Nimesoma gazeti la Tanzania daima ambapo nimeona kati ya majina yaliyotajwa ya waasisi wa CHADEMA mmojawapo ni Stephen Wassira. Sijaamini! Au kuna Wasira mwingine tofauti na huyu tunayemfahamu?
Katika kuonesha kukerwa na kauli hiyo, Mbowe alilazimika kuwataja waasisi na mikoa yao kuwa ni Edwin Mtei (Arusha), Makani (Shinyanga), Marehemu Brown Ngwilupipi (Iringa), Edward Barongo (Kagera), Mary Kabigi (Mbeya), Menrad Mtungi (Kagera), Costa Shinganya (Kigoma), Evalist Maembe (Morogoro) na Steven Wassira (Mara).
Mtaji mkubwa kabisa wa CCM katika chaguzi zake ni umaskini na ujinga wa watanzania. CCM haitafanya kosa la kuyamaliza matatizo hayo kwa kuwa kwa kufanya hivyo watakuwa wamehatarisha nafasi yao ya kuendelea kutawala
Hakuna cha typo errors wala nini. Steven Wassira, mwasisi wa chadema, ni huyu huyu mzee wa kusinzia aka Tyson. Namfuatilia kwa makini bungeni ili nipate picha yake tena akiuchapa kama kawaida yake.
..i hate u...kwa nini umuite mzee wa GOMBE??? unawachafua wanaCHADEMA wote kwa kuleta ubaguzi wa maumbile ya mtu...hiyo ndiyo SUMU ya ubaguzi mliyonayo wakereketwa wa CHADEMA..
CCM endeleni kutumia udhaifu wao kujikita katika siasa za kistaarabu...maana bado sijaona chama cha upinzani kinachoweza kushika dola...kama viti 40 tu vinawapa ukichaa je wakipata 80?
Umejuaje ni mkereketwa wa CHADEMA?au siasa za kistaarabu ni kujilimbizia mali na kuwaacha wananchi wakifa njaa?
Sijaona zaidi ya CHADEMA hata km kingekuwa na mbunge mmoja,watch u r talk 2015 is arround the corner.
Jamani nilianzisha vyama vingi sana, yameshapita, kwa sasa nipo ndani ya magamba, ila hofu yangu naweza nisirudi mjengoni mwaka 2015, maana kuna binti mmoja ananisumbua jimboni kwangu.
Follow Us Here