Nimesoma gazeti la Tanzania daima ambapo nimeona kati ya majina yaliyotajwa ya waasisi wa CHADEMA mmojawapo ni Stephen Wassira. Sijaamini! Au kuna Wasira mwingine tofauti na huyu tunayemfahamu?
Katika kuonesha kukerwa na kauli hiyo, Mbowe alilazimika kuwataja waasisi na mikoa yao kuwa ni Edwin Mtei (Arusha), Makani (Shinyanga), Marehemu Brown Ngwilupipi (Iringa), Edward Barongo (Kagera), Mary Kabigi (Mbeya), Menrad Mtungi (Kagera), Costa Shinganya (Kigoma), Evalist Maembe (Morogoro) na Steven Wassira (Mara).
Mtaji mkubwa kabisa wa CCM katika chaguzi zake ni umaskini na ujinga wa watanzania. CCM haitafanya kosa la kuyamaliza matatizo hayo kwa kuwa kwa kufanya hivyo watakuwa wamehatarisha nafasi yao ya kuendelea kutawala
Inawezekana! Nimewahi kusikia kuwa ukiwa muumini mzuri wa dini ya haki,then ukaja kuasi na kurudia uchafu,akili yako haitakaa sawasawa,I mean utakuwa kama vile umechanganyikiwa hivi.
Ni wakati ule alipokuwa akitafuta pa kujificha baada ya kumkimbia warioba ccm, akaishia kutua nccr ambako nako njaa ilimtengeneza akaamua kurudi kujisalimisha ccm. Namshangaa sana huyu mnafiki anavyowaponda wapinzani na kujifanya yeye ni ccm damu damu kumbe njaa tu.
"Peace is not simply about the absence of violence. It is defined by the presence of fundamental liberties and the prevalence of economic opportunities."
NDIO HUYO HUYO AMEASISI PIA NCCR KAMA SIKOSEI HUYO NI KAMA WALE WANAWAKE WA OHIO WANAITWAJE???AU KAMA ILE SPANA INAYOFUNGUA NAT ZOTE hahahahaaa SURA YAKE SIJUI KINA MZEE MTEI WALIMPENDEA NINI
Ni mmoja wa waanzilishi na kazi yake kubwa ktk vikao ni kukaa mlangoni/getini kulinda dhidi ya usalama wa taifa coz enzi hizo vikao vya siasa dhidi ya serikali ni wahaini
Stephen Wassira hajawahi kuwa muasisi wa chama chochote nchi hii. Alionyesha nia ya kuanzisha chama wakati fulani lakini ukata ukawa umemkwida kwelikweli. Baadae CCM-MTANDAO wakamwokota kwa bei nafuu sana akiwa mchezaji huru. Rostam akasimamia zoezi zima la kumsajili upya CCM. Sasa hivi hajambo kabisa. Yuko CC ya CCM na ni Cabinet Member wa serikali ya JMK. Hatakaa amsahau Rostam.
Kwani ulikuwa haujui kwamba back then Mzee wa Gombe alikuwa mpinzani?
Yah, but najua alikuwa NCCR mageuzi. Hata hivyo nashukuru kwa ufafanuzi wa baadhi ya watu kwamba mhusika halisi ni George Wassira na si Stephen Wassira.
Mtaji mkubwa kabisa wa CCM katika chaguzi zake ni umaskini na ujinga wa watanzania. CCM haitafanya kosa la kuyamaliza matatizo hayo kwa kuwa kwa kufanya hivyo watakuwa wamehatarisha nafasi yao ya kuendelea kutawala
Follow Us Here