Ponda yuko sahihi

      The study of the United StatesBureau of Democracy, Human Rights, and Labor for 2009 suggests that 62% of the population of Tanzania isChristian, 35% is Muslim, and 3% are members of other religious group
      The Christian population of Tanzania is mostly composed of Roman Catholics,Lutherans and Anglicans, Pentecostals, Seventh-day Adventists, members of The Church of Jesus Christ of Latter-day Saints (Mormons), and Jehovah's Witnesse

      Islam is, as of 2007, the religion in Tanzania with 40% of the population of the mainland (Tanganyika) and more than 99% of the population on the island ofZanzibar being Muslim
      soma zaidi Wikipedia
      fanya random sampling ya idadi ya wanaomaliza form 4, 6 na wanaoingia
      vyuo utaona asilimia 70 ni wakristo na 30 ni waislamu na wasio na dini.
      bado tu huamini? mnalala mnangangania usawa wa kielimu na kikazi wapi na wapi.

      Quote By Malunkwi
      Hapo kwenye RED
      Ndo utuambie sasa umepata wapi takwimu hizi ikiwa sensa yetu haina kipengele cha dini??? kama co hearsay zanazolenga kuiaminisha jamii ya Watanzania kuwa dini flani ni wengi kuliko wengine?? Pia uwiano wa kielimu hautoshi kuhitimisha kuwa dini flani ni wengi kwakuwa tatizo la elimu kwa waislamu hapa TZ ni lakihistoria!!
      Wajua kuwa Rwanda Watutsi ni wachache kuliko Wahutu lakini ndio waliosoma na wanaohodhi nafasi nyingi serikalini kuliko wenzao ambao ndio wengi?? Na kwanini ukitembelea coutry profiles za nchi kibao utakuta wameweka idadi ya watu kwa dini zao? Wanazitoa wapi?
      Kwakuwa sisi kama Tanzania tulikubaliana kutokujumuisha kupengele cha dini kwenye sensa yetu wacha twende hivyo hivyo lakini Maoni yake yana Mashiko
      You may know me but you have no Idea who I am !

    8. Miaka 50

    9. #186
      Mtanzania1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th December 2010
      Location : Kalenga, Liringa
      Posts : 979
      Rep Power : 620
      Likes Received
      124
      Likes Given
      94

      Default Re: Sheikh Ponda yuko sahihi

      Quote By Chuma Chakavu
      Unataka kutuambia kuwa kama waislam watakuwa wengi itabidi watengewe ardhi kubwa kwa ajili ya makaburi kwa kuwa waislam watakuwa wanakufa sana au?!
      Sikuwa na maana ya waislam pekee..... nilimaananisha kwa dini zote kwani kila dini inautaratibu wake wa baada ya muumini wao kufariki.....wengine wanazika miili... wengine wanachoma moto nk. hoja kuu ilikuwa ni kuwa na takwimu ili kuweza kufanya mipango/maamuzi
      Ukifanya jambo la werevu utaitwa mwerevu, ukifanya jambo la kijinga basi utaitwa mjinga pia

    10. #187
      Ndebile's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th September 2011
      Posts : 1,225
      Rep Power : 668
      Likes Received
      251
      Likes Given
      45

      Default

      Quote By Ibambasi
      Waswahili bana, yaani dini za wakoloni zimewatawala sana. Watu watauana tu kwa sababu ya kuwatetea Mungu Allah, Mungu wa Israel, Mungu Papa, Mungu Anglican...ilhali hata hivyo vitabu vya Mungu hao haviwataji kabisa waswahili hawa!
      Asanteee! Like!

    11. #188
      ZionTZ's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th October 2009
      Posts : 897
      Rep Power : 669
      Likes Received
      128
      Likes Given
      131

      Default Re: Sheikh Ponda yuko sahihi

      tunaonewa tunaonewa jamani y dont you do something about it...yani full lawama mkiambiwa changisheni hela mjenge shule mnalalama mkiambiwa changisheni mjenge chuo lawama mkiambiwa mjitolee kufundisha hizo shule zenu lawama mkiambiwa mchange mjenge hospitali lawama mkiambiwa mnunue hisa mfungue benki zenu lawama...

      lakini hao wakristo mnaowalaum kila kukicha wanafanya vitu vyote hivo wenyewe....wanajenga shule zao wenyewe, makanisa yao wenyewe, vyuo vyao wenyewe, hospitali zao wenyewe, wana mabenki yao wenyewe yani sijui utaanzia wapi kulinganisha maendeleo ya waislam na wakristo.

      mkoa unaongoza kwa shule ni k`njaro asilimia kubwa zinamilikiwa na makanisa na nyingine wamejenga wao..sote tunajua maendeleo ya watu wa huko kielimu....ukiangalia maeneo ya upareni(kwenye uislam wengi) hakuna maendeleo kama ule upande wa wachaga ambao wengi ni wakristo, pamoja na hiyo miradi yao mingi haina ubaguzi kabisa...

      yani dini ya uislam imekua ni dini ya kulalama dailly....mbona matajiri wengi hapa dar ni waislam..?? kwanini wasiwekeze kwenye taaluma ili iwasaidieni ?? ukweli ni kwamba idadi ya wanafunzi wa dini hzi mbili hailingani...hata userious wa wazazi juu ya kuwekeza elim dunia kwa watoto wao ni mdogo sana, pamoja na hvo miundombinu hamna ya kutosha...kubalini mpo nyuma ili muweze kuweka mikakati ya kwenda mbele na sio kila siku malalamiko.

    12. #189
      Ibrah's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd March 2007
      Location : TZ
      Posts : 2,883
      Rep Power : 1198
      Likes Received
      402
      Likes Given
      46

      Default

      Quote By Kikwebo
      aliokuambia kanda ya ziwa wote ni wagala ni nani? Kumbuka huko kuna watu wanaofuata dini za asili kwa idadi kubwa tu.
      Kwa mtazamo wangu mimi, yeyote ambaye si wa dini yangu huyo ni kafiri tu, kutazama majina ni kitu kinachotu-mislead. Nilishangaa sana wakati wa uchaguzi 2010, BBC Jumamosi moja walitaka kuongea na Mkurugenzi wa NEC Rajab Kiravu, akawajibu kwa wakati ule alikuwa Kanisani, asingweza kujibu chochote .

    13. #190
      Ndahani's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 3rd June 2008
      Location : Somewhere
      Posts : 9,646
      Rep Power : 4016
      Likes Received
      2940
      Likes Given
      5063

      Default Re: Sheikh Ponda yuko sahihi

      Quote By TIMING
      nilikua pakistani.... jamaa mmoja akawa anasifia jinsi walivyozaana na kuwa na influence kwa nambaz huku akijilinganisha na india na bangladesh

      wahindia pia walizaaana kweli....
      Ndio utajiri wa watu maskini na wajinga wajinga....
      TIMING likes this.
      We are all inventors, each sailing out on a voyage of discovery, guided each by a private chart, of which there is no duplicate. The world is all gates, all opportunities.
      Ralph Waldo Emerson

    14. #191
      Pepombili's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th December 2010
      Posts : 423
      Rep Power : 511
      Likes Received
      48
      Likes Given
      166

      Default Re: Sheikh Ponda yuko sahihi

      kama Sheikh wangu ponda kasema hivyo basi na mimi sihesabiwi mpaka kipengele cha dini kiwekwe mbona wao waisilamu hawaogopi kipengele cha dini iweje nyie wakiristo munaogopa ? na sisi waisilamu hatutoshiriki hio sensa yenu jihesabuni wenyewe

    15. #192
      Malaria Sugu's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 2nd August 2009
      Posts : 1,783
      Rep Power : 0
      Likes Received
      246
      Likes Given
      18

      Default Re: Sheikh Ponda yuko sahihi

      hata mimi na familia yangu itabidi tuisuse

    16. #193
      Masanga's Avatar
      Member Array
      Join Date : 11th May 2011
      Posts : 26
      Rep Power : 411
      Likes Received
      0
      Likes Given
      4

      Default Re: Sheikh Ponda yuko sahihi

      Ponda yuko sahihi na serikali umewadanganya watanzania kuwa hili ni suala la kimataifa hamna kipengele cha dini na kwanini wanakataa kuna nini nyuma ya pazia, hii inatupelekea tuamini serikaali iliona mfumo krito bado inatumiwa na wachache kupangiwa mambo yake

    17. #194
      Ibrah's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd March 2007
      Location : TZ
      Posts : 2,883
      Rep Power : 1198
      Likes Received
      402
      Likes Given
      46

      Default

      Quote By ritz
      ha haa haaa nimecheka hizi takwimu kwa taarifa yako asilimia kubwa ya Wasukuma kanda ya ziwa Shinyanga, Mwanza, na Mara, hawana dini..hata Iringa Wakinga hawana dini.
      Kwangu hata wasio na dini nao ni Waislamu, maana maisha wanayoishi yanakaribia Uislamu zaidi ingawa wengi wao ukiwauliza wao ni dini gani au kama hawana dini; watakujibu wao ni Wakristo!
      Kuhusu watu wengi Kanda ya Ziwa na Wakinga hawana dini msubiri Sikonge, Lunyungu, Balantanda na Ukolokwitanga watakupa jibu.

    18. #195
      Barubaru's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th April 2009
      Location : Doha, Qatar
      Posts : 5,740
      Rep Power : 1919
      Likes Received
      1178
      Likes Given
      962

      Default Re: Sheikh Ponda yuko sahihi

      Quote By Lokissa
      The study of the United StatesBureau of Democracy, Human Rights, and Labor for 2009 suggests that 62% of the population of Tanzania isChristian, 35% is Muslim, and 3% are members of other religious group
      The Christian population of Tanzania is mostly composed of
      Roman Catholics,Lutherans and Anglicans, Pentecostals, Seventh-day Adventists, members of The Church of Jesus Christ of Latter-day Saints (Mormons), and Jehovah's Witnesse

      Islam is, as of 2007, the religion in Tanzania with 40% of the population of the mainland (Tanganyika) and more than 99% of the population on the island ofZanzibar being Muslim
      soma zaidi Wikipedia
      fanya random sampling ya idadi ya wanaomaliza form 4, 6 na wanaoingia
      vyuo utaona asilimia 70 ni wakristo na 30 ni waislamu na wasio na dini.
      bado tu huamini? mnalala mnangangania usawa wa kielimu na kikazi wapi na wapi.
      Nilipo Blue.

      ndio maana zinatakiwa zipatikane takwimu sahihi sio za assumptions. Waislam wameliona hilo kwa kina sana na sasa wanataka kipengele cha dini kiwemo ndani ya karatasi zenu za sensa ila kujijua na kujisahihisha kama itawezekana na kuondokana na hii tarbia yya kukisia.

      Lakin msingi mkubwa ni mipango ya nchi kwani vipengele kama jinsia, dini , elimu na ulemavu ni muhimu sana katika kupanga maendeleo ya nchi.

      Sioni sababu kwanini wenzenu wanakataa. sijui wana ajenda gani hao.
      Lokissa likes this.
      Ukiwa mchoyo, usiwe mroho.

      Man Sharaf naf'sahu, fahuwa rasul

    19. #196
      Lokissa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th November 2010
      Location : Goba
      Posts : 4,091
      Rep Power : 5807
      Likes Received
      1024
      Likes Given
      2876

      Default Re: Sheikh Ponda yuko sahihi

      Quote By Barubaru
      Nilipo Blue.

      ndio maana zinatakiwa zipatikane takwimu sahihi sio za assumptions. Waislam wameliona hilo kwa kina sana na sasa wanataka kipengele cha dini kiwemo ndani ya karatasi zenu za sensa ila kujijua na kujisahihisha kama itawezekana na kuondokana na hii tarbia yya kukisia.

      Lakin msingi mkubwa ni mipango ya nchi kwani vipengele kama jinsia, dini , elimu na ulemavu ni muhimu sana katika kupanga maendeleo ya nchi.

      Sioni sababu kwanini wenzenu wanakataa. sijui wana ajenda gani hao.
      Barubaru maendeleo ya nchi yanapangwa kwa kuangalia dini?
      kama mnataka kujua mko wangapi jihesabuni wenyewe kama wakristo wanavofanya ktk jumuia,parokia,usharika nk... waziri wa fedha anavosoma bajeti huwa anasema bejti hii ni ya waislamu na hii ni ya wakristo au inamlenga kila Mtanzania?
      Jasusi likes this.
      You may know me but you have no Idea who I am !

    20. #197
      Barubaru's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th April 2009
      Location : Doha, Qatar
      Posts : 5,740
      Rep Power : 1919
      Likes Received
      1178
      Likes Given
      962

      Default Re: Sheikh Ponda yuko sahihi

      Quote By Ibrah
      Faida zipi hizo na kwa faida kwa dini husika au Watanzania?
      Kanisa nalosali tunajua idadi kamili ya Wakristo kwenye parokia yetu, tunajua idadi ya wanakuja Ibadani kila wiki, kwa hiyo tunajua dayosisi ina waumini wangapi na nchi nzima wako wangapi. Waislamu wanashindwa vipi hadi kulazimisha serikali iwasaidie kujua idadi yao? Hawana namna ya kujua Waislamu wako wangapi? Au wanataka kuwatisha wengine tu?
      Siku zote tunasema kwenda skuli sio KUELIMIKA. hivi hata wewe kweli utajiita Great thinker kwa hayo ulioandika.

      Nakushauri huko Tanzania kuna mabalozi wa nyumba kumi siku hizi wanaitwa wajumbe wa mashina,wenyeviti wa vitongoji na vijiji, Village exec officers, Ward Exec Oddicers. Sasa kama kila mtu anajua idadi ya watu ndani ya familia yake, na kila mjumbe anajua idadi ya kaya katika eneo lake. kwanini wasiunganisha hisabu hizo zote na kujua idadi ya watu na NCHI IKAAMUA KUFANYA SENSA.

      Nafikiri ukijibu suala hilo utakuwa na kujua nini maana ya sensa.

      Fikiri kabla kuandika

      Ukiwa mchoyo, usiwe mroho.

      Man Sharaf naf'sahu, fahuwa rasul

    21. #198
      Malyenge's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th January 2012
      Posts : 702
      Rep Power : 631
      Likes Received
      116
      Likes Given
      159

      Default Re: Sheikh Ponda yuko sahihi

      Mfumo kristo ndio unaotawala nchi hii mtake msitake. Kwenye vyumba vya hoteli utakuta biblia! Kwa nini kusiwekwe korani? Kwenye vyombo vya usafiri kunapigwa kanda za injili kwa nini kusipigwe kaswida?

    22. #199
      KALAMAZOO1's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 23rd November 2011
      Posts : 119
      Rep Power : 401
      Likes Received
      6
      Likes Given
      4

      Default Re: Sheikh Ponda yuko sahihi

      Sheikh Ponda unatisha,uko juu,angalia unavyojadiliwa.Mimi na wenzangu wengi tumetega sikio ukisema tususie nije nione mtu anakanyaga kwangu eti kunihesabu,nitamtoa nduki
      Ponera likes this.

    23. #200
      Bongolander's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th July 2007
      Location : Tandale
      Posts : 4,034
      Rep Power : 1417
      Likes Received
      609
      Likes Given
      44

      Default Re: Sheikh Ponda yuko sahihi

      Quote By Barubaru
      Alonena ni suala zuri sana. vipengele muhimu va kuzingatiwa katika sensa ni pamoja na Umri, Dini, jinsia, hali za watu (ulemavu n.k) kwa ajili ya mipango ya nchi kwa maendeleo na ustawi wa jamii.

      Ni vizuri kulijadili kwa kina kwa mustakabali bora wa nchi yenu katika mipango ya baadae.
      Kuna ya maana sana ya kujadili, si udini. Udini ni sera ya watu wasio na elimu na wasio na hoja na wasiojua sababu za umasikini Tanzania, ukitaka kuwajua jaribu kuangalia hoja katika thread hii.

    Page 10 of 16 FirstFirst ... 89101112 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...