Last edited by Kibanga Ampiga Mkoloni; 12th June 2012 at 10:16.
For the Holy Quran says in Sura 42, verse 41: 'All those who fight when oppressed incur no guilt, but Allah shall punish the oppressor, Come the day.
Huyu mwalimu ndio yule ANBEN wa kiwira?![]()
We shall overcome, righteousness shall always prevail.
CCM hoye kwa kufunga mwalimu na kumwachia huru CHENGE!
Zogolo Dangu Dawika Miye!
Hahahahahaha..
Hongeleni mkuu naona mmeanza kazi kwa wanyonge wenu mnsowaonea kwa kila kitu!
Wanchekesha mie. Waliokula dili la airbus si wapo mtaani! Dili za usafi na uniform muhimbili? Kiwanja cha serikali kuuzwa kwa METL? Buzwagi? Mgodi wa Buhemba?
This is onother curse eating justice and killing ccm. Small fishes are punished heavenly while the bigger are left to enjoy life and consume squandered public resources luxirously. God of mercy rescue our country!
hii nchi wanaijua wenyewe ccm. mwalimu anafungwa miaka zaidi ya mia huku chenge , mafisadi yanatembea tena yapo bungeni yamejikalia na yanazidi kupewa vyeo
JF the best place to be. and the POWER of God be with us all the time.
Inaonyesha watu wa ..M kama matojo vile sijui? Hawaeleweki yaani.
Changudoa mwenye wivu a.k.a Jambazi lenye huruma
Wewe umesema.
Wanaonewa vidagaa wakati mapapa yapo yanatamba mitaani keli hawa jamaa ni Chukua Chako Mapema
"Life comes once only: No retake/replay/rewind/once-more. One should enjoy it, be happy & keep happy others too."
Duu...357 yrs!!! wizi wa nini tena huo!!!!! Alitorosha Tembo kupeleka uarabuni nini!!!!!
Always The Silence of Our Friends Hurts more than the Noise of Our Enemy.
if only ningekuwa najua na naweza kutukana, sijui leo ingekuwaje.
Thread kama hizi hufanya niweke comments zangu pending kwa kuhofia Ban
Haileti picha wala maandishi !!!!...
Unahangaika kwa kufukuza kuku wa kisasa! Kama mnaweza anzeni na:-
Chenge, Richmond walohusika wote mfano baasha kosa lake siwajui nawajua, kiwila, reli,bandari, epa, kagoda, melemeta,stimulate packages, panya kwenye halmashauri, mawaziri, iptl, rada pamoja na dege la rais, mapanki, korosho, powertiler, bot, safari za rais, vocha kilimo, tbs, atc, nyumba za serikali, pamba,utalii, madini, misitu, mauaji ya raia, wizi kura, mikataba yote mibovu nk.
CHADEMA TEGEMEO LA WANYONGE
Tanzania ni zaidi uijuavyo!
Yaani bora nihamie somalia,hivi huyu teacher na jairo,chenge,wezi wa epa,nani mwizi?
Wezi wa kuku wanafungwa maisha,
wezi wa mabillion wanawekewa ulinzi,
lakini tutafika tu.
Follow Us Here