Bonyeza link hii kusikiliza Bunge
Bungeni Live
Bonyeza link hii kusikiliza Bunge
Bungeni Live
" Mtu mwerevu akikuambia upumbavu nae akijua kuwa unajua anayokuambia ni upumbavu nawe ukayakubali, atakudharau " - Mwl J.K.Nyerere.
Salaam,
Siikiliza Bunge la nane la Bajeti katika Computer yako:
tembelea www.arushamambo.com click "Sikiliza Arusha Mambo FM..." redio ikifunguka kwenye Page ya Tune IN tafadhali click LIKE au toa maoni yako kupitia [email protected]
Arusha Mambo itarusha vipindi vyote vya Bunge vya Asubuhi na Jioni ikiwa ni pamoja na vipindi vya Bajeti vya Bunge la Kenya na Uganda kesho tarehe 14.06.2012 ikiwa ni jitihada za kuwawezesha wasikilizaji wetu kuielewa Afrika ya Mashariki.
Source: Arusha Mambo.
haifunguki mkuu.....
"We should learn to help others,not only in our prayer but also in daily life,if we cannot help them_then,the least thing we can do is to desist from harming them"
"We should learn to help others,not only in our prayer but also in daily life,if we cannot help them_then,the least thing we can do is to desist from harming them"
naipata, naona mh lisu anavyopewa vidonge na prof muhongwa
Kwa Faida ya Wale ambao hawakusikiliza,
Tutarudia kipindi cha Bunge la Nane la Bajeti kilichofanyika leo Tarehe 13.06.2011 kuanzia saa 5asubuhi.
Sikiliza Bunge katika Computer yako:
tembelea www.arushamambo.com click "Sikiliza Arusha Mambo FM..." redio ikifunguka kwenye Page ya Tune IN tafadhali click LIKE au toa maoni yako kupitia [email protected]
Arusha Mambo itarusha vipindi vyote vya Bunge vya Asubuhi na Jioni ikiwa ni pamoja na vipindi vya Bajeti vya Bunge la Kenya na Uganda kesho tarehe 14.06.2012 ikiwa ni jitihada za kuwawezesha wasikilizaji wetu kuielewa Afrika ya Mashariki. Bunge la Tanzania litafungwa rasmi Agosti 22.2012.
Source:
Arusha Mambo Internet Radio.
tumekusoma sana ni vibando vyetu tu..
nimependa majibu aliyopewa mh lisu na waziri wa madini na nishat4
Salaam,
Siikiliza Bunge la nane la Bajeti katika Computer yako:
tembelea www.arushamambo.com click "Sikiliza Arusha Mambo FM..." redio ikifunguka kwenye Page ya Tune IN tafadhali click LIKE au toa maoni yako kupitia [email protected]
Arusha Mambo itarusha vipindi vyote vya Bunge vya Asubuhi na Jioni ikiwa ni pamoja na vipindi vya Bajeti vya Bunge la Kenya na Uganda LEO tarehe 14.06.2012 ikiwa ni jitihada za kuwawezesha wasikilizaji wetu kuielewa Afrika ya Mashariki.
Source: Arusha Mambo.
Wale wanao taka kuandika majina yao kwenye magari yao ni ruksa lakini ni million 5 kwa miaka mitatu.
Follow Us Here